JIJI LA ARUSHA LAKANUSHA MADAI YA MDAU WA UTALII, MKURUGENZI AWEKA BAYANA/WAKIENDA VIJANA WANATSHIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 เม.ย. 2024
  • #jambotv
    Siku chache baada ya Mwenyekiti wa chama cha mawakala wa utalii Tanzania (TATO) Wilbard Chambulo kuituhumu Halmashauri ya jiji la Arusha kudai kuwa ameilipa Halmashauri hiyo milioni 24 kwenye kodi aliyokuwa akidaiwa lakini akashangazwa kuona taarifa za malipo alizopatiwa zinaonesha kuwa amelipa milioni tatu (3) pekee hivyo kuibua hisia hasi na madai ya uhujumu wa fedha za umma kwa baadhi ya maafisa wa Halmashauri ya jiji hilo leo, Jumatatu Aprili 15.2024 Halmashauri hiyo imekanusha vikali madai hayo
    Akizungumza na wanahabari ofisini kwake Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Mhandisi Juma Hamsini amesema madai ya Chambulo ambaye ni mfanyabiashara na mdau wa masuala ya utalii wa muda mrefu si ya kweli, kwa kuwa baada ya kuibua tuhuma hizo Halmashauri ya jiji la Arusha na ofisi ya Katibu Tawala mkoa wa Arusha ilifanya ufuatiliiaji wa taarifa za mifumo ya kikodi za Chambulo (kwa kuwa hakuna fedha inayopokelewa mkononi), na baada ya ufuatiliaji huo wamejiridhisha masuala kadha wa kadha yanayoleta utata wa ushiri wake kwenye ulipaji wa kodi za serikali hususani zile anazopaswa kulipa kwenye Halmashauri hiyo
    Mhandisi Hamsini amesema inadaiwa kuwa Chambulo anamiliki kampuni mbili tofauti ambazo ni 'The Tanganyika Wilderness Camps Limited' na 'Tanganyika Wilderness Camps Limited' ambazo kampuni zote hizo licha ya kwamba zinafanya shughuli zake kwenye maeneo mbalimbali lakini usajili wake umefanyika Arusha, lakini namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) inayotumika ni moja jambo ambalo linaleta majawabu kuwa mmiliki wa kampuni hizo ni mtu mmoja ambaye ni Wilbard Chambulo
    Hata hivyo Mkurugenzi huyo ameeleza kuwa kwenye kumbukumbu za kikodi inaonesha kuwa mauzo ya mfanyabiashara huyo Kwa mwaka yanafikiwa bilioni 90 ambapo katika fedha hiyo kodi anayopaswa kulipa Halmashauri ni milioni 200 na ushee ambayo kimsingi anadaiwa kwa kuwa licha ya kwamba anaeleza kulipa milioni 24 lakini 'demand note' aliyotumiwa na Halmashauri ni milioni tatu (3) pekee
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 242

  • @godfreyjohn8460
    @godfreyjohn8460 หลายเดือนก่อน +15

    Mm ni guide wa utalii miaka mingi mr.chambulo ni mlipaji mkuu wa taxi pia amesaidia sana tanapa visima hadi magari.

  • @fredrickmapunda3110
    @fredrickmapunda3110 หลายเดือนก่อน +8

    Sasa hapo unamjibu nani kwanini barua hiyo usingeitoa sikuileile wewe ni mwizi hata Kwa macho inaonekana. Na mipete Yako ya uganga

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg หลายเดือนก่อน +6

    Makonda safi safi sana umemtoa nyoka pangoni mbona mkurugenzi kabla ya makonda kuja? kwahiyo moto wa makonda umekuibua mzee

  • @issajuma9043
    @issajuma9043 หลายเดือนก่อน +14

    Wapigaji bado wapo,
    Kama kampuni ni mbili mulikubalije itumie TIN namba moja
    Kuna viashiria vya upigaji hapo

    • @user-gy5en6cy8o
      @user-gy5en6cy8o หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @ChiefMsenya
      @ChiefMsenya หลายเดือนก่อน +3

      Ndugu Mto mmoja anauwezo wa kua na kampuni zaidi ya moja lakini Tin ikawa ni moja tu.

  • @octiminja5260
    @octiminja5260 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamaaaan jamaniii mkurugenzi jamani sali sala ya mwisho mwaka huu ni wako mama wa nchi anakupotcry😢😢😢😢

  • @lucasmlowezi9214
    @lucasmlowezi9214 26 วันที่ผ่านมา +4

    Shida hamsomi alama za nyakati, yaani Mh. Makonda chuma yupo hapo mnaleta utani. Haya shauri yako, boss Makonda yupo kazini

  • @emazacharia4455
    @emazacharia4455 หลายเดือนก่อน +20

    Mbona inshu ndogo hii itisha mdahalo baina yake na wee muwe live tuone nan mbabaishaji😊

    • @dianasamson9311
      @dianasamson9311 หลายเดือนก่อน

      Sawa kabisa

    • @kwereeking1403
      @kwereeking1403 หลายเดือนก่อน

      Watueke live banaa…

    • @user-md7ug5dd9r
      @user-md7ug5dd9r หลายเดือนก่อน

      Itaondoa huu ubabaishaji

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 25 วันที่ผ่านมา

      Mkurugenzi kajikanyaga...umeitishaje kikao kuelezea Mambo ya mkuu wako aliyokuagiza..?

  • @inocentedward2185
    @inocentedward2185 หลายเดือนก่อน +4

    Nimefanya kazi kwenye hiyo miaka 12 Tanganyika ni moja siyo mbili labda herufi zimekosewa kuandikwa pia huyo Kaburu siyo mbabaishaje

  • @charlesmoremi7262
    @charlesmoremi7262 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mkurugenzi alikua wilaya ya serengeti. Ni mbabaishaji sana

  • @fulgenceoswald3866
    @fulgenceoswald3866 25 วันที่ผ่านมา +2

    Dah! huyu jamaa Muongo sana mama Samia tumbua huyu mtu

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 หลายเดือนก่อน +4

    kwanza alie leta sheria za wazungu service levy ni sheria za wazungu na hizi wazungu wanachajiwa kwasababu ya bill za nyumba na umeme na maji ndio maana zikaitwa jina hilo

  • @rahmarama5669
    @rahmarama5669 20 วันที่ผ่านมา

    Kwishaaa bora ungesbria tu aisee mana hpa uliyatafta mwenyewe Makonda hataki unafki

  • @AthumaniShabani-yi8hy
    @AthumaniShabani-yi8hy หลายเดือนก่อน

    Ni nzuri mno

  • @rahmarama5669
    @rahmarama5669 20 วันที่ผ่านมา

    Mkurugenzi umecheza pabaya aiseee😂😂😂😂😂😂yaan umechuchumaa cha kikeni

  • @sifunimelkizedeck882
    @sifunimelkizedeck882 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli maelezo yako yako clear mkuu ki professional

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 หลายเดือนก่อน +1

      Yapo clear kwenye makaratasi ila kiuhalisia wamempiga labda kama hujawah kupita huko

  • @bilid4128
    @bilid4128 หลายเดือนก่อน +4

    Mmh mkurugenzi amelemewa na Mapete mengi

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 หลายเดือนก่อน +5

    Bana kusengenya ni mbaya sana ulikuwepo ungekataa palepale

    • @mariamcleophas272
      @mariamcleophas272 หลายเดือนก่อน +2

      Mpaka nywele kanyoa 😂😂

    • @user-ku8dk7bu7p
      @user-ku8dk7bu7p หลายเดือนก่อน

      ​@@mariamcleophas272mmbeaaa weww kama Mimi nkajuaa nmeonaa tofaut😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 25 วันที่ผ่านมา

      Huyu ni TAPELI bhana Muongo

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 หลายเดือนก่อน

    Mkurugenzi umeeleweka vizuri sana!!..nafikiri hapo ni mkanganyiko mdogo tu..sasa mnatakiwa mkae kama mlivyoelekezwa na Makonda

  • @christinestephen8828
    @christinestephen8828 11 วันที่ผ่านมา

    Huyu mkurugenzi kafanya tofauti na maagizo ya mkuu wa mkoa. Hizo documents nadhani ni siri hapaswi kuzionyesha hadharani, sio maadili

  • @MosesKamba-tk3lp
    @MosesKamba-tk3lp 23 วันที่ผ่านมา

    Bado upo ,ulisema mikono yako safi,je Leo imekuwaje,kumbuk ulikuwa serengent

  • @twahashearer8302
    @twahashearer8302 หลายเดือนก่อน +1

    Mh. Mkurugenzi kampuni haitambuliki kikodi kwa jina bali kwa TIN yake na ndio maana hiyo kampuni moja hazionekani kwenye mfumo wa tausi

  • @twahashearer8302
    @twahashearer8302 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Kiongozi kwa makusanyo mazuri ya jiji, nakumbuka hili suala la kulipa kidogo kidogo tulilijadili katika vikao mbalimbali baina ya wafanyabiasha na wewe binafsi

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 26 วันที่ผ่านมา

      Ww mwehu pia huyu ni mwizi tu

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 26 วันที่ผ่านมา

      Siku utafatwa utaambiwa hujalipa awe amezilamba ndio utaelewa😂😂

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 24 วันที่ผ่านมา

      Veep bado unampa hongera au haituhusu😅😅😅

  • @magotiamir4669
    @magotiamir4669 20 วันที่ผ่านมา

    MKURUGENZI MSENGE HUYU😂😂😂

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 25 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu hana akili, hiyo The Tanganyika mnayo leseni ya biashara ? Hiyo control number ulipataje ya The Tanganyika bila TIN number?

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmh apo mwenyekiti kapigwa

  • @mchellenmbunge55
    @mchellenmbunge55 15 วันที่ผ่านมา

    Sasa mkutano sio wako unaelezea nini ?? Maana yake unamjibu boss wako au

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 หลายเดือนก่อน +4

    Hautaelewka mpaka muwe nae hapo ana kwa ana. Hao waandishi sio watalamu. Mruhusu auditor ama mtaalamu wake wa kodi nae awepo. Hata wewe ukiulizwa umetuelewesha nini hUwezi eleza.

  • @mmwaupete6265
    @mmwaupete6265 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo ilitakiwa kukaa naye na kueleweshana, na baada ya hapo wote ndio mnazungumza.

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu หลายเดือนก่อน +2

    Mbona hukuongea hivyo kwenye kikao cha makonda na mwenye kampuni akiwepo pale. Jiji la arusha wapigaji msitumie nguvu kubwa sana kujitetea. Unachofanya hapo ni kumtafutia makosa mfanyabiashara.

    • @user-ku8dk7bu7p
      @user-ku8dk7bu7p หลายเดือนก่อน

      Hataa Mimi najiulizaaa mbon hawakutoa hojaa alfuu piaa yulee anaonekanaa anauhakika kabisaaa na achokisema na wenzakeee itakuwaaa wanamuamin kabisaaa😅😅😅😅😅😅😅 huuu mwakaa watakomaa

  • @laizermaasai6759
    @laizermaasai6759 หลายเดือนก่อน +2

    Mkurugenz hautatoboa kwa hiliiiii. Tuko paleeee tumekaaa. Kaburu ni mtu anayesifika sanaaa kwenye mambo ya kulipa kodi hua hana kona kona. Kwa acheni kubambikiza watuu

    • @user-df5mj2ft4w
      @user-df5mj2ft4w 26 วันที่ผ่านมา +1

      Ameyatimba

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 24 วันที่ผ่านมา +2

      😅😅😅Nimekuja hapa
      Mbona kayakanyagaa

  • @mgendijr7380
    @mgendijr7380 หลายเดือนก่อน +4

    Kwann watoe control number moja kwa kampuni 2

    • @kaaakwakutuliaa5179
      @kaaakwakutuliaa5179 หลายเดือนก่อน

      hawa majambazi ukiwaibua wanaanza kukutafutia visingizio vya kisenge kisenge

    • @Gilbertnyanda
      @Gilbertnyanda หลายเดือนก่อน

      Unahakiri sana jamaa kama mimi

  • @user-yt9xc9rq9t
    @user-yt9xc9rq9t หลายเดือนก่อน

    Mmmmh

  • @jtlehhema
    @jtlehhema หลายเดือนก่อน +1

    Mkurugenzi huyu achunguzwe haraka sana

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna waadilifu wa kazi, na wasio waondolewe.. ila hutuwezi kuona kila mtu mwizi tuhukumu kazi yake. Bila hivyo tutafika pabaya. Akiwa kweli kakosea kwenye kazi hata mm naunga mkono aondolewe... ila kama anaongea ukweli tufike mahali tujue ukweli una maana. Si kila mtu anaemtaja Mungu ana Mungu... wapeni watu nafasi wafanye kazi na wahukumiwe kwa kadri ya matendo yao. Sijaona kosa lolote la huyu Baba.. kudeserve kelele zote zilizopo.

  • @VictoriaClement-tx3hk
    @VictoriaClement-tx3hk 21 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni janja nyingi

  • @justice607
    @justice607 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 Tetemeko limeanza 😅😅, kwanini hakujibiwa pale

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 หลายเดือนก่อน

      Data hazihifadhiwi vichwani mwa watu zinakaa kwenye makaratasi na kompyuta hata kama ni wewe hauwezi kujibu papo hapo utatoa taarifa ya uongo halafu inakugharimu tuache kushabikia tusiyoyajua hata huyo RC hawezi kutembea na rekodi za ofisini kichwani hats mambo ya nyumbani kwake ya miaka hata mmoja uliopita hayajui yote

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 หลายเดือนก่อน

    Why tin namba ni moja????

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 หลายเดือนก่อน +5

    hizi kodi zingekua zina katwa na tra ,moja kwa moja unapewa control number moja tu huu ni usumbufu sana

  • @yefredmyenzi8806
    @yefredmyenzi8806 หลายเดือนก่อน +1

    Very eleborate
    Hongera sana Mr HAMSINI
    Ukiona msg za watu wasiofahamu na wanaokimbilia kukosoa utajua ndio utajua uhasama usio na msingi ambao watanzania tunajengeana

  • @ephraimmalajo6842
    @ephraimmalajo6842 22 วันที่ผ่านมา

    Mkurugenzi kaoshe kucha😅

  • @JumaMbaga-sd5yi
    @JumaMbaga-sd5yi หลายเดือนก่อน +1

    Sawa kwanini hukumpinga pale pale

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo hafai kabisa. Mtu mwongo ni mwizi pia.

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 หลายเดือนก่อน +1

    Mkurugenzi katafakari saiv kaburu atakiona, muheshimiwa usipaniki kaburu nimemsikiliza hajasema kama halmashauri wizi ila kazungumzia kuhusu utitiri wa kodi ubadilike! Hapo usijichanganye kiongozI.

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 26 วันที่ผ่านมา

    Alikuja huku baada ya kuumbuliwa na makonda leo

  • @jumannemwanga1029
    @jumannemwanga1029 หลายเดือนก่อน +3

    Mkurugenzi utaniambia hiyo barua umeipelekea kwenye kampuni ipi maana hakuna kampuni mbili yenye tin no moja?

  • @carolinerubeya7817
    @carolinerubeya7817 หลายเดือนก่อน +1

    Chambulo chambulo be carefully...

    • @maasaiafricanguides5717
      @maasaiafricanguides5717 หลายเดือนก่อน

      Unaogopa hiyo mipete😂😂😂
      Ubosi ni kazi ngumu sana Kama upo mbali na Mungu

  • @frankbarnabasitumbili3546
    @frankbarnabasitumbili3546 หลายเดือนก่อน +1

    Juma 50 we ni mwizi sana tunakujua we ni mwizi kabisa umetoka serengeti kwa wizi mzee acha kukwepa we mwizi tuu

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 25 วันที่ผ่านมา

      Hivi watendaji wa Arusha mna nini lkn mbona wababaishaji sana?

  • @rahmarama5669
    @rahmarama5669 20 วันที่ผ่านมา

    Nipewe mimi hii nafasi yako yaan watu watafurahi

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 หลายเดือนก่อน

    Hiyo tausi nayo unaizumgumzia kama iko effective mbona ina gota gotaga?

  • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
    @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly หลายเดือนก่อน

    Siku zote mlikuwa wapi hadi timu iundwe baada ya mteja kulalamika??
    Hapo hamna tofauti usituchanganye mmekula pesa na lazima mcheue tu.

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward หลายเดือนก่อน +1

    Ili kukwepa mitafaruku kama inchi tunao wajibu wa kujua kila mkoa au kila wilaya anasyahili kulipa nini?, Ili kupunguza malumbano na tarifa za uongo. Huo ndiyo usomi na utanzania.

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 หลายเดือนก่อน

    Hii serikali bado inatunza kumbukumbu zake kwenye majala aisee. Kwann msiweke nyaraka hizo online?

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 หลายเดือนก่อน

    Mkuu hizo Tanzanite tu inatosha kukupa page yako

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 หลายเดือนก่อน

    Why one TIN number ?

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 25 วันที่ผ่านมา

    Nyie mmejichanganya kuna kitu mmekosea kuweni Makini..otherwise itawatokea Puani..Chambulo ana B 4 amarudishiwa na Bi Mkubwa hawezi kushindwa kulipa Deni la 200m

  • @Gilbertnyanda
    @Gilbertnyanda หลายเดือนก่อน +2

    Kwa nini kama makampuni 2 tofauti control no ni moja hujamaa ni mwizi

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 หลายเดือนก่อน +1

    duh!cheki ulivonilia mikausho kama kweli vile we noma😂😂tunasubil kikao cha pili mbivu na mbichi zitajulikana

    • @user-ku8dk7bu7p
      @user-ku8dk7bu7p หลายเดือนก่อน

      Ndohapoo sasaa utafkiri sikuile hapakuwaa na muwakilishii waoo😅😅😅😅😅😅😅

    • @opportunities2767
      @opportunities2767 26 วันที่ผ่านมา

      Tayari yametimia 😅

  • @michaelelifasi995
    @michaelelifasi995 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani alichosema yeye mbona Kiko wazi? Amesema alilipa million 24 lakini kapewa reciepts za milioni 3 ,je hiyo 21 reciepts yake Iko wapi

  • @onesmothimos2635
    @onesmothimos2635 25 วันที่ผ่านมา

    Ndio uyu Kuna kipindi alikuwa ana lialia ovyo kwenye mkutano wa Magufuri

  • @mavunewalwaka7831
    @mavunewalwaka7831 หลายเดือนก่อน

    Makonda kadema arusha,kazi munayo.

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 หลายเดือนก่อน +1

    Mkora, mwizi mkubwa amepatikana.

  • @omaralwy8786
    @omaralwy8786 24 วันที่ผ่านมา

    MKURUGENZI UMEKWISHA

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu หลายเดือนก่อน

    Inawezekanaje kampuni mbili tin namba moja, na ninyi ndo watoaji wa tin namba na leseni ,umakini mdogo kwa watendaji wa manispaa ya jiji la arusha.

  • @robertjerald317
    @robertjerald317 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi ni wezi hayo yote kwanini hamkukaa nae kabla ya mkuu wa mkoa kuitisha kikao hicho na kwanini hamkumpa clarifications hizo ili ajue yeye anasimamia wapi na kwa maana iyo mnataka kusema mkurugenzi huyo hajielewi !! Au haelewi nini anafanya ??!! Na kama ni kweli mnachokisema basi ofisi yenu haina utendaji mzuri kwa wateja wao inabidi mbadirike na si vinginevyo

    • @namsamson3443
      @namsamson3443 หลายเดือนก่อน

      Na mimi nimesema hivyo hivyo mpaka Makonda kaja ndio wanaanza kujambajamba. Na sasa hivi kila sehemu wanaanza kuweka lami😊

  • @mohoniajoseph9067
    @mohoniajoseph9067 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo mapete mawili makubwa unayavaaje Mkurugenzi mzima, umekuwa Diamond Platnumz

    • @fideamtenga212
      @fideamtenga212 หลายเดือนก่อน

      Aibu hii

    • @LUSOMYA
      @LUSOMYA หลายเดือนก่อน

      hapo kampuni ni moja tu wàsaidizi wamemshauri vibaya...Brela huwezi kusajili kampuni mbili zenye mfanano wa majina kama hivyo

    • @sharonyasin7521
      @sharonyasin7521 26 วันที่ผ่านมา

      Uchawi

  • @kulambichi
    @kulambichi หลายเดือนก่อน

    Mkurugenzi umesema kampuni 2 zinatumia TIN 1?, Naomba ufafanuzi nami nikafungue kampuni nyingine kwa TIN yangu hiyohiyo

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc 24 วันที่ผ่านมา

    Mh Paul makonda huyu mkurugenzi bado Hadi Leo Yuko mitaani Dah jamaa anapingana Na mkuu wake wa mkoa 😂

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza kabisa waanze naye huyu ...angalia vidole vimejaa Tanzanite. Hawa ndio wezi wakuu

    • @fideamtenga212
      @fideamtenga212 หลายเดือนก่อน

      Freemason huyu Pete kama shetani lakini si shehe huyu kawaida yao

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Mkurugenzi amesha pigwa chini tayari. Huyu si ndio yule aliye lia mbele ya JPM. Ni mwizi navwatu wenzake ngoja tume iundwe mtasikia niko pale nasubiri😂😂😂😂

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 หลายเดือนก่อน

      Alilia nahisi ilikuwa mkoa wa mara

  • @user-mo3ik6go6r
    @user-mo3ik6go6r หลายเดือนก่อน

    Kazi mnayo na huyo comed

  • @mohamedkidamiharo4887
    @mohamedkidamiharo4887 หลายเดือนก่อน +1

    Alichosema yeye ni SEVIS revi sio tra

  • @laizermaasai6759
    @laizermaasai6759 หลายเดือนก่อน

    Wazee wakubambikiziaaa watuuu.

  • @Veni584
    @Veni584 หลายเดือนก่อน

    Hawezi kusema uongo, na hiyo timu inayoundwa itoke mbali na mkoa huu

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p หลายเดือนก่อน +2

    Mkurugenzi umeyatimba. Bora usingejibu. Kama mkuu wa mkoa amesema timu iundwe, kiherehere cha nini?unataka kuwatoa watu katika reli?

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 หลายเดือนก่อน

    Uwongo Mtupu,na Wizi Mtupu bila kusahau ubabaishaji mwingi hata maelezo Yako unaonekana Mbambaishaji Tu WEWE Mkurugenzi

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 หลายเดือนก่อน

    Waandishi mnamwelewa?

  • @user-ne9zz4tl2q
    @user-ne9zz4tl2q หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu hapa wapigaji tu

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 หลายเดือนก่อน +1

    Arusha wanajulikana ndio Maana kaletwa Makonda
    Umeeleweka Mkuu

  • @AlbinMjema
    @AlbinMjema หลายเดือนก่อน

    Muheshimiwa watu wengi tu hapo halmashauri wanapokea pesa mikononi

  • @kwereeking1403
    @kwereeking1403 หลายเดือนก่อน

    Kwa akili ya kawaida kweli ile hotel ya chambulo ya arusha inaweza ingiza sales za billion 90 kwa mwaka?!!

  • @elliyawilliam2521
    @elliyawilliam2521 หลายเดือนก่อน

    Em tuambie hiyo the Tanganyika ina husika na kitu gan

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbona umeongea kabla ya tume

  • @williumteete2626
    @williumteete2626 25 วันที่ผ่านมา

    Haki haifichiki, hata uizike ardhini iko siku itaota kama uyoga.

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf หลายเดือนก่อน

    Mumumuandikia baruwa yakupokea milion 3 hamkkumuandikia baruwa za kupokea milion 21

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 หลายเดือนก่อน

    Kodi zinapokuwa kubwa huwa zinachanganya na kukatisha tamaa!!..Shida watoza kodi sio wanafanya biashara, kwa hiyo wako kinadharia zaidi kuliko uhalisia!!!

  • @nizwaoman8378
    @nizwaoman8378 หลายเดือนก่อน

    Uyo kaibika anahaha

  • @abuuda4754
    @abuuda4754 21 วันที่ผ่านมา

    Pumba kabisa...hv unatambua kwenye failure ya mfumo ndio kwenye mafanikio mpaka marekebisho ya mfumo yafanyike... Declare failure fanya marekebisho kisha songa mheshimiwa 😂

  • @LUSOMYA
    @LUSOMYA หลายเดือนก่อน

    Jaribu kufuatilia huko Brela.Kwa mifumo ya Brela huwezi kuwa na jina la kampuni inayotofautiana neno pekee
    "THE" chunguzeni kwanza kwanini Brela wameweza kuzisajili hizo kampuni kwa majina yaliyofanana na kwa nia gani vinginevyo hiyo kampuni ni moja

  • @barakaelkaaya40
    @barakaelkaaya40 หลายเดือนก่อน +1

    TRA, aliulizwa akasema anawapa mkanganyiko wote kwa Mara moja. Yeye analipa kwa makambi yake yote mpka serengeti. Sasa mnataka alipie halmashauri ya serengeti kwenu??

  • @jamesrichard3971
    @jamesrichard3971 หลายเดือนก่อน

    The ndio nini hapo Bana nyinyi,, tunachoangalia ni wilderness

  • @user-ui5du6wj7n
    @user-ui5du6wj7n หลายเดือนก่อน

    Kama ulikuwa unajuaa the Tanganyika na Tanganyika ni ya mtu mmoja Sasa. Sawa wasomi came look this. Umekuja online weka live😂

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mkurugenzi sijampenda hiyo mipete kama mfunga majini

  • @mussamussa9446
    @mussamussa9446 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mwizi bhana

    • @user-tw9wu2gz4g
      @user-tw9wu2gz4g หลายเดือนก่อน

      Sura Tu linaongesha pigaji.

  • @nurubarakekenwa7557
    @nurubarakekenwa7557 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee kuwa makini sana na mfumo usije bananishwa ukakosa majibu.mbona mfumo hautoi demand not.mpaka hard cop ndo mupeleke.

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 24 วันที่ผ่านมา

    Kwani haya maelezo huyu mkurugenzi anayatoa hapa ni kabla au baada ya kile kikao cha juzi na RC Makonda?
    Iwapo kikao hiki na waandishi huyu mkurugenzi amekifanya baada ya hiki cha juzi kilichovuta hisia za wengi, basi, huu ni utovu wa nidhamu na subordination ya hali ya juu sana.

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 หลายเดือนก่อน +2

    Hayo mapete kwako kiongozi yana kazi gani? Au kwaajiri yaaaaa

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @user-nt6fb2ky3t
      @user-nt6fb2ky3t หลายเดือนก่อน

      Atakula wapi akivua izo pete,anaishi Kwa chuma ulete

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 หลายเดือนก่อน

      ndg ebu tujadili hoja iliyoko mezani sasa habari ya amevaa nn mbona mnahamisha magori?

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 หลายเดือนก่อน +1

    Mkurugenzi unajikologa kampuni mbili kwanini TIN numba moja?

  • @nurubarakekenwa7557
    @nurubarakekenwa7557 หลายเดือนก่อน

    Hapo Kuna shida

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 25 วันที่ผ่านมา

    Ushaumbuka

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 24 วันที่ผ่านมา

    Umejichanganya DED unaacha kushughulikia maagizo unaitisha press conference hukijui chuma makonda