ALIYEANDAMWA NA DENI LA MILIONI 16 AOKOTA ALMASI YA MILIONI 270, "ALIPOKEA ELFU 10 KWA SIKU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 75

  • @chidrashid3797
    @chidrashid3797 หลายเดือนก่อน +21

    Hakika wakat wa mungu ni wakat sahihi vijana tunapopitia shida za kimaisha tusivunjike moyo hakika wakat ukifka tu utafanikiwa tujifunze jamb katika hili mungu mkubwa

    • @TellaaxisTz
      @TellaaxisTz หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/w-d-xo.htmlsi=kSrtbvEwAKKsXpB2❤

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 หลายเดือนก่อน +26

    Ninachonkiamin kuwa kila mtu yupo kwa foleni kila mtu Ana muda wake kwa wakati wa mungu naaamina na ww una soma hii like ukijua siku yako na wakatali wako upoo

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤ mashallah shukuru mola kwa kila jambo mola hamtupi mja wake 💝 💝💝💝

  • @leonardmariano8335
    @leonardmariano8335 หลายเดือนก่อน +14

    Ukisikia wa mwisho kuwa WA kwanza ndo hii😅😅Maisha kama gwaride

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 หลายเดือนก่อน +6

    Congrats, don't forget to pray and praise your lord.

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anasikia maomb ila tyu kila mtu anawakat wake ko tusichoke kumuomba mungu guyss god is greater always ❤❤

  • @mattoedward614
    @mattoedward614 หลายเดือนก่อน +10

    From zero to Hero

  • @user-sn6dc9gh8k
    @user-sn6dc9gh8k หลายเดือนก่อน +2

    Asante Mungu sifa na utukufu ni kwako🙏🏻yaan nimeamka mapema hii nimeomba nikahis hadi kuchanganyikiwa ila sasa umenitia moyo wang uimara tena🤲amina🙏🏻❤

  • @hemedy_tz7080
    @hemedy_tz7080 หลายเดือนก่อน +2

    NEVER GIVE UP, NO MATTER WHAT🙏

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ หลายเดือนก่อน +3

    Hivi Kuna namna wachumi wanaweza ishauri Serikali ili Tshs iwe na thamani? Yaani Tshs 270 ML Ni Sawa na $100,000 , hii haiko Sawa , wasomi waliojaa BOT kweli wamemshindwa kuipa thaman Hela yetu, au wanafikiri Ku print noti ya 50,000 na 100,000

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 หลายเดือนก่อน +6

    Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi

  • @BenjaminMetanyau
    @BenjaminMetanyau หลายเดือนก่อน +3

    Mama asiione hii soon tuta muomba mkopo😭

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 หลายเดือนก่อน +4

    Unatakiwa kukata tamaa mara tu usipokuwa na uhai hapa duniani.

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali

  • @user-sv6zy3hc8o
    @user-sv6zy3hc8o หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah mwenyezi mungu ni mwema

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 หลายเดือนก่อน

      Sana tena Ni mkubwa...,!!

  • @SethJohn-x9f
    @SethJohn-x9f หลายเดือนก่อน

    Mungu ndiye hupanga kila kitu na bahati ya mtu usilalie mlango wazi

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu หลายเดือนก่อน +1

    Tusikate tamaa wakati wa mungu ni wakati sahihi acha nisubiri wakati wangu inshallah 👏👏

  • @HASHIMMAKUNGUHAMDANI
    @HASHIMMAKUNGUHAMDANI หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 หลายเดือนก่อน +3

    Wakati wa Mungu ni wakati sahihi

  • @kingsniper9769
    @kingsniper9769 หลายเดือนก่อน +1

    Full blessing

  • @marthakingu4756
    @marthakingu4756 หลายเดือนก่อน

    Zali la Mentali 🙌🏾

  • @peterpaschal4522
    @peterpaschal4522 หลายเดือนก่อน +2

    Baba akipata ana fikiria watoto ila kuna baadhi ya mimama wakipata wanajifikiria😂

    • @CJ-vd9wn
      @CJ-vd9wn หลายเดือนก่อน

      Asante mwenyekiti wa chama😂😂

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 หลายเดือนก่อน +2

    Allah kareem

  • @storytownTv
    @storytownTv หลายเดือนก่อน +2

    😂 Nimemkumbuka mwalim wang wa chemistry ,alikuwa snatusisitiza tuanze kubeti kwasababu kunazali la mentali kwenye maisha

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 หลายเดือนก่อน +1

    Nomaa

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdhulillah

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe หลายเดือนก่อน +1

    Duuh maishaaa hayanaa mwenyewee

  • @kayutiOfficial
    @kayutiOfficial หลายเดือนก่อน +1

    Neema Ya Mungu Imemshukia

  • @MamodelPark
    @MamodelPark หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah

  • @directoramiy_yt7145
    @directoramiy_yt7145 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee

  • @Misanyahidaya
    @Misanyahidaya หลายเดือนก่อน

    Mwacheni mungu aitwe mungu

  • @majaliwamwinje2232
    @majaliwamwinje2232 หลายเดือนก่อน +2

    Duuuh! Mwamba kaula , ACHA wenye madeni twende machimboni

  • @BablayEagle
    @BablayEagle หลายเดือนก่อน +2

    Hatimae waliomkopesha soon wataanza kuomba mkopo kwa jamaa

  • @ZuhuraRajabu-rc3zf
    @ZuhuraRajabu-rc3zf หลายเดือนก่อน

    Zaid ya Hela hio kibu katapeli na kakimbia😅😅😂😂

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 หลายเดือนก่อน

    Kukute Wewe mbongo hiyoo lazima Mmoja afe hapo

  • @bennylove6021
    @bennylove6021 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo za watu mnazotumia mnaomba Copyright?

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 หลายเดือนก่อน

    Na.m nitaokota almasi ya bilioni 13

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 หลายเดือนก่อน

    Time of God 😊

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 หลายเดือนก่อน

    Kwa Mungu Wote Tupo Sawa.

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 หลายเดือนก่อน

    Na mm.nitaikota almasi ya bilionin 3 kwa jina la Yesu kristu nilipe madeni yote jamanii yaan napokeaa

  • @salummussa1139
    @salummussa1139 หลายเดือนก่อน +1

    Aongexewe ulinzi

  • @hancychriss721
    @hancychriss721 หลายเดือนก่อน +1

    This is huuuuge

  • @isackmbade3181
    @isackmbade3181 หลายเดือนก่อน

    Wakwanza like zangu

  • @AndasonMartine-vz2bq
    @AndasonMartine-vz2bq หลายเดือนก่อน

    Mamaeeee

  • @iddyathman5504
    @iddyathman5504 หลายเดือนก่อน

    Nimekuwa wa kwanza kukoment nawapenda sana wote

  • @JoyceMathias-st5xp
    @JoyceMathias-st5xp หลายเดือนก่อน

    Dah

  • @gymondclassic6729
    @gymondclassic6729 หลายเดือนก่อน +1

    dah aise mbona hilo nalo kubwa😂

  • @aishakhamis2996
    @aishakhamis2996 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mkubwa...

  • @marcoakyoo760
    @marcoakyoo760 หลายเดือนก่อน +1

    Ingekuwa tz angekoma 😂

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 หลายเดือนก่อน

      Angepewa 5M tu zengine zikapotezwa😂

  • @sharonmichelle4190
    @sharonmichelle4190 หลายเดือนก่อน

    Duh😭

  • @meshack3910
    @meshack3910 หลายเดือนก่อน

    Wakati na bahati humupata MTU yeyote hapa chini ya jua

  • @fordmaster_
    @fordmaster_ หลายเดือนก่อน

    Kweli hili zali la mentali aiseee 😂

  • @fredrickmwegole7337
    @fredrickmwegole7337 หลายเดือนก่อน

    Twende bongo sasa😂😂😂

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk หลายเดือนก่อน

    Milioni 270 mbona ndogooo sana

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน +2

      UsipoShukuru.kidogo.nakikubwaHautashukuru

    • @PanyaBuku-qo7tu
      @PanyaBuku-qo7tu หลายเดือนก่อน +2

      Hapo ulipo buku huna pymbaffff mkubwa eti ndogo mavi yamekubana na roho chafu

    • @FredrickMatiku-xf2uk
      @FredrickMatiku-xf2uk หลายเดือนก่อน

      @@PanyaBuku-qo7tu Ahsante nilikuwa nataka comment ya mpumbavu kama wewe ya matusiiiii nilikuwa nakutafuta

    • @PanyaBuku-qo7tu
      @PanyaBuku-qo7tu หลายเดือนก่อน

      @@FredrickMatiku-xf2uk kajambe pumbaaffff

  • @officialbadson4545
    @officialbadson4545 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @asiliyetuonlinetv5063
    @asiliyetuonlinetv5063 หลายเดือนก่อน

    Hilo kweli zari

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 หลายเดือนก่อน

    𝐌𝐰𝐚𝐜𝐡𝐞𝐧𝐢 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐚𝐢𝐭𝐰𝐞 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮

  • @chidrashid3797
    @chidrashid3797 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika wakat wa mungu ni wakat sahihi vijana tunapopitia shida za kimaisha tusivunjike moyo hakika wakat ukifka tu utafanikiwa tujifunze jamb katika hili mungu mkubwa

  • @alamnyakimoses6266
    @alamnyakimoses6266 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni mwema