MADAM ATAKA KUVUA NGUO KISA SURPRISE BAND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2023
  • Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 14 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
    :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
    Bongo Star Search
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch
    TikTok: bongostarsearch
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 144

  • @valencevedastus2954
    @valencevedastus2954 7 หลายเดือนก่อน +44

    Wozaaa!! Kama ingekua kosa nalifahamu,nisingekutuma uendee ooh njiwaa
    Umeondoka umeniacha na sintofahamu,km ulikua hunipendi ungeniambia
    Ukifika umuulize kwamba kwangu alikosa kitu gani
    Kama ukifika we muulize kwamba nlichomkosea kitu gani ila sio kwa ubaya
    Ooh oh oh oh ohh
    Ooh oh oo ohh oo
    Nipeni likes zangu😂

    • @shabanimakwaru2875
      @shabanimakwaru2875 7 หลายเดือนก่อน +2

      Hii ngoma ni ya nani naona dogo kapita nayo vizur

    • @EventElias
      @EventElias 7 หลายเดือนก่อน

      Uko vyedi

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 7 หลายเดือนก่อน +3

      Hii ngoma ameiimba nani??

    • @EventElias
      @EventElias 7 หลายเดือนก่อน

      @@saidbakari2408 ya kwao

    • @mercymasasi1025
      @mercymasasi1025 6 หลายเดือนก่อน

      Natamani kujua jina la huo wimbo aisee.

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 7 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu kijana inaonekana ana utulivu wa kiakili.anaweza kuwa mkubwa kwenye muzik.kaz nzur sana,oohh oohoooo njiwa.

  • @arnoldpaschal8368
    @arnoldpaschal8368 7 หลายเดือนก่อน +8

    Mbona hawa level yao iko juu sana hawastahili kua kwenye mashindano, hao wapewe tu Support waende mbele wako mbele sana ya wenzao

  • @charlottempangala3881
    @charlottempangala3881 7 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani madam Ritha unanifurahisha sana, una vituko sana

  • @milasbaibe307
    @milasbaibe307 7 หลายเดือนก่อน +13

    They can really control their voices 🤗

  • @user-ts3fj6kq9m
    @user-ts3fj6kq9m 7 หลายเดือนก่อน +10

    Ila jamani surprise East Africa hawaonekana tena wako wapi !! Wake waje tuwaoneeeee

  • @WitnessMghamba-il5hk
    @WitnessMghamba-il5hk 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nimewapenda mnooooo,haswaaa huyo aliyeimba congo

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 7 หลายเดือนก่อน +7

    Lakini Shishi wewe 😂😂😂😂😂 tena unasoma comments kweli?

  • @user-iu8iz7zp4l
    @user-iu8iz7zp4l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Good

  • @user-lu1tl8xp8s
    @user-lu1tl8xp8s 7 หลายเดือนก่อน +1

    This ozaaaa guy banana anajua sanaaa mbona simuoni Tena jamani

  • @abdulrahmanabdulrahman837
    @abdulrahmanabdulrahman837 7 หลายเดือนก่อน +10

    Hii ngoma ya njiwa ni ya nani?

  • @ignasjanuary8326
    @ignasjanuary8326 6 หลายเดือนก่อน

    I only watch bss to hear minaah voice she kills me ghai.

  • @eliwazawilson1617
    @eliwazawilson1617 7 หลายเดือนก่อน +3

    Melaaaaa❤️❤️❤️✌️

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 7 หลายเดือนก่อน +93

    Fateni Ushauri Wa WATU,Huyo Shilole Akafanye Shughuli Nyingine,Wekeni Judge Mwingine Hapo!

    • @kingnotorious6178
      @kingnotorious6178 7 หลายเดือนก่อน +10

      Kweli kabisa kajaa tu hapo kazi anayo fanya hatuoni kazi yake ni kupika angeendeleza ru kupika

    • @onekisstv8412
      @onekisstv8412 7 หลายเดือนก่อน +9

      Mbna hana tatizo na mtu tuache chuki na chuki huwa hanazo masikini wa fikra kila nafasi anayotoa ni Mungu

    • @user-qs4fb5fo5f
      @user-qs4fb5fo5f 7 หลายเดือนก่อน +1

      true

    • @festizzokenya7273
      @festizzokenya7273 7 หลายเดือนก่อน +7

      Shilole yuko sawa na anajua mziki ww unayesema hafai n wivu tu ndio uko nao

    • @khalifasultan2677
      @khalifasultan2677 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@festizzokenya7273 Anafahamu Mziki Upi?? Huu Huu Au Mwingine??

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂Sitaki kuaminikama Rita anavuta bangi.. labda ni mikwara tu!

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asee kweli maisha magumu vijana tukaze 😂

  • @user-ys7ju7mk1x
    @user-ys7ju7mk1x 7 หลายเดือนก่อน +4

    Me ninacho uliza kimeangaliwa kigezo gan mpaka shirore akawa jaji, au kaufanyia nn mziki mpaka awe jaji

  • @Biphograh
    @Biphograh 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa anajuwa sabaa🎉

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 7 หลายเดือนก่อน +9

    Uyu mweupe mshaulini aimbe peke Ake anajua saaana ao wengine sio kiivo kwaiyo wafanye shindano mbeleni watajiunganisha wenyewe

    • @karimchindema9823
      @karimchindema9823 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe unajua kweli jaman.. wote mafundi hao

    • @user-ts3fj6kq9m
      @user-ts3fj6kq9m 7 หลายเดือนก่อน

      Ufundi mpaka performance wanatabasana mmoja anaumia na nyjiwa jama NJIWA na d@diamond ameona kweli

  • @mosesdavid-vm5hk
    @mosesdavid-vm5hk 6 หลายเดือนก่อน

    Dogo wa kwanza anajua sana sana (binafsi napenda HIPHOP but dogo nimemsikiliza anakitu ase)

  • @Speshotng
    @Speshotng 7 หลายเดือนก่อน +15

    HABARI ZENU (Kwa niaba ya Surprise East Africa Band )
    Naitwa @speshotng nikiwa na @melleh
    Ahsanteni Sana Kwa support yenu na kuona tunachokifanya tunaamini muda wa mungu ni sahihi.
    Tunaomba support yenu sana.
    Kwani macho yenu na masikio yenu ndio kitu peke tunachokitegemea katika kuhakikisha tunasonga mbele
    Ñguvu yenu na sauiti zenu zinaweza kutufanya kuendelea na mashindano.
    #WAJEWAJE SURPRISE BAND
    tunaamini inaezekena.
    #WAJEWAJE SURPRISE BAND

    • @msomaliwamafia3454
      @msomaliwamafia3454 7 หลายเดือนก่อน

      Munajua kk mchaw mikazo mbn munatoboa bila was

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hii ngoma aliyoimba Melleh inaitwaje na kaimba nani??

  • @trapqueen7885
    @trapqueen7885 7 หลายเดือนก่อน +4

    I ❤ the family

  • @user-bx1jz8bj2r
    @user-bx1jz8bj2r 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nimefurah saaaaana

  • @allyntepatz
    @allyntepatz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pure talents

  • @user-hk4yd8gk2i
    @user-hk4yd8gk2i 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa watu wako sawa wapate support

  • @tumainikasase
    @tumainikasase 7 หลายเดือนก่อน

    Uje uje 😂😂😂🙌🙌

  • @user-tw6wt4fn9y
    @user-tw6wt4fn9y 6 หลายเดือนก่อน

    Mko sw mtafika mbali sana

  • @user-io4lm2mn9r
    @user-io4lm2mn9r 6 หลายเดือนก่อน

    Wow mashaallah wako vyema

  • @josephelisha8413
    @josephelisha8413 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shishi ni entertainer 😮

  • @shabanimiyumbaniki6021
    @shabanimiyumbaniki6021 6 หลายเดือนก่อน

    Mpo juu sana

  • @user-xl2so9eh2p
    @user-xl2so9eh2p 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo wa pili uongo hajaimba vizuri

  • @jescamgallah3809
    @jescamgallah3809 7 หลายเดือนก่อน +2

    Shilole mtoeniii bhana anaboa

  • @meckygclassic5020
    @meckygclassic5020 7 หลายเดือนก่อน

    ILA kusema ukweli wachague nyimbo nzuri hiz hapana

  • @Mr-smile1999
    @Mr-smile1999 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mellah ni hatari sanaaa aiseee kama mjuwi uyo wakwanza kuimba hata nyimbo ya sawa ya jay melody kaandika yeye....Mdogo wangu kitambo

    • @user-ts3fj6kq9m
      @user-ts3fj6kq9m 7 หลายเดือนก่อน

      Yani hawa Jamaa wawili ukikutana nao wakianza kutoa burudani unaachaje kuwaita Surprise.
      Jamani waje waje.

    • @JaysureMtewele
      @JaysureMtewele 7 หลายเดือนก่อน

      Iyo nyimbo aliimba melleh inaitwaje

    • @sanourabeiby6711
      @sanourabeiby6711 7 หลายเดือนก่อน

      Anatumia jina gani TH-cam nataka iyo song plz

  • @murotv8960
    @murotv8960 7 หลายเดือนก่อน

    Madam Matha Wavulie hao hawakujui😅😅😅😅

  • @isaaclevis5532
    @isaaclevis5532 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @user-po5mm5vk6d
    @user-po5mm5vk6d 7 หลายเดือนก่อน +1

    Anajua saaaaaaaaaaaaaaaana

  • @shabanimiyumbaniki6021
    @shabanimiyumbaniki6021 6 หลายเดือนก่อน

    Very well

  • @nobodyog9512
    @nobodyog9512 7 หลายเดือนก่อน +2

    Waoooh🎉🎉

  • @user-ts3fj6kq9m
    @user-ts3fj6kq9m 7 หลายเดือนก่อน +2

    Waje waje wajeeeeeeeeeeee

  • @Shahzadmussa
    @Shahzadmussa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee kwanini mlitoka?

  • @kingnelly8087
    @kingnelly8087 7 หลายเดือนก่อน +2

    Madam ritha nakuomba sana Shilole hafai kwny hii kazi...

    • @AlvinKhim-lc1jo
      @AlvinKhim-lc1jo 7 หลายเดือนก่อน

      We ni fala ujui muziki shilole unamjua au shobo shilole anashida gani wakati ni msanii

  • @npiperito19
    @npiperito19 7 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @user-ci1kq2cc8i
    @user-ci1kq2cc8i 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shilole ujaji kaupatia wapi kwenye mapishi auuuu....

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wowoow

  • @BabeMr
    @BabeMr 7 หลายเดือนก่อน +4

    They have talent fr ❤❤😢

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂vua madam tuone

  • @Vichris2237
    @Vichris2237 7 หลายเดือนก่อน +2

    Very talented

    • @user-ts3fj6kq9m
      @user-ts3fj6kq9m 7 หลายเดือนก่อน

      Wa kwanza amepoza wapili ameamsha and stage performance wanayo!! Wakwaza ameonuesha huzuni wa pili anafutahi smile all the time talented!

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 7 หลายเดือนก่อน

    Mnajua sana

  • @ShijanyamizijohnJohn-py7ni
    @ShijanyamizijohnJohn-py7ni 7 หลายเดือนก่อน

    Mama shilole piga kaz nakuombea maixha maref

  • @EvaMaletho
    @EvaMaletho 7 หลายเดือนก่อน +2

    🎉❤

  • @GivenClement
    @GivenClement 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan huyu njiwa nimerudia mara mbili

    • @shabanimakwaru2875
      @shabanimakwaru2875 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kaigonga vizur ukijua jina lake nichane hapo chini

  • @user-lu1tl8xp8s
    @user-lu1tl8xp8s 6 หลายเดือนก่อน

    Ozaaa anajua

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 6 หลายเดือนก่อน

    Shilole anafanya Nini Huku mlete hata walau lady jaydee 😂

  • @douglaswenani4637
    @douglaswenani4637 6 หลายเดือนก่อน

    Namiss CBO

  • @jacintaedukan8179
    @jacintaedukan8179 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @saebajoma8419
    @saebajoma8419 7 หลายเดือนก่อน +2

    Daah mdogo angu wadamu Allah akusimamie🤲🙏

    • @johnjulius3092
      @johnjulius3092 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu atamsimamia

  • @lauraabass1077
    @lauraabass1077 6 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka mno. Madam bwana

  • @asiasaidi-zc5gq
    @asiasaidi-zc5gq 7 หลายเดือนก่อน +3

    Muwekeni komando jide mtoweni shishi uyoo

  • @Timmyboilife
    @Timmyboilife 6 หลายเดือนก่อน

    Anaye jua Jina la mwimbo was kwanza kuhusu njiwa pls let me know

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 7 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅😅❤madam

  • @pendomwamba3967
    @pendomwamba3967 7 หลายเดือนก่อน +3

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @zainurkiluasha2127
    @zainurkiluasha2127 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @azrymusic6065
    @azrymusic6065 7 หลายเดือนก่อน +4

    🔥🔥🙌🏾

  • @meshackmalinga3195
    @meshackmalinga3195 6 หลายเดือนก่อน

    Aliye washauri kuhusu shilole kuwa judge, aombe sana kukwepa motoni.

  • @SelemanSalumu-kf6dq
    @SelemanSalumu-kf6dq 6 หลายเดือนก่อน

    Chukuen watu waliofika mbali kimuziki yeye mwenyew kaferi kimuzik uwez ukajifunz kwa alie shindwa

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mh ila uyo wa pili hapana jaman🤣

    • @ashamjeni292
      @ashamjeni292 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂na ana sauti kubwa

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 7 หลายเดือนก่อน

      @@ashamjeni292 🤣🤣🤣yan

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 7 หลายเดือนก่อน +2

      Kauwa sasa kuliko yule mweupe😂😂😂😂

  • @qualitycomedystudio
    @qualitycomedystudio 6 หลายเดือนก่อน

    Pambaneni wanangu mpaka kieleweke

  • @editorlais5185
    @editorlais5185 6 หลายเดือนก่อน

    Shishi ungeenda tu kupika mama

  • @alexchungu6263
    @alexchungu6263 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shishi ni fujo tu

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 7 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @workbizy4853
    @workbizy4853 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shilole jau

  • @emmylitavicent1308
    @emmylitavicent1308 6 หลายเดือนก่อน

    Shlole ujaji haumfai bora ht mngemuweka mpoto

  • @jumannembaraka5528
    @jumannembaraka5528 7 หลายเดือนก่อน

    Iyo nyimbo aliombia jamaa wa kwanza inaitwaje na kaimba msanii gani?

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 7 หลายเดือนก่อน +1

    SHILOLE HAFAI KUWA JAJI

  • @zainurkiluasha2127
    @zainurkiluasha2127 7 หลายเดือนก่อน

    5:11

  • @ivanlukubilo5657
    @ivanlukubilo5657 7 หลายเดือนก่อน

    Janjaa anajuha

  • @mercynina6288
    @mercynina6288 7 หลายเดือนก่อน

    Harmonize aliwahi kupewa comment kama izo izo leo yuko wap? Songeni mbele

  • @user-tf8mz9yx9s
    @user-tf8mz9yx9s 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @mariamumaliki6980
    @mariamumaliki6980 7 หลายเดือนก่อน

    Msirudi kuweka shishi miwekeni dulli au jide

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Shiloli sio kabisa

  • @user-wn9bp5cl1j
    @user-wn9bp5cl1j 7 หลายเดือนก่อน

    Shilole ameanza kuelewa ujaji

  • @guccij6236
    @guccij6236 7 หลายเดือนก่อน

    😅

  • @user-ys7ju7mk1x
    @user-ys7ju7mk1x 7 หลายเดือนก่อน

    Yan huyo mkimwambia aimbe hapo atakiimba nn au atakosoa nn kwenye mziki msisababishe bss ya msimu huu iwe mbaya bora at least angekuwa aslay,mwasiti,ben pol au ata ditto

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 7 หลายเดือนก่อน +2

    Shilole aondoke mziki hajuii

  • @danielmollel5538
    @danielmollel5538 6 หลายเดือนก่อน

    awa akuna mtu wakufanana na awa ni hatari kuashina

  • @ephesongailo8564
    @ephesongailo8564 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo Shishi Beeeeibi anatuharibia MB zetu

  • @gogybushi9736
    @gogybushi9736 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo wa kwanza kaimba wimbo gani uo?

    • @Speshotng
      @Speshotng 7 หลายเดือนก่อน

      Unaitwa muulize

    • @gogybushi9736
      @gogybushi9736 7 หลายเดือนก่อน

      @@Speshotngkaimba nan?

    • @rusteausenior6391
      @rusteausenior6391 7 หลายเดือนก่อน

      Hakuna hii nyimbo TH-cam,tuoe jina Na muimbaji pia ni nani

  • @najmaramadhan
    @najmaramadhan 7 หลายเดือนก่อน

    Wanajua jamanii

  • @Donald22ist
    @Donald22ist 7 หลายเดือนก่อน

    Melaa

  • @user-op7so7wz8x
    @user-op7so7wz8x 7 หลายเดือนก่อน +2

    Good

  • @user-ts3fj6kq9m
    @user-ts3fj6kq9m 7 หลายเดือนก่อน

    Waje waje wajeeeeeeeeeeee