NABII ANAE UWA WATU KILA MKUTANO KILA ANAPO FIKA ANAUWA EV PASCHAL CSSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 109

  • @ShallyCyttra
    @ShallyCyttra 8 วันที่ผ่านมา +6

    Cassian, i love you, because you always tell the truth, He who has ears, let him hear, the word of God says

  • @PatriciaSidi-c4w
    @PatriciaSidi-c4w 4 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa Mungu Cassian usichoke waambie ukweli walio pofushwa macho yao na shetani wasione kinacho endelea, MUNGU AKUTIE NGUVU NA UZIDI KUSONGA MBELE NA MUNGU, barikiwa sana na Bwana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Reginamueninzuki
    @Reginamueninzuki 9 วันที่ผ่านมา +2

    Barikiwa sana nyakati ni za mwisho

  • @ElishaFukamiye
    @ElishaFukamiye 8 วันที่ผ่านมา +1

    Naukubali mwendelezo wa huduma Yako. Nilianza kukufaham sehem iitwayo mhoro njia ya kwenda mtwara. Mungu azidi kukutumia zaid.

  • @thekenyancomment254
    @thekenyancomment254 8 วันที่ผ่านมา +1

    Akianza ungedhania alikuwa wa kweli.Lakini baadaye ukweli ulijionesha wazi.Ahsante mtumishi wa Mungu kwa kuendelea kutufungua macho.

  • @JanethJaneth-w5i
    @JanethJaneth-w5i 6 วันที่ผ่านมา +1

    Unasema ukweli kabisa kaka mungu akubarikisana

  • @StephenOnyango-b1k
    @StephenOnyango-b1k 8 วันที่ผ่านมา +4

    The mission of this prophet as he has been minister is to prepare the way for the Messiah,1(he has been rebuking sin globally,,2 preaching the Gospel of eternity of the saints in the kingdom of Jehova Yahweh's himself) what I know, I was deaf ,and dump and now , I'm freed from the bondage of Satan,by now I am preaching and leading people to Chris the Messiah!!?

    • @christinemwakio7870
      @christinemwakio7870 7 วันที่ผ่านมา +1

      Yes awafungue macho mnapo onyeshwa njia... na tujiulize sote atakapo simama mbele yetu huyu Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai tutamwambia nini, je injili ya kweli tuliisikiza ama tulijihesabia haki na kujiona wema kuliko wengine.... kama ulipo upo sawa usibishe endelea mbele, waliobeba masikio ya kweli wataisikiza kweli, Cassian we love you 🇰🇪
      Mungu anasema Kisumu ilipeanwa kwa shetani kitambo, ila wanavyo jitetea ndugu zetu ata utashindwa nan atatusikiliza kwa matengenezo ili kweli isimame... Mungu atusaidie sana😢

  • @Lulaboytz
    @Lulaboytz 7 วันที่ผ่านมา

    Asante mtumishi kwa uduma

  • @noelmwenda406
    @noelmwenda406 2 วันที่ผ่านมา

    kasian God bless you

  • @MagrethMfafa-c1b
    @MagrethMfafa-c1b วันที่ผ่านมา

    ameeni ❤❤❤❤❤🎉

  • @erickrao
    @erickrao 8 วันที่ผ่านมา +1

    Amen casian wapige sipana

  • @josephinekivuva9128
    @josephinekivuva9128 8 วันที่ผ่านมา

    Vry true.Stay blessed mchungaji

  • @christineowino2211
    @christineowino2211 8 วันที่ผ่านมา

    Cassian,you are very r right.Tell them so that there will be no more regrets.Those with ears let them hear.Those with eyes are not told to open their eyes and see .

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 8 วันที่ผ่านมา +2

    Cassian uko sawa

  • @SaraAa-m9r
    @SaraAa-m9r 9 วันที่ผ่านมา +1

    Amen amen be blessed pastor 🙏

  • @msafirimwenetombwe8819
    @msafirimwenetombwe8819 7 วันที่ผ่านมา

    Kuna Watu Dhambi Zao Zatangulia Hukumuni Ndio Hao Unao Wazungumzia Ubarikiwe Ndugu Cassino

  • @emilyrissling9703
    @emilyrissling9703 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenye Masikio na asikie vile Roho analiambia kanisa, mkristo, amka,

  • @man-kmweene7827
    @man-kmweene7827 8 วันที่ผ่านมา

    Sahihi kabisa Mtumishi 🎉

  • @FikiriMwamlima-hm9ft
    @FikiriMwamlima-hm9ft 8 วันที่ผ่านมา

    Hata yesu alisema, hajui hata nyakati

  • @DeonisBihopho
    @DeonisBihopho 7 วันที่ผ่านมา +2

    Michael hujitambui wewe ndio unatakiwa uombewe casian anongea ukweli na anakemea dhambi kwani Kuna watumishi wanaenda kinyume na YESU hivyo linahitaji jicho la Rohoni kuwatambua

  • @vianusbahatitz
    @vianusbahatitz 9 วันที่ผ่านมา +2

    Hakika yeye ajidhaniaye amesimama na aangalie asianguke. Katika hizi siku za mwisho tuwe makini. Njia mojawapo ya kuwatambua walio wa YESU ni kupitia matendo yao

  • @nicky2543
    @nicky2543 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ezekiel pia ni nabii wa uongo anamtumikia shetani

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mchawi huyu, wanafunga watu macho, fikira na mawazo... mtu aliye na akili timamu akisikia vile anasema juu ya korona tu... utaondoka na usiangalie nyuma.
    Kinacho sababisha haya yote nikutokaa kwa Neno..... ambalo neno linasema mkikaa katika neno mtaijua kweli nyo kweli itawaweka huru.
    Asante kwa Neno mtumishi. Tuwe macho sana.

    • @AmaniSamweli-r6d
      @AmaniSamweli-r6d 7 วันที่ผ่านมา

      @@MGALILAYABillionaire kuna wachawi wangapi wameponya vipofu na viwete? Jamani kwani wewe ndugu yangu inamaana Cynthia wanjiku humjui? Mbona huyo mr mandevu anahubiri injili aliyo iamuru yesu kukemea dhambi

    • @OdhiamboLazaro-y8o
      @OdhiamboLazaro-y8o 7 วันที่ผ่านมา

      Kama ni mchawi mbona anahubiria watu kutubu kwa maana unyakuo umekaribia na achukui pesa za watu kama manabii wengine,wewe ni miongoni mwa wanaopotea.

  • @ShallyCyttra
    @ShallyCyttra 8 วันที่ผ่านมา +3

    This man who calls himself a prophet, I used to go to his church, the Lord revealed to me and showed me that he was worshipping snakes, I went to tell him what the Lord revealed to me about him, he threw me out like a dog and threatened me If I try to tell people about that dream, they will kill me,😢😢I came out crying and wondered where I had gone wrong, and I wanted him to tell me about that dream, but he scolded me. Since that day, I have never gone to that church. That's when I knew he was not a servant. Oh my God, another thing I saw there in that church, supposedly someone is told to repent, you have to cry, you have to crawl down there, walking like a snake, then you say all your bad things. What you did since you were little, even though your parents sent you there, you refused, they said you had to talk to dirty water, and if you don't do that, you have denied that sin of yours, wow, I saw a lot of it. Amazingly, I can't talk about it all here, but I thank God that He brought me out of there and I still continue to serve God. I say thank God that I have reasons to glorify and exalt you always.😢

    • @AmaniSamweli-r6d
      @AmaniSamweli-r6d 8 วันที่ผ่านมา +1

      Kama mungu alikuonyesha uheri wewe kuliko wanao hisi tu.maana hata yesu alipo jidhihirisha walisema wewe ni muongo maana wajishudia mwenyewe

    • @StephanoNtahondi-v5c
      @StephanoNtahondi-v5c 6 วันที่ผ่านมา

      I have got you man of God

  • @KamwanaMwenje
    @KamwanaMwenje 8 วันที่ผ่านมา +1

    Bona ua unasahau pastor nganga,manyuru na Ezakiel

  • @UPAKOMINISTRYTV
    @UPAKOMINISTRYTV 7 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂casian cassian we ndio mpinga kristo wa kwaza wewe sikubaliane nawewe hata kidogo hata hata ebu wacha kuzusha watu acha kuzusha watu

    • @AmaniSamweli-r6d
      @AmaniSamweli-r6d 7 วันที่ผ่านมา

      @@UPAKOMINISTRYTV mungu akubariki mtumishi mimi niliangalia ule wimbo wa cassian.dunia kwaheri nkashangaa kama kaacha ushetani zile ishara za vidole na manguo yale angeona kama mavi asingeonyesha hata vile bidole sasa je naye kwa hilo tumwite mtume wa uwongo

    • @UPAKOMINISTRYTV
      @UPAKOMINISTRYTV 7 วันที่ผ่านมา

      @AmaniSamweli-r6d mtu wa Mungu iko hivi uyu ndio mpinga kristo wa wakwaza yaaani mtu anampiga mtu vita hivi sasaiv nikimumuuliza anajua maana ya utumishi anaweza kunambia kweli mababa zetu wakiroho hawa wametutoa mbali sana kwanza kabisa namweshimu kuna siku moja alisema mtumishi flani ambae kuwa ni freemason na ni mtu nilikuwa natumika chini yake wakat nakuja kwake mimi nilikuwa nataka kujiunga freemason kwa wakati huo na ilikuwa tayar nataka kuaza proses lakini siku tu nimekaa nikajikuta nimeenda kanisan kwake kwa mtumishi huyo ni kama vile haikuwa akili yangu mtumishi mimi nilikuwaga siendag kanisani lakn sku iyo nijilikuta nimeenda kwa nabii uyo na niliyoingia tu nikaambiwa wewe kuna pahali unaenda kupotea ambapo sasa me ilikuwaga siri yangu moyoni mwangu nilianguka mara 3 mimi before sjaenda nilikuwaga natamani kuongia uko juu ya kupata Mali na katika mda mwingne nilikuwa natamananigi kumwaga damu lakin uyo mtumishi alinisaidia nikarudi katika hali yangu ya kawaida na ile roho ikanitoka na leo hii mimi ni mtumishi wa Mungu mda mwingne unaweza kupata dhambi bila kujua me nimefuatilia amemsema baba yangu vibaya hivi giza gani linaweza kuondoa giza jingine pascal usipotubu motoni utaenda nakuambia tu mapema bado una muda wa kurejea kutubu me nimekuambia hilo mapema kua unachofanya sio sawa mimi kama mwili wa kristo basi acha acha acha acha waheshimu baba zetu wacha kuwasema vibaya my friend

    • @UPAKOMINISTRYTV
      @UPAKOMINISTRYTV 7 วันที่ผ่านมา

      Me nadhani cassian wacha sarakasi kingine wewe huna wito ila kinachokupa wewe uwe unajiita mtumishi ni yale uliokumbana nayo uko na sasa wewe ukawa unatamani kumtumkia Mungu lakini wewe huna wito umejitolea kufanya tu kazi but unakosea wacha mihemko wito sio kila mtu anaitwa no waitwao ni wachache sana na hao utawatambua kwa matendo tu kuw na ishara hizi zitaambatana nao kibali uponyaji na Miujiza we katika leo hii watu wanateseka na nguvu za giza we uko kazi kuponda watumishi tu ndio kazi yako mind you business fanya chako wachana na watumishi we huwez kuhukumu ata kama mtumishi ana makosa unajua agano lake na Mungu wewe

  • @davidmihambo9764
    @davidmihambo9764 9 วันที่ผ่านมา

    Harakati zako mtumishi nazifananisha na jamaa mmoja wa nigeria anaitwa Jay Israel .

  • @LilianJoshua-kj8ei
    @LilianJoshua-kj8ei 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa, ni shwetani kabisa

  • @stellatemu2458
    @stellatemu2458 8 วันที่ผ่านมา

    Injili ya malaika 3

  • @OdhiamboLazaro-y8o
    @OdhiamboLazaro-y8o 9 วันที่ผ่านมา

    Umefika mbali casiani,usiende kwa kuhisi bali nenda kwa kuongozwa na Roho wa Mungu.

    • @robertchazya2351
      @robertchazya2351 9 วันที่ผ่านมา +1

      Wew ndo kiazi

    • @paschalcassianoriginal9411
      @paschalcassianoriginal9411  9 วันที่ผ่านมา +1

      Kumbe NI NABII washetani MIMI nilikuwa na juwa ni kichaa TU kama vichaa wenzie wanao mwamini na kumfuata vichaa WOTE huwa ukiwagusa KWA baba Yao ALIE WAPA ukichaa hasra zo huwaka SANA

    • @AmaniSamweli-r6d
      @AmaniSamweli-r6d 8 วันที่ผ่านมา

      Hata yesu aliambiwa ana wazimu na ana pepo tena nimsamalia YOHANA 10:20

    • @JacklineMroso-gy6ej
      @JacklineMroso-gy6ej 8 วันที่ผ่านมา +1

      Matendo ya mwili ni dhahiri.Galatia :5-19-20

    • @AmaniSamweli-r6d
      @AmaniSamweli-r6d 8 วันที่ผ่านมา

      @@JacklineMroso-gy6ej mungu akubariki sana

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 9 วันที่ผ่านมา

    Hizo sio ndevu for sure ni nyoka hao kidevuni

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack 9 วันที่ผ่านมา

    Mmh dunia hii hawa watu

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 วันที่ผ่านมา

    Kwa hiyo umekuja kutoa virusi vya kuliharibu kanisa tena?enyi watu wa mungu fungukeni huyo siyo nabii bali ni wakala wa shetani

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 9 วันที่ผ่านมา +2

    Sio vizuri kuhukumu wapendwa sisi watumishi wa kweri tupige goti kuomba tu tumwite Mungu na hayo maneno ya nabii uyo fatalia paka mwisho mwanzo hadi mwisho ili tuweze kujua na habari ya kuhukumu tumwachie Mungu pekee

    • @aviosilona316
      @aviosilona316 9 วันที่ผ่านมา +2

      Hajahukumu anamkosoa, imeandikwa hivyo tuna ujasiri wakukosoana.

    • @AmaniSamweli-r6d
      @AmaniSamweli-r6d 8 วันที่ผ่านมา

      Nabii wa mungu anapoongea saanyingine huongea mungu mwenyewe kwa kinywa chake ndo maana kwenye bible walimalizia kwa kusema asema bwana

    • @AmaniSamweli-r6d
      @AmaniSamweli-r6d 8 วันที่ผ่านมา

      Hesabu 14:28_mwanzo 22:16-2wafalme9:26_2wafalme9:33

    • @AmaniSamweli-r6d
      @AmaniSamweli-r6d 8 วันที่ผ่านมา

      Cassian mbona wewe unafutilia sana mambo ya Dunia?kwani maisha ya diamond na akina zuchu Huwa unayapataje kama sio shabiki wa hayo? Harafu kwanini usihubiri tu watu waache dhambi kuliko kutafuta tu content mbona kama bado unaipenda dunia? Afu kila unapoanza huwa unaomba mchango kwani uliona wapi yesu aliomba mchango wa kuendesha huduma? Kama unnafanya kazi ya mungu acha kuchangisha pesa kama kazi ni yako endelea kuchangisha.MUNGU akubariki sana kaka

    • @aviosilona316
      @aviosilona316 8 วันที่ผ่านมา

      @AmaniSamweli-r6d nianzie hapo kwa mchango, wewe ushawai mchangia ngapi?Hatuishi enzi za Yesu, wakati wa Yesu hata hela yenyewe haikuwepo ila Alisema yakaisari peeni kaisari.....kutoa ni moyo, anahitaji hela ndio aweze kuendeleza kazi ya Mungu vizuri, unaona wengi wanafanya mambo machafu ili tuu wapate pesa ilahali wanajiita walokole?
      Sio lazima ufuatilie mtu ndio ujue tabia zake kuna watu wanapost kwa status, FB nkt waeza view upatane nazo ni vizuri kupasa sauti ili kondoo iliyopotea irudi

  • @Mollysnre
    @Mollysnre 3 วันที่ผ่านมา

    Yani ww ni shetani tena ujielewi na mgomjwa na inaonekana umelaaniwa na Mungu

  • @RUTACHCHURCH
    @RUTACHCHURCH 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu Cassian ana matatizo ya misingi,misingi wa huduma ya huyu prophet David owour ni being HOLY nabii wa uwongo they are not connected with our eternal life mahubiri kama utakatifu kwako ni rare au haipo kabisa but not David owour unakosea bro mark my words,unakosea bro please hubiri injili ya kweli acha kutapatapa,

  • @NgelyaNjile
    @NgelyaNjile 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumishi naomba mwendelezo wa sabot yako ni ipi

  • @JulieMangah
    @JulieMangah 6 วันที่ผ่านมา

    Kaka wewe uko Kenya au wapi ?
    Congo vita inaendelea watu wanakufa, mutuombee huko kaka yangu.

  • @shinnyinnocent1288
    @shinnyinnocent1288 8 วันที่ผ่านมา

    Hili ni pepo mtu

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 9 วันที่ผ่านมา +3

    Casian Unahitaji uombewe na Ufunguliwe unapenda KUWA Mtu Maarufu lakini Sasa unazungumza Noon sense huelewi unachosema wewe ni Kijana Mdogo sana hunauwezo wa Kushindana na Might prophet David Awour casian hebu kua na Kiasi umechanganyikiwa Tafuta watu wa Kushauri Sasa utadharaulika humjui David Owour vizuri Acha kudanganya watu Mitandaoni wewe hunakipimo Cha kujua anaye jus ni Mungu Please, Please Acha kudanganya watu tunaelewa kuzipima Roho kuliko wewe Injili bila chambowe sio Injili wataaminije wanawauovu bila Chambo Yani Miujiza Casian Please, Please Acha ujinga.

    • @paschalcassianoriginal9411
      @paschalcassianoriginal9411  9 วันที่ผ่านมา +3

      Kumbe NI NABII washetani MIMI nilikuwa na juwa ni kichaa TU kama vichaa wenzie wanao mwamini na kumfuata vichaa WOTE huwa ukiwagusa KWA baba Yao ALIE WAPA ukichaa hasra zo huwaka SANA

    • @paschalcassianoriginal9411
      @paschalcassianoriginal9411  9 วันที่ผ่านมา +1

      Kumbe NI NABII washetani MIMI nilikuwa na juwa ni kichaa TU kama vichaa wenzie wanao mwamini na kumfuata vichaa WOTE huwa ukiwagusa KWA baba Yao ALIE WAPA ukichaa hasra zo huwaka SANA

    • @aviosilona316
      @aviosilona316 9 วันที่ผ่านมา +4

      Mwanaume mzima kama wewe unainamia Mwanaume mwenzako hadi unamwita might 😂😂😂😂😂enda usome bibilia vizuri na uache kuingililia mtumishi kwa kuwakosoa
      Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa waezaaje osha njia ili Mwanaume mwenzako apitie style up.
      Sadaka hamtoi, hizo pesa mnapeana mnatoa wapi?
      Acheni kuchokeshe maskini na kuwabebea maskini akili

    • @JESUSISLO891
      @JESUSISLO891 9 วันที่ผ่านมา

      Kaka wewe ni kenge hivi hako kanabii ka mchongo kalisema ati ndiko kalileta Corona hivi una uhakika Gani

    • @emmanuelmtalis1590
      @emmanuelmtalis1590 8 วันที่ผ่านมา

      Huitaji degree kujua huyo nabii ni nabii wa uongo soma neno ndugu