This not the only time in my comprehensive to know much about this person! I really understand him well& I give myself much time to know him better. He is the only person we can ensure ourselves that when he became on power, everything would go precisely. I big up him humbly🙏💪
Sheteni ni baba wa uwango anahubiri amani wakati kazi yake ni kuwa ya tupasa kuwa imara na kumkabili , msimgope , shetani (mapepo) ananjia tatiu za kumuingia binadama, ya kwanza ni hofu, Msiogope Mungu Yuko pamoja nasi.
Ndo hivyo wajinga sisi hapa, kupingana kwa uvyama ndo dili kwa wapigaji na mapepari, ndo maana wanalazimisha mfumo wa vyama vingi ili tuendelea kuwapa fulsa, kikubwa serekali itakayo undwa na chama chochote, haiwezi kufanya vizuri kwenye mgawanyo wa rasilimali za taifa, wala kutoa huduma kwa raia , maana uchumi mkubwa na sector nyingi zipo mikononi mwa watu binafsi, kila kitu ni biashara elimu, afya, chakula, kiujumla hakuna umuhimu wa utawala tena, kuunda mamlaka na utawala bila nguvu ya Pesa, itakuwa ni uchawa mwanzo mwisho, hakuna chachadema wala ccm, Tafuta pesa jenga familia kwa heri siasa,,, Kama mwizi mzembe na mwongo wapo, nguvu ya serekali na vyama ndo inamlinda, 😅😅
Nimeelewa kwa kiasi kikubwa, kueka usalama wa taifa chini ya raisi kuzidi kuvieka vichwa vya nchi chini ya kichwa kimoja na hii ni hatari kwa mwili wote wa nchi, Nimeelewa pia kua kuwapa watu mamlaka ya kuarrest watu pasipo sheria na makao ni kitu hatari zaidi, kwani iyo itapelekea kitengo husika kufanya kazi chini ya sheria ya mtu binafsi na sio sheria ya nchi Ijulikane kua sheria ya nchi ina tafsiri moja tu kwamba ina tafsiri ya wote kama mmoja ila ikiwa imebadilishwa kua chini ya mtu mmoja itakuja na tafsiri nyingine ambayo ni mmoja kama wote Tuangalie uyo mmoja kama wote je ndivyo alivyo?? Tuombe sana Mungu atulinde
Tundu lisu anawadharau wale ambao hawajadoma. Alitaka kutulazimisha mikataba ya ununuzi wa umeme pamoja na kuititia hasara serikali. Alisajau kuwa kuna ushawishi na utetezi kuboresha sera gandamizi. Kwa hiyo anaunga mkono mamluki na atauza nchi fasta. Pia sio diplomatic. Ana kauli chafu la lungo lake kuu ni mvurugano. Kuongea kinereza sio kujia maarifa anatumiwa na mamluki tuendelee kutawaliwa.
Ccm yenyewe Ina tutawalla uruuu amna kama ana uzaa ichii bola iyuzwee tuteseke wote sio wanaiba ela awakamatwii viongozi WA ccm kwa nn wasikamatwe wakatii wanaiba pesa malii Wana nchiii njaaa kaliii sasa apo tuta pata faida Gani kusindikizaaa au
Ungewaambia wasaidie kukomesha utekaji mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu!!! Wakikata misaada tutakaoumia ni cc wananchi tusio na kitu wao wataendelea kustawi Ungewaambia wasaidie kupata katiba mpya kama sehemu ya haki za binadamu
@@AnociathaChuwa-cb5nk hapana hii nchi inauwezo wa kujiendesha yenyewe japo utahitaji nguvu kidogo sana kutoka nje ila shida ni kwamba hata hio tunayoiita misaada ikifika Bado haifanyi kazi yake vizuri wajanja wengi sana
Ni ndogo vipi, sisi kama nchi tuko vizuri sana, infact uchumi wetu uko vizuri sana hapa Africa. Tulieni mtaona ndani ya miaka michache tutaongoza Africa kwa uchumi Bora.
😂😂😂 hawa bwana hawa sasa misaada ikisitishwa tunaoishi humu nchini ni sisi , njaa ikiwa kali kina lissu na wenzake wanakwea pipa ulaya km wakimbizi wa siasa wakt ss tunaumia hemu jamani hizi akili mda mwengine zisiwe zinapelekwa na watu wasiojitambua bc
Yani mm binafusi kwatukio kubwa kama hili watu wangekuwa wana sikiliza hoja zawatu kumuhukumu mtu kwa matusi nilikuwa naomba vyombo vya usalama viwakamate innawezekana kunjambo wanjuwa kwanini wanabeza na kutukana jamani hamuoni mwendelezo kulichua tarifa ?
LISU RUKA HATA MBINGUNI HUWEZI SHIKA NCHI KWA UWONGO NA CHUKI RUDI ULAYA UKAMALIZIE VIDONGE VYAKO MASHOGA SISI HATAWAAMINI SABABU WANATUONA MANYANI TU KAMA WEWE 😢😢😢😢
Raisi wa Tanzania hachaguliwi na maarifa ya nje wanyonyaji walioiba madini yetu, walifichukua nguvu zetu bure kupitia utumwa na kutumaliza kiteknolojia. Ni hatari kubwa sana kuwa na raisi kama huyu. Watanzania wote wanaelewa. Wabelgiji na marafiki zao wanampigia kampeni ila wachangiaji ni watanzania. Asubiri majibu. Kiingereza sio kipimo cha uelewa. Wewe ni kibaraka.
wapendwa Watanzania mnaopinga pendekezo la Lissu na Chadema kuichukulia hatua Kali serikali ya ccm, kwa kusababisha hali tuliyonayo kupoteza wapendwa wetu kwa vifo vya kulazimishwa, mnadhani serikali hi mpaka ingefanya jambo gani ambalo Kwa Hilo mngeumizwa nalo na ndipo kukubali kuwa ni tatizo linalostahili ccm kuondolewa?
@@mzongekibwana838 Tusubiri huo Uchunguzi halafu ndo tutajua la kufanya lakini wazungu hawatatusaidia lolote ila watazidi kuchochea kama Vile Kongo wafrika wanapigana wao wanazoa dhabu madini na kadalika
What rock he is pepet of Western People ,what a stupid demand that your country to be a international sanctions,Show me which country 100 percent follow democratic
Hapana kwa hili simuungi tundu lisu mkono maana tusinyenyekeee kwa wazungu na kuonyesha kua wazungu ndio wanaweza kutuamlia ila tunataka ninyi viongozi wa Tanzania mpambanie nchi wanaowasumbua ni watanzania wanzenu mnashindwa kuwashughulikia mnakimbilia nje
@@PrinceHendry-hp8vvila unawaunga mkono watekaji na wauwaji sio?kama serikali ipo alafu watu wanauwawa tu uchunguzi miaka wewe hulioni hili Bora wawaweke vikwazo tu
@@PrinceHendry-hp8vv Uko sahihi kbs maana wanapata kiburi sana watu wanatekwa wao kimyaaaa ndio kwanza wanasema maigizo ujinga mtupu Bora awachongee kbs
This not the only time in my comprehensive to know much about this person! I really understand him well& I give myself much time to know him better. He is the only person we can ensure ourselves that when he became on power, everything would go precisely. I big up him humbly🙏💪
Nakuelewa sana
Rais halali wa mioyo ya watanzania mhe Dr Tundu Antipas Mugwahi Lissu 🇹🇿🇹🇿💖💖
Huyu , unachekesha!!!!😂😂
Heko sana Mr Lisu nakuelewa sana
Sijawahi kuchoka kumsikiliza lisu!! Bravo man!!
Tumemchoka kwa kulialia tu kwa MASHOGA 🤧🤧🤧🤧🤧🤧
@@OmmyJames-xn7ji Amekulilia wewe😂😂😂😂
@@edwinalexander1170 AMELIA KWA PALOKO ANATAKA UDIWANI 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
Huyu mwamba kila mwenye akili timamu lazima amuelewe.
Kweli kabisa upo sahihi. Huyu mheshimiwa ana mchango mkubwa sana katika Taifa hili
Dr Tundu Antipas Mugwayi Lisu
Hongera Tindulisu Mungu akutangulie
Safi mzee lisu Tanzania 🇹🇿 kwa ss ni kuteka wapinzani
All TANZANIAN listen carefully you will appriciate that TUNDU lisu is a good tanzania president na mwenye machungu na nchii yake ...WATZ AMKENI
Lisu nakukubari sana
Asante rais wetu ajae
Lissu me nakuelewa sana kiongozi wangu
That is truly,the nightmares wer going through in our country...killing people u lead isn't acceptable...
Super guru i never tired to hear you
I appreciate this intelligent leader
But I hate much those who tried to have him dead in 2017.
God bless you TUNDU LISSU
Nakubaliana na wewe mhe lissu
Madam president must go
WELL SAID LISSU.
Sheteni ni baba wa uwango anahubiri amani wakati kazi yake ni kuwa ya tupasa kuwa imara na kumkabili , msimgope , shetani (mapepo) ananjia tatiu za kumuingia binadama, ya kwanza ni hofu, Msiogope Mungu Yuko pamoja nasi.
Mheshimiwa Lisu utaishi sana katika mioyo ya watanzania. Ni mwendawazimu tu ambaye hawezi elewa mchango wako katika Taifa hili.
mungu akutunze sana kiongozi wetu❤
Bora hiyo misaada izuiwe coz misaada yenyew tunaletewa net kwel
Lisu tuko pamoja okoa Tanzania watanzania tuko mashakan namaisha etu hatujui hata kesho etu
❤❤❤❤ May God Continue to bless you and multiply all that is good in your life.
I love my COUNTRY
Tanganyika has to come back , constitutional reform now and CCM must go for Tanzanians to live free with prosperity
Dr❤❤❤❤
Mama pole sanaaaa una maadui wengi sanaaaa ndani ya Ccm kutekwa kwa watu kuuwawa hovyooo inakuharibia sanaaaa
Bravo kamanda, really we need you for our future
Tanzania 😢😢😢😢 my friend nikubya sasa American wangilie sasa kweli
Nenda Ukraine 🇺🇦 au nenda congo 🇨🇩 nenda Sudan 🇸🇩 huko ndo kuzuri
Sana
Mwisho wa ccm unakaribia ...
CCM most go
WANAO MPINGA WOTE MACHOKO WA CCM NA VIBARAKA AU MACHAWA
Wewe na huyu lisu wako mashoga na chizi bora magu angel maliza kabisaa
@@AliAhmed-m1o2ujiulize kwann hakummaliza ndo ujue Mungu ndie anaeamua kutoa uhai wa mtu na si binadam mwenzake
Nakupongeza baba unapambana sana mungu ni mwema
Tuko wote bro
Samia must go ..we are so fucking tired for all... including ccm
Wanao Pinga ni zao la utekaji
Good 👍
That's true.
We need actions from Tanzania government rather than political words in seriously issues like killing and protesting Tanzanians.
so you want the govt to take actions against itself!!! that will never happen people must rise up and get rid of the Samia oppressive regime
Good speech 🎉🎉🎉
Safi sana Lissu
Naona VCCM vinatokwa na povu😅😅😅😅😅😅 tulieni dawa iwaingie
Roho mbaya sana! Ubinafsi daima huzalisha roho mbaya ya kuua
Ndo hivyo wajinga sisi hapa, kupingana kwa uvyama ndo dili kwa wapigaji na mapepari, ndo maana wanalazimisha mfumo wa vyama vingi ili tuendelea kuwapa fulsa, kikubwa serekali itakayo undwa na chama chochote, haiwezi kufanya vizuri kwenye mgawanyo wa rasilimali za taifa, wala kutoa huduma kwa raia , maana uchumi mkubwa na sector nyingi zipo mikononi mwa watu binafsi, kila kitu ni biashara elimu, afya, chakula, kiujumla hakuna umuhimu wa utawala tena, kuunda mamlaka na utawala bila nguvu ya Pesa, itakuwa ni uchawa mwanzo mwisho, hakuna chachadema wala ccm, Tafuta pesa jenga familia kwa heri siasa,,, Kama mwizi mzembe na mwongo wapo, nguvu ya serekali na vyama ndo inamlinda, 😅😅
nakukubali rais wangu tukutane tarehe 23
Wanao beza maneno ya mh lisu hawana akili
Wew hunakili kuma mbovo
Lisu nijembe letu kuttea wanch TZ!
Hamjaelewana lissu yupo sahihi
His statement can pave good way for ceasing all these evil matters
Kweli kabisa hiyo misada ndio inatumika kuajili watu ili wawatoe uhai watu
Nimeelewa kwa kiasi kikubwa, kueka usalama wa taifa chini ya raisi kuzidi kuvieka vichwa vya nchi chini ya kichwa kimoja na hii ni hatari kwa mwili wote wa nchi,
Nimeelewa pia kua kuwapa watu mamlaka ya kuarrest watu pasipo sheria na makao ni kitu hatari zaidi, kwani iyo itapelekea kitengo husika kufanya kazi chini ya sheria ya mtu binafsi na sio sheria ya nchi
Ijulikane kua sheria ya nchi ina tafsiri moja tu kwamba ina tafsiri ya wote kama mmoja ila ikiwa imebadilishwa kua chini ya mtu mmoja itakuja na tafsiri nyingine ambayo ni mmoja kama wote
Tuangalie uyo mmoja kama wote je ndivyo alivyo??
Tuombe sana Mungu atulinde
Amina
huyu jamaa ana kiingereza cha misamiati kweli sijui alisoma nchi gani
Mbona anaeleweka ndugu
Mass sensitization should be a priority to put to rest this awful situation.
Start with Family first
Good
🎉Keep up brother❤❤❤
Tundu lisu anawadharau wale ambao hawajadoma. Alitaka kutulazimisha mikataba ya ununuzi wa umeme pamoja na kuititia hasara serikali. Alisajau kuwa kuna ushawishi na utetezi kuboresha sera gandamizi. Kwa hiyo anaunga mkono mamluki na atauza nchi fasta. Pia sio diplomatic. Ana kauli chafu la lungo lake kuu ni mvurugano. Kuongea kinereza sio kujia maarifa anatumiwa na mamluki tuendelee kutawaliwa.
Ccm yenyewe Ina tutawalla uruuu amna kama ana uzaa ichii bola iyuzwee tuteseke wote sio wanaiba ela awakamatwii viongozi WA ccm kwa nn wasikamatwe wakatii wanaiba pesa malii Wana nchiii njaaa kaliii sasa apo tuta pata faida Gani kusindikizaaa au
Safii
Ungewaambia wasaidie kukomesha utekaji mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu!!!
Wakikata misaada tutakaoumia ni cc wananchi tusio na kitu wao wataendelea kustawi
Ungewaambia wasaidie kupata katiba mpya kama sehemu ya haki za binadamu
@@AnociathaChuwa-cb5nk hapana hii nchi inauwezo wa kujiendesha yenyewe japo utahitaji nguvu kidogo sana kutoka nje ila shida ni kwamba hata hio tunayoiita misaada ikifika Bado haifanyi kazi yake vizuri wajanja wengi sana
Sema hujui kiingereza kwani hapo anasema nn
Hiyo misaada iliwahi kukusaidia nini ?
👍👍
Were together
Their days are numbered. ✌️
❤❤❤❤❤
Bora iwe hivyo ubaya ubwera
Wa Tanganyika bila KATIBA HAKI hakuna,wao hp juu wanakula bata vx za m 500"000000,utekaji, wasojulikana,
❤❤
Shida ni aina ya viongozi tulionao nadhani hata IQ ya viongozi wetu ni ndogo sana
Ni ndogo vipi, sisi kama nchi tuko vizuri sana, infact uchumi wetu uko vizuri sana hapa Africa. Tulieni mtaona ndani ya miaka michache tutaongoza Africa kwa uchumi Bora.
Fire
SIMBA LISU MUGHWAI
❤
Tanzania ni yetu tumalizane wenyewe wazungu watatufanya kama Libya.
Nchi inapotea ndugu yang wananchi atuna kauli ukisema ukweli 2 kosa Sasa uwongoz mzuli haupo hivo
Kvp sasa
Wengi ambao wameapotea wamepotezwa kwa sababu ya kutoa maoni ambayo wakubwa wameshindwa kutolea majibu
@@danielkanso heee kumbe ndio Ivo ndug nilikuwa sijui
Kweli, na akipatiwa nchi Lissu haichukui muda kuwa kama Libya.
Kwa umbaliii mmeanza kuviral, lakini kwa kutegemea Raia wa ndani hapa mungesubili saana.
Huyo ndo aina ya rais tunae mtaka anmaono sana
Mh.Lissu piga spana kila angle
😂😂😂 hawa bwana hawa sasa misaada ikisitishwa tunaoishi humu nchini ni sisi , njaa ikiwa kali kina lissu na wenzake wanakwea pipa ulaya km wakimbizi wa siasa wakt ss tunaumia hemu jamani hizi akili mda mwengine zisiwe zinapelekwa na watu wasiojitambua bc
Neti ndo nimeziona jamani kweli wakati zahabu zinachukuliwa kila siku eeeemungu tusaidie Tanzania
Huyu tundu ni shoga kweli na ni mchochezi
Mjinga wewe
TUNDU LISSU ni shoga ulifanya naye wapi ushoga. Hebu tuondokee hapa. Wewe utakuwa darasa la saba
Sema njaa ndizo zinasababisha mataifa kuingilia nchi ya mtu bila ridhaa ya rais ngumu ushauri jitahidi wakusaidie kukupa ushauri.
nadhani Sasa ssm wabaki na Tanzania na cdm wapewe Tanganyika
Makonda Ali wahi kusema siasa mbaya hailipi akiwasihi vijana
Mataifa ya nje pia yana interest zake hayatoi misaada bue
Yani mm binafusi kwatukio kubwa kama hili watu wangekuwa wana sikiliza hoja zawatu kumuhukumu mtu kwa matusi nilikuwa naomba vyombo vya usalama viwakamate innawezekana kunjambo wanjuwa kwanini wanabeza na kutukana jamani hamuoni mwendelezo kulichua tarifa ?
16:51
Nakuelewa rais wa mioyo ya watu.
Wazungu Wote ni wauwaji, Sasa hata useme Nini, Wanakuchora tu, Israel wanasaidiwa na Wamarekani kuwauwa Palestine, Hawana habari na Mambo ya Africa.
LISU RUKA HATA MBINGUNI HUWEZI SHIKA NCHI KWA UWONGO NA CHUKI RUDI ULAYA UKAMALIZIE VIDONGE VYAKO MASHOGA SISI HATAWAAMINI SABABU WANATUONA MANYANI TU KAMA WEWE 😢😢😢😢
Magufuli Sasa nimemuelewa, alikuwa sahihi
@@petersilas4234HUYU NI RAILA WA TZ AMEFILISIKA KISIASA AMEBAKISHA CHUKI TU
Raisi wa Tanzania hachaguliwi na maarifa ya nje wanyonyaji walioiba madini yetu, walifichukua nguvu zetu bure kupitia utumwa na kutumaliza kiteknolojia. Ni hatari kubwa sana kuwa na raisi kama huyu. Watanzania wote wanaelewa. Wabelgiji na marafiki zao wanampigia kampeni ila wachangiaji ni watanzania. Asubiri majibu. Kiingereza sio kipimo cha uelewa. Wewe ni kibaraka.
Kwa hiyo nyie mafisiemu ndio mnataka mtumalize kisa kuuza rasilimali zetu
Well done my president
He will never be. Alifitini tukaondolewa ufadhili wa REA 2015 mbona tulifanya vizuri zaidi. Magufuli was right. Siasa zinapoteza muda wa maendeleo.
Samia suruhu mastgo
Unatakiwa upigiwe debe na watanzania sio mamluki. Umechemsha.
Huuuuuuuuu, Huuuuuuuuu, mbona watu mnamatusi sana????
wapendwa Watanzania mnaopinga pendekezo la Lissu na Chadema kuichukulia hatua Kali serikali ya ccm, kwa kusababisha hali tuliyonayo kupoteza wapendwa wetu kwa vifo vya kulazimishwa, mnadhani serikali hi mpaka ingefanya jambo gani ambalo Kwa Hilo mngeumizwa nalo na ndipo kukubali kuwa ni tatizo linalostahili ccm kuondolewa?
Vyama vyote wake na makubaliano ya pamoja walete kibur la pamoja kutatua haya matikio tumecjoka kuishi kwa hofu
Wazungu ni rafiki na Samia We piga kelele tu hupati kitu 😂😂😂
Mzungu Hana urafki na Mwafrika wazungu ni wazalendo kwa inch zao usione kamawanampenda Kuna kitu Wana nufaika kwaajili ya mataifa yao
Nini kifanyake sasa
@@mzongekibwana838 Tusubiri huo Uchunguzi halafu ndo tutajua la kufanya lakini wazungu hawatatusaidia lolote ila watazidi kuchochea kama Vile Kongo wafrika wanapigana wao wanazoa dhabu madini na kadalika
Tunajua wakizuia misaada utarudi ulikoacha familia yako.
Atakwenda kwa mabwana zake lisu ni shoga eti
The Rock✌️
What rock he is pepet of Western People ,what a stupid demand that your country to be a international sanctions,Show me which country 100 percent follow democratic
Ndo shida ya kutegemea misaada
Piga pini manyumbu haya
✌️
✍️🎉❤🇹🇿😭🙏
Good reader
Hapana kwa hili simuungi tundu lisu mkono maana tusinyenyekeee kwa wazungu na kuonyesha kua wazungu ndio wanaweza kutuamlia ila tunataka ninyi viongozi wa Tanzania mpambanie nchi wanaowasumbua ni watanzania wanzenu mnashindwa kuwashughulikia mnakimbilia nje
Ndo apige pini samia asiende nje
@@PrinceHendry-hp8vvila unawaunga mkono watekaji na wauwaji sio?kama serikali ipo alafu watu wanauwawa tu uchunguzi miaka wewe hulioni hili Bora wawaweke vikwazo tu
@@rogersiddy wawekewe vikwazo serekali iache kiburi
@@PrinceHendry-hp8vv Uko sahihi kbs maana wanapata kiburi sana watu wanatekwa wao kimyaaaa ndio kwanza wanasema maigizo ujinga mtupu Bora awachongee kbs
well done and very well understood.