HARMONIZE AFUNGUKA BAADA YA KUSHINDWA KESI"NILIKPA NIWALIPE WASAFI | HUU NDIO UKWELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

ความคิดเห็น • 266

  • @Mauya23
    @Mauya23 24 วันที่ผ่านมา +30

    Mjini mambo mengi, ole wako udanganyike na maisha ya social media, kuna siri nyingi ndani yake, mfano hai huu hapa.

    • @oscarmusa8522
      @oscarmusa8522 24 วันที่ผ่านมา

      🤣😂🤣🤣🤣😂👍🏻👍🏻

    • @user-nb2jw4km6f
      @user-nb2jw4km6f 23 วันที่ผ่านมา

      Kweli 😂😂😂

    • @bili-films
      @bili-films 22 วันที่ผ่านมา

      Kudaiwa kila mtu anadaiwa na huyu alikuwa na mkataba CRDB, mpka imefikia case kuna makubaliano hayajakaa sawa. Kawaida na sio kusema hauna hela hapana pesa zinalipwa kimkakati

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 20 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 uwiiiii eti mfano hai

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 24 วันที่ผ่านมา +16

    MIKoPO safi Kulipa MBAYA iyooooooo ,sensemaa malundee 😂😂😂😂😂😂😂

    • @BizeddOfficial
      @BizeddOfficial 24 วันที่ผ่านมา +2

      sensemaa

    • @jayfadhil8404
      @jayfadhil8404 23 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@BizeddOfficialokeeee😂

    • @ThemonitorOfficial
      @ThemonitorOfficial 23 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂nmecheka sana

    • @LupigiLugosha
      @LupigiLugosha 22 วันที่ผ่านมา

      Na kale ka Oookey

    • @HappyKitindi
      @HappyKitindi 22 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂​@@jayfadhil8404

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 24 วันที่ผ่านมา +16

    Fimbo ya M/mungu iyo inamuazibu kwa kumfananisha mungu na mwanamke. Alhamdulillah

    • @justardzelphine6526
      @justardzelphine6526 22 วันที่ผ่านมา +2

      Acha imani ya ovyo

    • @user-gm4qi3nn9n
      @user-gm4qi3nn9n 21 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂 jamani dini ya waarabu itatufikisha kwingine

    • @vailetimsaghaa6008
      @vailetimsaghaa6008 21 วันที่ผ่านมา +1

      Fmbo Gani wewe acha uswahili kushikilia mambo yasiokuhusu atalipa tuu hajashindwa deni lilikua kubwa lakini limebaki dogo

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 21 วันที่ผ่านมา +1

      Nyie wote sio waislamu kwaio hamuwezi elewa na haiwahusu Kwamana nyie ni makafiri

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 21 วันที่ผ่านมา +1

      @@vailetimsaghaa6008 huwezi elewa Kwamana wewe ni kafiri na nyie makafiri hamna mipaka mbele ya mwenyezimungu

  • @IssaNdelwa-pz3zl
    @IssaNdelwa-pz3zl 23 วันที่ผ่านมา +7

    Huo ndo wanaume mbona hata serikali inadaiwa

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 24 วันที่ผ่านมา +7

    This is Tanzania 🇹🇿gari la million 200 deni million 100

    • @goromamussatvonline
      @goromamussatvonline 23 วันที่ผ่านมา

      MTANGAZAJI JINGA sana kama n kwer aachie video Konde akithibitisha kama n kwer. uyu jamaa anaongea kama analiwa Jicho😁😁

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 24 วันที่ผ่านมา +46

    🎶'Kajala one and two, kumbe zote ni deni'🎶
    🎶'Mwenzio kakopa mamilioni tu,sai anatrendi'🎵😂

    • @ibrahim_427
      @ibrahim_427 24 วันที่ผ่านมา +1

      😁

    • @KhamisiHilali
      @KhamisiHilali 23 วันที่ผ่านมา

      GARI 2 zile angekuwa ashalipa Deni kweli

    • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
      @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 23 วันที่ผ่านมา +6

      Acheni ushamba mbona deni linalipika tu hilo!! Ana shamba la Mikorosho hekari 65,Mwaka huu Korosho zimezaa sana atalipa tena kirahisi sana kabla ya December. Ni matter of time tu.
      Mwanaume haogopi deni🙏🏻

    • @luckyluchano1
      @luckyluchano1 23 วันที่ผ่านมา

      @@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly mshamba ni wewe. Kwa kuwa wewe ndiye meneja wake ama. Fungal domo lako...lione limbea tu

    • @sabinasabinam-e1z
      @sabinasabinam-e1z 23 วันที่ผ่านมา +1

      Umenichekesha wewe

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 24 วันที่ผ่านมา +19

    Conde kama kweli dogo badilika misambwanda itakumaliza

    • @ahz6907
      @ahz6907 22 วันที่ผ่านมา

      Misambwanda ni muhimu aisee 😂
      Ni suala la kujipanga tu

    • @micksonnyamwez96
      @micksonnyamwez96 22 วันที่ผ่านมา

      Iyo pesa ilitakiwa alipe baada ya miak 3 nyuma

  • @AbuuMkabugo
    @AbuuMkabugo 24 วันที่ผ่านมา +13

    Izo kiki ili muishushe komasava lakini haizimiki kubababakeeeeee jiti ilooo

    • @zaydelabay9776
      @zaydelabay9776 23 วันที่ผ่านมา +1

      Kiki mahakamani?

    • @luckyluchano1
      @luckyluchano1 22 วันที่ผ่านมา

      @@AbuuMkabugo hamna Kiki hapo this is serious

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@zaydelabay9776😂😂😂

    • @joycemfuru4752
      @joycemfuru4752 19 วันที่ผ่านมา

      komasava yenyewe iko wapi ?

    • @OmarBege-rp1bj
      @OmarBege-rp1bj 18 วันที่ผ่านมา

      Hiyo ngoma n noma bro iko juu hawawezi

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 24 วันที่ผ่านมา +5

    Utarudi tandahimba mmakonde weee😮

  • @HafdhiMawimby
    @HafdhiMawimby 23 วันที่ผ่านมา +5

    Kajala one and two na zote ni DENI!!!

  • @AgripinusMatwanji
    @AgripinusMatwanji 24 วันที่ผ่านมา +4

    Atalipa tu konde nomaaaa🤔🤔 waliokula laki tano wanafurahi harmo pambana broo ngoma kali HAINISHTUI

    • @BizeddOfficial
      @BizeddOfficial 24 วันที่ผ่านมา

      Ulicho coment hata hakiendani na mada

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@BizeddOfficial😂😂 si kasema atalipa tu jamani Sasa haihusiani vipi

    • @BizeddOfficial
      @BizeddOfficial 20 วันที่ผ่านมา

      @@AgnesJohn-f1r mhuu kwa wewe akiomba kusaidiwa utamchangia,?

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 20 วันที่ผ่านมา +1

      @@BizeddOfficial atalipa tu hakuna haja ya kuchangiwa

    • @BizeddOfficial
      @BizeddOfficial 20 วันที่ผ่านมา

      @@AgnesJohn-f1r haya sawq ag nesss

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 22 วันที่ผ่านมา +3

    Yaani mtu unampenda hadi unakuwa Zombi, Sasa mtu hadi kapelekwa mahakamani, kesi ikasikilizwa na hukumu ikatoka lkn bado utamkuta mtu anabisha eti Konde hawezi kushindwa kulipa hela kama hiyo - daah ! haya mapenzi bwana kaaazi kwelikweli. Jamani haya maisha ya mitandao yana wa cost sana vijana wetu, sasa hebu ushangae inaingia akilini kweli eti mtu anahonga mwanamke Range mbili halafu anashindwa kulipa deni la sh. 100milioni, huu ni mfano hai kabisa kwa vijana wetu wapate kujifunza kwamba maisha ya watu ktk mitandao kwa waliowengi sio maisha yao halisi hivyo wawe makini na waangalifu sana ktk kuyaiga bali ni usanii mtupu wa kupata umaarufu tu hakuna lolote.

  • @abdimakame7929
    @abdimakame7929 24 วันที่ผ่านมา +6

    Baharesa One kumbe ni uzushi Mtupu.
    Aibuu uyu Jamaa tatizolake kubwa anakopa Pesa nakuonga Wanawake kila siku🥰🥰🥰

  • @user-ss8li9uv8u
    @user-ss8li9uv8u 24 วันที่ผ่านมา +2

    Hayo ndiyo maisha ya kuigiza.

  • @markmushi8940
    @markmushi8940 24 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana kujishebedua na migari ya kuazima mjumna wa rent mijanamkw yenye matako makubwa imekomba hela zote kabaki na maseni tu kijana wa hovyo tu weeh.

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 23 วันที่ผ่านมา

      Kumbe anawaumiza na wanawake wenye makalio makubwa mwacheni afurahie anavyopenda kwani Hela si anatafuta yeye mwenyewe mwatake mumpangie matumizi, wangapi wanakopa na wanashindwa kulipa ili hali hawana wananawake wenye hayo makalio makubwa. Tuache kufurahia matatizo ya wengine

  • @kotongomunkupahlombe8169
    @kotongomunkupahlombe8169 23 วันที่ผ่านมา +1

    💥💥💥🐘🐘💪

  • @katambomangale2185
    @katambomangale2185 24 วันที่ผ่านมา +3

    Na mikopo safi bila kulipa mbaya hio

  • @Rajamwamba
    @Rajamwamba 24 วันที่ผ่านมา +3

    Tumaini mhagama kasema harmonize punguza kuhonga

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 24 วันที่ผ่านมา +5

    Yaani hap mademu wanamfilisi huyo dogo

  • @babalao3250
    @babalao3250 24 วันที่ผ่านมา +2

    Kikubwa anadaiwa sisi hatutaki kusikia story yoyote ila tulipe2

  • @user-dy8yc5ml1p
    @user-dy8yc5ml1p 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu atamsaidia atalipa hakuna asiyedaiwa

  • @NadeemKhan-zo8dc
    @NadeemKhan-zo8dc 24 วันที่ผ่านมา +5

    Sio tembo ww sasa utakua panya😅

    • @hameezhami7795
      @hameezhami7795 21 วันที่ผ่านมา

      Atalipa bwana

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 20 วันที่ผ่านมา

      😂😂 Mwogope Mungu jamani

  • @davidboazi2619
    @davidboazi2619 24 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu c alisema aliuza mali zake zote ili aliwalipe wasafi asa y leo aseme alikopa ili awalipe wasafi

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 24 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

    • @Pascaltz
      @Pascaltz 23 วันที่ผ่านมา +1

      Hahaha watu mnakumbukumbu kama mpiga picha

    • @HappyKitindi
      @HappyKitindi 22 วันที่ผ่านมา

      Nakubaliana naww, mmakonde muongo sana hahahahaaa, atafute show angalau tano kwa mfululizo na awe na nidhamu ya pesa atalipa

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 24 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna asiye kula deni kila mtu anayake yanansibu hata wengine yatajulikana muda ukifika

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 23 วันที่ผ่านมา +1

      Umenena vyema sana

  • @floraflora9490
    @floraflora9490 24 วันที่ผ่านมา +5

    Pesa wawanunulia magari madem, sai je

    • @oscarmusa8522
      @oscarmusa8522 24 วันที่ผ่านมา +1

      🤣😂🤣😂😂

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 22 วันที่ผ่านมา

    Aibu....

  • @Nkinda_org
    @Nkinda_org 23 วันที่ผ่านมา +1

    Na kukopa safi ila kulip mbaya iyooo😂😂😂sensema malunde

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 23 วันที่ผ่านมา

    Benki wanyonyaji sanaaa

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 24 วันที่ผ่านมา +5

    Yy mbona aliweka Bondi gari la shilole,kukopa kawaida wengi wanadaiwa awasemi TU

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 18 วันที่ผ่านมา

    We kukopa tu, kulipa aaah

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 23 วันที่ผ่านมา +2

    He have bad spending money! Yan uyo jamaa n limbukeni Sana! Kazi kutumia pesa vbaya na Wanawake wenye matako ye kila cku penzi jipya! Akiamini kumuhonga mwanamke mamillion ndo mapenzi...huo ushamba, ndomana wasanii walimkimbia n kwl alikuwa anawalaza njaa hawana pakulala coz anatumia pesa vbaya Kwa makalio. Anashida na V2 ambavyo vipo nje ya uwezo wake! Asingeshinndwa kumaliza Hilo Deni ila ulimbukeni wa mapenzi na maisha ndo vimemfanya ashindwe.

  • @suddytele3692
    @suddytele3692 21 วันที่ผ่านมา

    sawa,ivi kuilipa wasafi na kununua range nn kilianza?

  • @ZinganisaNova
    @ZinganisaNova 24 วันที่ผ่านมา +1

    Kajala one GP kajala two GP kumbe zote nideni

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 24 วันที่ผ่านมา +2

    Ulicho bakiza kuja kussma umekufa

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga 24 วันที่ผ่านมา +1

    Sa mbona kajala 1 and 2 ulikopa mwamba we si ulituambia never give up now your making your paper kumbe ni madeni mwamba umezingua

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 23 วันที่ผ่านมา

      Sidhani kama hapo ulipo hudaiwi sema tu hujatangazwa kama Harmo😂😂😂😂😂😂

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@taseleli9181😂😂😂

  • @dizobrownclassic8950
    @dizobrownclassic8950 24 วันที่ผ่านมา +1

    Alikopa akaenda kumuhonga kajala😅😅😅

  • @bmajesky63
    @bmajesky63 24 วันที่ผ่านมา +3

    Asa mbn wanasema wasanii matajiri sana wanamiliki Mabilion mbn sasa hela ndogo sana angelipa tu

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 24 วันที่ผ่านมา

      Niuwongo hna hata kesi

    • @NadeemKhan-zo8dc
      @NadeemKhan-zo8dc 24 วันที่ผ่านมา +1

      Wasani wengi wanafeki maisha bro kuna msenge mmoja nilimwambia harmonize amepanga nyumba anayoishi hakuamini wakati nyumba ya rafkiyng sasa ona

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 24 วันที่ผ่านมา

      Ndogo! We unayo?

    • @ZamyIsmaily
      @ZamyIsmaily 24 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-po8hz7xw9jnakesiii kweliii

  • @vanierdesludge7156
    @vanierdesludge7156 19 วันที่ผ่านมา

    Ni kupenda tako😂😂😂

  • @Soundprobeats
    @Soundprobeats 24 วันที่ผ่านมา +1

    Anaendekeza nyash uyo

  • @jimmymushi2357
    @jimmymushi2357 15 วันที่ผ่านมา

    Hadithi za nn acha tumsikie mwenyewe

  • @Linus-kn7tj
    @Linus-kn7tj 18 วันที่ผ่านมา

    Acha ujinga mbna harmonize haongei ss hatumsikiii

  • @mwamuzimbilinyinhiioi8998
    @mwamuzimbilinyinhiioi8998 24 วันที่ผ่านมา +2

    Ila CRDB ni Bank ya hovyo sanaa ukidaiwa huwa hawajali uteja wako kwa watakudhalilisha tu

    • @mwanahamisimohamed1364
      @mwanahamisimohamed1364 24 วันที่ผ่านมา +1

      Ile commercial bank hawapo kukumbeleleza lazima ulipe hata kwa kukudharirisha😂😂😂

    • @babalao3250
      @babalao3250 24 วันที่ผ่านมา

      Safi sana kabisa

    • @joshuajofrey9832
      @joshuajofrey9832 23 วันที่ผ่านมา

      Sio kweli wastarabu Sana wameshamuita marakazaa mahakamani lakini alikuwa haendi

  • @DavisEnglishTv
    @DavisEnglishTv 24 วันที่ผ่านมา +2

    Mi silaumu kukopa mana kila mtu anadaiwa..Nnacholaumu kwenda kununua range 2 na kumpa mwanamke wakati una deni CRDB hiyo haijakaa sawa.

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 23 วันที่ผ่านมา

      @@DavisEnglishTv kwa mie aisee cna den nife leo nife sasa hv kwa kudaiwa namshukuru mungu nacho pata nasema alhamdulilah kuhusu kumnunulia kajala range ht mie namlaumu kwa hilo sana tu bora pesa za range ht km hakulipa maden angemalizia ht nyumba yake bac aisee huyu anaenda kupotea ck zijazo mumgu amnusuru 😥nimeumia roho utafikir n ndg yangu 😥

    • @Dew-fl5ol
      @Dew-fl5ol 23 วันที่ผ่านมา

      wasenge tu wanatukata upepo uwezi kupata mkopo kama una asilimali zenye kuzidi kiasi unachokopa xx kama deni kwel uwezo harmonize wa kkuza chochote anao ili alipe deni ila tunapigwa tu humu

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 24 วันที่ผ่านมา

    Hakuna kitu nisicho kipenda km deni aisee bora nilale njaa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿

    • @AbdullahOmar-be4wy
      @AbdullahOmar-be4wy 23 วันที่ผ่านมา

      Umeona ee

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 23 วันที่ผ่านมา

      @@AbdullahOmar-be4wy kabisa ndg alhamdulilah nife leo nife kesho kudaiwa hapana

    • @AbdullahOmar-be4wy
      @AbdullahOmar-be4wy 23 วันที่ผ่านมา

      ​@@ruqaiamohammed345 vizuri unaweza kudaiwa lkn ktk mambo ya msingi

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 23 วันที่ผ่านมา

      @@AbdullahOmar-be4wy hakika

  • @mohdshebe5640
    @mohdshebe5640 22 วันที่ผ่านมา

    Majigambo mengi lkn ziro

  • @LanksoniMaroni
    @LanksoniMaroni 24 วันที่ผ่านมา +1

    Ndio maana Mimi namkubali chui

  • @fred.mdamanyi
    @fred.mdamanyi 22 วันที่ผ่านมา

    tajiri😂

  • @user-gm4qi3nn9n
    @user-gm4qi3nn9n 21 วันที่ผ่านมา

    Huyo kinachomyumbisha ni jina lake ajitibie na aepuke mashindano

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 24 วันที่ผ่านมา

    Uwongo

  • @HalimaAmani-j7v
    @HalimaAmani-j7v 22 วันที่ผ่านมา

    Ushamba ukizidi

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 24 วันที่ผ่านมา +1

    Noma Noma ,UNACHEZEYA HELA UNAWEKA KTK MITANDAWO KUMBE ZA MKOPO. NAUNASHINDWA KULIPA MAJANGA NOMA NOMA😅

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 23 วันที่ผ่านมา

    Daaah mnapataje mbona wengine hatupataji wakati uwezo wa kuzungusha tunao.

  • @user-dq1lm2be2u
    @user-dq1lm2be2u 22 วันที่ผ่านมา

    Ila hamo hela anayo kwa nini hakukumbuka kulipa akaamua kufurahisha misambwanda jitambue kijana umri wako bado iga reyvan mwenzio hajawahi kuwa na kituko raha ya mwanamke asikutawale utaendelea

  • @ahz6907
    @ahz6907 22 วันที่ผ่านมา

    Jamaa kawa mpole aisee 😂

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 24 วันที่ผ่านมา +1

    Wasenge kumbe nyinyi

  • @dukelazarus8796
    @dukelazarus8796 19 วันที่ผ่านมา

    Deni kitu Cha kawaida Kila mtu duniani ana daiwa so ,,,atalipa na ata maliza kama ataweka mpangilio WA fedha zake kwa utaratibu ,,,,

  • @Henry.pius.kitelanya
    @Henry.pius.kitelanya 21 วันที่ผ่านมา

    Kwan kudaiwa kunamaajabuu? Duniahii nani ambae hanaden??????? Aseme

  • @ndondiafrika249
    @ndondiafrika249 19 วันที่ผ่านมา

    hizo ni 5 million kenyan shillings. Gari aina ya Prado yenye ni second hand ni millioni 5.

  • @KelvinKundy4666
    @KelvinKundy4666 23 วันที่ผ่านมา

    Kokooo kokooo kokoooo Deniiiiiiiii😂😂😂😂

  • @user-vm2wk1mb4v
    @user-vm2wk1mb4v 21 วันที่ผ่านมา

    sibola angeweka kwenye korosho,

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 21 วันที่ผ่านมา

    Unahonga matako, kule unadaiwa🎉

  • @alphoncelaurent9454
    @alphoncelaurent9454 23 วันที่ผ่านมา

    Bombo claaack kukopa safi ila kulipa mbaya hioooo😂😂😂

  • @theindustrymoviesproductio5763
    @theindustrymoviesproductio5763 16 วันที่ผ่านมา +1

    𝘔𝘯𝘢𝘴𝘩𝘢𝘯𝘨𝘢𝘢 𝘮𝘫𝘦𝘴𝘩𝘪 𝘢𝘬𝘪𝘥𝘢𝘪𝘸𝘢 𝘸𝘢𝘬𝘢𝘵𝘪 𝘩𝘢𝘵𝘢 𝘴𝘦𝘳𝘪𝘬𝘢𝘭 𝘪𝘯𝘢𝘥𝘢𝘪𝘸𝘢 𝘶𝘯𝘢𝘴𝘩𝘢𝘯𝘨𝘢𝘢 𝘬𝘸𝘢𝘬𝘦 𝘢𝘤𝘩𝘦𝘯𝘪 𝘻𝘦𝘯𝘶.....

  • @shabanimpalazo2695
    @shabanimpalazo2695 24 วันที่ผ่านมา

    Chizy sana huyo wapo wamarekani wengi wasanii walikufa Bila kitu ila walitengeneza maisha sana wakati wao

  • @raymondkombe1624
    @raymondkombe1624 21 วันที่ผ่านมา

    Siku zote jamaa mwamsifia kua ni tajiri kumbe ni mikopo anafloss nayo

  • @user-sr9xz7od6p
    @user-sr9xz7od6p 20 วันที่ผ่านมา

    Hiii kitalamu inaitwa kukopa safi kulipa mbaya iyooo😢😢😢 madem madem kajala posh 😅😅😅😅😅

  • @MapandaBagiligwa
    @MapandaBagiligwa 24 วันที่ผ่านมา

    Hadaiwi wala chakukopa ila Anakwepa kutoa Taraka

  • @SalimSalimu-z5c
    @SalimSalimu-z5c 23 วันที่ผ่านมา

    Uza Reng ulipe deni

  • @ahz6907
    @ahz6907 22 วันที่ผ่านมา

    SENSEMAAAAAA😂

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 24 วันที่ผ่านมา

    Baba Revo tahira mbona

  • @RafaelAugusto-yj1xg
    @RafaelAugusto-yj1xg 7 วันที่ผ่านมา

    Armonizer usimsikilize mtu yoyote fanha unavioweza...eu acredito que armonizer vai pagar td dinhero...

  • @JulianaMushi-nq3kc
    @JulianaMushi-nq3kc 24 วันที่ผ่านมา +1

    Za daimond m 600 hsmkuona nyingi

  • @vicentrobert9097
    @vicentrobert9097 21 วันที่ผ่านมา

    Ndio maana wahenga wanasema UTAJIRI unasiri nyingi .

  • @AbilahiHasani-hp6wo
    @AbilahiHasani-hp6wo 20 วันที่ผ่านมา

    Kisa konde, mbon serikali ye2 inadaiwa!

  • @RedSun-ms2zq
    @RedSun-ms2zq 21 วันที่ผ่านมา

    Dada acha ujinga ubahiri mwisho iringa ona kajala zote range kumbe yote madeni kulipa saa khokho yayaya

  • @alihoka_001
    @alihoka_001 21 วันที่ผ่านมา

    Izara kubwa

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j 12 วันที่ผ่านมา

    Kwani hana business plan na Mentor wa kumshauri?

  • @user-ew4lu2bm4r
    @user-ew4lu2bm4r 21 วันที่ผ่านมา

    baba levo we kazi yako umbea conde ana mambo mengi kwahyo amesahau kwa talifa yako tutachukua kwenye gunia wewe chawa kaa bafuni kuosha uchafu

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 24 วันที่ผ่านมา

    Wanaishi maisha ya maigizooo

  • @DismasiHokororo
    @DismasiHokororo 23 วันที่ผ่านมา

    Huyu mjamaa m namkubali ila sema mademu ndo wanamfilis anapenda sana mademu

  • @user-ii3kk8nn3s
    @user-ii3kk8nn3s 18 วันที่ผ่านมา

    analipa jeshi anaela ww

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 23 วันที่ผ่านมา

    Mikopo inarudish nyuma maendereo mm sitokuj kukop abadan

  • @fakihassan9021
    @fakihassan9021 23 วันที่ผ่านมา

    Marenji kajua kuhonga lakin madeni hajui kulipa

  • @FrancisGerald-pg7zy
    @FrancisGerald-pg7zy 22 วันที่ผ่านมา

    Hahahahah nachek xn

  • @linahmlay8512
    @linahmlay8512 24 วันที่ผ่านมา

    Iv sara aliambulia kitu kweli

  • @GideonKelvin-cm5pp
    @GideonKelvin-cm5pp 20 วันที่ผ่านมา

    Emu hii media bora iache tu kutangaza, yani sisi tunasikiliza maneno yako hatusikilizi sauti ya msanii kwenye video, si bora mfanye kazi zingine za kuwaingizia kipato ila sio hii maana imewashinda

  • @mohdshebe5640
    @mohdshebe5640 22 วันที่ผ่านมา

    Aaaaa hawa was wasani utawaona kama wana pesa maan huwa wana jiproud sana kumbe undani wahana pesa kiivyo watu wanavyofikiri

  • @DianaModesto-ze5kr
    @DianaModesto-ze5kr 22 วันที่ผ่านมา

    Uyu awezi kuishi na watu wasafi waligomba mukaona wanamonea leo?

  • @vailetimsaghaa6008
    @vailetimsaghaa6008 21 วันที่ผ่านมา

    Baba levo nae ni fala tuu yake yanamshinda anayaongelea ya harmonaze aache ubwege

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re 23 วันที่ผ่านมา

    Kamkopea kajala

  • @YusuphMwangobola
    @YusuphMwangobola 23 วันที่ผ่านมา

    Atutaki kujua pesa umepeleka wp ww lipa pesa ya watu

  • @Bwasomtela
    @Bwasomtela 23 วันที่ผ่านมา

    Za chini Gani acha usenge wakati alisema mwenyewe

  • @africamoja2924
    @africamoja2924 23 วันที่ผ่านมา

    Kafunguka wap sasa acha implies... Mb gharama middle finga

  • @RedSun-ms2zq
    @RedSun-ms2zq 21 วันที่ผ่านมา

    Ujana ni maji ya mote yashaniunguza nateketea nipigie hiyo nyimbo sina

  • @DianaModesto-ze5kr
    @DianaModesto-ze5kr 22 วันที่ผ่านมา

    Komassava amuwezi kuishusha na izi kiki, tumewaonelea

  • @LevinaMiteo
    @LevinaMiteo 23 วันที่ผ่านมา

    Kukopa kopa tu kulipa Anhaaaaa kabaki mdogooo

  • @nassororashidi33
    @nassororashidi33 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa kuma kweli ananunua magari kumbe ya mikopo Fala huyu kajala 1 na 2 na zote ni range kumbe mikopo

  • @CharlesWambura-hh8kf
    @CharlesWambura-hh8kf 24 วันที่ผ่านมา

    Acha usenge we chawa wake au

  • @user-xp4re6tv8l
    @user-xp4re6tv8l 24 วันที่ผ่านมา

    Hahahaha bdo hajasema

  • @MohamedKaboza
    @MohamedKaboza 23 วันที่ผ่านมา

    Uyu sindio alikua anaesabu malundo ya hela mengine kayaweka begani aaaaah acheni janja janja nyingi madogo mjini tupo wote