SHEIKH MZIWANDA KIKI YANGU LEO NIMEIPATA KWA SHEIKH KISHIK,,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @aliathman7609
    @aliathman7609 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah bismillah mashaallah. ni furaha kubwa kuwaona mashekhe muko pamoja.jazaakumullahu khayran

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 11 หลายเดือนก่อน +2

    Allahu akibar naomba miazala kama hii ifanyike mikoa yote na ifanyike mala Kwa mala Ili kutunusulu sisi ambae atuna elimu na wiislamu wetu maadui wanapitia Sana kw watu ambao hawana elimu fanyeni hivi mala kw mala kw uwezo w Allah haki itakua juu

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 9 หลายเดือนก่อน +2

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Baaraka Allahu Fiik Wa Jazakah Allahu Khairan

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr ปีที่แล้ว +2

    Mawaidha mazuri sana sheikh Mziwanda gari la ki china lilikua lishawaka moto simchezo Allah awajalie ma sheikh wetu mnalolitaka kwa Allah pepo yake muipate kwa kuupigania uwislam Allah Akbar

    • @eshasalim5496
      @eshasalim5496 9 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Amiin

  • @user-gm2qo1xm7y
    @user-gm2qo1xm7y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akupe uhai mreefu na afya njeema pia akuondo Lee husda nafitina nashari zabinadamu namajini

  • @HassanKibindo-ti1nu
    @HassanKibindo-ti1nu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuifadhi na makafiri wanaowanunua masheikh

  • @josephbwire1232
    @josephbwire1232 ปีที่แล้ว +2

    Allah awalinde katika maisha yenu nami namuomba allah anipe elimu kama ya kwenu yenye kher fiy dunya Wal akhirat

    • @eshasalim5496
      @eshasalim5496 9 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Amiin

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr ปีที่แล้ว +2

    MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah

  • @RayaRashid-dc2hn
    @RayaRashid-dc2hn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulinde maana maadui ni wengi

  • @user-ou9xm8iw1m
    @user-ou9xm8iw1m 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maashallah allahu akbar allah atuongoze

  • @thedon8467
    @thedon8467 ปีที่แล้ว +1

    Allah akutunze sheikh mziwanda

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar

  • @user-xj5vm7ig2d
    @user-xj5vm7ig2d 9 หลายเดือนก่อน +1

    Maaaasha Allah sheikh

  • @aflahabdula4084
    @aflahabdula4084 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @balkisamisi2131
    @balkisamisi2131 ปีที่แล้ว +1

    Barakallahufik

  • @Wanaharakati
    @Wanaharakati ปีที่แล้ว +1

    Masha'allah

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 ปีที่แล้ว +1

    ماشاءالله

  • @husseinyahya1970
    @husseinyahya1970 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe hiyo haija toshea minaona muwaite kwenye mdahalo kesi iishe watakuja kufanya raddi hao mashia

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mnatuchanganya waumini sisi

  • @SaidimaulidiMaulidi-lf9de
    @SaidimaulidiMaulidi-lf9de ปีที่แล้ว +2

    Mashia sio maislamu we!!😂😂

  • @user-xo3oz1wu1l
    @user-xo3oz1wu1l 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe umejiandaa nakitabu

  • @shabaniumande
    @shabaniumande 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashia ni makafiri kabisa

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 ปีที่แล้ว +1

    Baado kuna mtt wa bachu anajifanya anajua saana kuliko wengine

  • @omarymaulid8363
    @omarymaulid8363 ปีที่แล้ว +2

    Shk Mziwanda acha kuchapia
    Huo ujumbe wa kukuuliza kuhusu Sayyidna Abubakar na Sayyidna Omar, ulio letewa mbona hauja uonyesha?

    • @mteleshadia1609
      @mteleshadia1609 ปีที่แล้ว +1

      Hvii ww nikafr mbonaa unaongea upumbavu,,au naww nishia ,,kfr mkubwaa,,laana zaaa allah zikushukieee

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว +1

    Ukiandamana nawahabi nawewe utakuwa wahabi

  • @iddydawood2020
    @iddydawood2020 ปีที่แล้ว +1

    porojo na uzushi mtupu.waiteni mashia mfanye mjadala live sio mnajitekenya wenyewe na mnacheka wenyewe

    • @Ddaytvonline8720
      @Ddaytvonline8720  ปีที่แล้ว +1

      uwongozi wa DDAY TV unakushukuru sana kuwa ni mfatiliaji wa kazi zetu endelea kufaidika zaidi na DDAY TV ahsante