MTOTO ADAIWA KUUWAWA NA SHANGAZI YAKE, POLISI WACHUKUA MWILI, WANANCHI WAFUNGUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2022

ความคิดเห็น • 81

  • @zanzibar2429
    @zanzibar2429 ปีที่แล้ว +29

    Allah tulindie vizazi na sie tulipo hukumbali na uwape huruma tulio waachia ulezi huu atujaalie pia tupate hitahiji letu kwa sote tunahitaj

  • @lucymollel8212
    @lucymollel8212 ปีที่แล้ว +4

    Mungu amtunze shangazi yangu ametulea kwa amani

  • @khadijakinyala9407
    @khadijakinyala9407 ปีที่แล้ว +5

    Hivi kwa nini watu wana kuwa na roho mbay hivi kweli mtoto unamfanya hivi kakosa nini 😭😭😭😭😭😭

  • @user-sq7pz9ex5g
    @user-sq7pz9ex5g ปีที่แล้ว +6

    Inna lillah wa Inna ilayh rajiun 😢😿😭 sijui waja tunaenda wapi😭🙆🙆🙆

  • @octavinamgulunde5183
    @octavinamgulunde5183 ปีที่แล้ว +2

    Jamani sasa dunia inaenda wapi .tunaogopa panya road kumbe hata shangazi jamani

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 ปีที่แล้ว +2

    Maeneo ta Arusha kuna shida kubwa,mauaji,ebu ombeni toba na rehema Kwa Mungu.

  • @linamacha7686
    @linamacha7686 ปีที่แล้ว +7

    Eti wanahofia wananchi wangeondosha maisha yake hayo ya mtoto aliyoondosha siyo maisha pumbafu sana piga mjinga huyo napata hasira😪😪😭

    • @siwemamusa4868
      @siwemamusa4868 ปีที่แล้ว

      Jamani chunguzeni kwanza inawezekana hata shangazi hajausika msimubebeshe huyu mama inawezekana aliyehusika nimtu mwingine kabisa

    • @muzdatsuleiman3186
      @muzdatsuleiman3186 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭😭

    • @africandarling6925
      @africandarling6925 ปีที่แล้ว

      Mmhh kilicho kuwa kinamfraisha nn??wakati mtoto kapotea tena yeye mwanafamillya

  • @halimasul6018
    @halimasul6018 ปีที่แล้ว +1

    Duh polen Sana ka salum inaumaa jmni ilaa Allah awape subraa

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 ปีที่แล้ว +2

    Subhan'Allah 😭😭😭😭kihama hiki ya Allah turehemu waja wako 💔😭

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +3

    Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun 😰 Jamani Tumuokope Allah Jamani dah Nini haswa mbona Kila kukicha mauwaji Subhanallah 😭🙏 Astaghfiru llah

  • @salamakiwinga6310
    @salamakiwinga6310 ปีที่แล้ว +1

    ninavowapenda watoto wa kaka zangu mimi 😔 mwanamke mwenzangu umewazaje kufanya ukatili huo 🙄

  • @SamsungA-sq9pi
    @SamsungA-sq9pi ปีที่แล้ว +2

    Shangazi kama ana chuki na wazazi wa mtoto kwann hasira zimalizie kwa mtoto wakati yy hajui lolote? Dunia inaelekea mwisho tukubali hili

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji ovyoo unaulizaje eti,, kwanini la kikatili
    Aliyefanya mauaji Allah atamuhukumu mwanamke unakua na roho mbaya kiasi hicho subhanallah dunia imeisha

  • @fadhilingogota8108
    @fadhilingogota8108 ปีที่แล้ว +2

    Dah wamemkatishia maisha yake ,wamemkatishia ndoto zake za baadae dah very sadly,

  • @matridawilium9945
    @matridawilium9945 ปีที่แล้ว

    Nyakati za mwisho maasi yataongezeka la msingi tugeuke tuangalie msalabani yesu alipotukomboa

  • @lilinziku1927
    @lilinziku1927 ปีที่แล้ว

    Kali xan xhangaz kuen na roh nzuri maana mm na we ni binadam

  • @stinaismail846
    @stinaismail846 ปีที่แล้ว

    Subhannallah 😭😭 poleni sana Allah ampumzishe malaika huyo Inna lillah winna illayhi rajiun 🙏

  • @nuruchengula11
    @nuruchengula11 ปีที่แล้ว +7

    Inasikitisha Sana tuwaweke wap watoto wetu😭😭😭... Millard Ayo fukuza uyu mwandishi ataulizaje maswali ya kijinga kwenye issue sensitive Kama hii et kwann ni lakusikitisha😭😭

    • @sofiyabakari9730
      @sofiyabakari9730 ปีที่แล้ว

      Mwamzo mgumu muache mwenzako apate riziki

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atalipa

  • @sidebwaxmcbaridi3565
    @sidebwaxmcbaridi3565 ปีที่แล้ว +3

    th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html
    KISOMO KIKUBWA CHA RUQYAH UANGAMIZA NGUVU ZA UCHAWI NA USHETWANI,NA MIKOSI NAVIFUNGO.VYOTE... *#*#
    th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html

  • @aishahussein9348
    @aishahussein9348 ปีที่แล้ว

    Mimi hata niwe na maisha gani ,kama nimewazaa mwenyewe basi nitawalea mwenyewe kama njaa tulale sio kumpa mtu daa mama yake na baba yake wako wapi uyo shangazi ni wakuuliwa tu astaili kuishi kabisa gaidi huenda mchaw

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 5 วันที่ผ่านมา

    Inalilah wainalilah rajuuni

  • @umiy1971
    @umiy1971 ปีที่แล้ว

    Nyinyi ni Vichaa Sana .Ni vipi mtu huyu akawa hajachapwa japo bakora kabla hamjampeleka Polisi ,

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 ปีที่แล้ว +1

    Hicho kiswahili chako cha masasa sasa unapeleka wapi..tulia utoe habari tuelewe.sasa sasa sasa ndo nn

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 ปีที่แล้ว

    Hii dunia hii wallaah maombi Yaitajika sana maana mauwaji kila siku daaa AISSEH Inaumiza sana mtoto mdogo kwl kosa gani kubwa halilolifanya Eeee mungu tunaomba utuokoe

  • @user-li3qo4mx5t
    @user-li3qo4mx5t 9 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +1

    inalilahi wainailah rajiun 😭 Dah! Elimu inahitajika Tanzania Kila siku mauwaji tu.

    • @missmoona4497
      @missmoona4497 ปีที่แล้ว

      Hakuna elimu yoyote, ikiwa viongoz wa din wanawakemea hawasikii, unadhan watasikia la nan? Dawa ni moja tu🙅‍♂️🙅‍♀️ kunyongwa had kufa tena hadharan ili iwefundisho kwa wengine namna hii nimauwaji kiila siku

  • @juliethjustus5424
    @juliethjustus5424 ปีที่แล้ว

    Kama nikweri shangazi amefanya mauwaji Sheria ijukue mkondo

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว

    Mungu tunusuru binadamu tumekosa hutu 😢

  • @praisesteven7742
    @praisesteven7742 11 หลายเดือนก่อน

    mtangazaji saut ya kutangaza kweli

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS ปีที่แล้ว

    Mhm binadamu ni Hatari

  • @emmygeorge9415
    @emmygeorge9415 ปีที่แล้ว +1

    Mashangazi jamani

  • @praisesteven7742
    @praisesteven7742 11 หลายเดือนก่อน

    mchapa wap watto ad wanakufa?? mim sitak mazoea nakuchapa watto niliacha maaan niliona shetan anawza pitia apo apo

  • @SafiyaJ-yw2vt
    @SafiyaJ-yw2vt ปีที่แล้ว

    Huyo shangazi mnyama mungu amlaani kamuua malaika wa mungu

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 ปีที่แล้ว

    Mbona binadamu Sasa ivi tunaroho mbaya sana jamani

  • @modycombo7421
    @modycombo7421 ปีที่แล้ว +2

    hii yote kukosa imani kwamba kuna mungu aliyetuumba kwamba nikifanya kitu watu hawatoniona lakini mungu ananiona yani tuwe naimani jamani tuache roho mbaya haya umeemuwa umepata nini jamani mtihani kwakweli

  • @yusrasalum
    @yusrasalum ปีที่แล้ว

    Mungu atamlipa anachostaili mbwa mkubwa uyo

  • @shebaminde1388
    @shebaminde1388 ปีที่แล้ว

    Kwann alimuuwa sasa

  • @luluwillium1364
    @luluwillium1364 ปีที่แล้ว

    Dah hii dunia jamn😭😭😭😭 kwann lakin

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 ปีที่แล้ว

    Jmn jmn ivi unauaje mtu 😭😭😭

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว

    DuniyA hiiii ukisitaajabu ya musa utayaona yafriauna

  • @D.P.O
    @D.P.O ปีที่แล้ว

    Haya mauaji mbona yametanda sana hapa Tanzania kuna nini?

  • @sinanamaulidi9488
    @sinanamaulidi9488 ปีที่แล้ว

    Jamani arusha mbona mauaji yamezii?

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 ปีที่แล้ว +1

    Shangazi ni kama baba lakini kwanini

  • @adamelinewinga5571
    @adamelinewinga5571 ปีที่แล้ว

    Ukatiri wakijiga

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว

    Mtihani

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 ปีที่แล้ว

    Katili hana roho wala huruma

  • @halimajuma3945
    @halimajuma3945 ปีที่แล้ว

    Vichekesho

  • @dapesastudiosalon6875
    @dapesastudiosalon6875 ปีที่แล้ว +2

    daaaah aise TUMRUDIE MUNGU

  • @user-fs7xc2bb5d
    @user-fs7xc2bb5d ปีที่แล้ว

    SubhanAllah 😭😭😭 kumbe bado mdogo miaka 4 jamani kakosa nini

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani anamuwa kwa nini kwa sababu gani mtihani hiii

  • @agapepalangyo4316
    @agapepalangyo4316 ปีที่แล้ว

    Mwili ufanyiwe uchunguzi kubaini

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa arusha mjitathim

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n วันที่ผ่านมา +1

      Ardhi imemeza watu wengi!,Dam za watu zinalia mpaka watubu😢

  • @Mahonda8080
    @Mahonda8080 ปีที่แล้ว

    sababu haina mashiko kumtia hatiani shangazi

    • @waukweelinikkon6555
      @waukweelinikkon6555 ปีที่แล้ว +1

      Shangazi lazima atiwe hatiani,maana yeye ndiyo alikuwa ameachiwa mtoto na mahali mwili wa mtoto ulipokutwa mtoni ,shangazi naye alionekana eneo hilo,lazima akajibu mashtaka

  • @janethmalaika5241
    @janethmalaika5241 ปีที่แล้ว

    Huyu mtangazaji anashida nae kichwani maswali ya kijinga sana

  • @mamajaphety1624
    @mamajaphety1624 ปีที่แล้ว

    jamani anaeua mtoto na yeye auwawe kwann mnamwacha eti akae jela akati mtt ameshakufa ndo maana matukio yanaendelea watu wanaua watoto anajua ataachwa hai mi huwa naumia sana mtt mdogo amekukosea nn jamani dah 😭😭😭😭inauma sana

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 ปีที่แล้ว

    Punguza matumizi ya neno sasa ndugu presenter!!

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji sasa zimekuwa nyingi

  • @aash4145
    @aash4145 ปีที่แล้ว

    Mwandishi anaambiwa tukio la kikatil,,,,,,, anauliza Kw nini lakikatil,,? Hee,

  • @wow4408
    @wow4408 ปีที่แล้ว

    Huyu mjamaa mjinga Kweli 🤣
    Ebu na wewe sikiliza Ujinga wake
    th-cam.com/video/_dCcqYllTjU/w-d-xo.html

  • @sidebwaxmcbaridi3565
    @sidebwaxmcbaridi3565 ปีที่แล้ว +2

    th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html
    KISOMO KIKUBWA CHA RUQYAH UANGAMIZA NGUVU ZA UCHAWI NA USHETWANI,NA MIKOSI NAVIFUNGO.VYOTE... *#*#
    th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html