MAKONDA WEWE UKO KAMA CHIFU MKWAWA AU MACHIFU WENGINE WALOPIGANA NA MABEBERU , WEWE UNAJITOWA SADAKA KWA SABABU YA BEST GENERATION NO MATER HOW EVIL WANAUMIYA NA KUKUWEKEA VIKWAZO , LKN BADO UMESIMAMA NA WATANZANIA WEWE KAMA SADAM UKO TAYARI HATA KUNYONGWA KWA KUSEMA UKWELI NA KUWATETEA WATANZANIA , BIG UP BRO , BIG UP KWA BRO MUSIBA , BIG UP KWA BRO MWAIPOPO NYINI NI MIAMBA KWELI KWELI , ISIYOLEGALEGA🎉
Mzee makonda tunaomba barabara ya kwenda simanjiro kupitia kwa murombo, oljoro, mpaka machimbo ya mchanga, huku kuna mzunguko mkubwa wa kiuchumi mazao, mchanga n. K, lakini imekua barabara mbaya kupita barabara zote za mkoa wa Arusha, Hasa kipande ambacho kipo kwenye mkoa wako wa Arusha. Ukiachia kile ambacho kipo manyara. Piga kazi Mzee, kazi nzuri aijifichi utaeleweka tu... Hata na wasio kuelewa. Wape mda tu. Hongera kazi nzuri.
Something ambayo watu wengi hawajui ni the fact kuwa tundu lissu si mwanasiasa bali ni mwanaharakati and its something that inamla in and out without him knowing
"Siasa kazi nzuri na kazi hatari kuliko kazi zote duniani!!..".... Wote makonda na lisu midomo iko wazi, wameachama,..yani miguvu na uongo tu!!...mikakati inayoweza kutusaidia sote kwa ujumla, acheni kutudanganya, eti "muache uyo mama aje aneleze shida zake!!!"" Sie wengine tusioweza kukukutana na viongoz tunasaidiwaje!!!!..????
MWAMBIE MWANANGU LISU NI KOROFI TU. HANA LOLOTE HATAKIWI KUSEMA ASIYO NA UHAKIKA NALO KUONGEA KWA KUHIC PACPO NA UHAKIKA NI DHAMBI PUMZIKA KWA AMANI JPM CHAPA KAZI MWANANGU MAKONDA WW NI JEMBE AFRICA
TUNAMUELEWA SANA TUNASUBIRI UFIKE WAKATI WAKE KUONGOZA ZAID YA PALE ANAPOONGOZA. NIMEKUWA NIKISEMA KAMA AKIENDELEA HIVI ATANIPONYA MACHUNGU YA KUMKOSA MAGUFULI
Bado hujajibu,Mungu akupe hekima zaid juu ya kujibu hz hoja,wewe ndo unatakiwa umpeleke lisu mahakaman kwa kusema uongo,lisu kiuelewa yuko juu yako mara mia mbili hata kama ni mchanga kisiasa,kuna wanasiasa wangap wa wakongwe lakin hawana hoja za msng zaid ya porojo,kwann serikal isitoe majibu juu ya kupgwa risas kwa lisu,hapakuwa na cctv kamera?
@Chazmusic_official SIO VITU VYA AJABU NDG TOKA LITOKEE HILI TATUZO HUU NI MWAKA WA NGAPI?NA YEYE NI MWANASHERIA ANASHINDIWA NN KUWABURUZA MAHAKAMANI?UKIONA HIVYO HANA UHAKIKA NA ANACHO KIONGEA AU ADUI YAKE YUKO NDANI YA CHAMA CHAKE,PIA POLIC SIO KAMA WAMEKAA KIMIYA WAMECHUNGUZA NA HUENDA ANAO WASHUKU SIO WATUHUMIWA.WANGESHA KAMATWA PIA USIINGIZE SERIKALI NA CCM.AFUNGUE KESI SIO KILA CKU ANARUDIA MATAPISHI.
Piga kazi Man of God Paul Makonda Mungu wetu Mwema yu pamoja nawe, maadui zako waaibike ktk jina Takatifu la YESU Amen. Blessings 🙏🙏🙏
Makonda mungu akupe maisha malefu.
Respect Kiongozi🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Makonda safi sana kwa majibu mazuri. Nakukubali sana kaka.
Makonda nakukubali sanaaa 🔥🔥🔥🔥🔥 jembe hao wapigakele hawakosekani kama tundurisu anazungumza kweli siaende mahakamani
dah kwakwel vijana wa magu mpo vizuri
Dah makonda anaakili na hekima
Makonda Mungu akurinde.❤
Huyu jamaa anajua sana siasa 🤣🤣🤣🤣🤣
MAKONDA WEWE UKO KAMA CHIFU MKWAWA AU MACHIFU WENGINE WALOPIGANA NA MABEBERU , WEWE UNAJITOWA SADAKA KWA SABABU YA BEST GENERATION NO MATER HOW EVIL WANAUMIYA NA KUKUWEKEA VIKWAZO , LKN BADO UMESIMAMA NA WATANZANIA WEWE KAMA SADAM UKO TAYARI HATA KUNYONGWA KWA KUSEMA UKWELI NA KUWATETEA WATANZANIA , BIG UP BRO , BIG UP KWA BRO MUSIBA , BIG UP KWA BRO MWAIPOPO NYINI NI MIAMBA KWELI KWELI , ISIYOLEGALEGA🎉
Makonda anatakiwa kumpeleka Lissu mahakamani, sio kumjibu hivi hivi😂😂😂
Kwann Lissu asiende mahakamani kufungua Kesi kwa makonda pia?
Lissu ni mjinga siasa haijui mdo tu
Kweli magufuli alikuwa anachaguwa majembe
Mungu angekupa upendeleo siku moja uongoze talifa letu ukiwa rais wa nchi yetu unahekima jembe langu nakukubali sana makonda
Makonda ubarikiwe sana
Mungu akulinde sana
Wewe baba
Daa
Mzee makonda tunaomba barabara ya kwenda simanjiro kupitia kwa murombo, oljoro, mpaka machimbo ya mchanga, huku kuna mzunguko mkubwa wa kiuchumi mazao, mchanga n. K, lakini imekua barabara mbaya kupita barabara zote za mkoa wa Arusha, Hasa kipande ambacho kipo kwenye mkoa wako wa Arusha. Ukiachia kile ambacho kipo manyara.
Piga kazi Mzee, kazi nzuri aijifichi utaeleweka tu... Hata na wasio kuelewa. Wape mda tu.
Hongera kazi nzuri.
Piga kazi makonda.achana na vichaa
Makonda wewe ni kiongozi mzuri mwadilifu mchapa kazi...piga kazi kijana wetu mcha Mungu
Kwanini asifungue kesi😮 Dereva wake ni mhusika mkubwa😢
Ushahidi unao au unaropoka wee bint
Siku baba yako akikupiga usiku ukavunjwa mguu amka asubuhi peleka mashtaka kwa baba yako huyo huyo....uone moto wake
Makonda Oyeeee
namna hiii aijapata tokea hii imetoka juu!! hekima direct for God.!! Jesus
Moyo wa mtu uko ndani.huwezi mwona na kutoa maamuzi. Tuache yote.majibu ni mbeleni
He was a good man kwko kwa kuwa alikutumia wewe kuzulumu haki ya watu ya kuishi, Mungu akusamehe kbs
Alikuua?
Apana hana shida yule ni msomi hawezikukurupuka alikuwa anakamilisha tafiti zake.
Kwani tanzania hakuna serekali na rais majaji na police kwanini wasifanye uchunguzi kwanini wanaogopa why
Engelikuwa ma RC wote kama wewe basi nchi nzima watu wangepata haki zao..lakini ..
Kama kafanyiwa ivi makonda mtuhumiwa angekamatwa chap
Something ambayo watu wengi hawajui ni the fact kuwa tundu lissu si mwanasiasa bali ni mwanaharakati and its something that inamla in and out without him knowing
Yes JPM he was a good man
Malipo ni hapahapa dunian damu ya mtu haiwez kumwagika bure Mungu ajuaye sirin ndo anajua yote yaliyotekea,haya madaraka yanamwsho chn ya jua
Wantishi nanyiee mko na mambo yenu bana
Mbona anaulizwa vingine anajibu vingine
Twambie ulitaka ajibuje?
This days watu wengi huficha maovu yao kwa kumtaja saaana Mungu, walisema Wakati wa mungu ni wakati sahihi
Mbona mm naona aibu kumskiliza huyu jamaa
Time will tell!!
Jibu.maaswàli
Acha.maele zo.
KWANI HUONI AKIJUBU?AU UNASEMA TU KWA CHUKI?
Hujielewi
investigation🤭
Mbona aujajibu swali ila unajigamba unaogea utumbo 2 huna pont
Hayo ni maoni yako,kama unaona boss watu anaongea hiyo
Hujaelewa au
"Siasa kazi nzuri na kazi hatari kuliko kazi zote duniani!!..".... Wote makonda na lisu midomo iko wazi, wameachama,..yani miguvu na uongo tu!!...mikakati inayoweza kutusaidia sote kwa ujumla, acheni kutudanganya, eti "muache uyo mama aje aneleze shida zake!!!"" Sie wengine tusioweza kukukutana na viongoz tunasaidiwaje!!!!..????
makonda is a true example of when the devil comes in flesh
Mahakama hizi hizi au mahakama gani unaongelea??
😂😂 Magufuli 😂😂😂
Yoote tuseme ila Mungu ndiye anajua
Lissu mwenyewe achukue hatua,ashitaki na mashahidi nk
Mungu wa Lissu VS miungu ya Makonda
MWAMBIE MWANANGU LISU NI KOROFI TU. HANA LOLOTE HATAKIWI KUSEMA ASIYO NA UHAKIKA NALO KUONGEA KWA KUHIC PACPO NA UHAKIKA NI DHAMBI PUMZIKA KWA AMANI JPM CHAPA KAZI MWANANGU MAKONDA WW NI JEMBE AFRICA
Makonda kapuyanga sana
Utakua ubongo wako umeathirika na Ugonjwa wa physiolwpsianise😂😂😂
Ni watu wachache sana wanaweza ckuelewa haya
Lissu ni chizi😢😢
Chizi babaako
Wew ni tahila
Wewe ndo chizi😂
Lissu kanyooka
Kapinda BANA 😢😢😢😢😢😢
How
Sasa unasema ni kaka yako then unasema uende milembe aisee makonda ni miyayusho
Mwamba makonda
TUNAMUELEWA SANA TUNASUBIRI UFIKE WAKATI WAKE KUONGOZA ZAID YA PALE ANAPOONGOZA.
NIMEKUWA NIKISEMA KAMA AKIENDELEA HIVI ATANIPONYA MACHUNGU YA KUMKOSA MAGUFULI
Bado sana!!.
Bado hujajibu,Mungu akupe hekima zaid juu ya kujibu hz hoja,wewe ndo unatakiwa umpeleke lisu mahakaman kwa kusema uongo,lisu kiuelewa yuko juu yako mara mia mbili hata kama ni mchanga kisiasa,kuna wanasiasa wangap wa wakongwe lakin hawana hoja za msng zaid ya porojo,kwann serikal isitoe majibu juu ya kupgwa risas kwa lisu,hapakuwa na cctv kamera?
Lissu pia anatakiwa kumpeleka Makonda coz yeye ndio aliesema ana ushahidi wote kutoka kwenye vyanzo vyake,, so Lissu ndo anatakiwa kwenda mahakamani!
@@samuelzachariah3984Sasa ata akimpeleka Serikali yenyewe imekaa ki Ccm unafikiri atapatq haki yoyote hii Bongo asiyeijua nani
Duu makanda 😂😂😂😂😂😂
Wewe subili ni suala lamudatu uwongo unamwisho
Sure
MUONGO NI LISU KWASABABU ANAHAKI YA KUSHITAKI KWANN ANAPIGA KELELE ZISIZO NA MWISHO?
Uongo gani upo hapo sasa? Au wew muongo hata kiswahili huelewi😂😂😂
@@ZenaUsangiSerrikali yenyewe imekaa ki Ccm hata akipeleka Mahakamani unafikiri atapata nini sasa mnatetea vitu vya ajabu wabongo
@Chazmusic_official SIO VITU VYA AJABU NDG TOKA LITOKEE HILI TATUZO HUU NI MWAKA WA NGAPI?NA YEYE NI MWANASHERIA ANASHINDIWA NN KUWABURUZA MAHAKAMANI?UKIONA HIVYO HANA UHAKIKA NA ANACHO KIONGEA AU ADUI YAKE YUKO NDANI YA CHAMA CHAKE,PIA POLIC SIO KAMA WAMEKAA KIMIYA WAMECHUNGUZA NA HUENDA ANAO WASHUKU SIO WATUHUMIWA.WANGESHA KAMATWA PIA USIINGIZE SERIKALI NA CCM.AFUNGUE KESI SIO KILA CKU ANARUDIA MATAPISHI.
Difficult qns bt simple answers..useless
Ulitaka majibu gan