Km kweli Chedema mko serious jitoeni kwenye huu uchaguzi uliojaa mazingaombwe. Yanayoendelea kwenye huu uandikishaji ni dhahili km mtashiriki mtadhalilika bure. Mark my word!
Ikiwezekana Hizi shahidi zikusanywe,kwaajili ya uthibitisho,zipelekwe mahakamani zikaongezewe kwenye lile shauri lililoko mahakamani,ili sasa uchaguzi uahirishwe hadi hili 👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi✍️🏿
Nchi nzima ni uhuni mtupu unafanyika ni aibu mpk Kwa watendaji nao wanaishi Kwa hofu Kwa Nini hatufanyi kazi Kwa haki na ni kote wanaandikisha majumbani
chadema oyeeeee
Km kweli Chedema mko serious jitoeni kwenye huu uchaguzi uliojaa mazingaombwe. Yanayoendelea kwenye huu uandikishaji ni dhahili km mtashiriki mtadhalilika bure. Mark my word!
Jamani ktk nchi yetu uchaguzi hakuna ni maigizo ni mambo ya hovyo sana yanafanyika kwa chaguzi
Ata uku Dar salam ccm wanapita wanaandika majina na namba za simu
Wapelekeni mahakamani
Sio pw
Due huu nimtihani Tanzania
Maccm.
Tatizo wananchi amkeni, chadema wakisusa, tumekwisha
Kambi za jeshi tena wamekuwa hizbora
mmh
Je hao ambao mmekuta wameshaandikishwa mmeendelea kuwaacha kwenye hiyo orodha?????
Hawana budi kuyafuta na kuorodhesha mbele ya wahusika..
Ikiwezekana Hizi shahidi zikusanywe,kwaajili ya uthibitisho,zipelekwe mahakamani zikaongezewe kwenye lile shauri lililoko mahakamani,ili sasa uchaguzi uahirishwe hadi hili 👇🏿
#katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi✍️🏿
Nchi nzima ni uhuni mtupu unafanyika ni aibu mpk Kwa watendaji nao wanaishi Kwa hofu Kwa Nini hatufanyi kazi Kwa haki na ni kote wanaandikisha majumbani