Mimi kwa uchache wangu wa kujua pengine naona yupo sahihi Sana anajitahidi kuurudisha umma pamoja kwa alivyofaham nami nmuunga mkono!! Ila elimu Wallah nipana mnooo !! Allah anajua zaidi!!
Kama ingekuwa inawezekan Ujumbe kam huuu Ingekuwa unatafasiriw kwa Luga ya kingerez ili unufaishe Duniy mzima Haswa haswa Malawi kuna watu Amvao wanajit kuwa ni Wailsam lakin kuna ujinga mkubwa san
Shekh mziwanda baarallah fiikum...taarifuu hizo ziko kwenye kitabuu ganiii??? Na Kuna mwanazuoni aliekutangulia katika hizoo taarifuu ulizo zitioa???? Baarallah fiikum..
Kwani wenye pesa ndio wanawatuma mashekh watoe fatwa au vitabu ndio vinaongea kila aamini abacho kiona kipo sawa lakini usiseme matajiri ndio wanawatuma unakosea kwa hapo
Sheikh AlhamduLiLah unafamisha uzuri baina yamaimu pia mamu hapana hata moja aliji kimedhebi wate walikua wana madheb moja nayalokuja kufudisha Nabi Mhamad wasalatu wasalam ni uwislamu si madheb kausemavo maimamu tuwapede khitalafu Zao zitufaida tuwe kuta patapokua wepesi katika shida
Sheikh anaongea in general, hajabase upande wa dhehebi lolote., hoja yake ni kulingania umoja tu. But kuna wale visirani ambao wanadhani pepo ni kwa ajili yao peke yao ndio wanamtolea maneno. Shubamiti zao😅😅😅
Kwakweli mtihani mzito Jamani haya madhehebu ndio yanayo tufanye tubaguane waislam Kwa waislam.. haya yalitabiriwa na mtume Kuwa itafika kipindi cha akhiru Zamaan Uislam utagawika makundi Kwa makundi ndio Sasa tunaona athari zake
Upo sahihi kabisa kuna watu watabeba sana lawama kwa kuanzisha mikanganyiko hii hasa baada ya kufa mtume na Ukhalifa wa Abuu bakr Omar Othmaan na Ali,sijui ushia sijui sunni na vyengine.Kwa nini wasingeacha vile alivyofundisha tu mtume S.A.W ehh,
Kinacho sikitisha ni kwamba, nondo hizi zilitakiwa kumwagwa mbele hasa ya madaaiya wetu ambao imma kwa kughafilika au kwa makusudi wanajua lakini wanayumbisha umma, hiyo hadhira yote hapo haina shida na mada hiyo. walengwa hasa wako pembeni wanasubiri kuja potosha mantiki na lengo la shekhe kuandaa mada hiyo.
Asituelezee tofauti za kifiqhi hizo hazipelekei mgawanyiko aeleze tofauti ktk Aqidah ambazo zinagawa watu kutokana na utofauti wa misingi yao hilo ndio la muhimu. Pia hata ktk fiqhi si kila mahala itazingatiwa ikhtilafu bali inapothibiti dalili yenye nguvu yenye kuzidi nguvu dalili za wanachuoni wengine basi hiyo ndio yakufuata. Kuna watu wanataka kuutumia mlango wa ikhtilafu kufanya biddah
Tatizo la mafuriko hayo ya mpasuko ni nn?? Ili upate suluhisho ndio mada yako italeta manufaaa Lkn kuwataka kua pamoja waislam ni ngumu moja ya sbb za kuwagawa waislam tz ni baraza
Asalam aleykum hii ndio taabu ya ss Waisilam sasa ww wenamkejeli at toka ww ndio salafi na nio maana mganga unamdhalilisha uwisilam unatwambia motoring mwezako na mungu atakustiri ss ww mbona unamdhalilisha
Huyu ndugu inafaa apewe nasaha kwa upole hivi huyu anajua kiarabu kuliko sheikh Abdulrahmaan bin Abdulrazizi ibn Baaz rahimahullah ktk kitabu chake maarufu kiitwacho Darsa muhimu
KWA MFANO UKAUONA MWEZI UMEANDAMA UKIWA TZ JE AMBAO KWAO MUDA HUO HUO NI SAA 9 USIKU AU SAA 10 AU 12 ALFAJILI WANAWEZAJE KUAMKA NA SWAUMU AU WAKASALI EID ? NAOMBENI MAJIBU SIO UJANJA UJANJA
Mimi kwa uchache wangu wa kujua pengine naona yupo sahihi Sana anajitahidi kuurudisha umma pamoja kwa alivyofaham nami nmuunga mkono!! Ila elimu Wallah nipana mnooo !! Allah anajua zaidi!!
Masha Allah shekhe Allah akuhifadhi na akupe umbri mlefu wenye kheri kwa kweli ulionao
Allah akup pepo shwkh una elimu ya hali ya juu matunda ya shekh amer tajo
MashaAllah
Jazakkah llahu khair sheikh kwa ilmu hii nzuri
Kama ingekuwa inawezekan Ujumbe kam huuu
Ingekuwa unatafasiriw kwa Luga ya kingerez ili unufaishe Duniy mzima
Haswa haswa Malawi kuna watu Amvao wanajit kuwa ni Wailsam lakin kuna ujinga mkubwa san
Shukran shekhe wangu kwa nasaha yako mungu atu oneshe haki tuiyandame nabatili tuiyepuke
خزاك خيرا
Mashaallah, Allah akulinde sannnnna sheikh wetu.....
Maashaallah
Jazaakumullaahu
Shukrani
Aksant
mashaalah shekh Allah akulipe
Barakallahu
Mashallah Allah atuongoze ktk njia iliyonjooka
Assante mashekhe ALLAH awape mwisho mwema
Ukimsikiliza vizuri shekh huyu kwa mtazamo usiowakimadhehebu na Ushabiki utamuelewa, tumuombe Allah tuchukue haki kwa yeyote
M'Mungu akuhifadhi na akuzidishie ilimu akupe umri mrefu wenye kheri tuendelee kunufaika nawe
Shukran sana
Mashallah...
MashaAlllah....
Shekh wangu iii itapendeza Kama mutaifanya Maulamaa wote wa Tanzania!!!!!
Subuhana llah taqbiriiiiii .
Mwenyezimungu atuafikishe inshallah
Shekh leo umenifunua kichwa sawa sawa, inshaallah
usiache kumfollow inshaAllah 🙏🙏🙏💯 ubarikiwe
Masalaf Ni kikundi kilichoundwa na mayahudi lengo kuja kuleta mifarakano na wahakikishe nuru ya mtume waizime
Mashaallaah jazakumullah kheir
Uko sawa n mkeo
Waleykumsalaam warahmatullah wabarakatuh
Shukran wajazakallahu kheir
MASHA ALLAH
Shekh gn
MashaAllah
Allah atufahamishe zaidi 🤲
Mashaallah Yuko gudsana
Mashaallah jazzakum allah kher
جزاك الله خيرا
Shekh mziwanda baarallah fiikum...taarifuu hizo ziko kwenye kitabuu ganiii??? Na Kuna mwanazuoni aliekutangulia katika hizoo taarifuu ulizo zitioa???? Baarallah fiikum..
Huku kusoma Sana mwishowe nikuburi kwa maana kila mtu nimjuaji... Heri tuwe mazuzu kwa kile kidogo tulichonacho na tufwate sheria za Allah
SALIMU bin Salimu@ Unawezaje muislaam kufuata sheria za Allah ukiwa zuzu bila ya elimu? (kujuwa elimu ya dini)
MWISLAM anapokuwa zuzu au mbumbumbu Kisha akazungumzia masuala ya dini kwenye kahawa tambua atawapoteza watu wengi sana. @Salimi Salimu
MashaaAllah
Kwani wenye pesa ndio wanawatuma mashekh watoe fatwa au vitabu ndio vinaongea kila aamini abacho kiona kipo sawa lakini usiseme matajiri ndio wanawatuma unakosea kwa hapo
MAASHAALLAH
Sheikh AlhamduLiLah unafamisha uzuri baina yamaimu pia mamu hapana hata moja aliji kimedhebi wate walikua wana madheb moja nayalokuja kufudisha Nabi Mhamad wasalatu wasalam ni uwislamu si madheb kausemavo maimamu tuwapede khitalafu Zao zitufaida tuwe kuta patapokua wepesi katika shida
Allah akuhifadhi shekhe
Mungu akupe afya njema
Ma Sha Allah, maneno mazito
حييت وبوركت سيدي الأستاذ
ustadh leo umenichanganya
Huyu ni mtu wa kupewa nasaha
Vipi waislamu kutofautiana katika masiala ya kiakida,ikhtirafu hii mbona hujaizungumzia,je ikhtirafu hii waislamu watakua wamoja
Mashallah
Shekh wangu naona maadaa ya Askofu kamtukana angaliya kauli tamkoo alisema Askifu
Kasome wew bado huna hoja Katka ...unaudhaifu mkubwaa sana
Ukisoma wewe inatosha😅
Masha Allah
MASHAA ALLAH.
Sheikh anaongea in general, hajabase upande wa dhehebi lolote., hoja yake ni kulingania umoja tu. But kuna wale visirani ambao wanadhani pepo ni kwa ajili yao peke yao ndio wanamtolea maneno. Shubamiti zao😅😅😅
Maulidi
UISILAM UNA DHEHEBU MOJA TU!!
NA NI ILE ALIYOKUWA NA MTU ME WETU NA MASWAHABA WAKE!!
Manen matam MashaAllah shekhe wang
Ni Muhadhara mzuri sana.
Waleiku salam warahmatullah wabarakatuh ijumaa mubarak
Kwakweli mtihani mzito Jamani haya madhehebu ndio yanayo tufanye tubaguane waislam Kwa waislam.. haya yalitabiriwa na mtume Kuwa itafika kipindi cha akhiru Zamaan Uislam utagawika makundi Kwa makundi ndio Sasa tunaona athari zake
Upo sahihi kabisa kuna watu watabeba sana lawama kwa kuanzisha mikanganyiko hii hasa baada ya kufa mtume na Ukhalifa wa Abuu bakr Omar Othmaan na Ali,sijui ushia sijui sunni na vyengine.Kwa nini wasingeacha vile alivyofundisha tu mtume S.A.W ehh,
Umesema kweli shkh
Hizi TV ni zakikafiri manake kazi zao kuwagombanisha mashekhe na maustaz Hawa ni banuuu Izrail
رضي الله عنك شيخي محرم
Maghribi ni mchana?
mwanzoni mwa usiku
Kwa Mujibu wa Qur'an ni Mchana
Sababu yako mengi yakuchangiwa kuhusuana na Ibada Bali washerehekea na kuchamgia mashekhe kugombana ni makafiri nafkiri wanifanya Waislam
Watuletea mambo ya kifikhir eti utuchanganye ..twende kwenye itikadi sheikh usiwazonge watu
Tumepewa akili kuitafuta akili timam, hizi dini za mapokeo ni chanamoto sana
جملآ جيدا
Hafidhimaalim una matatizo kichwani
Hayo makundi yote wanzilishi ni mayahudi wanawapa pesa kama masheikh wa bakwata ili kugombanisha waislam
Maneno yako yahitaji dalili habeeb
Hata wasingekuepo mayahudi bado tungetafautiana kwa sababu twatafautiana maono
Sheikh kachanganya saana tu haeleweki nini anachotaka kufika eko ila umeleweka wale ambao wametaka kusikiya haqqi pasina ushabiki jazzakallahkheir. Wallah a'alam
Naomba rejeleya kuiya sikiliza haya mawaidha Mara nyingine asanti 👏👏👏
Kinacho sikitisha ni kwamba, nondo hizi zilitakiwa kumwagwa mbele hasa ya madaaiya wetu ambao imma kwa kughafilika au kwa makusudi wanajua lakini wanayumbisha umma, hiyo hadhira yote hapo haina shida na mada hiyo. walengwa hasa wako pembeni wanasubiri kuja potosha mantiki na lengo la shekhe kuandaa mada hiyo.
Anapotosha kielimu
Asituelezee tofauti za kifiqhi hizo hazipelekei mgawanyiko aeleze tofauti ktk Aqidah ambazo zinagawa watu kutokana na utofauti wa misingi yao hilo ndio la muhimu.
Pia hata ktk fiqhi si kila mahala itazingatiwa ikhtilafu bali inapothibiti dalili yenye nguvu yenye kuzidi nguvu dalili za wanachuoni wengine basi hiyo ndio yakufuata.
Kuna watu wanataka kuutumia mlango wa ikhtilafu kufanya biddah
Ahmad wewe ni wahabi wa waaasziii
Mashaalla
Kipozeo alisema ujinga cio tusi ni mtu ambaye hajui lakini hataki kujua lakini usimuite mwinzio mjinga mbele za watu
w.masha Allah
Wakomeshe manaa hatuna hatuna Amani na hawajui lolote
Umisema saw ila ulikua unaogea nawatu uwelewa wa wao wa chini
Umejuaje mwenzetu
@@gaboudghussein527 jamaa akiona tu watu anawajua....intelligent sana😆😆😆
Kipengele Cha kinyume Cha elimu ni ujinga anapinga kwa hoja ipi?
M.a
KALALE
Tatizo la mafuriko hayo ya mpasuko ni nn?? Ili upate suluhisho ndio mada yako italeta manufaaa
Lkn kuwataka kua pamoja waislam ni ngumu moja ya sbb za kuwagawa waislam tz ni baraza
Ahamadi faki Ina one kanaunafungu unapata upended mwengine Yani kwama Neno haya mazuri una andaika upuuzi
𝑨𝒔𝒂𝒍𝒂𝒎𝒘𝒂𝒓𝒚𝒌𝒎𝒖 𝒏𝒂𝒘𝒎𝒃𝒂𝒖𝒏𝒊𝒑𝒊𝒈𝒊𝒚𝒆
Mwambaaaaaaaa
Kivuko tazara
Kasa wa ada ya bidaa haliwi
Nime elimika sana
Sheikhe abarikiwe kwakufaidika kwako💚💚💚
Wee lala uko
Allah akuongoze acha dharau na ushabiki ktk mambo ya dini.umma umegawanyika kwa sababu yenu ,shekh yuko vizuri
O
Pengine hicho kitabu alosoma uyu jamaa hajakifaham yaonekana kajisomea mwenyew t Arudi akasomeshwe kabsaa aache kibri hakitamsaidia
Mfikishien nasaha izi huenda zkamfika
wee umesomeshwa na mtume ?
@@ramadhanimsukuma8438 🤣🤣🤣🤣
Silisilayake tuijueeee
Salafi ni wewe mganga wa kienyeji
Asalam aleykum hii ndio taabu ya ss Waisilam sasa ww wenamkejeli at toka ww ndio salafi na nio maana mganga unamdhalilisha uwisilam unatwambia motoring mwezako na mungu atakustiri ss ww mbona unamdhalilisha
Huyu ndugu inafaa apewe nasaha kwa upole hivi huyu anajua kiarabu kuliko sheikh Abdulrahmaan bin Abdulrazizi ibn Baaz rahimahullah ktk kitabu chake maarufu kiitwacho Darsa muhimu
Kelele nyamaza dawa ikuingie
@@aishaarusha894 ukhty vp mbona unakuwa Kama tupo kwenye Vita? nakuomba Kama unahoja tuzungumze
@@ibnhassan9980 una hoja ndugu yangu wewe tulia dawa ya ostadhi ikuingie
@@aishaarusha894 wewe hoja hoja yako ipo wapi?
@@burhanimahmoud8985 unataka kuiona hojayangu ili iweje tulia dawa ya ostazi iwaingie
KWA MFANO UKAUONA MWEZI UMEANDAMA UKIWA TZ JE AMBAO KWAO MUDA HUO HUO NI SAA 9 USIKU AU SAA 10 AU 12 ALFAJILI WANAWEZAJE KUAMKA NA SWAUMU AU WAKASALI EID ? NAOMBENI MAJIBU SIO UJANJA UJANJA
Kila mji utafata muandamo wake kwa mujibu wa swahaba wa mtume ibni abasi
kufunga ndevu ni amri arrasuul ukiipinga umekwendanae kinyume ukinyoa ww demutu
Huna Adabu
Na wewe kasome uwe na elimu
Wewepotofu hujuwi usemalo
kama unanyoa ndevu wewe demtu
Wewe huna akili
kama ww
Sasa ndio uislaam gani huo haya tupe dalili kutoka kwenye quran au hadiyth kwamba ukinyoa ndevu ni demu
Masha Allah
Khamisi Ali mustapha rudi kasome fiqih utaujua ukweli wa dini ya kiislam sheghe amezama kifiqih kufuga ndevu ni sunna si faradhi.
Wewepotofu hujuwi usemalo
Subhanallah mtihani.Allah atupe elimu.Maana uislam siyo kufuata mkumbo.
Masha allwa
Masha Allah