SIKIA ALICHOKISEMA CLEMENT MZIZE NA IBRAHIM BACCA BAADA YA KUWAKUNG’GUTA TANZANIA PRISONS.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 มี.ค. 2023
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 108

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 ปีที่แล้ว +6

    Asanteni vijana wetu mmecheza vzr sana Allahamdulillah beki ilitulia vzr hongereni sana ln sha A llah tupo pamoja Mzidi kujiweka vzr muwe makini na wanao wafanyieni mabaya msifunge msifanikiwe ila mwenyezimungu yupo nasi Amiin Daima mbele nyuma mwiko 💚💚

  • @gracegofrey4677
    @gracegofrey4677 ปีที่แล้ว +8

    Clement asipolewa sifa kama ugali sukari atafika mbali kikubwa atizame ndoto yake miluzi mingi isimpoteze MUNGU amsimamie🙏🙏🔰🔰🔰

  • @shoraamtoro2247
    @shoraamtoro2247 ปีที่แล้ว +6

    Kazi nzuri wachezaji wetu, nawaombea ushindi kaka zangu Kila wakati mungu awabariki amin

  • @flomenastephen2226
    @flomenastephen2226 ปีที่แล้ว +2

    Uyo baka uyo baka namuelewa kishenziiii mungu akupe nguvu nakupenda bureeeeee kabisa nakuelewa sanaaaaa good job you doo

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 ปีที่แล้ว +1

    pigA KAZ Mzee babaaa Ibrahim Bacca na Golden bOy Clement Mzize noumaaa saàna 💯🔥💚🌟💛✨⚡💪👏💯

  • @abdallahomar5868
    @abdallahomar5868 ปีที่แล้ว +5

    Ibrahim Bacca upo fresh bro

  • @saimonjmai801
    @saimonjmai801 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri vijana wetu mmefanya kazi nzuri Sana . Bacca mipira ya kuslaidi hile nakukubali Saba ,. Mzize 🔥🔥🔥

  • @omarhamad7929
    @omarhamad7929 ปีที่แล้ว +3

    Sema bacca iyoo misharubuu itowe bwanaaa umekaaa kama adui wa kihindi mwenetuuuu.

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 ปีที่แล้ว +3

    Hongera kwa wachezaji wetu na benchi la ufundi, Daima mbele nyuma mwiko

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah uko sahihi baga allah azidi kukujaza nguvu usikat tama wakati wa mungu njo wakati sahihi kk

  • @aleycekibaho9645
    @aleycekibaho9645 ปีที่แล้ว +1

    Bacca anajituma sana na mzize mhhh moto mwingine💚💚💚💚

  • @reggezawady4994
    @reggezawady4994 ปีที่แล้ว

    Yanga ya yangu💚💚💛💚🙏🙏

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 ปีที่แล้ว +3

    Hongera kinda wetu Mzize pambana MUNGU aendelee kukupambania na pongezi wachezaji wetu na benchi zima la ufundi kwa ushindi mnono 👏👏👏

  • @respiskiusimwesiga2228
    @respiskiusimwesiga2228 ปีที่แล้ว +2

    Now 2kuite clementnyoooooo kazi nzur sana tena sana2 but pungunguza presha mdogo wangu komaa2 mbna utafka mbali sana

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 ปีที่แล้ว +2

    Tunashukuru Alhamndulilah kwa ushindi Allah atuzidishi Inshaallah

  • @malataogtz2080
    @malataogtz2080 ปีที่แล้ว +4

    Clemeeeeeeeeeeeent fireeeeeee

  • @frolakayaga8074
    @frolakayaga8074 ปีที่แล้ว +2

    Hongera I wachezaji wetu

  • @nasirkilapo6041
    @nasirkilapo6041 ปีที่แล้ว +4

    Jamani mimi namkubali sana baca yani anakupokonya mpira bila kufanya fauro yoyoteile yuko vizur sana

  • @felisteranthony8688
    @felisteranthony8688 ปีที่แล้ว +1

    Mzize nakukubali Sana hakika ni striker wa Tz

  • @kapelotz9967
    @kapelotz9967 ปีที่แล้ว +2

    My team my loveness my dreams

  • @farajamtalemwa9336
    @farajamtalemwa9336 ปีที่แล้ว +1

    Yanga tuna hazina kubwa ya vijana wanaojua boli ✊

  • @fabigeniustz976
    @fabigeniustz976 ปีที่แล้ว +2

    Kijana wetu Yuko poa sanaa

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 ปีที่แล้ว +3

    Hizo ndevu za Bacca km za Carly peters( Germany explorer)😄😄

  • @givenmabena4950
    @givenmabena4950 ปีที่แล้ว +2

    Wao

  • @PendoMwenda
    @PendoMwenda 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @mwansasujonny3536
    @mwansasujonny3536 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri Sana Alwatan

  • @rajabumkina6118
    @rajabumkina6118 ปีที่แล้ว +2

    Mzize nijicho lataifa badae kiukweri

  • @emanuelphilipo1597
    @emanuelphilipo1597 ปีที่แล้ว +3

    Well done boys

  • @hdjdjdjdj8667
    @hdjdjdjdj8667 ปีที่แล้ว +1

    BG UP vijanawetu

  • @josephkulija293
    @josephkulija293 ปีที่แล้ว

    Pongezi nyingi kwa wachezaji wetu kamwe msilewe sifa muwe na wivu kufika mbali kama kina Samata, Ulimwengu, Msuva nk. Pongezi pia zimwendee Professor pekee wa mpira wa miguu hapa nchini (NABI) hakika anastahili sifa.

  • @changarawemichael5556
    @changarawemichael5556 ปีที่แล้ว +1

    Baka na mudathir tuna wa respect saana

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 ปีที่แล้ว +1

    Mzize abadilishe style ya kushangilia asicopy

  • @jayphi6118
    @jayphi6118 ปีที่แล้ว +2

    👉 💚💛

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 ปีที่แล้ว +1

    Yanga rahaaaaa saana kwakweli

  • @choyorashidichoyo8067
    @choyorashidichoyo8067 ปีที่แล้ว +2

    Daima mbeleee

  • @esembebilewane6245
    @esembebilewane6245 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @blacknighttv7148
    @blacknighttv7148 ปีที่แล้ว +2

    Mamadou wapi jmn?

  • @scopy0428
    @scopy0428 ปีที่แล้ว +15

    Mzize atakuja kuisaidia sana Yanga na hata National Team

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 ปีที่แล้ว +3

      Cha msingi asilewe sifa kama yule ugari-sukari akazane mazoezi nidhamu kumsikuliza mwl na kutokuwa na tamaa ya pesa, ninahakika mazuri mengi yatakuja kwake menyewe tu

    • @japhetelius712
      @japhetelius712 ปีที่แล้ว

      Kak mbn ata hapa Anaisaidia sana tim ndo Top wa azam federation

    • @scopy0428
      @scopy0428 ปีที่แล้ว

      @@japhetelius712 kwa sasa Mzize yupo kwenye kujifunza zaid Atakapofikia Ubora ambao watu tunamtabilia atakuwa hatar sana

    • @raybirry3816
      @raybirry3816 ปีที่แล้ว

      Mzize mungu amsaidie ASILEWE SIFA kama yule UGARI -SUKARI na mama yake.

    • @scopy0428
      @scopy0428 ปีที่แล้ว

      @@raybirry3816 Tuombe mungu asibadilike kama Feisal Salum Abdalah Fei toto

  • @khadijaabdala6876
    @khadijaabdala6876 ปีที่แล้ว +1

    💛💚💛💚

  • @bakariadamu6068
    @bakariadamu6068 ปีที่แล้ว +1

    Hawa hata wakosee vipi siwezi kuwalaumu kwa sababu ni vijana bado wanajifunza mbeleni ni hazina kwa club na taifa kwa ujumla ❤

  • @mrimimganda-bo9em
    @mrimimganda-bo9em ปีที่แล้ว

    Bye bye 👋 BOCCO WELCOME MZIZE💪🏻💚💛

  • @esembebilewane6245
    @esembebilewane6245 ปีที่แล้ว

    Great job

  • @ntakakasendebayi9992
    @ntakakasendebayi9992 ปีที่แล้ว

    💚💚💚💛💛💛💛

  • @Elikana2024
    @Elikana2024 ปีที่แล้ว +1

    Mamluki wasje wakawadanganya vjana wenzetu mpo njia sahih

  • @thuwaibamkana9691
    @thuwaibamkana9691 ปีที่แล้ว +1

    😊😊

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 ปีที่แล้ว

    💚💛💚💛💚💛

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 ปีที่แล้ว

    katuli saana kijana huyuu yaan adi raha alitulia sana bacca

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 ปีที่แล้ว

    Alhamsulilah kwa tulichokipata

  • @BON357
    @BON357 ปีที่แล้ว

    Hi yanga Bahana Ila wachezaji wetu chezeni kijudi siyo kutegeana

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 ปีที่แล้ว

    My team is 🔥🔥🔥🔥

  • @yusuphmpinge4066
    @yusuphmpinge4066 ปีที่แล้ว

    Champion loading 29

  • @spiaemason5490
    @spiaemason5490 ปีที่แล้ว

    🔥

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 ปีที่แล้ว

    Refa pia alikuwa vzr sana

  • @balelelimbu2976
    @balelelimbu2976 ปีที่แล้ว

    Magoli tunayofungwa kwasasa yanafanana sana ipo cku tutajutia

  • @scratcharico6223
    @scratcharico6223 ปีที่แล้ว

    Namuona amrish kapul

  • @samsonamati3054
    @samsonamati3054 ปีที่แล้ว

    Mwambie bacca izo ndevu za kihindi anyoe

  • @mohamedathuman9269
    @mohamedathuman9269 ปีที่แล้ว +2

    Bacca hiyo midevu aitoe bhana

  • @hdjdjdjdj8667
    @hdjdjdjdj8667 ปีที่แล้ว +1

    Allah awape uzima muendeleze kushinda

  • @dengahmediatz1230
    @dengahmediatz1230 ปีที่แล้ว

    Nawaogopa wazanzibar mm sa hv

  • @salummahala-vm4xs
    @salummahala-vm4xs ปีที่แล้ว

    Nyoa hizo ndevu

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 ปีที่แล้ว

    Mzize atakua mkubwa sana

  • @lightnesscharlse2281
    @lightnesscharlse2281 ปีที่แล้ว

    Yanga timu yangu raha sana ila sasa ndevu za Baka kama chilbulpande wa kihindi

  • @guccij6236
    @guccij6236 ปีที่แล้ว

    Mzize kajifunze kupiga penalty dogo utakuja kukosa kiatu kizembe Kama Mayele 😣

  • @sautimoja8832
    @sautimoja8832 ปีที่แล้ว

    Asant

  • @timilaishemalamba7478
    @timilaishemalamba7478 ปีที่แล้ว

    Ibrahim bacca anajua uyu jamaa

  • @farajamtalemwa9336
    @farajamtalemwa9336 ปีที่แล้ว

    Leo mnatmia camera gani iyo

  • @rogermabirwa
    @rogermabirwa ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndo yanga jamani

  • @farajamtalemwa9336
    @farajamtalemwa9336 ปีที่แล้ว

    Usiache ku-subscribe

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 ปีที่แล้ว

    mzizee anaujua ila kuna wakat kinamjia kit akiwa kwenye move yakutojiamini akijiamin huyo dogo atakua anawazoa zoa kila mara kama vile jana kwenye goli la pili lile atulie aache presha mzize anaweza saana

  • @husseinkoja4986
    @husseinkoja4986 ปีที่แล้ว

    Clement katoa siri ya kocha yake ni maelekezo tu kutimiza ni mchezaji

  • @BON357
    @BON357 ปีที่แล้ว

    Penati ya ziza kapiga Kama Askari shoga yule mzazibari

  • @malimabulilo2033
    @malimabulilo2033 ปีที่แล้ว +1

    Nawaponheza lakini kale kadhabu kabmaguu kumi na mbili, alikakamia ndiyo maana kakaota mbaaa.

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 ปีที่แล้ว

    Nkubaliii

  • @saidasalehe296
    @saidasalehe296 ปีที่แล้ว

    Ayo mashuti atakuja kuvunja viuno vya makipa

  • @elinagideon6259
    @elinagideon6259 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji bwana eti wamekula mkono wakati ni goli 4, hivi waandishi mtaacha lini uongo wakati mko kwenye media kubwa.

  • @Tchidymbanga
    @Tchidymbanga ปีที่แล้ว +1

    Backa bonge la beki, ila hicho kimustachi kama Charlie Chaplin.
    😂😂😂

  • @halimarajabu3180
    @halimarajabu3180 ปีที่แล้ว

    Penda sana yanga

  • @farajamtalemwa9336
    @farajamtalemwa9336 ปีที่แล้ว

    izo sharubu sasa za Bacca 😂😂😂

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 ปีที่แล้ว +1

    Mzinze usije badilika kama fei

  • @rogermabirwa
    @rogermabirwa ปีที่แล้ว

    Yaani mzize hatakuja kuwa mchezaji mkubwa

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 ปีที่แล้ว

    Muajiri na mtu wa kuangalia unyoaji wa nywele staili baca nyoa hizo ndevu

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo ปีที่แล้ว

    Mi nakubali ila farid tu apewe nafas hivyo kisinda ni Bora kuliko farid?

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 ปีที่แล้ว

    Huyu baca cannavaro mtupu

  • @davidkilolelo525
    @davidkilolelo525 ปีที่แล้ว

    Baka anauwezo mkubwa sana nikama inonga

  • @BON357
    @BON357 ปีที่แล้ว

    Alafu wwe ziza mbona Kama mzee , wwe na fesali mkubwa wewe Ila umecherewa kutoboa sura Kama mavi

  • @johnyjohnson7886
    @johnyjohnson7886 ปีที่แล้ว +1

    Asee kaka anafanana na wakina vascoda gama

    • @MRJ1308
      @MRJ1308 ปีที่แล้ว

      Yaani watakuwa waliacha mbegu zanzibar kule yalikuwa makazi yao

  • @othmanmohd7297
    @othmanmohd7297 ปีที่แล้ว +1

    Yanga app haifunguki inadai password iliotumwa na password yenyewe haituwi
    Munanisaidiaje

  • @abellyleonard1551
    @abellyleonard1551 ปีที่แล้ว +1

    ynga damu damu

  • @abdallahomar5868
    @abdallahomar5868 ปีที่แล้ว +1

    Ibrahim Bacca upo fresh bro

    • @mwanahawasalihina5950
      @mwanahawasalihina5950 ปีที่แล้ว +1

      mash'Allah ALLAH Azidi kuibariki yanga tufike mbali zaidi insha'Allah na awatie nguvu viongozi ,wazamin,walim,wachezaji ,wasaidizi ameen🤲

  • @shamsafundi-kg8zl
    @shamsafundi-kg8zl ปีที่แล้ว

    Well done boys

  • @farajamtalemwa9336
    @farajamtalemwa9336 ปีที่แล้ว

    Usiache ku-subscribe