KISA CHA KUHUZUNISHA NGORONGORO, APEWA KESI YA MAUAJI YA ASKARI POLISI, NG'OMBE WATAIFISHWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2024
  • #TANZANIA: Inahuzunisha! Kisa na mkasa cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ngorongoro hadi kupewa kesi ya mauaji ya Askari Polisi

ความคิดเห็น • 3

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 4 หลายเดือนก่อน

    Unique view and serenity of mama Tanzania...

  • @vickytorry100
    @vickytorry100 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwandishi kisa cha 2022 unasema 8hr ago! Umekosa habari mpaka unadanganya? Ndio maana umejificha huonyeshi sura ya uongo😮Mwanzo Tv utakosa watazamaji

  • @petermathias1849
    @petermathias1849 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani watanganyika wananyanyaswa, wanateswa, wanabakwa na kunyamg'anywa ardhi yao ili apewe mwarabu?
    Mzanzibari anawafukuza watanganyika kwenye ardhi yao iili aigawe kwa waarabu?
    Kwanini asifukuze wazanzibari wenzake na kuwapeleka hao waarabu Zanzibar?