Ninja akumbuka alivyopigwa DR Congo akitaka kumuona Hersi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 มิ.ย. 2024
  • Baada ya beki wa kati, Abdallah Shaibu 'Ninja' kumalizana na Lubumbashi Sport ya DR Congo, ametaja mipango aliyonayo kwa msimu ujao, huku akisimulia kisa kupiga picha na Injinia Hersi Said.
    Ninja alijiunga na Lubumbashi Sports kwa mkataba wa miaka miwili, akitokea Yanga ameutumikia mmoja, kisha ameomba kuondoka akitoa sababu ni usalama mdogo wa maisha ya DR Congo.
    "Japo kuna timu tatu za DR Congo zinahitaji huduma yangu, labda nipewe pesa ndefu, hata nikikaa kwa shida familia yangu Tanzania iwe salama, nje na hapo zipo timu hapa nyumbani zinahitaji huduma yangu nitazipa nafasi, kwanza Ligi Kuu Bara ni maarufu na inafuatiliwa na nchi mbalimbali," amesema na kuongeza;
    "Wakati nafika mara ya kwanza, niliambiwa kutembea mwisho saa 3:00 usiku, kila mtaa unapita unakutana na askari, sasa kuna wakati mwingine unaweza ukatoka kutafuta chakula cha Kitanzania, saa 3:00 ikikukutia nje ya nyumba yako ni shida."
    Hata hivyo, Ninja amesema hatosahau kipigo alichopigwa na walinzi wakati akiingia uwanjani kwenda kukutana na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said.
    #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 34

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 หลายเดือนก่อน +8

    Sis wanayanga kuhusu Fei tulikuwa hatutaki kabisa apate chochote na mkeka umetiki.

    • @SaidJumanne-ue2jy
      @SaidJumanne-ue2jy หลายเดือนก่อน

      Du na kipaji chake chote mmekichukuwa Hana kitu na sasa hajui mpira kweli utopolo kiboko

    • @sosomacharles9920
      @sosomacharles9920 หลายเดือนก่อน

      @@SaidJumanne-ue2jy Tatu mzuka tulieni hivyo hivyo dawa iwaingie.

    • @user-hb2nn6ud2d
      @user-hb2nn6ud2d หลายเดือนก่อน

      Hakika mungu amejubu maombi yetu wana yanga mla sukari kashajua kama yanga ni kubwa kuliko yy bwabwa huyo

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe kule Congo maisha ni mabaya hivyo.

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe ulikuwa upande wa Fei basi Yanga utapasikia tu

  • @HadjiLibaba
    @HadjiLibaba หลายเดือนก่อน +1

    Ninja yupo sahihi kabisa île nchi usalama mdogo.... Kule ligi inaendeshwa kisiasa

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa hiyo ww kumbe unafurahia matendo anayoyafanya Fei,Yanga utapasikia tu.

    • @nyugujr8586
      @nyugujr8586 หลายเดือนก่อน

      mchezaji sio shabiki na anahaki kuzungumza chochote kuhusu mpira

  • @mohdabdalla7070
    @mohdabdalla7070 หลายเดือนก่อน +1

    Ww Mtangazaji nenda kasone yani ww bado sn dada yngu

  • @suleimankombo1743
    @suleimankombo1743 หลายเดือนก่อน +2

    Binafsi nilitamani hivyo

  • @user-bo3jd6ng5d
    @user-bo3jd6ng5d หลายเดือนก่อน +3

    Alaf wakina mayele wakija bongo wanajifanya fyoko fyoko hakun mchezj Kongo htak kuchez bongo

    • @ruchusprospa7796
      @ruchusprospa7796 หลายเดือนก่อน

      tanzania ipi kila kukicha mnapelrkwa FIFA kesi za mishahara hahahahaaaaa acheni kuwa sajili wa congo hahahahaaa bile wageni no football in tz

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@ruchusprospa7796hata nyinyi wakenya mnatamani kuchezea tz... na ligi yenu mbovu hiyoo 😂😂😂😂😂

  • @H3s4d
    @H3s4d หลายเดือนก่อน

    Juhudi. Na. Nidham .ni kitu. Muhimu wachezaji. Wa. Kigeni. Wana. Wivu. Wa maisha. Na wabunifu. K.kazi wazawa. Tunaridhika

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 หลายเดือนก่อน

    Eti timu yangu ilishika nafasi ya 5 nahisi, ina maana aqui timu yake ipo nafasi ya ngapi?

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj หลายเดือนก่อน +1

    We ni shabiki sio mchezaji na umeshsjiaribia kuingilia mabifu

  • @mwlmsekekabola5661
    @mwlmsekekabola5661 หลายเดือนก่อน

    Ninja umesema vema.Lakini ishu ya fei, ingawa ni rafiki yako, mwambie aache utoto atakoseshwa raha.Asishindane na wanayanga

  • @daudianselmo2956
    @daudianselmo2956 หลายเดือนก่อน +1

    Ila waandishi wa bongo bwana 😅

  • @freddymtashi5020
    @freddymtashi5020 หลายเดือนก่อน

    Pambanenii mbona Mohammed Hussein kaitunza heshima yake2.

  • @user-pn6wd8wd3n
    @user-pn6wd8wd3n หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji bdo....

  • @sospetershijah5619
    @sospetershijah5619 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwandishi arudi shule kudadeq hajui kitu 😂

  • @user-ug9nl8lo1o
    @user-ug9nl8lo1o หลายเดือนก่อน

    U Zanzbary kwanza,

  • @babaabro8847
    @babaabro8847 หลายเดือนก่อน

    Aisee wandishi wengine vichefuchefu

  • @malietamaliet
    @malietamaliet หลายเดือนก่อน +1

    😂sawa tff kwa tuzo yako ya mchezaji bora umekosa wee kuchukua uko kongo unaleta ujuaji uku ukija bila gadi utagawiwa wastani Kwa idadi 👂🤞🤞

  • @MchomvuMasoud
    @MchomvuMasoud หลายเดือนก่อน

    Achana nao ndg wale wao wamezoea vita

  • @LinnerChally-tc4mn
    @LinnerChally-tc4mn หลายเดือนก่อน

    Nukukosa fazila

  • @josephntungiye6232
    @josephntungiye6232 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji wahovyo kabisa

  • @mutulasafari7664
    @mutulasafari7664 หลายเดือนก่อน +8

    Kwanini MTU kibaruwa kinapo kwisha anaponda zaidi sehemu amekulia kaugali ?kwenda KWA Point Baana unatafuta unga tena 😅😅😅😅

    • @user-kn1mr2em5i
      @user-kn1mr2em5i หลายเดือนก่อน +2

      Maisha ya Kongo ndiyoo hvyo hatarishi hawez kukusemea vizur sasa

    • @Mumewangu
      @Mumewangu หลายเดือนก่อน +1

      Sasa atasemaje mabaya akiwa Congo unakujuwa lakin?

    • @user-rs1me3tp2m
      @user-rs1me3tp2m หลายเดือนก่อน

      Ameponda nn sasa

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 หลายเดือนก่อน

    Kama Huna cha kumuhoji bora unyamaze maana huna cha kumuhoji

  • @cynthiapwani1383
    @cynthiapwani1383 หลายเดือนก่อน

    Wewe mchezaji wa ndani cheza kama azizi ki na utuonhyeshe kile anachofanya uwone kama ujaimbwa ww dunianzima na tukakujengea na sanamu posta hahahaha hamjitumi mnaridhika tu afu mnalalamika mfano uyo fei tumpigie promo wakati ayuko kwenye club yetu na anatufunga mdomo nani amzungumzie hahahhaaha azam si wanamashabiki wampromot sasa,