MBUNGE KIBAJAJI: "NGORONGORO Kuna MBWA KAMA wa WEMA SEPETU, KUCHANGANYA WATU na WANYAMA HAIWEZEKANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2022
  • MBUNGE KIBAJAJI: "NGORONGORO Kuna MBWA KAMA wa WEMA SEPETU, KUCHANGANYA WATU na WANYAMA HAIWEZEKANI"
    Jumatano Feb 9, 2022 Bunge limepokea na kujadili Taarifa za Kamati ya Maliasili na Utalii pamoja na Ardhi ambapo mjadala Mkubwa umekuwa ni wakazi wanaoishi katika Hifadhi ya Ngorongoro, ambapo Mhe. Kibajaji ameishauri serikali kwa kusema kuwa kuchangana wanyama na watu haiwezekani...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 21

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 ปีที่แล้ว +4

    Hivi kibajaji kwanini hukugombea Uspika ili uje kuwa Rais 2025 maana nondo zako huwa zimenyooka na ni nzito mashallah ❤️

  • @milkajm4762
    @milkajm4762 2 ปีที่แล้ว +3

    Speaker yuko vizuri na makini
    .waooo hongera sana

  • @kismatinational8270
    @kismatinational8270 2 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Safi sana muweshimiwa Mbunge

  • @sonchuwa8865
    @sonchuwa8865 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana waondoke kule aiwezekani kuchanganya wanyama na watu

  • @petermachondo8285
    @petermachondo8285 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @simongalahenga6858
    @simongalahenga6858 2 ปีที่แล้ว +2

    Wagogo oyeee!

  • @raphaelsikumbi5517
    @raphaelsikumbi5517 2 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri mheshimiwa

  • @twahashearer8302
    @twahashearer8302 2 ปีที่แล้ว

    Mh. Tulia upo makini sana

  • @issaibony3474
    @issaibony3474 2 ปีที่แล้ว +6

    Ww kibajaji unafaa kuwa raisi wa nchi ya TANZANIA Embu omba chama kikuruhusu kuchukua fomu mwaka 25 Tukupe nchi

  • @salomemchewa5187
    @salomemchewa5187 2 ปีที่แล้ว +3

    Itakuwa anamifugo huko huyo mzee, mbona kimemuuma.

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 2 ปีที่แล้ว +1

    Manunu Bungeni 🔥

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 2 ปีที่แล้ว

    Safi speeker Tulia

  • @lujobilz7482
    @lujobilz7482 2 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @musamargwe5948
    @musamargwe5948 2 ปีที่แล้ว

    Olesendeka ana ng'ombe Wengi sana kule ngorongoro inaonekana maana yeye hachangii yeye ni analeta taarifa kila mheshimiwa atakae simama kuchangia

  • @ellyneymar7716
    @ellyneymar7716 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna watu wanatoka ulaya kuja kushangaa inawezekana vipi watu na wanyama wanaishi eneo moja na hakuna kesi za kushambuliana

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 2 ปีที่แล้ว

    manunu in bunge

  • @wilsonm.7376
    @wilsonm.7376 2 ปีที่แล้ว

    Kibajaji wale watu kule ni sehemu ya urithi wa dunia na upekee wa ngorongoro ni watu na wanyama pori kuishi pamoja, tatizo ni watu wahamiaji walioongezeka tu..

  • @maryamsaid3297
    @maryamsaid3297 2 ปีที่แล้ว

    Yani namuona makufuli amerudi bomba urais kulatutakupa

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 2 ปีที่แล้ว

    Nchi inaingiza ela nyingi

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 2 ปีที่แล้ว

    Miaka yote si wanaishi humo humo sasa nyie ndio mnawakosea wafugaji