TGUN TOZZY AONDOKA NA TV BAB KUBWA BAADA YA KUWA MSHINDI WA NNE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Awww I feel bad but baby it’s okay, you’re a superstar already, we love you ❤
Kwenye wazuri wengi bas juwa kunawakwanza na wapili na kuendelea , ❤❤
Tgun ally the best home boy❤❤
Much love & Respect 4rm🇺🇬 @Tgun
Alright 😢
Amazing 😍
Tgunn is very talented than awawengine
Daaa Adam bigapu Sana Sana Sana unajua
Yani kila mara munatukwazaga kama amjajuwa ku judge acheni hizi kazi mnatuhumiza sana tu
Kwa kipaji ambacho Tgun anacho hiyo TV 43" sio kitu.
Kweli kabisa zarau sanaa cz hio
Huyo tgun kwanini hajashinda jamani ila atafika mbali saana MUNGU amutangulie jamani kwenye maisha
Very disappointed yaani t gun deserved kuwa mshindi
Weweweeeee ongera sana wanyumbani
Hap mmemuonea tyu jaman mnatukatish tamaa sis mashabik
Mmetoa du ,,,nyimbo anatunga mwenyewe ana kipaji,,,awa hawataki hip hop amuangalii vipaji vya watu pumbavu
Asata mungu
Kwani t gun tuz was the best 👌
Daa sijapata kuamainin kama huyu dogo amekuwanwa 4
Rita nikama ayupo ao ndo anazuga jamani
Kukatishana tamaa kaiza tyugan unaweza
Naona member mnafundisha Judge namna ya kufanya. Hao ndugu wamefanya kazi hii Kwa kipindi kirefu na siku zote hufanya Kwa jitihada kubwa.
Mmemnyonya
Sasa kama huyu n
Bwana mdogo anaimba hvo mshindi wa kwnza yupoje hapo tumepigwa wallah
daaaah tgun usiishie hapo mwamba ww ni kipaja hatar mbaya
Tgun Robbed
guy munakera kijana hamungemuasha
Mbona kama mtoto wa sumbuaga ndo alikuwa nabalaa
They robbed Tgun 😢
T gun
SEMA KWAHUYU DOGO HAMJA MTENDEA HAKI 😢
Haki haijatendeka kabisa