Mch:Daniel Mgogo:Ingekuwa hivi ndoa nyingi zingepona

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 94

  • @danfordmwingira8512
    @danfordmwingira8512 5 ปีที่แล้ว +38

    Me napenda kukusikiliza mbali na mafundisho yenye nguvu na akili but wew ni comedian ambae unatoa mifano hai na halisia... be blessed mtumishi!!!🙏👏👏👏👏👏👏👏

  • @magrethelias8483
    @magrethelias8483 4 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana mafundisho yako mtumishi huwa yananibariki sana.Barikiwa

  • @thobiasmboje1506
    @thobiasmboje1506 5 ปีที่แล้ว +11

    Katika wachungaji wanaojua kuhubiri na kufundisha na wewe umo sio watenda miujiza na kutolewa shuhuda za kutengeneza Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukupigania shetan asije akapata nafasi ya kukuharibu Yesu ndie njia na uzima

  • @pendosalehe8941
    @pendosalehe8941 2 ปีที่แล้ว +2

    kweli ,Binti jasiri hiyo nimeisoma

  • @DanielSulle-wd7cn
    @DanielSulle-wd7cn ปีที่แล้ว

    Mungu akubarik mchungaj mahubiri yako inanibariki Sana

  • @patrickosembo5928
    @patrickosembo5928 5 ปีที่แล้ว +3

    Nabarikiwa sana hapa Jiji la Nairobi , MOLA akuzidishie nguvu na neema ya kufundisha zaidi.

  • @hakizimanamugabo1566
    @hakizimanamugabo1566 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @irinewafula1557
    @irinewafula1557 4 ปีที่แล้ว

    Umeibariki sana mchugaji maneno ya kweli unanena

  • @jacksonhonest3702
    @jacksonhonest3702 5 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu unanibariki sana kwa mafundisho mema pia unafurahisha mno..barikiwa sana💓

  • @jacobtolya1716
    @jacobtolya1716 4 ปีที่แล้ว

    Yaan haya mambo ni halisi San,,,kwel kila asikiae na apone.Barikiwa San mtumishi

  • @perisabuti8379
    @perisabuti8379 5 ปีที่แล้ว +2

    Rev. ur so funny pls spare my ribs😂😂😂😂🙆ur speaking naked truth........i like the way u adress ua teachings

  • @fridashekiao5893
    @fridashekiao5893 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi

  • @asnathtv8485
    @asnathtv8485 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe sana wanielimisha mengi mungu azidi kukuinua mchungaji

  • @johnndewirwa7299
    @johnndewirwa7299 5 ปีที่แล้ว +3

    Yees! That's great Gospel! Be blessed Pastor!

  • @barakadaudi7500
    @barakadaudi7500 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi pastor upo vizur

  • @nesterygeho975
    @nesterygeho975 3 ปีที่แล้ว

    Songea napenda sana unatujenga sana kiroho

  • @irianahmallie08
    @irianahmallie08 5 ปีที่แล้ว +1

    Powerful. Barikiwa Mtumishi wa Mungu..

  • @upendomrema986
    @upendomrema986 5 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana uyu mtumishi wa Mungu anafundisha Mungu azidi kumbariki

  • @pillymsabila4807
    @pillymsabila4807 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana mchungaji rekebisha tabia zetu yote hayo yapo

  • @siateshanapokebaba3757
    @siateshanapokebaba3757 4 ปีที่แล้ว

    Barkiwa sana mtumish

  • @leticiakibona7055
    @leticiakibona7055 5 ปีที่แล้ว +3

    Amen Baba

  • @devothadanstan2402
    @devothadanstan2402 5 ปีที่แล้ว +1

    Asant barikiwa sana mchungaji ameeeni

  • @johnkimani4162
    @johnkimani4162 5 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa mtumishi

  • @lydiahann1737
    @lydiahann1737 5 ปีที่แล้ว

    Nimepata mafunzo mengi barikiwa Rev

  • @siateshanapokebaba3757
    @siateshanapokebaba3757 4 ปีที่แล้ว

    Napenda sana mahubir yako mtume

  • @neemazakari318
    @neemazakari318 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @cleopastanley6683
    @cleopastanley6683 5 ปีที่แล้ว

    Asante ujumbe mzuri mchungaji

  • @kangarajimmy2806
    @kangarajimmy2806 4 ปีที่แล้ว +1

    Mchunganji wanibariki

  • @neopolitan6musicclasses930
    @neopolitan6musicclasses930 5 ปีที่แล้ว

    Mchunga uzidi kubarikiwa ni mengi ni yapatayo kwa mafundisho na mahuri Mungu anayo kujalia

  • @aloycenkayamba710
    @aloycenkayamba710 5 ปีที่แล้ว +1

    Mch. Kila unachofundisha kinanigusa muda mwingine nahisi niliwahi kuoa. Pia hata mafundisho yako yalichelewa kunifikia

  • @sylviesylvieleonardoliveas6138
    @sylviesylvieleonardoliveas6138 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe saaana muchungaji

  • @hylinemose7114
    @hylinemose7114 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah you right kila mwanamke anaomba mwanaume mwema

  • @muddyso1953
    @muddyso1953 ปีที่แล้ว

    2023

  • @lilianberthesa5935
    @lilianberthesa5935 5 ปีที่แล้ว

    Nakubali mafudisho yako yananipigisha hatua

  • @januarynestory9149
    @januarynestory9149 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sanaa

  • @justinechristopher662
    @justinechristopher662 4 ปีที่แล้ว

    Mchungajiubarkiw

  • @jeannettehazimana7013
    @jeannettehazimana7013 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kukutia nguvu mtumishi wa Bwana. Nipateje namba ya simu?

  • @atuenemsalilwa2548
    @atuenemsalilwa2548 5 ปีที่แล้ว +2

    Somo zuri ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @maryjoseph8752
    @maryjoseph8752 5 ปีที่แล้ว

    Toka nianze kukufuatilia nimebadilika Sana kiiman na kimawazo,, kwel baba unajua

  • @deoonline_4212
    @deoonline_4212 5 ปีที่แล้ว +5

    Hili ndo neno la uzima..

  • @mucomilkha2195
    @mucomilkha2195 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nitafusiriye,BOKOHARAMU manayake nini?

  • @gracealexander5309
    @gracealexander5309 5 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @fr.anthonykiungu3176
    @fr.anthonykiungu3176 5 ปีที่แล้ว +3

    Dream mate

  • @neshkaps2886
    @neshkaps2886 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaji ni kweli lkn hiyo tabasamu itakuja vpi na ni yy ailete kama yuafanya yakuudhi na machungu jamani tabasamu itakujaje?kuuliza tu

  • @manuelsendeu7443
    @manuelsendeu7443 4 ปีที่แล้ว

    Amn san

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 5 ปีที่แล้ว

    Asante baba tuombeane

  • @mosesmwasanga4697
    @mosesmwasanga4697 5 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaa!!

  • @ebbykerubo95
    @ebbykerubo95 4 ปีที่แล้ว

    Attention muhimu

  • @clementinespertoniyitegeka6820
    @clementinespertoniyitegeka6820 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimepata dozi ya yangu muchugaji barikiwa who is waching with me 🇨🇩🇧🇻

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว +2

    Ngoja kwanza kausha kama mwanajeshi anayekaguliwa mchungaji mimi nilichemsha lol

    • @jemamtewele218
      @jemamtewele218 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa na anaongea vitu halisi na binadamu ndivyo tunavyovifanya na kwaza.barikiwa sanaa mtumish

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli asiyemjua alafu akishamuoa anamdunda huo ni ujasili

  • @emmanuellbuhohela6706
    @emmanuellbuhohela6706 5 ปีที่แล้ว

    Amn

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 5 ปีที่แล้ว

    amina barikiwa

  • @rehemamasawe9595
    @rehemamasawe9595 5 ปีที่แล้ว

    amen

  • @belysemanirankunda326
    @belysemanirankunda326 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 5 ปีที่แล้ว

    huuu khatalii saana mzeeee

  • @evadaud1712
    @evadaud1712 5 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe

  • @benardmatage1340
    @benardmatage1340 5 ปีที่แล้ว

    Ingaliwezekana muweke haya nahubiri yakiwa kamilifu ningaliridhika zaidi;lakini hata hivyo,nimebarikiwa.. lakini ombi langu labakia tu tupate ujumbe kamilifu tukifuatilia kwa TH-cam Sisi wale hatuwezi kupatana naye moja kwa moja.

  • @joehenry1953
    @joehenry1953 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaaaaaaaaaaaaaa, before haijafika chini ushakufa

  • @justingwanko2295
    @justingwanko2295 5 ปีที่แล้ว

    Sindano zinaingia paka bas

  • @jeniphajeremiah8008
    @jeniphajeremiah8008 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kapole

    • @mamahamisi5691
      @mamahamisi5691 5 ปีที่แล้ว

      Yaani mungu akupe umri mrefu uendelee kuponya roho zetu

  • @theoniyonkuru6423
    @theoniyonkuru6423 5 ปีที่แล้ว

    we njo unasema ukweli unafundisha ukweli wa kuskiya askiye

  • @theoniyonkuru6423
    @theoniyonkuru6423 5 ปีที่แล้ว +1

    we njo umekuja kutukombowa

  • @joellaniyonkuru8908
    @joellaniyonkuru8908 5 ปีที่แล้ว +2

    Neno nzuli la uzima .asante sanaaa

  • @julianamartin9491
    @julianamartin9491 5 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji nimejikuta natikisa kichwa kama yananihusu vile

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว +1

    Mchunhaji wewe ni koboko

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว

    Shusha nondo

  • @drmanager.products5284
    @drmanager.products5284 5 ปีที่แล้ว

    Hapo kusema intension umevhemka mchungaji ulimaanisha seeking attention.a ha kingereza kiende mbinguni

    • @jacksonchimomo554
      @jacksonchimomo554 5 ปีที่แล้ว +1

      Dr Manager. products leta yakwako

    • @siwonikengodya2149
      @siwonikengodya2149 5 ปีที่แล้ว

      Hapo kasema kinyakyusa lkn nadhani umeelewa

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 5 ปีที่แล้ว

      Dr Manager. products sawa muhariri, unajikuta daktari wa nini sijuwi,eti Dr manager.products, what the hell does that even suppose to mean 😏?
      Naona wewe nawe ni attention seeker
      Sikiliza mahubiri usepe,nkt!

    • @zerajapheth5782
      @zerajapheth5782 3 ปีที่แล้ว

      Hapo hakuna kutikisa kichwa nikujikaza tu balikiwa sana mtumishi hapo umepiga penyewe

  • @mpenzujaneth7119
    @mpenzujaneth7119 5 ปีที่แล้ว

    Ameeeeen

  • @cuthbertmrema4785
    @cuthbertmrema4785 5 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @veronicamdeke4474
    @veronicamdeke4474 5 ปีที่แล้ว

    Amen