Daimond ana akil sana je mshawahi kusikia anadaiwa kawaajili watu wa biashara wenye akil zao sio hao wauza korosho mpaka roho zao zinafanana na korosho wao ni chuki tu na kusifia ujinga tu
Tena nawashangaa sana haya mabenki yetu mtu sifa zake mbaya kila siku vyombo vya habar vinatangaza bado wanamkopesha pesa nyingi vile, ñadhan Kuna jambo limejificha hapa maana sitaki kuamini kama mabenki yetu hawana tathmin nzur ya mteja wao anaye taka mkopo mkubwa wa million 300
Yani ww kua mfupi2 bc naakili imekua fupi haya tuambie hao unawataja wanadaiwa beigani alafu shida sio kukopa shida nimajigambo anavimba sana mshaulini asikop maisha aishi kwenye uwalisia
@TroubleOwnerKwa nini Bank kuna madirisha ya mikopo;ni wakina nani wanakopeshwa kama sio matajiri?ukiona mtu kaaminika kupewa mkopo jua huyo ni tajiri hata kama ni mama ntirie anayo dhamana huyo!
Konde boy anafeki maisha tu. nakutaka kushindana na mondi watati yeye konde hana pesa hapo ndo inapoanzia shida na ushamba ndo wa maisha ndo unamsumbua
Wakati ss tunaenda kukopa kwa ajili ya biashara hatupewi masharti kibao mpaka mtu unakata tamaa WENZETU wanakopa kwa ajili ya mwanamke mwenye zigo anapewa
Msichangi mambo alichukua mkopo wa Million 300 mwaka 2019 kisha akalipa 200Milion akabaki na deni la 103,185,755 sasa hapo kuna asilimia 18 ya malipo kila mwaka kwahio kuanzia mwaka 2020 aliposhindwa KULIPO mpaka sasa ni miaka 4. sasa asilia 18 ya 103 ni sawa na 18million kila mwaka iatakuwa 18,000,000 X4(miaka) =72,000,000 pia kuna Asilia 7 juu ya hiyo pesa kisha kuna 10,000,000 faida ya jumla kama faini pia kuna gharama za kesi ambayo inaweze kufika kama kama 60,000,000 sasa hapo ndipo utajua Kuwa deni ni ngapi
Eti kama yule mineja wako sijui anaitwa Hilo jina lake tu mtihan sijui dingano sijui yaani jina tu linaonesha siomtu wa biashara labda wa. Ubea na chuku
Wee pimbi acha upimbi wako unamfananisha watu wenye elimu zao na hamo watu kama bakhressa na mo, wee kweli chawa sugu , hahaha wee mmalize kisha umcheke baadae😂😂😂😆😆
Hakuna lolote mnajaribu kumbeba Mr mabangi kiufupi kumbe Yale majigambo yote kumbe pesa za mkopo yule Hana elimu na akili zake bangi tupu na bahati mbaya amewaajili watu wasio jua mipango mizuri hawana elimu wanafik na ushamba juu, eti deñi kudaiwa kawaida, ujinga mtupu wangapi tunajua deni linavyo mfirisi mtu, kudaiwa maana halisi ni kushindwa
Harmo alihonga izo pesa alipe sababu wasanii wetu tunaambiwa wanamabilion chin et hua wanavaa za gharama zaid ya izo milion mia sasa kama wanazo pesa.kwa nn asingelipa ayo mambo yasifke uku
Wee pimbi acha upimbi wako eti tumsikilize hamo eti labda na yeye anacho Cha kusema aseme nn wakati starehe zake zote anaweka mtandaoni huyo keshaliwa na anasa na ndio mwanzo wa kufilisika
When I see such post I remember the blessings I got from my grandfather before he breathe his last breathe years ago. He put his hands on my head and said my grandson people will waste their time to read your comments and today is the day😯🤣
Akalipe...Tangu 2019 mbona hatari sana
Akipendacho Binti Wauni tunanunua Kopa Kopa Kopa CRDB😄😄😃😃
Ila pimbi unaongea point sana big up sana
Mr pimbi uko sawa kabisa umesema kitu shua
Harmo anapenda sana kuhonga wanawake ndo kina how mkosti
Mr pimb #fact
Ila kwl
Siku zote nilikuwa namwamin Mr pimbi ni mkwel Leo ndio namjua vzr
Yan wasenge mnakaa nakufatilia madeni ya watu 😂😂😂mpk serikali inadaiwa😂😂😂 tulieni nyie mbw takataka unatupigia kelele 😂😂
Nakuelewa sana
Harmonize asi edite maisha Aishi ktk uhalisia mbn poa tu hakuna haja ya kujitutumua
Sawa kudaiwa lakini ikifikia kupelekwa mahakamani ujue tayari umepoteza sifa
Subiri kipigo kwa dudubaya
Kukopa au mkopo ni ishala tosha ya utajili
Kumbeeeee ndio sababu umekuwa chawa wake. Na kumkadia Diamond Duuuuu ni Shida
Daimond ana akil sana je mshawahi kusikia anadaiwa kawaajili watu wa biashara wenye akil zao sio hao wauza korosho mpaka roho zao zinafanana na korosho wao ni chuki tu na kusifia ujinga tu
Ila watz tusiwe wanafik tumwambie kweli labda itamsaidia hamo kubadilika
Tena nawashangaa sana haya mabenki yetu mtu sifa zake mbaya kila siku vyombo vya habar vinatangaza bado wanamkopesha pesa nyingi vile, ñadhan Kuna jambo limejificha hapa maana sitaki kuamini kama mabenki yetu hawana tathmin nzur ya mteja wao anaye taka mkopo mkubwa wa million 300
Sisi wafanya biasha tumekaelewa na kameongea uhalisia 😂😂
umeongea point kabung'ombe
Kajala 1na2 zote nimikopo
Yani ww kua mfupi2 bc naakili imekua fupi haya tuambie hao unawataja wanadaiwa beigani alafu shida sio kukopa shida nimajigambo anavimba sana mshaulini asikop maisha aishi kwenye uwalisia
We choko nn
@TroubleOwnerKwa nini Bank kuna madirisha ya mikopo;ni wakina nani wanakopeshwa kama sio matajiri?ukiona mtu kaaminika kupewa mkopo jua huyo ni tajiri hata kama ni mama ntirie anayo dhamana huyo!
Konde boy anafeki maisha tu. nakutaka kushindana na mondi watati yeye konde hana pesa hapo ndo inapoanzia shida na ushamba ndo wa maisha ndo unamsumbua
Choko mmoja
Wakati ss tunaenda kukopa kwa ajili ya biashara hatupewi masharti kibao mpaka mtu unakata tamaa WENZETU wanakopa kwa ajili ya mwanamke mwenye zigo anapewa
Siku zote nilijua hamo Yuko juu kimafanio kumbe anakopa benki hahaha
Msichangi mambo alichukua mkopo wa Million 300 mwaka 2019 kisha akalipa 200Milion akabaki na deni la 103,185,755 sasa hapo kuna asilimia 18 ya malipo kila mwaka kwahio kuanzia mwaka 2020 aliposhindwa KULIPO mpaka sasa ni miaka 4. sasa asilia 18 ya 103 ni sawa na 18million kila mwaka iatakuwa 18,000,000 X4(miaka) =72,000,000 pia kuna Asilia 7 juu ya hiyo pesa kisha kuna 10,000,000 faida ya jumla kama faini pia kuna gharama za kesi ambayo inaweze kufika kama kama 60,000,000 sasa hapo ndipo utajua Kuwa deni ni ngapi
Acha hizi hamo awe na makubaliano Gani , hii banki sio sekta ya mchezo mpaka wanakupa million 300 si pesa ya masihara
Pimbi uko sahihi kabisa maana naona wanaongea benki tu yaani, harmo anajielewa bwana.
Eti kama yule mineja wako sijui anaitwa Hilo jina lake tu mtihan sijui dingano sijui yaani jina tu linaonesha siomtu wa biashara labda wa. Ubea na chuku
Wakati tuko watz wa maana tu na tuna malengo mazur tukienda kukopa hata million moja hupewi huu ni ubaguzi sana
Ukweli ni kwamba daimond ataendelea kuwa juu hata miaka 50 mbele kama wasanii wote watakua na akili kama za hamo,
Ama kweli pimbi ni pimbi tuu
Nenda ukakope kama na ww unaweza😂😂
Akili huna we
Kumbe Hawa wasanii wetu ndio walivyo, mtu akikubalika nyimbo zake mbili tatu mabenki yetu yanakubali kumkopesha pesa nyingi hivi million 300
Sio UNGA tu unamwangusha mtu hata mapenzi kama ya hamo ndio mabaya afadhali ya unga
Pimbi unaszma kwel
Sii diamond amuonee uruma amlipie tafathali, anaeza kamatwa nakutiwa mbaroni alafu anaporudi anapata poshey queen ashaa wekwa mimba na khalist midabangulo 😂
Uyu bwana yupo sahihi sana kama huyu ni tim hrmoniz lakaini ana toa fact hivo mm
Wee pimbi acha upimbi wako unamfananisha watu wenye elimu zao na hamo watu kama bakhressa na mo, wee kweli chawa sugu , hahaha wee mmalize kisha umcheke baadae😂😂😂😆😆
Hakuna lolote mnajaribu kumbeba Mr mabangi kiufupi kumbe Yale majigambo yote kumbe pesa za mkopo yule Hana elimu na akili zake bangi tupu na bahati mbaya amewaajili watu wasio jua mipango mizuri hawana elimu wanafik na ushamba juu, eti deñi kudaiwa kawaida, ujinga mtupu wangapi tunajua deni linavyo mfirisi mtu, kudaiwa maana halisi ni kushindwa
Sasa ataeweza kushidwa kulipa kweli ilo den sio kwass masikini hera anayo
Pimb banh😂😂😂😂
Harmo alihonga izo pesa alipe sababu wasanii wetu tunaambiwa wanamabilion chin et hua wanavaa za gharama zaid ya izo milion mia sasa kama wanazo pesa.kwa nn asingelipa ayo mambo yasifke uku
Wee pimbi acha upimbi wako eti tumsikilize hamo eti labda na yeye anacho Cha kusema aseme nn wakati starehe zake zote anaweka mtandaoni huyo keshaliwa na anasa na ndio mwanzo wa kufilisika
When I see such post I remember the blessings I got from my grandfather before he breathe his last breathe years ago. He put his hands on my head and said my grandson people will waste their time to read your comments and today is the day😯🤣
Ni million 103+ 10,000 sio million 300
Hiyo elfu kumi ya nini 😂
@@geofreymalekana8000hata na mimi najiuliza😂😂
@@geofreymalekana8000Garama za mawakili
Acheni komenti utumbo harmo atawatomba kuma nyie ata mikundu yenu tutawakopa
Waambie mwanangu mbona wanawivu sana jamaa
acha makasiriko
Kama mtu alilipa m600 atashindwa kumalizia deni