ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Pimbi nimeanza kua shambiki wako mkubwa Sana kwasababu umeanza kukubali ukweli❤
Saivi utarefuka kidogo ❤
Sana Pimbi 👏👏👏
Nakubali Mr pimbi
Hiy kweli kabix diamond Platnumz yup juu
Ila Simba- Diamond Bora zaid hafu ww pimbi saizi unakua na ubongo unakomaaa kuwa mtu mzima sasa 💪💪💪💪
huyo ndio simba🦁
Umetisha sana umeongea ukwer mdogo etu, pimbi tuko pamoja
Ndo nimeanz kukuelew na kutia like na koment baada ya kumsifia simbaa na ntakufuatilia xaanaaa ukimxifia ximbaa
Good mr
Hapo safi sana
Duh aiseee 🎉🎉🎉🎉
Ume tisha broo
Badoooo haujasemaaaaaaaa....!!!!
Ubaya Ubwela mr pimbi
Simbaa🎉
Umeanza kuongea kama mtu mzima 🎉🎉🎉🎉
sawa
Uchawa mbaya sana
Unachunguza vizuli tulika mbali nawewe usirudie gushambulia Diamond 💎 mpe heshima yake 😂😂
We fara tu
Ndio kabisa
siku izi unaonekana mzuri
Una wazimu kuna kina davido WizKid wenye wame toa kolabo nyingi Sana
Mr pimbi wizz b
Pale pimbi umekomaa sasa
Mr pimbi saivi ushakuwa unaongea ukweli kabisa
Diamond platinum ni baba lao
Pimbi ana akili sana, yaani kwenye media yake anamsifia sana diamond. Lakini kwenye media nyengine anamponda sana.
pimbi nimekuwa shabiki wako mamae😂😂😂
Mr nw uko unaongea vitu vya msingi ukiwa ukiendelea hvyo utafikà kuleeee una kitu broo
Siku hizi lazima nimsikilize pimbi aliniuzi alicyoanza uongo pale katikati
Kumbe apo tupo pmj nldai uyo jamaaa ni Michael Jackson wa sasa xo bongo tu mpk mataifa yote
Kweli umepata akili
Mfalume wa Tanzania ni mungu mfalme wa Dunia ni mungu
Sio zumaridi?
Sasa ndo nirudi kwako mahana umeaza ku ongeya pwent
PIMBI MIM NAKUSHAURI TU NENDA HIVYO HIVYO MZEE MAFANIKIO UTAYAONA ACHANA NA WAVUTA UNGA NA BANGI WANAKUPOTEZEA MASHABIKI WENGI
Kumbe mtu mfupi uwa najua kuongea ila uwa niujinga tu n wivu mwingi
Sasa tuna ijaza account yakoOk pimbi
Ila uyu jama pimbi nimunafki sana leo harm kesho chui ss wewe niaje
Piiimbii 😂😂 yukoo kweenyee mfumoo weeeh watulizeee.
❤❤🫡🫡
Apana niuwongo alikiba ni msani wakwanza ku fikisha music wa tanzania duniani
Diamond yeye anakuja ku endelesha alipo atshia alikiba mimi ni RajpenboySimba kutoka DRC 🇨🇩 kinshasa 🇨🇩
Kuonyesha dogo ni chawa mchafu, anaongea uongo, xpalastaz wamefanya ivo kitambo, AY kafanya iyo kitambo, uwa real tu ila sio kusema kuwa hakuna waliofanya
Mbona sikumbuki

Sasa tuna ijaza account yako
Ok pimbi