RICO, MBWANA YAHYA .KISUMU KENYA WAKRISTO HAWAKUTOKA KWA ISHAKA WALA ISMAIL WAO WAMETOKA ANTOKIA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @binbadru1654
    @binbadru1654 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah awarehemu wahadhir na waislam wote waliokwisha tangulia,amin

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว +4

    saimu gwao hongera sana kwa kutuletea haya.naamini umefanya kazi kubwa sana mpaka kuziweka huku,dah ALLAH SW atakulipa pakubwa.nilishajiuliza hizi zitaingia lini youtube.

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah ALLAH BARIIK always my brothers.

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli, nashukuru Allah kuwa mwislam. Alhamdulillah

  • @mariamjuma3684
    @mariamjuma3684 3 ปีที่แล้ว +3

    Jazakumullahu kheyr akhy. Ma shaa Allah Hii imenikumbusha mbaaaali. Barakallahu feekum. Alhamdulillah tulikuwepo kwenye muhadhara. Allah awalipe na awarehemu wote. Ameen.

    • @bahatimataka229
      @bahatimataka229 3 ปีที่แล้ว

      Allah awarehemu wahadhir wote waliokwishatangulia. mbele ya haki

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      Amiiiiiiina Amiiiiiiina 🤲🤲

  • @allymuhammad325
    @allymuhammad325 ปีที่แล้ว

    Marehem Mbwana Mohamed, Marehem Sheikh Said Ricco, Marehem Yahaya Hosea, Allah awasamehe, awape qauli thaabit, na ajaalie makaburi yao yawe katika viwanja vya peponi😭😭

  • @Hussayn21
    @Hussayn21 3 หลายเดือนก่อน

    Haki ikifika Urongo bila ya Shaka inatoweka Mashallah.
    Allah Aturehemu na Atuepushe na Adhabu ya Kaburi… Aaaaaamin

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 ปีที่แล้ว

    Yani wakristo badala yakujifunza bado hawa taki hata hizi zama uwazi na ukweli lakini watu bado hawataki kujifunza kweli ndugu zetu ni mtihani sana zindukeni wapendwa katika Adam 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @khalidsalmin7682
    @khalidsalmin7682 3 ปีที่แล้ว +3

    ALHAMDULILLAH 🤲🌷

  • @mulhatmzamil3492
    @mulhatmzamil3492 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah. ALLAH BARIK

  • @ameali1251
    @ameali1251 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahh timu imetimia hapa
    Mashaallah

  • @KoomeNzima-lp4ql
    @KoomeNzima-lp4ql ปีที่แล้ว

    Mohamed ni nitume Wa uongo yesu ni mwana wa mungu

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว +2

    Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh
    Naomba namba ya simu ya ustahi Rico please 🙏

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha"Allah somo kubwa Masha"Allah

  • @shabanikagobe6744
    @shabanikagobe6744 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah majembe hayo

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว +1

    Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh

  • @janelithasolomon5212
    @janelithasolomon5212 2 ปีที่แล้ว

    Majuha kweliiiiii nyie🤣🤣

  • @gabione3785
    @gabione3785 3 ปีที่แล้ว

    Wacheni sarakasi zenu ;Wakristo in wafuasi wa kristo kama vile wanavyoitwa.Shetani huja kwa njia hiyo na pesa kutoka hiyo dini ya kishetani haitafaulu,uongo na ulaghai kwa uslamu ni maadili yenye kusifika ilimradi mtu a slimu.

    • @alexmwalim9714
      @alexmwalim9714 3 ปีที่แล้ว +1

      Andiko gani yesu kasema wafuadi wake waitwe wakrsto

    • @gabione3785
      @gabione3785 3 ปีที่แล้ว

      @@alexmwalim9714 Andiko gani kasema wafuasi wa muhamed waitwe waislamu?

    • @MakaiKasala
      @MakaiKasala 2 ปีที่แล้ว

      Baada ya Mwenyezi Mungu kukamilisha kushusha vitabu vyote vinne vya imani yaani Taurati, Zaburi, Injili na Qur'an, alishusha andiko la kuonesha kuwa kazi ya mitume imekwisha kamilika na dini imekalika kuanzia Taurati hadi Qur'an. Ushahidi Qur'an 5:3 ...Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu.
      USHAURI
      Shika neno la Mungu, ulisikie na ulifanyie kazi sio maneno ya wanadamu.
      Soma maandiko kabla ya kushika imani. Hii dunia inahadaa nyingi sana.. Sikiliza hapo maandiko kwa umakini.

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว

    mambo yapo wazi tu,ata wakimkataa Ismael maandiko yanamkubali,Io ndo inanipa morale,Yesu israel na Muhammada pbuh kwa watu wote...itageuka kwa midomo yao lakini kimaandiko haigeuki,pwahahaha

  • @officialsaddmfalme5381
    @officialsaddmfalme5381 3 ปีที่แล้ว

    ,👏👏👏👏

  • @ghulamyassintv4825
    @ghulamyassintv4825 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzungu akubali uislam nakusilimu leoth-cam.com/video/oYuMSlhRBk4/w-d-xo.html

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว +2

    Naomba namba ya simu ya WhatsApp ya ustahi Rico please 🙏 please please 🙏

    • @allymuhammad325
      @allymuhammad325 ปีที่แล้ว

      Huyo mtu amefariki inafika miaka mitatu sasa!! Huyo anaejibu nae pia Ametangulia, ustaadh mbwana mohamed, msomaji pia ametangulia ustaadh Yahaya hosea