MWINYI ZAHERA AFUNGUKA MAZITO "MIMI MKWELI, MZIZE ALIKUWA BODABODA, DJUMA SHABANI MZITO?"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2022

ความคิดเห็น • 23

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 ปีที่แล้ว +10

    Nakukubali sana Zahera kwa kuwa mkweli na muwazi toka enzi zile za vibakuli, pia nakupongeza na kukushukuru kwa moyo wako mwema kwa wachezaji hiyo ni asili yako, leo mzize anakutungua ila ulimbeba sana na umemfikisha alipo, endeleza moyo huohuo Mungu atakubariki BO

  • @jeamwenda7394
    @jeamwenda7394 ปีที่แล้ว +6

    Barakoa ya nin wee mzee wa mpiya!!

    • @mamuoman7849
      @mamuoman7849 ปีที่แล้ว +1

      Me nikajua bado kuna korona

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 ปีที่แล้ว +1

    Clement Mzize yuko vizur saàna ⚽⚽🏅💚💛🏅🔥🔥💯

  • @suzancharles1639
    @suzancharles1639 ปีที่แล้ว +4

    Barakoa ya nn we mzee😂😂😂😂😂mpiya mpiya

  • @prisilakabyemela1792
    @prisilakabyemela1792 ปีที่แล้ว +2

    barakoa ime kuponza

  • @mohamediidd1964
    @mohamediidd1964 ปีที่แล้ว

    Hahaa muzize

  • @tanzaniakwanzamaadili5083
    @tanzaniakwanzamaadili5083 ปีที่แล้ว +1

    Alikua boda boda akiwa na miaka 10 sasa ivi ana 18 duuu utopoloo mko powa😁😁😁😁

  • @emanuelfidelis1647
    @emanuelfidelis1647 ปีที่แล้ว +1

    Uandishi wa habari tz shida iko

  • @zamumuna8780
    @zamumuna8780 ปีที่แล้ว +3

    Acha zako kwan una kisa gan na djuma

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 ปีที่แล้ว

      Kwani umesikia anasema ana kisa na djuma?

  • @bensimon7330
    @bensimon7330 ปีที่แล้ว +1

    Msemaji wa uto

  • @kenosman4780
    @kenosman4780 ปีที่แล้ว +1

    Mzee na barakoa lako unaboa 😀😀. Unajikubal kulko uwezo wako

  • @kenosman4780
    @kenosman4780 ปีที่แล้ว

    Mzee na barakoa lako unaboa 😀😀

  • @mycletaitas4194
    @mycletaitas4194 ปีที่แล้ว

    Huyu hana bahati mbeya kwanza ilishuka c alikuwa nayo

  • @drbenonline9338
    @drbenonline9338 ปีที่แล้ว +2

    Mtu alikuwa bodaboda ila bado ana miaka 18 saa hv alianza kupambana mapema sana😂

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 ปีที่แล้ว +1

      Uwe unajiongeza kwani hakuna watoto wa miaka 14 street wanaendesha boda boda au wengine mafundi pikpik au Wewe ni Mama ake Mzize bac ndo unajua miaka ake uongo ? Basi hatukupingi

    • @mamuoman7849
      @mamuoman7849 ปีที่แล้ว

      Inawezekana hata labda aliendesha hata miaka michache tu Kwan miaka ya mafanikio ni mingapi unaweza kua ulikuwa unasoma la saba ulivyomaliza hukutaka kuendelea ukajiunga na mambo ya mpira mwaka tu unakipiga hapo utakua una miaka mingapi la saba miak12 academ ya mpira miaka miwil ukaonesha kipaji miaka mitatu ukacheza ligi kuu. Waliocheza kombe la dunia tunaona wakijisema wana miaka 18 isitoshe mzize na mwakan anacheza tim ya taifa ya wakubwa

    • @bhm675
      @bhm675 ปีที่แล้ว +1

      Bro, binamu yangu kakataa shule form 1 kapewa boda, anamiaka 14 anaenda 15 now so inawezekana hasa km Ana mwili mkubwa coz km binadam yng ni mrefu xn akisimama na mm unaweza kusema yy ni mkubwa wakt namzid miaka km 6 ivi

  • @Queen-fq9zj
    @Queen-fq9zj ปีที่แล้ว

    Asa mbona havuagi hilo barakoa lake

    • @jrsaid4270
      @jrsaid4270 ปีที่แล้ว

      Tukolona tunaua

  • @prospermmary1388
    @prospermmary1388 ปีที่แล้ว

    😂boooo