Dogo nimemkubali sana,nakomet kutoka south africa.kuna wasouth wanasema kwa umri wake akija kusanya experience zaidi anavyokuwa, atakuja kuwa moto wa kuotea mbali. Big up doDo!
TGUNY TOZZY unajua sna dgo ila HIP UP bongo Cku hizi Hailipi yan kutoboa KAZI sna,YAN walioko kwenye soko ni Wabana PUA cku lkn mziki ni hip up tsha sna mtoto wa SWAx
Nimekubar mwanangu kumbe NYIMBO akoo ya ndoto idea ya kitambo Nashkuru me Kaa deejay nimepiga nyimbo Ako mpka kufika number One on trending song Rukwa ktz Ndingala fm deejay 255 dvj zawa maujuzi
Dogo nimemkubali sana,nakomet kutoka south africa.kuna wasouth wanasema kwa umri wake akija kusanya experience zaidi anavyokuwa, atakuja kuwa moto wa kuotea mbali. Big up doDo!
Nimekubali xana T GUN TOZZY👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mwana witu wakuli sumbawanga leza aku saidie utoboe maisha na sio maskio kama harmonize na wengine wanao toboa maskio T GUN TOZZY 👊👊👊👊
Watatu leo naanza kwa comment thn ntamcheki jamaa, nipeni likes zangu 50 apa kwnz b4 all..
Tumekupa sub apo xx
Umetiza tozi
@@kuteletv9661 wqqq
Kijana yupo powa sanaaa huyuuu
Uko vizuri boy. Unavoonekana ni tofauti na ulichokipresent. Kubwa sana hii. Nimependa zaidi hapo kwenye Ndoto 😀😀
TGUNY TOZZY unajua sna dgo ila HIP UP bongo Cku hizi Hailipi yan kutoboa KAZI sna,YAN walioko kwenye soko ni Wabana PUA cku lkn mziki ni hip up tsha sna mtoto wa SWAx
Mwene leza aendelee kukuchema ningo, ufike ukutaliiiiiii 🎉🎉
Ejamaaaaaaaaa Eeeeeeh tunaombaaaaaa mbeya boy chumaaaaa arudi tena eee
Dom hapa nakubali michano salute kwako mzee Dullah Planet kwa idea ya pindi hili maana inapandaaaaa inashukaaaa!
Dope
Mwanangu wa swax a.k.a sumbawanga umetisha sanaaaa...wakilisha
Da wa swax huyu mbona kama yule anaimba hili gari
Dah hyu dogo ni hatari sana nakubali sana salute kwa wanao wote wa swax
Big up mwamba,swax tupo nyuma yako!
Duuu nomaaa sana🤜💪💪
Nimekubar mwanangu kumbe NYIMBO akoo ya ndoto idea ya kitambo
Nashkuru me Kaa deejay nimepiga nyimbo Ako mpka kufika number One on trending song
Rukwa ktz Ndingala fm deejay 255 dvj zawa maujuzi
Unajuwa Kaka NIT for tallent
Nomaaaaa sanaaa keep doing bro umetisha sana 💯💯💯💯
Chuma hicho balaaaa sanaaaaa aise kanifurahishaaaa sanaa
Mwamba yuko vzr
T-gun tozzy mkakaa anakaa mpile lakini mizuka ikipanda hashikiki big up
💯
Tozzy mnyama
Huuu ni moto, best rapeer
Kutoka NIT hatuna dogo ♨♨♨
Oy mwanang T-gun umeuwaaa sema nn kazaaaaa
You
Demu hasomeshwi mwanangu unatafuta murder kesi🔥🔥🔥🔥🔥
Dahhh umetisha Martin
👍👍👍👍home boy nakubali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥⭐⭐⭐⭐⭐⭐
Sureeeee
Napenda sana rap zAko bwana T GUN TOZZY👍👍👍
Cool big up bro much love from kenya
Dogo anajua mpaka rahaaa
Imewezaa
Upo vzr aise " ndotoo hizo"
Oi wana jamani jitahidinimtuwekee hizi playlist pamoja ili tuwe tu na enjoy vipaji vya wana wetu
Hip hop
Daaaaaaaaaah mkal umeuaaa hatariiii
wakwetu moto ushawakaaaaaaaqqqq
Fipa boy
Ametisha sana jamaa
Salute from Comoro🇰🇲🇰🇲
❤❤❤❤❤❤home boy
Good TGUN TOZZY MTOTO WA SWAX SUMBAWANGA MJINI
Nimegundua bongo Kuna machizi wa hihop
Safi sana
Safiii tguntoz from home swax
We Martin jaman hatariiii#Aggrey jaman
jamaa katisha kinoma.. kivhwa kibovu hip hopuu
Oooh oh mwanakwetu swax town🙌🙌🙌
Fipaaa boyyyy
yaaan huyu mtt wa kifilipino n nomaaaaa
Unahatar
Chidibenz dk10
Ata nyumba ya Machame n idea yng mm😂 ndotoni nmeelewa sn keep up man..
Tumeelewa sote mkaliii
Hata mimi bro
Umetisha Mzee Endelea Kaza
Sana mwanangu
Sanaaa mshkaji katisha
Anaweza sana
mjuba anajua
Anajuaa
Ndoto noma
Noma sana moto unawaka
Sana thuuu
Umetisha!!
Mchizi ameuwaaaa huyooooo
Srong bro from +254
Sauti haitoki vizuri fundi mitambo kuna shida gani siku hizi
Be blessed T Gunny tozzy
Respect da OG
Fundi mmojaaa🤙🏿🤙🏿🤙🏿🔐
tumeingia mjiniii..kaliii
audio mmeharibu haisikiki kabisa soumd mbaya wekeni sawa mitambo yenu
Mchiz uko dede hala up sana
Leo nmemkubali uyu 4rm KENYAAAAAAAAAA
lyrical genius
Jamaa anajua
From Maandishii Matatuuu NIT....!!
Sana'a home boy from sumbawiseeee
Enyamaaaaa eeeeee
Yoooo
Yeaaah
Tishaaa Sana , He is a super 🌟
Sanaaa
Mwambaa Hatariiii duhuu
You are the best bro
Huyu jamaa ni mkoa gani
huyu mwana kama F A
Hottest guy, deserve best
Sure
Jamaa nomaa sanaa
Chidi Benz dk 10
Nakubaliii mzeee ✌✌
hahahhaahah uyo mwana ni zaidi ya hatari,wakati anaanza nikahisi atofanya vizuri ila ni MOTOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Jamaa ni kwere aisee
Kali sana hii
Nimeipenda kinyamwezi
Iyo sista ya pembeni ikaimbe kwaya show imemshinda
Wanazingua kinoma
Sumbawangaaaaaaaaaaaaa
Oyo
Swawiii!boy pamoja
Mkn kiaina
booooom🦗🦗🦗
Tozzyyyyyy 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hatareee huyo
😁😁😁😁 punch kali.T.gun 🔥🔥
Nakubali
Aooo madem awana mizuka kabisa.. wapi jr junior
Toop 🥤🥤🥤🥤🥤
Kauwaaaaaa