VIDEO: HALI YA MOSHI KUANZIA NJIA PANDA, MAGARI YA KIFAHARI YAMIMINIKA KUTOKA DAR "FOLENI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2023

ความคิดเห็น • 256

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 6 หลายเดือนก่อน +56

    Nyumbani ni nyumbani,wachaga Huwa wanapenda kwao Sana kula na wazazi,

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 6 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/6VA-oLqU_JM/w-d-xo.htmlsi=PbDvAtrp_2BCdLtJ

    • @nuruurio8319
      @nuruurio8319 6 หลายเดือนก่อน +3

      Arusha napo hapapitiki yani

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi nawaombea tu MUNGU MSAFIRI SALAMA,SIPENDI MNAVYOSAFIRI FAMILIA WATU WENGI,GARI MOJA,YAANI BASI TU,MNAPOPATA AJALI MNAKUFA WENGI SANA FAMILIA MOJA KWA PAMOJA.

  • @vero57
    @vero57 6 หลายเดือนก่อน +11

    KILIMANJARO WOYEEEE 👌🥳🤸🔥🔥🔥🔥NAWATAKIA CHRISTMAS NJEMA WOTE 🥳🥳🌲🌲🥳🥳🌺🌺

    • @saliminyusuph6122
      @saliminyusuph6122 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani makabila mengine ayafanyagi kazi. Msijisifie nyie wachanga wengi wengi pesa zenu sio za halali. Wengi mnamiliki ma bar. Na mabucha ya Nguruwe.

  • @stellajohannsen99
    @stellajohannsen99 6 หลายเดือนก่อน +15

    Nawapongeza sana wote mliyokwenda kujumuika na Ndugu na jamaa kwa sikuu ya christmas na mwaka mpya mungu awabariki❤❤

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 6 หลายเดือนก่อน +8

    Am proud to be a chaga girl 👧 tuko vizur

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 6 หลายเดือนก่อน +6

    Wachaga ni Waisraeli haswa
    Kabila lililo barikiwa na Mwenye Enzi Mungu milele! 🤲🏽🤲🏽🤲🏽❤️

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 6 หลายเดือนก่อน +22

    mpaka wamakonde tutaanza kwenda kilimanjaro. FASHION

    • @user-bl4sy5ei1k
      @user-bl4sy5ei1k 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hauwezi kuamini kuna marafiki zangu wengi wameshazoea kuja huku maana ni kula mbuzi kwa kwenda mbele

    • @jabarmalid5393
      @jabarmalid5393 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-bl4sy5ei1k asee kwakweli Ata mazingira ni mazuri sanaa

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 6 หลายเดือนก่อน

      Ni jadi yetu kujumuika na wazee, jamaa na kula vyakula vya asili yetu

    • @mcback4384
      @mcback4384 6 หลายเดือนก่อน

      Mpaka wakenya wanakuja kaskazini December hii, hotels nyingi kuanzia Arusha na Kilimanjaro zimejaa wakenya

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 6 หลายเดือนก่อน +28

    Hiyo ndio moshi Tanzania huu ndio mkowa wenye matajir🔥🔥

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km 6 หลายเดือนก่อน

      ❤❤

    • @user-ue5ek3vu6w
      @user-ue5ek3vu6w 6 หลายเดือนก่อน +2

      Sio mkowa ni mkoa ,matajir ila hamjui kuandika

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-ue5ek3vu6wKwendaaaaaa

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-ue5ek3vu6w ukome wakati elimu imeanzia kilimanjaro

    • @tianarest
      @tianarest 6 หลายเดือนก่อน

      Mkoa tena ndugu

  • @jinomoko5510
    @jinomoko5510 6 หลายเดือนก่อน +20

    Jam ni kubwa sana yaweza kuwa Yesu alizaliwa Kilimanjaro 🎉

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc 6 หลายเดือนก่อน +3

      Waseme wa mkoani mbeya kwenye ma kanisa mpaka chooni waimbaji wazuli wahubili wazuli mfano mwakasege abiudi mbalikiwa mgogo uko ndyo yesu pengine alizaliwa Moshi labda shetani maana nimakuhani wa pombe nakafara yambuzi kilamwaka😂😂

    • @aureliaminja8761
      @aureliaminja8761 6 หลายเดือนก่อน +2

      Yesu alikuwa mchaga

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@SophlaJackson-nt1ncWivuuuu😂😂

    • @AniaSawaki
      @AniaSawaki 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @aminathaabubakarmasoud565
      @aminathaabubakarmasoud565 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu awanusuru na Ajali wamalize Salama skukuu yao warudi salama majumbani kwao inshaAllah MUNGU awaongoze❤🙏🙏

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 6 หลายเดือนก่อน +14

    Nawakubali saaana Wachaga, mko makini na hii Sikukuu

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa namna hii mkoa huu hauwezi kuwa maskini kama mikoa mingine inayoendeshwa kwa kile kinachoitwa "remittance" yaani hela ya kutumiwa tena kwa vipindi!! Hapa watu wamepeleka mihela inayoingia kwenye uchumi wa mkoa. Hongera zao

  • @elizabethswai7777
    @elizabethswai7777 6 หลายเดือนก่อน +11

    Wachagga tujuane❤❤❤❤

    • @fidodido9578
      @fidodido9578 6 หลายเดือนก่อน

      Nipo hapa mchaga mbishi mbali na nyumbani njee ya nchi

  • @user-co1tx2cz1r
    @user-co1tx2cz1r 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka yetu uko vizuri yani jana magari ni mengi

  • @samuelemmanuel3400
    @samuelemmanuel3400 6 หลายเดือนก่อน +28

    Wakristo wana Hela sana 🎉

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 6 หลายเดือนก่อน +3

      Hapana bwana mbona matajiri 10 wote top ni waarab na Wahindi

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 6 หลายเดือนก่อน +1

      Bharesa Moo na wakina Rostam Azizi ni wakristo?

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 6 หลายเดือนก่อน +3

      Hizo Hera ni za kwenu sisi inatuhusu nini?

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@frankngoloka5416mjinga huyo maana kujifaharisha si kua na pesa na kua na pesa si kujifaharisha

    • @RehemaMtili
      @RehemaMtili 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hujielewi na huelewi unachosema

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 6 หลายเดือนก่อน +5

    mianya ya pesa iko open na wachaga sio legelege wajanjajanja

  • @starjay3052
    @starjay3052 6 หลายเดือนก่อน +1

    ABOOD kama ABOOD katuwakilisha moro 🔥🔥✅

  • @AthanasNjawike-px3tz
    @AthanasNjawike-px3tz 6 หลายเดือนก่อน +7

    Nawakubali sana wachaga

    • @AniaSawaki
      @AniaSawaki 6 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wachaga bana ndiyo wanakwenda kuonesha jeuri ya pesa. Japo januari wanangukia kwenye mikono kwa wskopeshaji. Hili ni tatizo kwa ndugu zetu hawa. Wajaribu kutafuta namna nyingine ya kusherehekea sikuku hizi. Yote kwa yote MUNGU MKUU AWASAIDIE NA KUWAPA KWENDA NA KURUDI WATOKAKO KWA AMANI NA UPENDO. AMEN.

    • @dicksondidas8154
      @dicksondidas8154 6 หลายเดือนก่อน

      Uongooooo acha wivuuuuuu😂

    • @leonardsasita4634
      @leonardsasita4634 6 หลายเดือนก่อน

      Wivu Tu

    • @olympiamtenga8761
      @olympiamtenga8761 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂kama wanakopa na kulipa huoni wanaongeza mzunguko wa pesa.Big up wachagga😊

  • @user-cn9br7en7w
    @user-cn9br7en7w 6 หลายเดือนก่อน +14

    Welcome to Kilimanjaro wachaga tunakikao chetu cha kuhakikisha tunabeba uchumi wa nchi bila sisi uchumi usimame uwekezaji tuliofanya sasa tuuzidishe mara100 zaidi

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hongereni saana Mungu awabarik

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 6 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/6VA-oLqU_JM/w-d-xo.htmlsi=PbDvAtrp_2BCdLtJ

    • @Aminmwansile-we8vn
      @Aminmwansile-we8vn 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hama kitu mbona Moshi Bado ni kugumu na maisha magumu?

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hata bila fedha nyingi ndugu kuonana mara moja kwa mwaka ni Baraka

  • @eliaichraymond1215
    @eliaichraymond1215 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mtatupenda tu sisi ndiyo wachaga!

  • @GeraldSwai-ty1hr
    @GeraldSwai-ty1hr 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wachaga safi sana 🎉

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 6 หลายเดือนก่อน +10

    Vibe kama lote mburaaaa

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 6 หลายเดือนก่อน

    I am so glad I am Chagga tribe!

  • @giftlivingstone9267
    @giftlivingstone9267 6 หลายเดือนก่อน

    alloh 🎉🎉wachag manbo yetuuu❤

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 6 หลายเดือนก่อน +8

    Huyo wapili anaonekana maji sana network hamna hamna hv😂😂😂

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 6 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa hua anaokota sana habari zisizo ata na maaana

    • @azizawaziri1507
      @azizawaziri1507 6 หลายเดือนก่อน +1

      Acha wivu

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 6 หลายเดือนก่อน

      @@azizawaziri1507 wivu wanini wa mapenzi au upi

    • @pascojm6816
      @pascojm6816 6 หลายเดือนก่อน +4

      Hizi habari ni za maana kwa wachaga wenye mwezi wao

  • @user-yw9hq9cb8n
    @user-yw9hq9cb8n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza niwapepole watanizangu muendao manyumbani mwenu kusherekea sikukuu ya Mungujua tamuzi Mtoto wa mwanamke kahaba poleni sana ndungu

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 6 หลายเดือนก่อน

      Ndugu, wahi kwa dakiari haraka sana, kabla hali yako ya afya ya akili haijafikia ngazi ya ukichaa. Puuzia kwa hasara yako mwenyewe

    • @user-yq7mw8kc3p
      @user-yq7mw8kc3p 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephlango5591😂😂😂😂 kabisaaa

    • @merygodfrey3709
      @merygodfrey3709 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe unayesema mtoto wa kahaba huna jipya la kusema kaa kimya wazee wakushughulikie.

  • @brendaurio4480
    @brendaurio4480 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wachagaaa oyeeeee🔥🔥🔥🔥

  • @kelvincharles2247
    @kelvincharles2247 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya kilimanjaro na mikoa mingine huko kwetu ukienda unaweza usirudi niamini mm usitulaum sisi tusiorudi watoto wetu watateseka 😢

    • @mcback4384
      @mcback4384 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera kwa kuwa muwazi na sio kuonesha chuki kama wengine

  • @avelinafurahaoisso5491
    @avelinafurahaoisso5491 6 หลายเดือนก่อน +3

    Dah acha nijitafute na Mimi awamu ijayo niwepo😊

  • @neemalyimo2157
    @neemalyimo2157 6 หลายเดือนก่อน +2

  • @Zenny89
    @Zenny89 6 หลายเดือนก่อน +4

    Tuacheni Wachagga jamani!!! Tunapenda Kwetu🤣

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 6 หลายเดือนก่อน +9

    Kisha mnasema Mama Samia mbaya angalieni hii yote ni tafsiri ya kuwa mzunguko wa hela upo hapa Tanzania

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 6 หลายเดือนก่อน +9

      Miaka yooooote unayoijua wewe Wachaga wanaendaga kwao Xmass...😎😎

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@mamboshepea8888 kwani nimesema hawaendagi?

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 6 หลายเดือนก่อน

      Hasidi utamjuwa tu hata ukimtia ndani ya chupa ya soda atatoa kidole ili ajulikane

    • @isacktesha6659
      @isacktesha6659 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mama Samia amekujaje hapa ? Hawa watu achana nao kabisa kaka ,ni kama mafuriko

    • @davidpeter8099
      @davidpeter8099 6 หลายเดือนก่อน +2

      Nani kakuambia huyo mama yako ndie kasabbisha wachaga warudi home hiyo ni kawaida kila mwaka usituletee siasa kama unamkubali ni kivyako vyako

  • @user-hu1ev9pt8q
    @user-hu1ev9pt8q 6 หลายเดือนก่อน

    Nchi huru kilimanjaro, republic of chagga land❤❤❤

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 6 หลายเดือนก่อน +1

    Juzi mashirima wa Rombo aliwaalika mashabiki wake wote😊😊

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 6 หลายเดือนก่อน +8

    Tatizo hujataja yangu nlipita na IST hapo 😂😂😂

    • @mgayamgaya
      @mgayamgaya 6 หลายเดือนก่อน

      Wanataja magari sio vyombo vya usafiri😂😂😂

    • @advocatekarama4917
      @advocatekarama4917 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@mgayamgaya😂😂😂

    • @mgayamgaya
      @mgayamgaya 6 หลายเดือนก่อน

      @@advocatekarama4917 jamaa kamind kausafir kake hakajatajwa😀😀😀

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 6 หลายเดือนก่อน

      @@mgayamgaya Hahahaaa

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 6 หลายเดือนก่อน

      @@mgayamgaya 🤣🤣🤣🙌

  • @user-wh9zj7kf7h
    @user-wh9zj7kf7h 6 หลายเดือนก่อน +1

    "Go East Go West home is the best" alisema Baba mkwe Wangu

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 6 หลายเดือนก่อน +6

    Halafu waislamu wanasherehekea idd wanaacha kusherehekea chrismas sikukuu ya kuzaliwa mwokozi wa ulimwengu yesu kristo kweli waislamu wamechelewa sana 😂😂😂😂

    • @alisuleiman9627
      @alisuleiman9627 6 หลายเดือนก่อน +2

      Usiwataje waisilamu hii ni yenu idi ni yao lakini muhimu heshima ya kila mtu anapochagua

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 6 หลายเดือนก่อน

      @@alisuleiman9627 ndomana nasema waislamu wamechelewa kusherehekea idd badala ya kusherehekea chrismas kuzaliwa mwokozi wa ulimwengu yesu christ mwana wa Mungu aliye hai

    • @AshuraAbeid-qw3ko
      @AshuraAbeid-qw3ko 6 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo mungu wako ndio kazaliwa December?

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 6 หลายเดือนก่อน

      @@AshuraAbeid-qw3ko nakumbuka kuzaliwa kwa mwokozi wa ulimwengu siyo kazaliwa desember 25 kuwa na akili usiwe kama ng'ombe asiye na akili ya uelewa

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 6 หลายเดือนก่อน

      @@AshuraAbeid-qw3ko ni kama nyie waislamu mnavyo sherehekea Maulid kuzaliwa mwarabu wa makka kwani ndo huwa anazaliwa siku mnayo sherehekea? mbona mmekuwa wajinga sana nyie watumwa wa warabu??

  • @JohnMalengua-jh6ps
    @JohnMalengua-jh6ps 6 หลายเดือนก่อน +2

    Home is best

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa kachiwa manyoya na mjeruman

  • @annastaziakimaro3042
    @annastaziakimaro3042 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo ndo chaga bhana, kama gari yako haifiki milioni 15,we panda tu basi maana kina Buffalo wapo kwa ajili yenu au pakia jety faster, ila yote msisahau ndugu zangu MUNGU ni wa wote, nendeni salama na mrudi mjini salama tuje tuzitafutee tena

    • @AniaSawaki
      @AniaSawaki 6 หลายเดือนก่อน

      Aminaaaaaa 🎉

  •  6 หลายเดือนก่อน

    CHRISTMAS NJEMA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @chemli23
    @chemli23 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yani 25 vyuku mbuzi ngombe vingekua vinajua vingeanza kusepa mapema😅

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 6 หลายเดือนก่อน +1

    Raha ya skukuu ni kujumuika na ndg jamaa na marafiki pamoja na wazazi kurudi nyumbani kipindi cha skukuu ni zaid ya skukuu
    Nawapongeza wachaga ktk hili👏👏

  • @VanShayokviewshoursago
    @VanShayokviewshoursago 6 หลายเดือนก่อน

    Home land❤

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 6 หลายเดือนก่อน +7

    Hata na sisi Bukoba wahaya wamekuja na Ma Helicopter na ma Private Jet kula sikukuu😮
    Tusitishane

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @ellybrown5989
      @ellybrown5989 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂waambie...

    • @mfalmekaitaba2425
      @mfalmekaitaba2425 6 หลายเดือนก่อน +2

      @@ellybrown5989 wasije wakawasifia sana wachaga kumbe na sisi huku tuna hakina Rweyemamu,Rugabela,Rutahiwa na Rweyabula kibao wana minoti kichizi

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @peteryohana891
    @peteryohana891 6 หลายเดือนก่อน +3

    Shimboni

  • @onlinetraining86
    @onlinetraining86 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejaribu sana kushawishi makabila mengine hasa ya mwanza kurudi nyumbani kipindi hiki ,ila wamenishinda tabia,nachokiona sasa hivi watanzania wote kila mwezi wa 12 tuwe tunaenda moshi tu.maana hamna namna nyingine

    • @dicksondidas8154
      @dicksondidas8154 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 kwakwel

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 6 หลายเดือนก่อน +2

    Waohojiwa tayari washameza kali za plastiki...sungura wa kutosha

  • @onesmomagehema8723
    @onesmomagehema8723 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi muuliza maswali umezingua ety unauliza idadi ya watu waliofika moshi ilo swali mbona kama sio la msomi aise anawezaje kujua uyo dogo ilo swali la idadi ya watu.

  • @daudichoghoghwe5035
    @daudichoghoghwe5035 6 หลายเดือนก่อน

    Tamaduni nzuri mnohongereni

  • @mfinangaexaud3492
    @mfinangaexaud3492 6 หลายเดือนก่อน

    Milard kwangu njiapanda..nimesikitika mno kukukosa nami ningeongea asee.mwl mfinanga

  • @Samwelsamwel1152
    @Samwelsamwel1152 6 หลายเดือนก่อน +8

    Baada ya miaka kadhaa mkoa huu utakuwa wa matajiri sana

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hawajengi kwao wote wako Dar na Dodoma.

    • @joyceassey2347
      @joyceassey2347 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani wanalala nje?​@@gibsonjosephat6352

    • @hallin9561
      @hallin9561 6 หลายเดือนก่อน

      dar unaiacha wapi

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@hallin9561si ndo wenyewe wachaga ,kwani wenyeji halisi wa dar ni wachaga ? Dar ya wazaramo na wanani sijui😂😂😂

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@gibsonjosephat6352nani kakuambia ,kwao wanajenga na huko kwingine wanajenga

  • @barakaleader1550
    @barakaleader1550 6 หลายเดือนก่อน

    Home sweet home

  • @mtegemeemungusiomwanadamu6618
    @mtegemeemungusiomwanadamu6618 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa v8 ziko wapi

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 6 หลายเดือนก่อน

    Ni sawa muosha uoshwa. We fanya Dunia ndo Akhera yako ila siku ya kiama mtajua amjui.

    • @fidodido9578
      @fidodido9578 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo wewe na umaskini wako unafanya Dunia ni moto au?

    • @elianifammari3212
      @elianifammari3212 6 หลายเดือนก่อน

      Kizuri kula na ndugu yako

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 6 หลายเดือนก่อน

    Ameni mungu awatangulie klm

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 6 หลายเดือนก่อน +5

    Chaggas run Tanzania

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 6 หลายเดือนก่อน

      They are mere opportunists ad thieves…

    • @jofreykabobe
      @jofreykabobe 6 หลายเดือนก่อน

      Not chaggas, Hayas

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 6 หลายเดือนก่อน

      @@jofreykabobe Hayas wanaongoza kwa sifa tu ila mfukoni empty

    • @leriq1
      @leriq1 6 หลายเดือนก่อน

      take lessons from us na wewe uwe tajiri uache kutusi watu mitandaoni
      @@mimiraia2531

    • @Lisa.xx8
      @Lisa.xx8 6 หลายเดือนก่อน

      Huko bukoba kuna tia aibu mkajenge ​@@jofreykabobe

  • @joshuaabell2033
    @joshuaabell2033 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna dada ameolewa ironga naamuliza Huwa Xmas mnaenda iringa ni muoldmoshi akanambia mbutaaa nani aende hukoo, jamaa ashazoea mbona na tulishajenga Moshi so December huwa tupanda na baba Moshi mpaka na mawifi huwa napanda nao hahhhaha, iringa tuna nyumba tunendaga kukiwa na msiba tuu haa sioo diceember ila kiriisimas Moshiiiiii

  • @tullyollomy8059
    @tullyollomy8059 6 หลายเดือนก่อน

    Sehem sahihi na kipindi sahihi chakupata mwenza ndio hiki wahi rombo, kibosho ,yani moshi kiujumla 😂😂😂😂 tuachane na hawa wa mjini wanatudanganya jamani😂😂😂

  • @azizawaziri1507
    @azizawaziri1507 6 หลายเดือนก่อน

    Oyooooooooo nyumbani kumenoga

  • @elianifammari3212
    @elianifammari3212 6 หลายเดือนก่อน

    Mtu kwao jaman pia ukikaa na wazazi ukishangilia inafurahisha

  • @neemaedward342
    @neemaedward342 6 หลายเดือนก่อน

    Woyooooooooo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @joevang4685
    @joevang4685 6 หลายเดือนก่อน

    nawapongeza kujari kwao.. ila uchumi wa mosh upo chini sana. kiukwel hawawekezi kwao. wamejenga magorofa mikoani, kwao vyumba za kawaida na mazizi ya ngombe. nimekaa rombo, wanamaisha magumu sana waliopo rombo, wamekata tamaa wanalewa tu pombe za kienyeji

  • @Daecotz8597
    @Daecotz8597 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kiruuu wachaga waenda kanyii

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mbona kagera,mbeya na songea hiyo hali ipo.

    • @jescajonsson8579
      @jescajonsson8579 6 หลายเดือนก่อน

      Ila zaidi ni Moshi😂

    • @erickchitumbi1308
      @erickchitumbi1308 6 หลายเดือนก่อน

      @@jescajonsson8579 kaskazini hakuna idadi kubwa ya watu kama kanda ya ziwa na nyandA za juu kusini.

    • @Aminmwansile-we8vn
      @Aminmwansile-we8vn 6 หลายเดือนก่อน

      WACHAGA WASHAMBA WANAPENDA MATANGAZO WATU WA HUKU KUSINI NA NYANDA ZA JUU KUSINI HATUJUI KUJITANGAZA

    • @erickchitumbi1308
      @erickchitumbi1308 6 หลายเดือนก่อน

      @@Aminmwansile-we8vn wengi wao wamepata mafanikio ya ukubwani.hawajazaliwa kwenye mali.ndiyo maana wakichuma town wanakimbilia wote nyumbani kuonyesha.sasa utaonyesha vingapi eeeeeh.

    • @jescajonsson8579
      @jescajonsson8579 6 หลายเดือนก่อน +3

      @@erickchitumbi1308 wachagga wengi wamezaliwa kwenye pesa sio pesa za ukubwani maana tangu enzi za mkoloni mchagga anajua kutafuta..

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 6 หลายเดือนก่อน +4

    Wamebeba na manguruwe hapo hawakosi

    • @balljmushi9599
      @balljmushi9599 6 หลายเดือนก่อน

      Wivuuu

    • @mcback4384
      @mcback4384 6 หลายเดือนก่อน

      Utaachaje nyama tamu kama nguruwe? 😂😂😂

  • @SamTarch
    @SamTarch 6 หลายเดือนก่อน

    Moshi kwetuuuuuuuuu🎉

    • @LeoniaLyimo
      @LeoniaLyimo 6 หลายเดือนก่อน

      Waaaambieeeeeee tupo fuulu kilimanjaro

  • @fadhilimholo4722
    @fadhilimholo4722 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ayo tv🔥

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wachaga wanafanyaga kazi sana huwa hawapumziki.
    Huu ndio muda wao wakupumzika

  • @user-yu3mf6em1v
    @user-yu3mf6em1v 6 หลายเดือนก่อน +3

    Unatakiwa umuhoji mtu ambae ana maisha sa uyo unamuhoji wa nn hoji watu wenye hadhi zao ye ndo mshamba sasa umeelewa ndugu mtangazaji hoji watu wenye hadhi si walevi kama hao be serious na kazi yako umeelewa nimemalza

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 6 หลายเดือนก่อน

    Nilipita hapo na toyoya Glanza😂😂😂😂

  • @user-ui6rf8yx7s
    @user-ui6rf8yx7s 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman sikukuu ipomoshi bana dimchezo eti wachaga tunatisha kinoma

  • @GasperDanielkulaya-jf7ct
    @GasperDanielkulaya-jf7ct 6 หลายเดือนก่อน

    Kilimanjaro home sweet land kcmc moj ap

  • @stn4873
    @stn4873 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wamakonde na nyinyi mje.

  • @nasrafadhili7408
    @nasrafadhili7408 6 หลายเดือนก่อน

    Jmn nitumieni nauli mchaga mwenzenu sn nauli jmn mwaka huu

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 6 หลายเดือนก่อน

    Nendeni pale Mwanga mkaone yanayopanda kule juu *USANGI*😅😊

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 6 หลายเดือนก่อน

    Wakatambike upya warudi kwa kasi kuzisaka upya

  • @MarikiPius
    @MarikiPius 6 หลายเดือนก่อน

    Kahawa hous

  • @sammmau6762
    @sammmau6762 6 หลายเดือนก่อน

    Njiapanda mahom kwetu

  • @user-ll3pk6jf7s
    @user-ll3pk6jf7s 6 หลายเดือนก่อน

    Hata wapare tunaendaga sana

  • @suwedinamga581
    @suwedinamga581 6 หลายเดือนก่อน

    Gari zetu vimbeni nazo salama ziludi salama...

  • @MKU496
    @MKU496 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wachagire

  • @maalimwenga452
    @maalimwenga452 6 หลายเดือนก่อน

    Wana wa Israel wanarudi nyumbani

  • @daudysanga8492
    @daudysanga8492 6 หลายเดือนก่อน

    Hawo wachaga bana wengine msiige mtakufa vibaya

  • @vero57
    @vero57 6 หลายเดือนก่อน

    Niko huko na lambo, mumeona lambo mjini??

  • @nicolausminja689
    @nicolausminja689 6 หลายเดือนก่อน

    This is Chagga migration

  • @ifadatalizam8607
    @ifadatalizam8607 6 หลายเดือนก่อน

    Yesu alikua mchaga 😂😂😂

  • @vintagemusicgroup9236
    @vintagemusicgroup9236 6 หลายเดือนก่อน

    Actually huu ni aina ya Ukimbukeni

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 6 หลายเดือนก่อน

      Nenda kwenu. Ulimbukeni which!😂😂😂😂

    • @vintagemusicgroup9236
      @vintagemusicgroup9236 6 หลายเดือนก่อน

      @@hellendaniel3809 aaagh, ulimbukeni bhanaa, nyie vp, mmekua nyumbu wa Serengeti..

    • @mcback4384
      @mcback4384 6 หลายเดือนก่อน

      Mzee huna exposure hata airlines kubwa duniani kama emirates, KLM, Delta, Virgin airlines, etc msimu huu ndio wakati wanatengeneza pesa nyingi kuliko wakati wowote sababu ndio kipindi abiria wanakua wengi

  • @farouqsilvester9918
    @farouqsilvester9918 6 หลายเดือนก่อน

    Dah ni ushamba sana yaani

    • @agustinohizza1395
      @agustinohizza1395 6 หลายเดือนก่อน

      Mburula kwenda !!!!!???

    • @mankamrema72
      @mankamrema72 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mbwa ww kafe mbele

    • @pascojm6816
      @pascojm6816 6 หลายเดือนก่อน

      Mshamba mwenye Prado Bora niwe mshamba na mimi

    • @mcback4384
      @mcback4384 6 หลายเดือนก่อน

      Hamuwezi kurudi kwenu sababu ukitoka Dar kurudi kwenu ni sawa na kutoka peponi kwenda kuzimu

  • @nurdinkisaria9476
    @nurdinkisaria9476 6 หลายเดือนก่อน

    Waisrael lazima warudi kwao

  • @jeremiahkileo6641
    @jeremiahkileo6641 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ila siku izi sio wachaga tu wanaopenda kwenda likizo za mwisho wa mwaka kwao.
    Hata mikoa mingine, Mbeya, Mwanza, Iringa, Dodoma, Bukoba, hali ni hii hii.

    • @mcback4384
      @mcback4384 6 หลายเดือนก่อน

      Hongera zao pia

  • @nashrimohamed5697
    @nashrimohamed5697 6 หลายเดือนก่อน +2

    Sherekea tu sikukuu yako acha kusema waislam huko kwingine

  • @user-yy9jp3ll8p
    @user-yy9jp3ll8p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hzo gar zao ukipanda na Imani kubwa utaona maajabu miskule iko uko ndani😂😂😂😂anyway muwah kurud mjini mlishe miskule na manyoka yaliyopo kwenye maduka yenu😂😂

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 6 หลายเดือนก่อน

      Fuga misukule na nyoka wako wewe utembelee V8

    • @user-yy9jp3ll8p
      @user-yy9jp3ll8p 6 หลายเดือนก่อน

      Tunawajua c tuko nao sehem za biashara asee😀😀

    • @joevang4685
      @joevang4685 6 หลายเดือนก่อน

      hawa wanaenda kutambika

    • @user-yy9jp3ll8p
      @user-yy9jp3ll8p 6 หลายเดือนก่อน

      Maela yao ya ndagu ukija hku Arusha kwenye maduka yao kuna matoto mazezeta mara matunguli yametundikwa vtu vya ajabu ajabu kwel

    • @mcback4384
      @mcback4384 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-yy9jp3ll8pmmmh uongo 😂😂😂😂😂 hivi kwanini mnasema uongo ml

  • @bryyazz8313
    @bryyazz8313 6 หลายเดือนก่อน

    Napaona DID

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 6 หลายเดือนก่อน

    Sijui nitoke kuwa muhaya niwe mchaga da!

    • @mcback4384
      @mcback4384 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 Karibu Mangi Meli

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi 6 หลายเดือนก่อน

    🙄🙄🙄

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 6 หลายเดือนก่อน

    Moshi naakubali sn sie watoto mjini 2mebaki dar.

  • @neemalyimo2157
    @neemalyimo2157 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂