Sanaaaa!!Na ndiyo kinachowapa hela ss hv mpaka wanajeuli ya kufungua makampuni yao mbali mbali wamejua kujipendekeza kwa mama yao samia na ndiyo hapo wanajikuta wakimsifia sn samia hata akiaribu wao wanasema kafanya vzur,
Huyu jamaaa mimi huwa ananikata san anavyo msifia mamaake samia mdawooooote yan unaweza seme huyo mamaake ni MUNGU umsifiage bhac na mamaako mzazi mz we nn samia samia samia ndyo rakin tunakalibia kujuta sasa huyo mama kafanya nn vitu vyote ni magufur kaviacha huyo mama nikutufilis2 anatufilis bandal kauza ushoga kauweka kipaumbele bado mnamsifia we nn ww ila harmonize
Huyo bila Uchawi wa ccm hawea mpumbavu tu stupid kabisa Samia toka aanze Uchawa amemtaja mara nyingi kushinda mama yake Gen Z tutanyooka nae time ikifika
Kwa hiyo ndugu yetu biashara umeona kamali tu hamna biashara nyingine yakufanya kiukwel ni mtihani na hii yote inasababishwa na kupenda dunia kuliko akhera
Nakkbar Sanaa kaka harmonize my blood love you so much unajituma sana pia nimekskiliza sana 💕💕
Oya bro I'm waiting for you in south africa....siamini kuja SA i look up to you
Harmonize uko mkubwa tu ❤❤
Noma sana konde ❤
Like apa please ❤
One of the best interview!!! big up konde
Jeshi umekua sasa god bless you more
Konde boy jamaa ana jua saana afu ana tu inspire kinoma🇰🇪🎤🙏🏽
Tz wasanii wengi ni machawa wa serikali
Sanaaaa!!Na ndiyo kinachowapa hela ss hv mpaka wanajeuli ya kufungua makampuni yao mbali mbali wamejua kujipendekeza kwa mama yao samia na ndiyo hapo wanajikuta wakimsifia sn samia hata akiaribu wao wanasema kafanya vzur,
Yaan we ni mpumbavu kweli umeshasema serikali, serikali ndiyo mpango mzima mbuzi wewe tena mbuzi jike
@@MeenaHassan-fd9vvusipambanue jinsia akana alie bora.
Nikushauri tu tafuta kaz ufanye hii nguvu unatumia kufatilia maisha ya watu mitandaoni ingekusaidia kutafutia family yko ugali maragwe😂😅
Wote izipokuwa Ney wa Mitego
Bro na kukubali sana 🇨🇩 🇨🇩☝️
harmonize God bless you am proud of you 👏
Mmetisha
Harmonize aliamua baada ya vijitembe vya misuri ni kuingi mkorogo na kuwa mzungu--- hii safari ya usanii noma sana!!
Mzee wa kazii big up brooh
Huyu jamaaa mimi huwa ananikata san anavyo msifia mamaake samia mdawooooote yan unaweza seme huyo mamaake ni MUNGU umsifiage bhac na mamaako mzazi mz we nn samia samia samia ndyo rakin tunakalibia kujuta sasa huyo mama kafanya nn vitu vyote ni magufur kaviacha huyo mama nikutufilis2 anatufilis bandal kauza ushoga kauweka kipaumbele bado mnamsifia we nn ww ila harmonize
Pindi bandari haijauzwa ulikuwa unaingiza sh ngapi na Sasa umepungukiwa nini nyie ndo mnashirikishwaga maandamano bila kujua yanahusu nini
Jeshi ametisha sna
Djkrafa fun wa konde gang fit❤
Fact
LITOTO LISILOJALI TUNASTRUGLE VP MTAANI AMEKUWA CHAWA WA CHAMA MAZIMA, BRO! NIKUJUZE TU NIMEKUHAMA VIZURI TU.
🤣🤣🤣🤣 wew shabik mwenzang asa kuhama kwako kunamsaudia nn 🏃🦴
😂😂😂😂😂 huyu ni chawa tu kama chawa wengine
Hii comment imenifanya niirudie niisome Kisha nicheke tu😂😂😂 HARMONIZE ni mbwa hana lolote
Konde leo umeongea kikubwa nakubali 🐘🐘🐘
Ni Tusi kubwa sana... Ni neno la Nchi za Caribbean.
Huyo bila Uchawi wa ccm hawea mpumbavu tu stupid kabisa Samia toka aanze Uchawa amemtaja mara nyingi kushinda mama yake Gen Z tutanyooka nae time ikifika
Kuaminika tu
Huyu Harmonize amenenepa sana
Kaka mbeya boy chuma hapa nakukukubal sana hsolin Zak
Ft Rich mavoko
Jama
Broo nakukubal sana tulia utupe mzk mzur ww sasa hv staa
Mtu mwenyewe kashindwa kuwasimamia wasanii wake ,alafu anasema ako na pesa ,,,labda akama anapesa zinazomtosha yeye na za kuhonga😁😁😁😁😁😁
Konde boy ❤❤❤
Kwakonde nitabeti atakama nitaliwa milele jamaa mpambanaji sanaa k pomoja
Yaani lijamaa linamsifia mama wa mwanaume mwenzio badala ya mamaye
Uzushi tu ... uchawa umezidi kuliko muziki
❤❤❤❤
❤❤
Kwa hiyo ndugu yetu biashara umeona kamali tu hamna biashara nyingine yakufanya kiukwel ni mtihani na hii yote inasababishwa na kupenda dunia kuliko akhera
Tupo pamoja kaka tunacheza
Bomboclp....means vizur xna 😅
Mlisema siku gani ndo mtaweka mchongo wa Harmonize pale Dar katikati ndo heshima yake iwe duniani kote
Wote hawajui maana ya hilo neno bhana
😂😂😂😂😂
Pamoja nautajiri ulionao kwaniniutoboe pua na masikio hiyo siyo dalili njema dhambi inakufuata na jehamu haikuachi salama
😂 fungus kanisa kaka
Wanatumika kutajirisha watu wengine, akili inatakiwa itumike ili na wao wafanikiwe
Apo umefeli mdg wangu
We ilo tusii
Bila Adam mchovu hawa majournalist woote ni nothing.
😂😂😂
Ukiwa na hela huwazagi ni kuamua tu
Mwanasiasa huyu
Chitoholi atukosei buana
Mbona kipini
Kistuli comasava
Uke wa mwana mke ndio bombcrat kwa kijamaica
Konde pita jia zako
bum-bum-clothe...not a vibe at all.
Harmonize umekuwa unaongea puent.
Yaaani huhamasishi vijana kufanya kazi ila unahamasisha kamali kijana mzima siyo poa