''MKUU wa WILAYA AMEGAWA SHAMBA LANGU'' - BIBI AMCHONGEA DC kwa MAKONDA - HAJUI KISWAHILI VIZURI...
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ค. 2024
- ''MKUU wa WILAYA AMEGAWA SHAMBA LANGU'' - BIBI AMCHONGEA DC kwa MAKONDA - HAJUI KISWAHILI VIZURI...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
T M U
Team Makonda Ukombozi
Zaburi ya 35 ikawe ngao yenu, kila atakaewafuatilia kinyume na makusudi ya Mungu, njia yake ikawe giza na utelezi..
Amen! Nawe pia ndugu yangu
Huyo mtafsiri ni mmchochezi mno😂😂😂😂😂
Umemsikia kumbe 😂😂😂
Yani wewe
Haaa haaaa asee huyu mtafsiri nayeye haeleweki
Anae tafsiri na yeye anataka mtu wakumsaidia kutafsir😂😂
IRA nyie
Nikweli asee
😂😂😂
Mkalimani Anahitaji apatiwe Mkalimani
Bongo hii noma sana
IRA wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanini noma🤣🤣🤣
Nimefurahi kusikia kiiraq
Kazi kweli makoda pore namajukumu 😂😂😂
😂😂😂bibi noma sana
Kwanini
jmni huyu DAS anajua kweli kujieleza..flow nzuri mpaka anaeleweka vyema..na hekima juu kajaliwa na Mungu wetu
Yani kuna watu luga ya taifa hawajui 😜😜
Ccm ndo wametufikisha hapa
Tanzania ni kubwa😁
Kula Tanzania kuna ndugu zetu waturkana kama hapa Kenya
wapo nafikiri boss wangu. karibu
Kumbe kaongea kiturkana. Waooh
Makonda anapenda kusema eee
mwaka huu hadi mhe makonda atajua kiiraq
mapokezi ya Makonda kalatu
🙏🙏🙏🙏💪
mapokezi ya Makonda kalati
Nimecheka😅
😂😂😂😂 mkaliman sasa😂😂
🤣🤣🤣🤣
Yaaninhatabwachina wanatuzidi kiswahili
Kuna kijana arishika maike mara yakwanza mzee kamtowa nduki , nikajuwa anajuwa zaidi kumbe akuna rorote🤣🤣🤣 kweri bongo noma🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 mheshimiwa makonda karibu karatu
Wairaqw na kiswahili,mama zangu❤
Haa haaa umeandika vizuri Iraqw na wewe utakua Irqwatu
@@robertphilip385 ndiyo,mama yangu ni mwiraqw
Aliyemsikia mkalimani anamwambia bibi usiseme uongo
not.. b
Makonda muungwana angekuwa mwingine angepuuziana kusema tutarifanyia kazi , makonda kazi unayo mburuni huko
Huyu officer amejibu sawa kabisa
Aliyemsikia mkalimani anamwambia bibi usiseme uongo
Ayii muru lama mawe.....😅