''TUSILETEANE UJINGA HAPA - NINA FAILI LENU LOTE - KUANZIA LEO SIO MKUU wa IDARA'' - MAKONDA AWAKA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • ''TUSILETEANE UJINGA HAPA - NINA FAILI LENU LOTE - KUANZIA LEO SIO MKUU wa IDARA'' - MAKONDA AWAKA!
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 64

  • @johnlembo2955
    @johnlembo2955 4 หลายเดือนก่อน +7

    Makonda usikate tamaa brother, kaza uza Mungu atakuinua zaidi!

  • @anoldselfalphonce4671
    @anoldselfalphonce4671 4 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda ukuwe blessed buddah 💪🏾🙏🏾

  • @TatuHaji-k8s
    @TatuHaji-k8s 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda sana makonda kwamisimamo yako yakweny kaZ na kujiamni mungu atakulinda ufe kwaahad na s kuzulumiw na walimwengu

  • @fatemafatema4780
    @fatemafatema4780 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah muheshimiwa makonda mungu akubarik kwa kutetea wanyonge.unakwenda mguu wa marehem magufuli vizuri sana mungu akubarik wewe na mama samiha hongera sana.

  • @jovanafidelis2802
    @jovanafidelis2802 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda umenifanya kwenye kazi yangu nimekuwa smart japo sipo serikalini,lakini nimejifunza kuweka kumbukumbu ya kilakitu! Kila wakati boss anaponiuliza swali ,ninayo majibu mdomoni na kwenye record zangu!

  • @HappyDaniel-n7f
    @HappyDaniel-n7f 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tunaomba ubadilishe wanawake kwenye ofisi wanajickia sana na kutujibu vibaya

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanasheria Manisapaa,utaratibu wa ajira uangaliwe upya

  • @bridechrist3719
    @bridechrist3719 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mkenya,huyu ni God sent.

  • @daudimwaipaja1734
    @daudimwaipaja1734 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda mungu wa mbinguni aendelee kukutetea ❤❤❤

  • @margaretjoseph6501
    @margaretjoseph6501 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde Makonda

  • @majidfrolian4904
    @majidfrolian4904 4 หลายเดือนก่อน

    Asante baba Makonda 👏👏

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 4 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzan wenye mapenz mema na nchi yetu tumuombe makonda kaz aliyonayo ni ngumu sna,, 4:39

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 4 หลายเดือนก่อน

    Mkono wa Mungu uwe juu yako. Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa.

  • @omarymsoza164
    @omarymsoza164 3 หลายเดือนก่อน

    Arusha imependelewa💪🏻💪🏻🔥

  • @petrodominic-ft6dh
    @petrodominic-ft6dh 2 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 4 หลายเดือนก่อน +1

    Noma sana

  • @LeoKinango
    @LeoKinango 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba niulize swali watu wa MUNGU kwani hao wakuu wa mikoa mingine mikoa yao haina changamoto kama hizi? Mbona hatujawahi kuona wanafanya hivi?

    • @yohanaemanuelylazaro5109
      @yohanaemanuelylazaro5109 3 หลายเดือนก่อน

      Wahuni tu

    • @bakarithegeoinformatician7406
      @bakarithegeoinformatician7406 3 หลายเดือนก่อน

      Wakuu wa mikoa na wilaya nyingi wakifika sehemu wanatengeneza jinsi ya upigaji wakishirikiana na watumishi!
      Sasa angalia hilo box kwanza neno Boss sio rasimi ktk matumizi ya kiserikali

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusimamie makonda

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda mi nakupa jina la gegedu chukua maua🎉🎉🎉

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 หลายเดือนก่อน

    Vita kweli kaka tunakuombea dua

  • @yolo5261
    @yolo5261 4 หลายเดือนก่อน

    Global tv rekebisheni background sound please

  • @petrodominic-ft6dh
    @petrodominic-ft6dh 2 หลายเดือนก่อน

    Chuma ichoooooooo

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 4 หลายเดือนก่อน

    Toa hyo kenge haiujui umeshindaj kes ngpi

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx 4 หลายเดือนก่อน +2

    sijawahi kuona mkuu wa mkowa mchapakaz kama makonda makonda ataingia peponi

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 4 หลายเดือนก่อน

      Akiwa muislam ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @DalilahAdam
      @DalilahAdam 4 หลายเดือนก่อน

      Moton akafanye nn sas😂😂😂

  • @NabiiMkuupdYohana7974
    @NabiiMkuupdYohana7974 4 หลายเดือนก่อน

    Piga kazi, piga kazi, piga kazi baba... Muda hautoshi

  • @GeraldodingoSamson-ck5rx
    @GeraldodingoSamson-ck5rx 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu makonda Mungu amlinde sana

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 4 หลายเดือนก่อน

    Siku Zote Mkitaka Kuugeuza Mkoa Wenu Kuwa Mkoa Bola Ugeuzeni Kuwa Kama Nchi Yani Mkoa Uwe Kama Nchi Na Mkuu Wa Mkoa Awe Kama Raisi Wa Mkoa Na Awe Mzarendo Wa Kweli Akika Baada Ya Miaka Michache Mtakua Kama Ulaya

  • @ezekiaamani2323
    @ezekiaamani2323 4 หลายเดือนก่อน

    Ww ni mtu wangu wa NGUVU.

  • @geophreylunyungu1124
    @geophreylunyungu1124 4 หลายเดือนก่อน

    Utawala bora ndo unatukwamisha we bora watch kama Hwa kule China kumamake wananyongwa ndoana China wake mbali hawana mchezo na maendeleo we vipi bhanaa.

  • @EmmanuelSelestine-f7g
    @EmmanuelSelestine-f7g 4 หลายเดือนก่อน

    Bora nteketeze MB zangu kwa kumu hangalia makonda

  • @GraceKamanga-v8g
    @GraceKamanga-v8g 4 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @geophreylunyungu1124
    @geophreylunyungu1124 4 หลายเดือนก่อน

    Halafu kuwa muelewa makobda hamfukuzi mtu kazi ila anakutoa kwenye ukuu wa idara ni Sawa tu

  • @JUSTINPiniel
    @JUSTINPiniel 4 หลายเดือนก่อน

    Arusha labda waamishwe Takukuru walioko hapo mkuu

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda ww ni mtu na nusu na robo na kilo 🎉🎉🎉

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanasabisha tunailaumu serikali yetu kumbe hawa vilaza ndio wapumbavu

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo zombi mkuu wa idara gani mpuuzi

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 4 หลายเดือนก่อน

    Unajua inaumiza sana watu wanapewa kazi lkn hawana moyp wa kufanya kazi lkn huyu anyone kana ni kiburi wananchi wanapata shida kwasababu yao

  • @hassanissah7141
    @hassanissah7141 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anawanyoosha balaa

  • @ReginaJoseph-cm3cx
    @ReginaJoseph-cm3cx 4 หลายเดือนก่อน

    Arusha burudani

  • @abdulnurumwijage6186
    @abdulnurumwijage6186 4 หลายเดือนก่อน

    Chuma

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 4 หลายเดือนก่อน

    Ovyoooo

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna haja ya kumfukuza hadharani? Je si mambo ya kiongozi ya ndani? Je huu ni utawala Bora?

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 4 หลายเดือนก่อน +1

      Utawala bora ni uwajibikaji kwa wananchi ili kutatua matatizo yao.

    • @NormanHerman-dr6qj
      @NormanHerman-dr6qj 4 หลายเดือนก่อน +1

      Utawala bora wa lushindo

    • @msellegodlisten8715
      @msellegodlisten8715 4 หลายเดือนก่อน

      Tulia

    • @gideon219
      @gideon219 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hayo mambo wanayofanya halmashauri yana ubora gani???

    • @zahorodecent5126
      @zahorodecent5126 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio kuna haja. Tena hadharani. Unaongea pumba

  • @WilfredShirima-e2j
    @WilfredShirima-e2j 4 หลายเดือนก่อน

    Wapingwe spana kwelikweli

  • @dicksonmoikan7978
    @dicksonmoikan7978 4 หลายเดือนก่อน

    Good sana