DDAY TV
DDAY TV
  • 458
  • 159 421

วีดีโอ

TUNACHANGAMOTO KUBWA SANA MASJID HIJRA, TUNAWAOMBA WADAU WAPENDA KHERI KUTUCHANGIA MBAGALA ZAKHIEM
มุมมอง 121วันที่ผ่านมา
TUNACHANGAMOTO KUBWA SANA MASJID HIJRA, TUNAWAOMBA WADAU WAPENDA KHERI KUTUCHANGIA MBAGALA ZAKHIEM
KHUTBA YA IJUMAA MASJID HIJRA MBAGALA ZAKHEM, SHEIKH YASIN SULTWANI.
มุมมอง 112วันที่ผ่านมา
KHUTBA YA IJUMAA MASJID HIJRA MBAGALA ZAKHEM, SHEIKH YASIN SULTWANI.
TUNAWAKARIBISHA LEO KWENYE-Mazazi ya Mtume Muhammad (S.W.W). Sheikh Abdulwakat Masjid (TAQUWA) ILALA
มุมมอง 23วันที่ผ่านมา
TUNAWAKARIBISHA LEO KWENYE-Mazazi ya Mtume Muhammad (S.W.W). Sheikh Abdulwakat Masjid (TAQUWA) ILALA
🔴LIVE-NAKUBALI KUWA MLEZI WA UMATA UMOJA WA MAIMAMU TANZANIA. SHEIKH NUHU MRUMA. KATIBU MKUU BAKWATA
มุมมอง 247วันที่ผ่านมา
🔴LIVE-NAKUBALI KUWA MLEZI WA UMATA UMOJA WA MAIMAMU TANZANIA. SHEIKH NUHU MRUMA. KATIBU MKUU BAKWATA
TUNATOA SHUKRANI ZETU KWA WOTE MLIO TUUNGA MKONO KUFANIKISHA MASHINDANO YA KIDUNIA. MUFTI ABUBAKAR
มุมมอง 88วันที่ผ่านมา
TUNATOA SHUKRANI ZETU KWA WOTE MLIO TUUNGA MKONO KUFANIKISHA MASHINDANO YA KIDUNIA. MUFTI ABUBAKAR
TAMKO LA MAELEKEZO, KUTOKA KWA VIONGOZI WA UMOJA WA MAIMAMU (UMATA) KUHUSU SEMINA YA SIKU MBILI.
มุมมอง 15314 วันที่ผ่านมา
Utakao fanyika tarehe 01 na 02 mwezi 9/2024. kiwalani
🔴🔻TUNAWAALIKA WATANZANIA WOTE MUHUDHULIE KWENYE MASHINDANO YA KIMATAIFA 31/8/2024 SHEKH ALHAD MUSSA
มุมมอง 13321 วันที่ผ่านมา
🔴🔻TUNAWAALIKA WATANZANIA WOTE MUHUDHULIE KWENYE MASHINDANO YA KIMATAIFA 31/8/2024 SHEKH ALHAD MUSSA
Hii ndo bakora kwa Mawahabi Sheikh mziwanda.
มุมมอง 1921 วันที่ผ่านมา
Hii ndo bakora kwa Mawahabi Sheikh mziwanda.
HAKUNA AYA KATIKA QURAN INAYOMSIFU MTUME KWA ELIMU SHEIKH WALIDI ALHAD OMAR.
มุมมอง 17021 วันที่ผ่านมา
HAKUNA AYA KATIKA QURAN INAYOMSIFU MTUME KWA ELIMU SHEIKH WALIDI ALHAD OMAR.
🔴LIVE:KONGAMANO KUBWA LA WANAWAKE KUFANYIKA LEO UKUMBI WA KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY TANZANIA
มุมมอง 221หลายเดือนก่อน
🔴LIVE:KONGAMANO KUBWA LA WANAWAKE KUFANYIKA LEO UKUMBI WA KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY TANZANIA
🔴LIVE:PUGU DSM. MAHSHAR DAY 2024. HATIMAYE IMETIMIA IKIAMBANA NA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME.S.A.A.W)
มุมมอง 2.7Kหลายเดือนก่อน
🔴LIVE:PUGU DSM. MAHSHAR DAY 2024. HATIMAYE IMETIMIA IKIAMBANA NA MAULIDI YA MAZAZI YA MTUME.S.A.A.W)
⛑️:MOHA DEUJI KUPIGIWA MFANO KATIKA KHUTUBA YA IJUMAA. SHEIKH JONGO
มุมมอง 1212 หลายเดือนก่อน
⛑️:MOHA DEUJI KUPIGIWA MFANO KATIKA KHUTUBA YA IJUMAA. SHEIKH JONGO
Nasaha Zinazofanyiwa Kazi Mpaka Leo Shule Ya Ilala Islamic
มุมมอง 252 หลายเดือนก่อน
Nasaha Zinazofanyiwa Kazi Mpaka Leo Shule Ya Ilala Islamic
MAPOKEZI YA KUTOKA HIJJAH 2024. DR,SHEIKH ALHAD MUSSA, WATU NA MASHEIKH WAFURIKA KWAKE.
มุมมอง 4352 หลายเดือนก่อน
Shangwe nyumbani kwa Sheikh ALHAD MUSSA Baada ya kurejea kutoka Hijjah
NEWS: TUNAIKATAA, BAJETI KUU YA SERIKALI" ACT WAZALENDO KUITISHA VYOMBO VYA HABARI LEO.
มุมมอง 712 หลายเดือนก่อน
NEWS: TUNAIKATAA, BAJETI KUU YA SERIKALI" ACT WAZALENDO KUITISHA VYOMBO VYA HABARI LEO.
🔴LIVE:🇹🇷+🇹🇿 UTURUKI KUGAWA NYAMA TASISI YA REHEMA FOUNDATION,NA TURK KIZLAY KUGAWA NYAMA SIKU YA EID
มุมมอง 1492 หลายเดือนก่อน
🔴LIVE:🇹🇷 🇹🇿 UTURUKI KUGAWA NYAMA TASISI YA REHEMA FOUNDATION,NA TURK KIZLAY KUGAWA NYAMA SIKU YA EID
MSAUDIA TUMUACHIE ASHEREHEKE KWA TAREHE YAKE NA SISI TUNA TAREHE YETU.
มุมมอง 7533 หลายเดือนก่อน
MSAUDIA TUMUACHIE ASHEREHEKE KWA TAREHE YAKE NA SISI TUNA TAREHE YETU.
MNAO LETA CHOKOCHOKO KWA MUFTI ABUBAKAR BIN ZUBAIR, HATUA KALI ZA ANZA KUCHUKULIWA.
มุมมอง 3203 หลายเดือนก่อน
MNAO LETA CHOKOCHOKO KWA MUFTI ABUBAKAR BIN ZUBAIR, HATUA KALI ZA ANZA KUCHUKULIWA.
🔴NEWS: SEMINA ELEKEZI YA UWONGOZI, JMAT, KWA MKOA DAR ES SALAAM. KUFANYIKA SALAMA.
มุมมอง 823 หลายเดือนก่อน
🔴NEWS: SEMINA ELEKEZI YA UWONGOZI, JMAT, KWA MKOA DAR ES SALAAM. KUFANYIKA SALAMA.
🔴Live,🇹🇯+🇹🇿RAIS WA IRAN, Kufanyiwa Khitma na Dua, Tanzania,M/KITI, JUWAKITA: mkoa Dar es salaam Leo.
มุมมอง 1433 หลายเดือนก่อน
🔴Live,🇹🇯 🇹🇿RAIS WA IRAN, Kufanyiwa Khitma na Dua, Tanzania,M/KITI, JUWAKITA: mkoa Dar es salaam Leo.
SHEIKH OTHMAN MICHAEL JE UJUMBE WENYE KULETA MABADILIKO mp4dday tv
มุมมอง 123 หลายเดือนก่อน
SHEIKH OTHMAN MICHAEL JE UJUMBE WENYE KULETA MABADILIKO mp4dday tv
KHUTUBA YA IJUMAA, Mnaotengeneza fitna ili mfukuzishane maofisin Wallah mtaona. SHEIKH RUSAGANYA.
มุมมอง 813 หลายเดือนก่อน
KHUTUBA YA IJUMAA, Mnaotengeneza fitna ili mfukuzishane maofisin Wallah mtaona. SHEIKH RUSAGANYA.
🔴Live:JUWAKITA YATIA NANGA CHANIKA NA KUFUNGUA FURSA ZA MIKOPO.
มุมมอง 373 หลายเดือนก่อน
🔴Live:JUWAKITA YATIA NANGA CHANIKA NA KUFUNGUA FURSA ZA MIKOPO.
TAZAMA TUKIO LA TIPSO KUGAWA VITABU MASHULENI NA MADARSI MBALI MBALI NA ZOEZI BADO LINAENDELEA..
มุมมอง 1283 หลายเดือนก่อน
TAZAMA TUKIO LA TIPSO KUGAWA VITABU MASHULENI NA MADARSI MBALI MBALI NA ZOEZI BADO LINAENDELEA..
SIRI KUFICHUKA: Hiki ndicho kitakacho fanya Form 6 kufaulu wote mwaka huu.
มุมมอง 793 หลายเดือนก่อน
SIRI KUFICHUKA: Hiki ndicho kitakacho fanya Form 6 kufaulu wote mwaka huu.
🔴MA'SHEIKH: msiogope kumiliki bastola.,KUCHUKUA TAHADHARI NDIO UISLAM,, Dr, Alhad Mkiti JMAT TAIFA.
มุมมอง 1.5K4 หลายเดือนก่อน
🔴MA'SHEIKH: msiogope kumiliki bastola.,KUCHUKUA TAHADHARI NDIO UISLAM,, Dr, Alhad Mkiti JMAT TAIFA.
JMAT IDARA YA DINI: Kupokea maelekezo ya Mh,makamu wa Rais Philip isdory mpango.
มุมมอง 2404 หลายเดือนก่อน
JMAT IDARA YA DINI: Kupokea maelekezo ya Mh,makamu wa Rais Philip isdory mpango.
TUKIO; La kugawa Tiketi na kuwapa Bendera ya Tanzania, Mufti vijana 40 kwenda kusoma nchini moroco.
มุมมอง 2264 หลายเดือนก่อน
TUKIO; La kugawa Tiketi na kuwapa Bendera ya Tanzania, Mufti vijana 40 kwenda kusoma nchini moroco.
KANUSHO: La kusambaa kwa Taarifa ya msahafu bandia.Sheikh omary
มุมมอง 414 หลายเดือนก่อน
KANUSHO: La kusambaa kwa Taarifa ya msahafu bandia.Sheikh omary

ความคิดเห็น

  • @Swidiqhassan
    @Swidiqhassan 7 วันที่ผ่านมา

    Good mpo vizuli swidiqhassan mratibu umata

  • @BalhatunShimashiru-i6t
    @BalhatunShimashiru-i6t 8 วันที่ผ่านมา

    mashaallah

  • @KidegeKidege
    @KidegeKidege 16 วันที่ผ่านมา

    Mashaaa Allah

  • @ZauliyuRamadhani
    @ZauliyuRamadhani 18 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah ALLAH akup swiha njema inshaallah

  • @JualaElimu
    @JualaElimu 24 วันที่ผ่านมา

    Kazi Nzuri Sana Naskitika Kuliona Hili 😢 Hasa Kwnye Channel ya Dini 😢😢😭 Sijapenda ..🤐

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 26 วันที่ผ่านมา

  • @HalimaNjera
    @HalimaNjera หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mungu awape uongoz wa masjid al.mahshar day🙏🙏🙏🙏

  • @abdallahmassah1770
    @abdallahmassah1770 หลายเดือนก่อน

    MaashaAllah MaashaAllah,ALLAH awabaarik uongozi mzima wa Masjid al-mahshar.

  • @SelemaniMbaruti
    @SelemaniMbaruti หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢🎉🎉❤❤❤

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 2 หลายเดือนก่อน

    USHIA NI UKAFIRI ULIO WAZI KABISA.

  • @JamesKilanga
    @JamesKilanga 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Sheikh Dr Alhad..🎉

  • @JamesKilanga
    @JamesKilanga 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kiongozi wetu.... Mwenyezi Mungu akuweke kwa ajili ya nchi na dini zetu....

  • @user-gx3je2jh2f
    @user-gx3je2jh2f 2 หลายเดือนก่อน

    ماشاءاللہ الحمدللہ تبارک اللہ 🌹💞🤲🌹💞🤲🌹🇹🇿🇹🇷🇵🇰❤❤❤🌹🤲💞🇹🇿🇵🇰🌹🤲💞🇹🇿🇹🇷🇵🇰

  • @ummujab6323
    @ummujab6323 3 หลายเดือนก่อน

    Swadk❤

  • @AshamMussa
    @AshamMussa 3 หลายเดือนก่อน

    Sadakta shekh

  • @salummasooud4401
    @salummasooud4401 3 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wanapatikana vipi?vigezo vyao Ni Nini?Na wanapiga Kura hizo vigezo vyao Na elimu Yao ikoje ktk masuala ya Dini?uadilifu wao unapimwa Kwa vigezo vipi?Na uchaguzi wake unaaandaliwaje? Na Hao wajumbe wanaochagua wanapatikanaje? Mkihojiwa muwe wazi Na Haya Yote hutokea baada ya Kona Kona nyingi

    • @Ddaytvonline8720
      @Ddaytvonline8720 3 หลายเดือนก่อน

      ujumbe umefika mahala pake kiongozi endelea kuitazama DDAY TV

  • @user-ov7pz2tu8d
    @user-ov7pz2tu8d 3 หลายเดือนก่อน

    Naipataje hii qaswiida full

  • @MwajumaMwajum
    @MwajumaMwajum 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera! Kipaji ,ujasiri na ubunifu🙋🤝🤝🤝

  • @MohamedMiyombo
    @MohamedMiyombo 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenyekumtegemea Allah basi anatosha

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 3 หลายเดือนก่อน

    UNATIA KICHEFU CHEFU MAANA WALIOKUA HAWANA AKILI KM WEWE WANAWEZA WAKAKUFUATA KWA UPUNGUFU WAO WA AKILI NA ELIMU

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 3 หลายเดือนก่อน

    AMA KWELI UNAWEZA UKASOMA ILA USIELIMIKE MAANA SHAFI UKO MBALI NDUGU YANGU

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน

    Muuwaji huyo, aliuwA watu wengi sana kwasababu ya wanawake kukataa kuvaa hijab

  • @Sh_Taqee
    @Sh_Taqee 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @shekhsamiudinonlinetv8272
    @shekhsamiudinonlinetv8272 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee wa madili huyu

  • @Shaffihiddi
    @Shaffihiddi 3 หลายเดือนก่อน

    Alie sema shekhe walidi yuko sawa na alie sema shekhe alihad yupo sawa ila shekhe alihad amekusa hekima ya kujibu hakutakiwa kutoa matusi nikweli watu wengi wamejisahau kuhusu kusoma yan suala lakusoma tumewaachia watoto tu ww alihadi unamwanafunzi gan uliyo musomesha kwenye utu uzima wake

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 3 หลายเดือนก่อน

    Mtume wetu hakua muhabi wala Shia alikua muislam na walikaa vzr SS hivyo kulivyo Anza madhebu ndo vurugu nyingi😢

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa. Mtume Na maswahaba hawakukaa kizembe zembe walijifunza Ngumi Na panga mkononi. Kwa Zama za Leo bunduki mkononi Ni Sawa TU. Sio lazima ila kuwa nayo muhimu Kwa kujihami tusikae kibwege bwege tuu, komfuu karati na mengine ni Mambo ya waislamu

  • @ShukriGufu-ec3gk
    @ShukriGufu-ec3gk 3 หลายเดือนก่อน

    Hii imekua mjadala sasa ,,,jameni waislamu tuache

  • @kasumunigwasa
    @kasumunigwasa 3 หลายเดือนก่อน

    Elim anatoa lakini Sasa ufaham wake ni mdogo sana,, mi nasema hakuna swahaba alieritadi na kama yupo yéyé atutajie ni Fulani mana porojo ni nyingi

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa wewe sawa mana una madui wengi

  • @Yahyasalim-wg1fi
    @Yahyasalim-wg1fi 4 หลายเดือนก่อน

    Jambo zuri

  • @BradothAdm
    @BradothAdm 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna mashekh watu wazima unawadharau wwe si kama mtoto wao kuwa na adabu dogo

  • @BradothAdm
    @BradothAdm 4 หลายเดือนก่อน

    Dogo huna adabu

  • @khalifaallyibnadam9983
    @khalifaallyibnadam9983 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mmwenyewe ni shiaaaa

  • @user-rx6io6vs9n
    @user-rx6io6vs9n 4 หลายเดือนก่อน

    Hapa sijaona msomi bali ni mtu mwenye kubabaisha maneno kupitia mfumo wa hoja kama vile mtume Ibraahim na Firaaun mfano hoja moja ya firaauni kwa mtume mussa baada ya kuambiwa mungu ni yule anaeuwa na kuhuisha yy kwa kujibu hoja hiyo ya mussa akachukuwa watu wawili mmoja akamuuwa na mwengine akamuacha ili kuthibisha uungu wake kuweni makini na mtu huyu

  • @fikratulmuhibbonlinetvismail
    @fikratulmuhibbonlinetvismail 4 หลายเดือนก่อน

    Jambo kubwa mashallah mufti amelifanya

  • @FidelMaheke
    @FidelMaheke 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Kwa kipaji

  • @SeleBadi-x4g
    @SeleBadi-x4g 4 หลายเดือนก่อน

    Nenda kwa shekhe wako majoye kaombe msamaha maana shekhe juma alikufukuza baada ya kukusa adabu

  • @HamisSaidi-h3u
    @HamisSaidi-h3u 4 หลายเดือนก่อน

    Allahu Aqbar! Kweli jamani Tupambane kuchangia nyumba ya ibada insha Allah

  • @hajikhamis3288
    @hajikhamis3288 4 หลายเดือนก่อน

    Hata mondi wcb și aliende kwenye mkesha wa pasakaa hao washapigwa muhurii ea laanaa

  • @hajikhamis3288
    @hajikhamis3288 4 หลายเดือนก่อน

    Freemason wamemtuma hayo iliazidi umaarufu ..

  • @MombokaMomboka
    @MombokaMomboka 4 หลายเดือนก่อน

    Uyolimbukeni wamaisha mbwasana

  • @TpPt-do5vg
    @TpPt-do5vg 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli amekosea pia WanaomteteA wote niwanafki wadini yetu wakiwemo anaejiita sharifu majini anamtetea sijui ndie Lakin bas

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 4 หลายเดือนก่อน

    Kaomba Radhii mpaka avue nguo ndiyo muumsamehe 😮ha!! acha unafiki shekh

    • @TpPt-do5vg
      @TpPt-do5vg 4 หลายเดือนก่อน

      Wew kenge Kua naadabu naviongozi wadini

    • @aediayumgo8546
      @aediayumgo8546 4 หลายเดือนก่อน

      @@TpPt-do5vg kenge babako 🌈💯we

    • @TpPt-do5vg
      @TpPt-do5vg 4 หลายเดือนก่อน

      @@aediayumgo8546 baba yangu mim niyesu Sasa kazi kwako

    • @TpPt-do5vg
      @TpPt-do5vg 4 หลายเดือนก่อน

      @@aediayumgo8546 kama yesu ndie kenge Sawa maana ndio baba yangu

  • @abubakaryabdallah4708
    @abubakaryabdallah4708 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah bakwata mpo vema Allah awaongoze zaid

  • @ummujab6323
    @ummujab6323 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu atunusuru mpk kufikia huku amni 😊

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 4 หลายเดือนก่อน

    Yule bwege yuwawasemesha tu ajuwa kila kitu ni ushetani tu uko ndani yake mwanaume ametobowa pua kweli atavuna anacho kipanda jmn

  • @JumaChalamila
    @JumaChalamila 4 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli kakosea sana afanye toba tu

  • @RayaRashid-dc2hn
    @RayaRashid-dc2hn 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah,ww jembe Allah akuhifadhi maana wanafki na maadui wanakuwinda ila hawatoweza ,Allah kareem