WATATOKEA MANABII WA UONGO NA WATADANGANYA WENGI DUNIANI JE NI KINA NANI HAO/ USTADH IMAN PETRO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 116

  • @عابرالسبير
    @عابرالسبير หลายเดือนก่อน +1

    Allah akurehem Shekh Iman petro

  • @GaudianKiwia
    @GaudianKiwia 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar ALLAH akuondolee adhabu khabur

  • @MARIAMMWAMSEMA
    @MARIAMMWAMSEMA 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wallai nampenda sana imani yani nilikua namkubali sana allah mlipe uliyo wahaidi waya wako wema

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 2 ปีที่แล้ว +7

    Shekh Allah akujaalie kheri kwa kutoa darsa za huyu mwamba Allah azidi kumfanyia wepesi huko kaburini kwa darasa hizi atapotea mwenyewe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 3 ปีที่แล้ว +13

    Allah akupe akuzidishie nuru katika kabru yako

  • @khatibumickidadi3245
    @khatibumickidadi3245 3 ปีที่แล้ว +8

    ALLAH akuingize peponi umeufnyia makubwa saana mpaka ukazuiliwa kwenda Zanzibar

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 2 ปีที่แล้ว +5

    Hiki chuma kilikua balaa aisee Allah amjaalie pepo kwa fadhila zake.

  • @binbadru1654
    @binbadru1654 3 ปีที่แล้ว +12

    Allah akurehemu imani petro

  • @mussafanto7088
    @mussafanto7088 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah mjalie pepo huyu sisi twamuona mwema sana na kazi aliofanya ilikuwa nzuri

  • @jei_Ibrahim
    @jei_Ibrahim 3 ปีที่แล้ว +8

    Aah imani petro Mungu akurehemu sheikh mwambaaa

  • @Smart_jarm
    @Smart_jarm 2 ปีที่แล้ว +5

    HIVI HUYU MWAMBA ILIKUAJE AKAFARIKI MAPEMA 🙂🙂🙂DAH YANI HUYU BRO ALLAH AMEMUHIFADHI PEMA ASEE.... INNALILAH WAINNAILAYHI RAJIUUUN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah amrehemu Imani Petro

  • @mrok284
    @mrok284 2 ปีที่แล้ว +1

    Allaaaahu Akbar.
    Yaa Allah, Yaa khaaliqu, Yaa maalik. Yaa Allah mpe kila la kheiri shekhe Imani Petro huko kaburini aliko. Aamin

  • @abdulimapande4265
    @abdulimapande4265 3 ปีที่แล้ว +9

    Mungu alipe nuru kaburi lako liwe katika viwanja vya peponi kwa huruma zake allah

  • @samihasan1883
    @samihasan1883 3 ปีที่แล้ว +8

    Hallah akuondolee hadhabu zskabri.umefanya kazikubwasana ostadhi himani petro

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 หลายเดือนก่อน

    Mungu ampelekee ustadh imani petrol mahali pema peponi...

  • @mehbooballarakha6530
    @mehbooballarakha6530 3 หลายเดือนก่อน +1

    🌹🌞MASHA ALLAH🌞🌹💙💎💙USTAD SHIEKH IMANI PANGA YAKE KALI MUJAHIDIN YA KWALI MASHA ALLAH 💙💎💙🌞🌹💙💎💙💎💙💎💙💎💙💙💙💙💙💙💙💙🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️💎💎💎💎💎💎💎💎

  • @salemshaban2413
    @salemshaban2413 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah amueke pema peponi sheikh wetu marhum petro

    • @ahmadsaid5845
      @ahmadsaid5845 3 ปีที่แล้ว

      Amekufa???

    • @salemshaban2413
      @salemshaban2413 3 ปีที่แล้ว

      @@ahmadsaid5845 yeah sheikh imani petro alifariki

  • @ummykapera4660
    @ummykapera4660 2 ปีที่แล้ว +3

    Amina yaaraby Allah muwakishie nuru ndani ya kaburi lake mpaka siku ya kiama msamehe zambi zake

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว +4

    ایمان petro الله akujalie pepo

  • @masala8099
    @masala8099 3 ปีที่แล้ว +6

    mungu akurehemu sana

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah akurehemu, amin.

  • @najashrk3738
    @najashrk3738 3 ปีที่แล้ว +18

    Dah huyu alikuwa ni mtu na nusu wallah...hii nielimu uliyozikwa mchangani. Allah amlipe kila lakheri.

    • @hamzayusuf2999
      @hamzayusuf2999 3 ปีที่แล้ว +3

      usiuache kutuleteya mada zazamani nimzuri sana

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 3 ปีที่แล้ว +3

    Allauma gfilau wa sheikh wetu Iman petro.rhama

  • @ahmadirajabu257
    @ahmadirajabu257 3 ปีที่แล้ว +4

    Allahumma nawir qabrahu binuuril iman wa Quran, wal islam

  • @vimkhamis2794
    @vimkhamis2794 ปีที่แล้ว

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun. Allah akupe pepo yake

  • @suleimanhamadi5099
    @suleimanhamadi5099 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa alimaliza kila kitu, mungu ampe pepo

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuruzuku janna Shekh

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah amrehemu shekh wetu

    • @naimaabuualii578
      @naimaabuualii578 3 ปีที่แล้ว

      Kumbe marehemu. ?mungu ampenuru katoka kaburi lake

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 2 ปีที่แล้ว +1

    Imani petro. rahimahullah

  • @saidlucas1216
    @saidlucas1216 3 ปีที่แล้ว +4

    Shukrani sana 💓💓💓

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 3 ปีที่แล้ว +5

    Rip Dah kiboko ya wakiristo

  • @sadiqkale3797
    @sadiqkale3797 2 ปีที่แล้ว +1

    Sawa

  • @lastkassongoog8135
    @lastkassongoog8135 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah azidi kujaria 🙏

  • @aleyabra4160
    @aleyabra4160 3 ปีที่แล้ว +4

    Saimu naomben muiweke . IMANI PETRO.., DEBATE YA BUGURUNI DAR TZ

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว +3

    Kheir inshallah amin

  • @abdulmmassy3963
    @abdulmmassy3963 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashalah

  • @WILLIAMCHINA
    @WILLIAMCHINA ปีที่แล้ว

    Swala La Imani Kila Mtu Mungu Amempa Muelekeo Wa kumtafuta Mwelekeo Katika Matendo Yake na anavyojinyenyekeza.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious หลายเดือนก่อน

      Kwni ww nani kakulaximisha?

  • @henryopwaka1906
    @henryopwaka1906 3 ปีที่แล้ว +4

    Allahu Akbar.

  • @niyakhalid5650
    @niyakhalid5650 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH akujalie Nur Katika kaburi lako

  • @islamseyffden7723
    @islamseyffden7723 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah amrehemu

  • @seifjuma4743
    @seifjuma4743 3 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH NAKUPENDA SAN NA ALLAH KULIPE JANNATULFILLDAUS

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 3 ปีที่แล้ว +1

    Amin yaarabi

  • @Rastamuslim
    @Rastamuslim 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheikhe tunaomba upost video za aboud rogo pia 🙏🙏

  • @allymimi4294
    @allymimi4294 2 ปีที่แล้ว +1

    Chuma iko akuna tunachokidai ustadh

  • @aleyabra4160
    @aleyabra4160 3 ปีที่แล้ว

    Ishakua inapotea naipenda sana ukiandika hivyo kw herufi kubwa ndo inakuja

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna mkatoriki atasimama kwa muislam kwasababu hoja zinamfunga

  • @alichaga4621
    @alichaga4621 ปีที่แล้ว

    Mungu afanye kaburi lako kuwa namwangaza na nuru kumbwa kabisa

  • @chamyluna8030
    @chamyluna8030 3 ปีที่แล้ว +2

    Katika wahadhir huyu mashallah alijitoa kwa ajili ya Mungu ila hao wengine ni njaa tu

  • @mussalugembemussalugembema3650
    @mussalugembemussalugembema3650 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hiyo wakristo ni makafiri

  • @asilclub
    @asilclub 3 ปีที่แล้ว +2

    ترجمة كلمات العربية بالسواحلية
    1 moja
    2 mbili
    3 tatu
    4 nne
    5 tano
    6 sita
    7 saba
    8 nane
    9 tisa
    10 kumi
    Jumamosi السبت
    Jumapili الاحد
    Jumatatu الاثنين
    Juma nne الثلثاء
    Jumatano الاربعاء
    Al khamisi الخميس
    Ijumaa الجمعة
    MUNGU الله
    MTU إنسان
    BINADAMU إبن أدم
    WENYEWE هم
    MIMI انا
    WEWE انت
    HUYU هذا
    YULE هذاك
    WALE هؤلاء
    KANZU دشداشه
    SHARTI قميص
    VEST FLANAH فانيلة
    KICHWA رأس
    MACHO عيون
    PUA أنف
    MDOMO فم
    ULIMU اللسان
    MENO أسنان
    WATOTO الأطفال
    WANAWAKE النساء
    WANAUME الرجال

  • @tiberiuskuja6764
    @tiberiuskuja6764 3 ปีที่แล้ว

    Uroma sio ukristo Bali limejiipachika kusudoi kuchanganya iili watu wasmjue Mungu was ukweli

  • @ashajuma1822
    @ashajuma1822 2 ปีที่แล้ว

    Allah akupe jannatul firdaus

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 3 ปีที่แล้ว

    Wambiye ao wamepoteya

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 3 ปีที่แล้ว

    Mnajichanganya Mara biblia sio kitabu Cha Mungu huyo Petro anasema ni lazima muisome waislamu mmekwisha potea mnatapatapa

    • @hamisishabani4072
      @hamisishabani4072 3 ปีที่แล้ว +1

      YA ALLAH KWA RAHMA ZAKO TUNAKUOMBA UMRAHAMU NDUGU KATIKA IMANI,IMANI PETRO.ALIREJEA KATIKA DINI HAKI,NA ALIUTETEA UISLAMU KWA AJILI YAKO ALLAH.TUNAKUOMBA UWARAHAMU,WAASISI WOTE WA HADHIRI WA KISLAMU WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI KWA UJUMLA KILA MUISLAMU YA RABBI TUNAKUOMBA UWARAHAMU NA UWASAMEHE KWA KILA WALIYO WAHI KUKOSEA.NASI PIA MOLA WETU TUKUOMBA UTUJAALIE MWISHO MWEMA,TUFE TUKIWA WAISLAMU.AMIIN!!! IMANI PETRO ULIPAMBANA NDUGU YANGU MAA SHAA ALLAH.

    • @salimobeid1470
      @salimobeid1470 3 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza Mada vizur

    • @HemedSerious
      @HemedSerious หลายเดือนก่อน

      Kwni Nan kasema biblia ni kitab cha mungu

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 หลายเดือนก่อน

      @HemedSerious aliyesema biblia ni kitabu Cha Mungu ni huyo Allah wenu 29:47 allah anaitambua biblia wewe nani huikatae basi wewe ni mkweli allah ni muongo

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว

    Manabii wa uongo kama muhamadi si nabii wa kweli

    • @asilclub
      @asilclub 3 ปีที่แล้ว

      Soma kitabu chako vizuri

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 3 ปีที่แล้ว +1

      Na hawa manabii tuko nao sai kina owour na wengine tunaowaona hadi kwa screens wakijitangaza majukwaani ni wa ukweli ama ni waurongo?

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว

      @@asilclub Nimesoma Sijaona muhamadi wala uislam ndani ya Biblia

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว

      @@jei_Ibrahim ni wauongo tena ni wengi na wanadanganya wengi na muhamadi pia yupo

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 3 ปีที่แล้ว +2

      ok kama unakubali ni waongo sawa ila hapo kwa moh'd Umebugi step kwa sababu quran inasadikisha kuwa mohd ni mtume najua ww huamini quran ila pia ni sawa sio wote watakayo iamini quran

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 3 ปีที่แล้ว

    Petro huyo anayo namba 666 huyo ni mpinga kristo

    • @oqmoqmn5492
      @oqmoqmn5492 3 ปีที่แล้ว

      Nivibaya kumsema vibaya mtu ambaye keshatangulia mbele za khaki kua na adabu

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 3 ปีที่แล้ว

      @@oqmoqmn5492 huyo aliyemtukama mtume Paulo kwani nyeye yupo hai duniani kutana mtukane nyie mkijibuwa ni matusi kwenu kwa mtu kuitwa marehemu ni tusi? Au Muhammad alipaa akufa?

    • @oqmoqmn5492
      @oqmoqmn5492 3 ปีที่แล้ว

      @@prochesernest5439 hizo namba ulizosema kua ni mmja wapo ndiomaana nikakwambia kua na adabu kwakua imani ptr hakua huko kumwita mtu aliekufa marehemu nisawa hakuna tatizo

    • @swiddiqmussa3490
      @swiddiqmussa3490 3 ปีที่แล้ว

      Mpinga Kristo ni wewe ambaye unaabudu miungu 3

    • @khairatsuleiman4606
      @khairatsuleiman4606 ปีที่แล้ว

      ​@@prochesernest5439marehemu ni alieremewa n'a Mungu n'a lazima Uwe muislamu. Ukiwa kafiri hurehemewi Ndio hatukuiti marehemu tunakuita Hayati.

  • @asilclub
    @asilclub 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU الله
    MTU إنسان
    BINADAMU إبن أدم
    WENYEWE هم
    MIMI انا
    WEWE انت
    HUYU هذا
    YULE هذاك
    WALE هؤلاء
    KANZU دشداشه
    SHARTI قميص
    VEST FLANAH فانيلة
    KICHWA رأس
    MACHO عيون
    PUA أنف
    MDOMO فم
    ULIMU اللسان
    MENO أسنان
    WATOTO الأطفال
    WANAWAKE النساء
    WANAUME الرجال

  • @oqmoqmn5492
    @oqmoqmn5492 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah amrehemu imani petro

  • @dauddaud8393
    @dauddaud8393 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah