Wanavijiji Ngorongoro wapinga eneo lao kumegwa, waomba serikali ifikirie upya
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2022
- Wananchi wa jamii ya wafugaji kutoka vijiji 18 vinavyoguswa na mgogoro wa ardhi kwenye pori tengefu la Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wamepinga kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela aliyoitoa ikitaja uwezekano wa Serikali kutenga eneo la Kilometa za Mraba 1500 kwa maslahi ya taifa.
Mungu anawaona kilio chao mkiwatoa kwa nguvu zenu naimani ata awo wanyama watatoweka tu
Mongella: sina interest na maslahi ya wananchi Nina interest na maslahi ya Taifa,
Swali: taifa bila watu
Jamaa hana kauli nchi bila watu sijaona. Hii ardhi ya CCM?
Si ndio hapo babu au taifa la wachache hawa wanasiasa bwana😂😂😂
Wamasai waziri mkuu anawapanga vemaa waleta ngonjera
Mku wa Mkoa mpumbavu kweli hilo Taifa bila watu mtaongoza Wanyama hao mbona kwenye Tozo na makod mnatukomalia sisi binadamu kwann msiwakabe hao Wanyama
Hongera kwa utetesi wa haki
Ukweli utaongea daima naliona Giza katika nchi yetu 🙄
Nayare maeneyo wayopokonywa wakurima manyara kiteto warundishiwe
Wewe na manongi bora mkatupiwe mamba ninyi sio watu
Pambanueni haki yunu
Maslahi ya taifa? How many places in Tanzania have conserved fauna if not maasai land
Yani kweli Leo ni wewe unaye hongea ivyo dah
Et iko dilemma, Masai bna
Molimet 💪💪💪💪💪💪🔥
Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl
Loliondo hiyo ni issue ambao inahitaji usuruhishi, kweli mwekezaji kutoka nje anawezaje kuwanyanyasa watanzania? Ila na wananchi wanabidi waangalie hao wanasiasa hao wana matatizo pia. Wakumbuke wakerewe na wasukuma waliondolewa na wengine wakapelekwa Mtwara na Morogoro. Someni historia na muache siasa.
Mama amesema kwamba wengine wamemaliza wanyama katika wilaya zao na hao wamehidhi wao jamani TZ?
Ujue shida ni kwamba sheria inasema ardhi ni mali ya uma, Rais ni msimamizi tu. Kwa maslahi ya uma ardhi inachukuliwa kwavyovyote vile. Ndomana Mtwara walisema gesi ni yao hawatoki leo wkowapi wamepisha hawajapisha? Shinynga huko madini wamepisha hawajapisha. Nitafute sulu bila kuwaumiza wananchi lakini sidhani kama wapo watu, kikundi, Kabila lakushindana na ngovu ya dola kama maamuzi toka juu yameshaamuliwa.
Wamasai wa najielewa sana
Nimaslai ya watu wachache
Hata hujelewi Kwani kuna Taifa bila watu 🧐😢😠
Wao wapenda sifa
Eti maslah ya Taifa ,,,mhmmm huyo mkuu wa mkoa kashakula % yake hapo
Kwendeni huko mbona dar wamasai wanajenga
@@AbdulJabbar-hc2wd wewe
Maslahi ya taifa Maasai are the best conservation agents you cannot assume them the maasai are saying we have stayed with this animals others have decimated them so please listen to them
Nyie wamasai serikali hii iko upande wa matajiri nyie ni watu masikini sana kwa muujibu wa kitenge na baadhi ya wabunge,serikali ya awamu ya tano pekee ilijinasibu kuwa serkali ya wanyonge,ushauli wangu msiondoke ,RIP magufuli
Imeona mkuu kwa kweli asee
Mtambue mkiona mambo kama haya mjuwe yalianza kitambo na raisi aliye madarakani alikuwa makamo wa raisi je kama raisi ndiye mwenye kulianzisha kwa mtazamo wangu hili zoezi linaendelea
Sasa ukisema tuotoke there wapi
Hii serikali ipelekwe International court.
Exactly
wamasai akusimamie jamani hakuna mwarabu kuhusu huko tumechoshwa na hii serikali.
Kwani anaowafanyia hayo ni yupi aliye katika serikali ya chama kipi?
Sasa kama ww sio mkuu wa mkoa wakwanza mbona wao hawakuwaondoa
hatuwesi hama wilaya ya ngorongoro ss kama wamasai amesaliwa ngorongoro hatuwesi hama ngorongoro
Unawezakuta eneo limeuzwa komaeni
semeni hatuondoki
Nimeluja gundua wanatuonea wivu sana sisi wamadai tumebarikiwa arthi zenye mali sana kuliko kwingine mlionea wivu Tanxanite ukazungusha ukuta mererani Leo mnampango wakuyza ngororo kama ambavyo mliuza loliondo ndio mana mnataka kutuondoa
LAKINI ILI TAIFA LIWE NA MASLAHI LAZIMA MASLAHI YA WATU UYAZINGATIE ...UKIVUNJA KIMOJA KATI YA HICHO HUFIKI KABISA
atuondoki
Utawala wa mabosi Hu, utawala wawatu wa chini umezikwa chato, lakni samia sio rais mzur, jamani samia sio rais bora,
Wewe koti acha uongo wewe CCM ndio inawatoa unaleta uongo wa kuwapaka mafuta wenzio kwa mgongo wa chupa .Serekali ya CCM inawatoa ww unasema itashughulika na shida hiyo acha kampeni wewe
Siyo eneo lao,wamevamia na kuwaleta hata ndg zao wa nchi jirani Kenya na kuishi nao.Kauli ya Mkuu wa mkoa izingatiwe na itimizwe. Siyo mgogoro wanalazimisha kuwa mgogoro. Masai waelimishwe waondoke ukiwa lazima waondolewe kwa lazima tulinde hifadhi.
Yote Masai land hiyo, nenda kasome. Ngorongoro Tanzania mpaka Masai Mara Kenya changanya na Nairobi, ni eneo la Wamasai kabla hata hakujakua na Kenya na Tanzania. Hii ni dhulma ya wazi kabisa
Wew umeongea pumba siku zote kwanin hatujaondolewa
Wamasai mmepewa eneo tengefu. Afadhali muondoke na kuhama. Ardhi ni mali ya serekali. Matajiri wa Kenya ndio wenye ng'ombe Ngorongoro na Loliondo. Wamasai wa Tanzania wametii amri ya Serekali na wanaondoka kwa hiari yao. Ila Wamasai wa Kenya wanahatarisha amani ya nchi yetu kwa kutoa habari za uongo kwenye mitandao
But where on earth do you want them to go??.... wamaasai wa Tanzania are pure citizens of the republic of Tanzania, and by the way the ngorongoro maasai you're talking about Were there since 1959 and I think wawekezaji wanaolengwa kuletwa katika hifadhi hiyo are not so important than the maasai who are Patriots of Tanzania from many years ago!!
Wawekezaji ni bora kuliko wazawa hii ndio Tanzania bwana bullshit
Hu utawala kama hamtaulewa hakika utawapa, tabu samia nihatre nakikwete
Tokeni porini mnakaa kamawanyama !!! Hamtakikusoma hivimlilogwa nanani ????
Robert haufahamu maisha ya watu wa ngorongoro?haujui chochote kuhusu hifadhi? Ya ngorongoro? Haujui chochote hivyo kaa kwa kutulia huko ulipo? Maisha ya wamasai hayakuhusu kukaa na wanyama . Kukaa na ndege sio ishu yenu? Toka enzi na enzi mababu zetu walikuwepo? Kabla hata haijawa hifadhi? Na utambue hakuna hifadhi inayolindwa kama.hii? Hakuna majangili ?.wala hakuna mnyama anayeuliwa popote? Katika hifadhi hii? Na.wanaolinda hao wanyama ni wamasai? Hivyo wewe haufahamu kitu kuhusu hifadhi hii kaa kwa kitulia na mtuache na maisha yetu na kuhusu kusoma ? Nikwambie tu wamasai wapo wasomi sana tu wengi tu sema hatuna masifa ya kujisifu kuwa tumesoma hivyo kulongwa mmelongwa wewe na kabila lako mtuache ? Plz
@@theosaimon6933 najua sana ngorongoro nimekaa miaka 12 lkn lazima muhame weziwakubwa wa mifungo mewaibia sana mababu zetu nakuwaua mepewa fursa ya elimu hamtaki hivinye mnatakanini?
Wacha usenge ww tulilogwa na bibi yako
@@robertphilip385 km tulilogwa tuliwauaje mababu zenu km sio tuliwazidi akili na mkileta zakuletwa tunaweza bado kuwanyanyasa bilali ngedere wewe
@@twahathomas3514 lazima mhametu kusoma hamtaki mnapaka samli someni mtwegwe na ushamba
Ukweli utaongea daima naliona Giza katika nchi yetu 🙄