MWABUKUSI AWABANA POLISI ATOA ONYO KALI MBONA VIONGOZI WA CCM HAMWAKAMATI ACHENI UBAGUZI MARA MOJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • MWABUKUSI AWABANA POLISI ATOA ONYO KALI MBONA VIONGOZI WA CCM HAMWAKAMATI ACHENI UBAGUZI MARA MOJA
    #mwabukusi #tundulissu #chadema

ความคิดเห็น • 37

  • @BenyKajiba
    @BenyKajiba 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu aingilie Kati bila vyama vingi tungeishi Kwa shida tuenderee kuvitia moyo

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kitendo Cha kumpiga Tundu Lisu ni kosa kubwa kufuatia Hali yake. Hao polisi washtakiwe kwa majina yao na waeleze sababu za kufanya hivo

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 2 หลายเดือนก่อน +2

    Msajili hafai ajiuzulu anayAona ya chadema ya ccm hayaon hatunamsajili wa vyam Tanzania tuna kibaka wa ccm

  • @JuliasMwita-c2l
    @JuliasMwita-c2l 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeelewa kitu.

  • @samwelimwalindu3735
    @samwelimwalindu3735 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania kweli hatutaki wazalendo wakiwa hivyo wanaitwa mihemuko chapa kazi mwabukusi

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii TLS ya sasa huenda ikatoa elimu bora ya uraia kwa Watanzania kujielewa na namna bora ya kupata haki hasa katika chaguzi mbalimbali. Maana Kuna viongozi wamejifanya kota pini ya baiskeli kutolewa kwake ni Kwa nyundo.

  • @GidionKusupa
    @GidionKusupa 2 หลายเดือนก่อน

    Ni vema malidhiano Sheria ifuate mkondo wake hoja kandamizi ziachwe

  • @KuzenzaSangija
    @KuzenzaSangija 2 หลายเดือนก่อน

    Sahihi kaka, ujumbe mzuri sana huu!

    • @JoyceKabula-in1sh
      @JoyceKabula-in1sh 2 หลายเดือนก่อน

      Dhamama ya mini kwani mmewakuta na silaha ccm wanajizalilisha wananchi hatuwaelewi kabisa

    • @KuzenzaSangija
      @KuzenzaSangija 2 หลายเดือนก่อน

      @@JoyceKabula-in1sh hawa watu ni wadhalimu sana na hawatumii akili vizuri wanatamani kuabudiwa na kuona vyama pinzani vikipuuzwa kitu ambacho hakiwezekani kamwe

  • @JacobWaryoba
    @JacobWaryoba 2 หลายเดือนก่อน

    Mmi nadhani kama walimpiga tundu lisu ashitakiwe polisi aliyetowa agizo la. Kupiga bila. Sababu hata yeye akistafu akrudi urahiani ataishije na. Watu ama. Ataenda kuishi nje ya tz

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @PetrosMlengesa-dg1ih
    @PetrosMlengesa-dg1ih 2 หลายเดือนก่อน

    Kama katiba haitafuatwa basi tutegemee kukimbia ovyo

  • @JacobWaryoba
    @JacobWaryoba 2 หลายเดือนก่อน

    Polisi wanatumika kisiasa mbona viongozi wa ccm. Awashikwi. Ama. Wanapewa. Maelekezo. Pili. Awajapata maelekezo. Kutoka kwa. Wazir. Wa. Mambo ya ndani ama. Ni. Kutoeshimu haki za binadamu

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 2 หลายเดือนก่อน

    Chadema ndio chama pendwa tz ndio mana wana angaika ili kukizima au kukiua lkn Mungu mkubwa sana kliko ccm.

  • @charlesngalison7554
    @charlesngalison7554 2 หลายเดือนก่อน

    TLS ya sasa iko kazini. Waelimishe wa TZ.

  • @nelsonmwavipa9761
    @nelsonmwavipa9761 2 หลายเดือนก่อน

    Niushamba na unyanyasaji kwa watu wanaopendwa na wananchi walio wengi kama unajiamini na uongozi wako wasiwasi wanini.

  • @ElizabethJulius-s6i
    @ElizabethJulius-s6i 2 หลายเดือนก่อน

    walio kamatwa ni watanzania wenye mapenzi mema na Taifa kwa pamoja,hvyo vitendo hvi vimewavunja moyo ,na iman watanzania.kwa upendo wa MUNGU wa rehema,waachiliwe kabisa hawana kosa.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 หลายเดือนก่อน

    Nadhani watanganyika mtangaze kutokuwa na IMANI NA MSAJILI WA VYAMA. Ajuhuzuru kwa sababu ni mpendeleaji. Kwanza kusingekywa na vyama vingi ungewasajili nani? Kwa kusema kweli huyu mi mpendeleaji mkubwa sijui kwa kila kilifanyika mwaka 2020 sijui kwa nini vyama bado wanampa huyo kuwa msajili wa vyama.

  • @elizabethsimba9743
    @elizabethsimba9743 2 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi haina usawa , ila CCM ndiyo ina kila haki.

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 2 หลายเดือนก่อน

    Police washikiwe Kwa kosa la kuvunja sheria na katiba ya nchi inayoruhusu watu kukusanyika na maandamano na kufidia gharama Kwa Kila mtu aliyehudhuria pia gharama ya maandalizi ya kongamano

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa

  • @salummsigiti6615
    @salummsigiti6615 2 หลายเดือนก่อน

    Ile kauli ya kiongozi wa uvccm kuwa polisi wasisumbuke kuwatafuta wapinzani wakipotea, polisi mlikuwa hamjaairiwa? Ndio shida ya kuwa na jeshi la machawa. Mlaaniwe pamoja na hiyo serikali yenu.

  • @HemedKiama
    @HemedKiama 2 หลายเดือนก่อน

    Samia suluhu kama upo serious,igp na huyo awadh wafute kazi!....! Wamekudhalilisha sana la sivyo tutajua umewatuma 2025utaona hasira za watz!... 2025

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 หลายเดือนก่อน

    Clemence,husiongozwe na chuki kama unalipenda taifa lako,kosoa penye kosa,unga mkono penye haki,huko ndo kulijenga na kulinda haki ya kila raia,ndoyo maana nampongeza Dr,Nchimbi hangeweza kukaa kimya huyu analipenda taifa lake.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 2 หลายเดือนก่อน

    Umekuwa,kiongozi mkubwa mihemko itakupoza utaonekana kituko sasa

    • @janethpallangyo3855
      @janethpallangyo3855 2 หลายเดือนก่อน

      Unaumia au

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo alitakiwa akae kimya?

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu jamaa mbna Hana point anakuga na shida Gani jamani hili linyiha la mbozi huko

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@SmilingFlowerBouquet-hs2hvHuyo jamaa ni hamnazo kichwani Zero Sifuri halafu hajitambuwi, angejifahamu asingeli comment kbsaa !!!! Hajitambuwi siku zote huyo.

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndiyo kituko sasa !!!!! ungejitambuwa huna akiri usinge comment kbsaa ni bora wewe kukaa kimya !!!! Siku zote unaonyesha ukichaa wako tu.