TGUN TOZZY ANAISHI NDOTONI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Kama umeirudia hii nyimbo mara kumi gonga like 💥💥💥💥💥
Hii ni hit kabisaaa
😂😂
Nipo hapa zaidi ya mara 20😂😂
Daaaah nakbl saaaana Tgun Tozzy
Unyama sanaaaaa
Amazing performance, dogo anajua, kweli atafika mbali.
Gonga like hapa kama umeiludia hii mwamba katsha aisee
Nimerudia mara tano aiseee,,, kali sana
@@hajrafarid8942 hatari san cjui niende naww ndoton
Balaa ❤
Twendeni na huku th-cam.com/video/WLa97naM9JM/w-d-xo.html
Pendo Charles ntagonga like, kwenye ndoto
Kijana anafanya uone kwamba raap game ipo kwenye kesho salama. Ni kutengeneza Historia na Pesa. TGUN anajua sana. Naenda STARTIMES ON 🙌💪
This has been my ringtone since I heard of this song.......
Jamaa unajua sana aisee,yaani Ushindi yafaa uwe wa kwako brother,nakukubali sana,una kipaji sana,very calm, humbled but kwa stage unaua,of all the songs yako inatisha sana, Big up TGUN
bonge la ngoma la ku bang club ......linachezeka....shot out kwa t gun today
I can’t stop watching this heat.KWENYE NDOTO.u on fire brooh.🔥🔥
From 254 hii ni zaidi ya moto🔥🔥this guy deserve a medal
Umeua tgun tozzy 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥I love so much Kenya tunakupa hongera💪🔥♥️
Hii ngoma ni hit tayari Adam mchomvu aipeleke redio tu.
Apewe tu huo ubingwa🙌🏽🙌🏽
Huyu ni Star tayari kbx kama hiyi Nyimbo haikuwa hit niitwe imbwa love from Burundi 🇧🇮
Kwenye ndoto mimi ni raisi wa Kenya 🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂🤣🤣mbona ukachagua kua rais wa kenya
😁😁😁
@@azizahmustafa8330 inawezekana bana...
🙌🤣🤣🤣kwenye ndoto
Umetisha😂😂😂
We kaka njoo twende studio 😂😂hiyo nyimbo kali 😮
🔥🔥🔥🔥🔥hakuna rapa bongo kama dogo kama mnabisha niiteni mbwa 😅😅😅
Kwenye ndoto😂😂😂😂
Umekaa wap
@@ringotechnology9759 😂😂😂
@@esterfundi7014 nimekaa pale njia panda ya kawe
Wallah 💯🙆♂️semaaa nini tatzo ni nyota tu my G🤷♂️🇹🇿
This is my favorite song kwa hizo nyimbo zote. This guy is so talented
Mistari mikali bwana wee.. Apo kwa sponser ni wewe bwana weee... Napenda BSS from Kenya😍😍😍
Kakangu T gun wewe ni zaida ya wasani Africa 🌍 👏 n bboy Melvo kutoka kenya 🇰🇪 raaaaa #Kwenye ndoto
Oyaa like zenu km mnamkubalii mwamba
Mr.LG na TGUN wameua sana 👏👏
Absolutely great performance brother TGUN TOZZY You're number one for me 👏👌👍
N hataree nmeipenda sana
toka kenya shabiki wa bongostar search nishasema hii ni hit noma hii imeriggy kabisa...kwenye ndoto
Tgun tozzy you're the best, I'm from Congo 🇨🇩 Dr
qu'Allah te Bénisse en réalité je suis derrière toi et je suis sûre que tu vas gagner ce que tu cherches insha'Allah..... Et pour ton chemin met Dieu devant tout tu verras toute chose passe comme il se doit.......
Toutes les bonnes choses pour toi mon frère
Allah bless you my brother tgun tozzy I love you so much 💕❤️💕💓, I will win 🏆🏆
Cette année tu vas gagner mon cher ami
Mwenyezi mungu ato kuacha kamwe mwakahuu wewe mshindi insha'Allah
Umeweza had umeweza tena🔥🔥🔥
wow
Ngoma Kali Sana hongera Sana nimerudia zaidi na zaidi
nimeirudia sana hii ngoma huyu mwamba anajua
mkitaka kwenda ndotoni mgonge like hapaaaa
Bye bye Nigeria, bye bye amapiano, we are back to east Africa 🇰🇪 love
Great work brother
TGUN ndio Mnyamaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
dogo anitafute anajua saaaaana hii ngoma ni hit song tayari.
We nomaa nimekuerewaaa sanaa mwanaaa ukipataa management nzur utakuwa mawingun hakiyamunguu tenaa
Huyu ndiye msanii namba moja tz big up
HUYU MWAMBA NI MOTO 🥰🥰🥰🥰❤️💥💥💥
TGun mwotoooo 🔥🔥🔥, unaandika kijana📖✍️💪🙏🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Respect 🙏
Kusema kweli hii ni good performers ❤️❤️❤️
Ushindi sio kusemwa umeshinda we mshind ndo maana uko hapo tygun 📌💥💥💥
Hii ngoma usipocheza we mchawi.. Umekua kaka
Wow!!!,,,this guy is on another level 💥💥💥💥💥much love from 254,,,,🇰🇪🇰🇪
Ni noma sana nimesikiliza mala kumi
Huyu jamaa Ni Mshindi 🔥🏆.
This young man is super talented! Much love from Kenya Tgun, you have gained a fan from Kenya! May you win this competition!
❤❤❤❤❤💯💯💯
❤❤❤mazee ako juu tu sana
this man is another level guyz👏👏👏👏👏
Hii Ingeenda Kwa touch ngoma ingekuwa kali zaidi
Wallah 💯
Kwenye ndoto nyimbo hii nineandika Mimi🔥🔥
Kenya ndoto
Tgun weee mkalii love tokea kenya
Eiish creativity kwa hii ngoma , kali sana….
Mi Kama Judge TGUN wewe ndio unabeba BSS kwa sasa big up bro u a de best
Nyie this is a heat song..........
Vipaji ndio hivi sasa hongera sana
Dah ngoma tamu mpaka inakera walah♥️
Nimrudia Mara nyingi zaidi kazi iliyobobea love from Kenya 🇰🇪huyu dogo anayo kipaji
Umetishaaaaaaa mwambaaa ni heat ni fire 🔥 boom
Huyu chaliii bhn ANAJUA sana sema nini nyota tu *****😢😢
One of the best songs bongo Star search
Tozzy mungu akupiganie ushinde
hili likaka linajua hadi linakera🥰🥰🥰🥰
Ahahaha....jamaa sijawahigi kumuelewaga ila hii bonge la pumbu.Bonge la hit mamae.Ufike mbali zaidi mwanetu.
Uyu jamaaa ndio mshindi wangu wa mwaka 22/ 23
Bonge la ht song 🎵 ♥ 👌
Jmn nailudialudia
Bigup
Kwenye ndoto Tgun ni ............
Congratulations 🎊 my brother
you need penetrate east africa.....Tgun is a brand name already. All the love from kenya
Jamaa mkali Sana
Oyaaaa naombeni likes zenu tgun sijamchokaa bado tangu janaaaaa
Namkubali mwamba huyuuu😂😂😂
Nmependa hatariiiiii big 🆙 love much mwaaaaaaaaa
From Kenya 🇰🇪 fire 🔥 hit song
Unatishaa sanaa tgun tozzy
Bonge moja la ngoma
What a creativity,,🔥🔥🔥 since Unitalent mpaka Bss uko very creative bro one Love,, don't give up,, 🙏 my second favorite song,, from My List🔥💪
MOTTOOO brooh unajuaaa natamani nikupe ata zawadii 💥💥💥
Gooood babaaa nasubiria Kaz zako mtaan
Chalii anaweza sana
Unajua homie since day one
Huyu jamaa Noma 🔥 likes d'après drc🇨🇩🇨🇩
Fire motooo nakubaliiiii?TGUN TOZZY BUNDUKIIIIIIIIIIIIIIII KAMA UPO SWAX TOWN GONGA LIKE HAPA
Hii ni HIT SONG already 🔥🔥
Gonga like hapa kama umeikubali hii HIT SONG
Ndoto yangu mshindi ni Tgun tozzy
Mr lg katishaaa kinoum
Kaliiii brw, like it 👌🏿👌🏿👌🏿👌🏿💥💪
💥💥💥🪃🪃🪃 nilishaijua kuwa ni HIT Song toka ile studio session
Tgun umetisha napenda kubalika badilika😍
Get your respect 💪👊💪 bro 👊💯
Wee jamaa Acha tu aisee unajua mpk unakera aisee upo serious ile kinomaaa Tgun 💫💫💫, top 3 ww upo na wengine wajitahid kuchukua hizo zingine Bro , keep it up na husije lewa sifa ata sku moja na Hongera kwa TID na majaji wenzie kuibua hiki kipaji aisee 👏👏👏🙌🙌🙌
Sikupingi ata kidg nakufatilia sana broh we atar
Bonge Moja la Goma
Mwamba wa swax🔥🔥🔥
Kwenye ndoto ushakua no 1
Dude u kill it 🔥🔥
Uyu ni bonge la star
Anajua sana ajengewe Sanam posta
tgunTozzy mwambaaa unabalaah
Sawa nimekusikia ngoja nikalale ili Tukutane ndotoni😅😅😅😅😅 umetishaaaa💪
kwenye ndoto Mimi ni boss
You kill it bro🔥🔥
Big up Tgun tozzy ❤🙌🔥🔥🔥
Hvbvv🥰
Even Asipo Shinda Ila Jama Tiari Asha kua Superstar Na Asha Toboa Tiari ✊🔥
Hongera dogo maan ni motooooo
🥳🥳 who else anacheza
Kwenye ndoto nimekutana na madam litta😀😀😀😀
kwenye dotto nimekuwa mshindi wa BBS 2023
Chuma hakijatoka kipo on trending 🔥🔥