Magoli yote: Yanga walivyoichakaza Kurugenzi (8-0), Mzize apiga manne | ASFC 11/12/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2022
  • HAT-TRICK: Clement Mzize amefunga magoli manne na kuondoka na mpira wa #hattrick katika ushindi wa 8-0 iliyoupata Yanga dhidi ya Kurugenzi FC inayoshiriki First League (Ligi daraja la Pili) kutoka Maswa mkoani Simiyu.
    Mzize amefuga magoli hayo manne sekunde ya 15, dakika ya 8, 41, 45'+4 ..... Mengine yamefungwa Jefta John dakika ya 6 likiwa ni la kujifunga, David Bryson dakika ya 77 na Yusuph Athuman dakika ya 79 na 85.
    Hii ni mechi ya raundi ya pili #AzamSportsFederationCup iliyopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 134

  • @johnmgweno4254
    @johnmgweno4254 ปีที่แล้ว +25

    No diara
    No job
    No bangala
    No aucho
    No feisal
    No kibwana
    No moloko
    No twisila
    No sure boy
    No lomalisa
    No mayele
    No nabi
    NO PROBLEM
    THIS IS YANGA💥💥🔥💥💥🔥💥🔥💥🔥💥🔥💥🔥🔥

    • @mohamedkutwambi
      @mohamedkutwambi ปีที่แล้ว +2

      afu weweee 🤣🤣

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 ปีที่แล้ว +1

      Make kwanza ncheke

    • @guccij6236
      @guccij6236 ปีที่แล้ว +1

      🤣

    • @storytime1204
      @storytime1204 ปีที่แล้ว

      Kama no problem basi mkicheza na simba msiwaweke hao hahahha au na Tp mazembe ndio nitaona kweli no problem

  • @fistonmakopa598
    @fistonmakopa598 ปีที่แล้ว +3

    Yanga tamu 💚💚💛💚💚💚💚💚💚💛💛💛

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 ปีที่แล้ว +5

    Mmetufurahisha mwaah

  • @scopy0428
    @scopy0428 ปีที่แล้ว +5

    Huyu Mzize ni Mmachinga ajae

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 ปีที่แล้ว +6

    Ni mwendo wa kuchukua mipira tuu mpaka tutachua na ubingwa💚💛

    • @mariajohn6214
      @mariajohn6214 ปีที่แล้ว +3

      Yule wa kwao alifunga 4 wa kwetu mdogo kuliko amejibu

    • @lovenesskalenge2683
      @lovenesskalenge2683 ปีที่แล้ว +2

      @@mariajohn6214 Kwetu Raha Raha jamani

  • @saidmo9250
    @saidmo9250 ปีที่แล้ว +6

    Sekunde tu imoooooo🤣🤣🤣

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 ปีที่แล้ว +6

    Mwamba huyu apa Clement mzinze

    • @mariajohn6214
      @mariajohn6214 ปีที่แล้ว +5

      Katoka Mzinze kaingia Yusufu Athuman nae katupia

  • @josephmtavilalo5087
    @josephmtavilalo5087 ปีที่แล้ว +3

    Mzize ni hatariii

  • @yangacongosupporter6051
    @yangacongosupporter6051 ปีที่แล้ว +6

    Akuna MAYELE, muloko, lomalisa, feitoto, lakini tu piga tuu

  • @winnie225
    @winnie225 ปีที่แล้ว +4

    Shida sio kipa kama mmeangalia vizuri kipa amejitahidi sana tatizo mabeki ambao yupo nao wabovu sana wanajisahau

    • @wahakiomary6281
      @wahakiomary6281 ปีที่แล้ว +1

      Umenena kbx lakin yanga tanu jamn l love yanga💚💛💚💛

  • @nasirkilapo6041
    @nasirkilapo6041 ปีที่แล้ว +6

    Kunawatu jana waliweka kikosichao chakwaza hhhhh makweli nimeamini yanga nikikosi kipana tofaufi nawale waliopanga kikosi chakwaza

    • @mamutz6853
      @mamutz6853 ปีที่แล้ว

      Nchizi wewea aokina azizi k wanaanziaga yanga b

    • @weriariwa6900
      @weriariwa6900 ปีที่แล้ว

      🤪

  • @yangacongosupporter6051
    @yangacongosupporter6051 ปีที่แล้ว +4

    Yanga timu kubwa kwasipo MAYELE tuna piga paka

  • @sabasumbella4116
    @sabasumbella4116 ปีที่แล้ว +2

    Na hapo atuja tinga Jersey nyeusi singekuw 16

  • @alexsambia3046
    @alexsambia3046 ปีที่แล้ว +4

    Timu ya kikosi Cha pili duuuh jamn Sio poa

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 ปีที่แล้ว +1

      Aziz ki, Shaban Juma ni kikosi cha Kwanza ? Au mpka acheze mayele ndio kiwe kikos cha kwanza

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 ปีที่แล้ว

    Mmewatesa kurugenzi mpk si vizuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣💚💚💛💚💛💛💪💪

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 ปีที่แล้ว +2

    Yanga raha jamani

  • @lahabumwanderire5067
    @lahabumwanderire5067 ปีที่แล้ว +1

    Rede ya reo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂😂

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 ปีที่แล้ว +2

    Mnachelewa sana kupost cjui mnaendaga wapi

  • @alsaadyalsaady6838
    @alsaadyalsaady6838 ปีที่แล้ว +2

    Mliona mnyama kapiga 8 mkaona muige bwana kazalisha watoto 8 na nyinyi mkataka muzalishe hao hao si ndio mtatom.... shauri zenu

    • @kenosman4780
      @kenosman4780 ปีที่แล้ว +1

      Uzaz na mpira wap na wap ndg yang🚮

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 ปีที่แล้ว +1

    Golikipa Bwege sana

  • @ngassajason3990
    @ngassajason3990 ปีที่แล้ว +2

    Gnabry xtyle

  • @sospeteramos19
    @sospeteramos19 ปีที่แล้ว +2

    Azam ndo number one tz kwa michezo

    • @lailaoman3856
      @lailaoman3856 ปีที่แล้ว +2

      Na kombe awachukui

    • @mariajohn6214
      @mariajohn6214 ปีที่แล้ว +2

      @@lailaoman3856 Anamaanisha Azam Media bila so na sio Azam Fc

  • @givenmabena4950
    @givenmabena4950 ปีที่แล้ว +9

    Mabena wakwanza like zenu

  • @alphoncemoyo7967
    @alphoncemoyo7967 ปีที่แล้ว

    Polenii makolo

  • @mswaki
    @mswaki ปีที่แล้ว +3

    Yang yamoto

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc ปีที่แล้ว +2

    Kwani haya mashindano lazima yaanze uku si ipigwe tu namungo simba yanga na azam uku mnataka kuwazalilisha kina kurugenzi tu🤣🤣🤣

  • @erastomgalla5061
    @erastomgalla5061 ปีที่แล้ว +1

    Nice 👍

  • @josephatmathayo2355
    @josephatmathayo2355 ปีที่แล้ว +2

    Yanga kwa kweli kikosi kipana. Morison, Aziz, Nondo, zawadi, Farid ambundo. Hao ndo kikosi B. Mmetisha

    • @kelvintenga1217
      @kelvintenga1217 ปีที่แล้ว +1

      Walikua Wana wapa joto vijana

    • @AfricanaTaarabTv.
      @AfricanaTaarabTv. ปีที่แล้ว +1

      Ulimuona Mayele,diara,Feisal,kibwana,aucho,Bangla,moloko,kisinda,job,lomalisa na sureboy

  • @ip_header
    @ip_header ปีที่แล้ว +3

    Dogo kapiga Hatrik ndani ya muda mchache zaidi

    • @philyjr7344
      @philyjr7344 ปีที่แล้ว

      goli la pili mpira haujamgusa ni beki kasukumia nyavuni

    • @ecostats51
      @ecostats51 ปีที่แล้ว +2

      @@philyjr7344 Sasa kwani kapewa hilo goli?,si limeandikwa OG {Opposite Goal} au mimi ndiye sijui!

    • @philyjr7344
      @philyjr7344 ปีที่แล้ว

      hakun VAR thats why we angalia vzur mpira ka umemgusa ye pia hakushangilia why

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe staili yakunyunyiza ni taaamu SAKHO utopolo wanakukubali wewe ni 🔥

    • @namaraalexmbeikya1491
      @namaraalexmbeikya1491 ปีที่แล้ว

      Style ni ya Serge Gnabry fuatilia mpira my friend

    • @storytime1204
      @storytime1204 ปีที่แล้ว

      @@namaraalexmbeikya1491 sasa mbona hawakufatisha mwazo?

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 ปีที่แล้ว +2

    Mayele chezea tope mfungaji ameshapatikana yanga huna nafasi tena

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 ปีที่แล้ว

    Huyo Gori keeper ana stahili adhabu kabisaa maana hakuwa Sirius huyo 🙆😄😄🙌🙌

  • @shabanimachite1300
    @shabanimachite1300 ปีที่แล้ว +2

    unaumwa kikosi b icho haupo xawh

  • @neemaneema4508
    @neemaneema4508 ปีที่แล้ว +1

    Kulugenzi Hanna timu hapo mmewaletea yanga watoto wakuwapikia uji wanywe

  • @ridhaamikiaitabakiakuamiki1065
    @ridhaamikiaitabakiakuamiki1065 ปีที่แล้ว +1

    Mm mambo jaivyo

  • @khamishaji8107
    @khamishaji8107 ปีที่แล้ว

    Sawa sawa

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mngewalipa na Azam basi waliopiga 9 desemba hatariiiii wanasimbaaaa hata hatulingiiiii

  • @juliuswandwi3421
    @juliuswandwi3421 ปีที่แล้ว +1

    Unamaanisha siku hizi Morrison,Azizi k,na wengine hao ni timu B hataree sana.

  • @aviwamwadin1769
    @aviwamwadin1769 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mliozaliwa Leo hii staili ya kunyunyiza yussuf ndio mwenyewe sio ya soko

    • @juliuswandwi3421
      @juliuswandwi3421 ปีที่แล้ว

      Hata kutetema ni mayele sio Kagere mnahatari sana mashabiki wa yanga.

  • @khalidmwinyi1981
    @khalidmwinyi1981 ปีที่แล้ว +3

    Yanga kanunua mechi iyo

  • @lotusvalley4797
    @lotusvalley4797 ปีที่แล้ว +2

    Sakoh

  • @bakarisaidi3005
    @bakarisaidi3005 ปีที่แล้ว

    Wee dada umwii aziza ki Morrison jum shabani

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว +1

    Asa wanafungwaje ivi bao nane inamaana haweaezi kucheza jamani

  • @khairatkhamis5845
    @khairatkhamis5845 ปีที่แล้ว +1

    Kikosi B ten kwan azizik yup kiko B ukmbe

  • @kenosman4780
    @kenosman4780 ปีที่แล้ว

    Huyo mzizi nae achangamke kdg bas kapoa poa afadhal Ht John bocco WANANCHI hatuko hvy

  • @yussufelber5334
    @yussufelber5334 ปีที่แล้ว +1

    huyu si kafunga goli 5?

  • @fatmahamadkhator4202
    @fatmahamadkhator4202 ปีที่แล้ว +2

    Wanacho fanya simba yanga lazima waige

  • @mbalaleshalif8892
    @mbalaleshalif8892 ปีที่แล้ว +3

    A.Kumanina unanyunyiza kwani wewe ni Sakho?🤷

    • @AfricanaTaarabTv.
      @AfricanaTaarabTv. ปีที่แล้ว

      Alianza yeye biashara united sakho kaiga tu

  • @mzeemzee4270
    @mzeemzee4270 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 ปีที่แล้ว +1

    huyo Aziz ndio uvaaji gani huo?

  • @barakasalehe4407
    @barakasalehe4407 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hazikubar???

  • @guccij6236
    @guccij6236 ปีที่แล้ว +16

    Kinacho wauma makolo kuona tumewalipa goli zao na kikosi B

  • @shabanisiwa7714
    @shabanisiwa7714 ปีที่แล้ว

    Mlipe na na ligi ya caf

  • @omiraick_bn4123
    @omiraick_bn4123 ปีที่แล้ว +2

    kibaash kimetembea apo

  • @geofreymahally7115
    @geofreymahally7115 ปีที่แล้ว +1

    Afadhali tumelipa magoli ya mtan

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว

    Uoneaji tu shabiki wa kweli atushangiliag mech kama izi

  • @joshuamwitta1712
    @joshuamwitta1712 ปีที่แล้ว

    Clement tafuta staili ya kushangilia

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze kuongea kiarabu gusa maandishi ya bluu
    th-cam.com/video/8FXdjTk2ciw/w-d-xo.html

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 ปีที่แล้ว

    Kikosi b macho yako hayaoni

  • @lotusvalley4797
    @lotusvalley4797 ปีที่แล้ว +2

    Mbona kunyunyiza?

  • @daniologymsyomi4750
    @daniologymsyomi4750 ปีที่แล้ว

    Kikosi b Cha timu gani?

  • @charlowmathew9762
    @charlowmathew9762 ปีที่แล้ว +1

    Makolo popote pale walipo Tanzania na wale pia tuko nao nje ya Tanzania akiwemo massawe swai kolo maarufu wa Simba 🤣nikiwa nae huku Tajikistan anaumia sana vile makolo wenzake kule Tanzania wanavyo umia na kinachomuuma huyu kolo swai ni juzi kolo ilishinda nane na Leo yanga tumewarudishia na kikosi b🤣🤣🤣🤣

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 8 หลายเดือนก่อน

      Bro I need to talk to u!!

  • @omarkipotwile9052
    @omarkipotwile9052 ปีที่แล้ว +1

    Kwa goli kipa huyu hata pazia ingewasaidia

  • @brianmugisha2490
    @brianmugisha2490 ปีที่แล้ว

    Ushuzi waende

  • @yohananjelwa4101
    @yohananjelwa4101 ปีที่แล้ว

    Kikosi B lkn magori ya kiufundi

  • @Directorjax55
    @Directorjax55 ปีที่แล้ว

    Jaman tukubal yanga wako vzur afu morison katoa pas isyo na uvhoyo kbs wakapata gol

  • @jumannejuma
    @jumannejuma ปีที่แล้ว

    kerementi kaza buti bogo

  • @ashurasudi7951
    @ashurasudi7951 ปีที่แล้ว

    Yan yanga kwa kuiga 😂😂

  • @khamisrashid9645
    @khamisrashid9645 ปีที่แล้ว +3

    nyie huyo pili babe wake Clement aachane na mayelee

  • @jumannejuma
    @jumannejuma ปีที่แล้ว

    hawa ni wakufunga ili waweze kujifinza kutokana na udhaifu wao hapo ndio wajue bado wap chini

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 ปีที่แล้ว

    Yanga tunabeba makombe yote insha'Allah

  • @fatmaismail7683
    @fatmaismail7683 ปีที่แล้ว

    Yaan hizi timu zinafungwa magoli mengi mpaka nacheka

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 ปีที่แล้ว

    Hadi afe mtu

  • @ireneshilanga7534
    @ireneshilanga7534 ปีที่แล้ว +1

    Sjapenda huyo Alienyunyuzia yeye si Sakho

  • @trinityworld9906
    @trinityworld9906 ปีที่แล้ว +1

    hahaaahaahaaaha yanga bhana lazima muwaige simba hahahahahahahaahaaa karibuni simba najua watamani kuja simba

    • @meshackmganga6948
      @meshackmganga6948 ปีที่แล้ว

      Muangalie yusuph akiwa biashara Halafu uliza sakho alikuwepo?

  • @barakajohnh.b8580
    @barakajohnh.b8580 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe sakho wanamkubal

    • @fatmahamadkhator4202
      @fatmahamadkhator4202 ปีที่แล้ว +1

      Si unajuwa yanga kwa wigo

    • @libramuziq
      @libramuziq ปีที่แล้ว

      Hyo style ni ya Halaand sio sakho,
      Af kingine usichokijua sakho pia amepaste kwa Serge Gnabry

    • @kassimiddi8593
      @kassimiddi8593 ปีที่แล้ว

      @@libramuziq Halaand kamuiga sakho

    • @lucynelsonmungure1719
      @lucynelsonmungure1719 ปีที่แล้ว

      Kwa taarifa tu ng'olo kante Naye kuna kipindi unyunyiza akuna cha kuiga hapa

  • @konshazikonsha6180
    @konshazikonsha6180 ปีที่แล้ว +5

    Kuna mtu amesema hii ni Yanga B
    Hiviiii........
    Bernard Morrison
    Aziz k
    Zawadi mauya
    Juma Shaban
    Bigilimana
    Bakari nondo
    N.k Bado ni kikosi B au huyu mtu anamatatizo ya Akiliii????🤔🤔🤔😇😇😂🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kenosman4780
      @kenosman4780 ปีที่แล้ว +1

      Ee bro sis kwetu hao n kkosi B😀😀. UNAWAONA wakali sana🤭

    • @MrBarracudablue
      @MrBarracudablue ปีที่แล้ว +2

      yaani hapo A ungewaona Diara, Lomalisa, Kubwana, Aucho, Feisal, Mayele, Moloko, Bangala, Tuisila, Job.

    • @oneyanga4627
      @oneyanga4627 ปีที่แล้ว +1

      First eleven hapo ni shaban, aziz ki, na malachache Morrison,faridi huanza game

  • @rashid966
    @rashid966 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo hizi Tim kubwa hazinaga uluma .

  • @mwamedypwemu6117
    @mwamedypwemu6117 ปีที่แล้ว +4

    iyoo ya kunyunyiza so ya sako bali yee mwenye yusuph kipindi yupo biashal kafanya iv san

    • @storytime1204
      @storytime1204 ปีที่แล้ว

      Sidhani kama sakho anamjua huyo yusuph kusema hamfatishe ahahah

  • @mzeemzee4270
    @mzeemzee4270 ปีที่แล้ว

    Safi