Ushauri mzuri mno, kila mtu ana baraka yake na hata kama itachukua muda gani ni lazima kuifikia bora kutojikatia tamaa. Kile unacho azimia moyoni ndicho kinatokea. Mungu yupo ukimwamini Mungu anakupa elimu ya rohoni. Mungu ndiye anayepeana akili. Sitakata tamaa nina Yesu. Asante sana kwa mafundisho ya kutusongesha mbele.
Asante sana mm hapa nilikuwa nimekata tamaa nikasema mungu ameniacha ndoa nilikata tamaaa niliaply kurudi kazini uwarabuni kila ninapo fanya juhudi za kurudi mambo haendi sawa imepita sasa miaka miwili hakuna majibu kumbe kuna seco
Mafundisho safi kabisa! Lakini hapo kwenye swala la ndoa haipo sawa kabisa, naomba rudia maelekezo ya Mungu kuhusu ndoa-hakuna wakuwatengasha bali kifo! Mtumishi Roho wa Mungu akufunulie..I say hii safari ya wokovu ni binafsi
Mtumishi ninakushukuru sana kwa neno pamoja na yote niliyopitia Mahakamani miaka kumi na tano mpaka sasa sijakatamaa niombee bado napambana nipate Haki pamoja na mazingira ya Rushwa kunitesa na kubadilisha Mawakili kila leo baada ya kugundua hujuma zao
Kaka yangu minilizani uliachana na mke wako kumbe bado aujaowa ni mwanamke uliyempenda ila aukumuoa, ulivyo handika kwenye title utazani ni mke halali kisha mkaachana, lakini kwayote Mungu ni mwema aliyekuponya sifa ni kwake.
@@Techer-AllenSalufu-cv1ubhayupo kibi ashara. Mwambie mungu akupe kuona wokovu wakweli na bandia akuna mtu kama cassian uko tanzania 🇹🇿 anaye waubiria watu kuusu siku za mwisho na number ya mpinga christo next time kabla yakujibia vitu ao kitu usichokijua fanya utafiti naumuite mungu hakuongoze tuko kwenye siku mbaya sana
It's happening to me right now servant of God, pray for me 🙏
Mungu akupiganie akutie nguvu iposiku utashinda
Asante mtumishi,story yako inanitia nguvu, siwezi kata tamaa kabisa haijalishi nini ntakutana nayo maishani , ntapigana hadi mwisho💖💖🙏
Amina Mtumishi wa Mungu barikiwa sana wakati wowote usidharau masikini diye tajiri wa kesho barikiwa ushuhuda mzuri sana ❤❤❤❤❤
Asante Yesu kwa hili,umenijibu kwa wakati unaofaa,Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Ushauri mzuri mno, kila mtu ana baraka yake na hata kama itachukua muda gani ni lazima kuifikia bora kutojikatia tamaa. Kile unacho azimia moyoni ndicho kinatokea.
Mungu yupo ukimwamini Mungu anakupa elimu ya rohoni. Mungu ndiye anayepeana akili. Sitakata tamaa nina Yesu.
Asante sana kwa mafundisho ya kutusongesha mbele.
Amina
Tunashukuru Mtumishi wa Mungu kwa kututia Moyo,Hakuna kukata Tamaa in Jesus name.Amen
Amina mtumishi kwa maneno mazuri ya kututiya moyo maana hii ipo kwa wachache sana na MNGU akubariki 🙏
Shalom shalom servant of GOD
..thanks for beautiful courage in JESUS ooh keep shining
Asante sana mm hapa nilikuwa nimekata tamaa nikasema mungu ameniacha ndoa nilikata tamaaa niliaply kurudi kazini uwarabuni kila ninapo fanya juhudi za kurudi mambo haendi sawa imepita sasa miaka miwili hakuna majibu kumbe kuna seco
Mungu anza na herufi kubwa
Amina Baba Mungu akupe miaka mingi kweli hofu mbaya ni yakuikataa
HALELUYA SIFA NA UTUKUFU KWA MUNGU AMEN UBARIKIWE
J8
Mtumishi Wa Mungu aliye Hai ubarikiwe Kwa kutumia moyo tuliopitia Kwa mapito hayo umenifanya niwe mtu Wa kujiamin Tena ameeen
AMEN
Nimefundishika kitu hapa mungu akubariki mtumishi wa mungu
Ameeen
Amen mtumish cassian naona. Upo home petu
Yessss
Amen mtumishi
Alléluia alléluia alléluia alléluia
Yes true story yako nilifatilia aki mpaka mwisho story yako inaguza Sana mtumishi
Barikiwa mtumishi wa Bwana. Usiogope, usijikatie tamaa.
UBARIKIWE
Mafundisho safi kabisa! Lakini hapo kwenye swala la ndoa haipo sawa kabisa, naomba rudia maelekezo ya Mungu kuhusu ndoa-hakuna wakuwatengasha bali kifo! Mtumishi Roho wa Mungu akufunulie..I say hii safari ya wokovu ni binafsi
Amina umetutia moyo
Mtumishi ninakushukuru sana kwa neno pamoja na yote niliyopitia Mahakamani miaka kumi na tano mpaka sasa sijakatamaa niombee bado napambana nipate Haki pamoja na mazingira ya Rushwa kunitesa na kubadilisha Mawakili kila leo baada ya kugundua hujuma zao
KWAIYO UMEOWA TENA AU ILIKUWAJE MTUMISHI
Yule alikuwa mchumba ,na alikuwa hajaokoka
13:14 13:16
Hunamahanisha mwanamke Haolewe mara 7 kupata mwenza wake
Kaka yangu minilizani uliachana na mke wako kumbe bado aujaowa ni mwanamke uliyempenda ila aukumuoa, ulivyo handika kwenye title utazani ni mke halali kisha mkaachana, lakini kwayote Mungu ni mwema aliyekuponya sifa ni kwake.
Mtumishi gani Muongo hivi, Title iko kiuongo Sana!!! Kwahiyo yupo kibiashara Sana U tube