LISSU ATAKA KUMKABILI MBOWE USO KWA USO/CHAMA KINAELEKEA KUBAYA/ODEMBA AENDESHE MDAHALO...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 160

  • @abuubaya7614
    @abuubaya7614 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +30

    Hakuna atakayeweza nchi hii kufany mdahalo na lissu akatoboa😂😂😂

    • @wiliamkatala
      @wiliamkatala 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Naunga mkono

    • @EmmanueNzilano
      @EmmanueNzilano 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Magufuli alikimbia

    • @MasharikiConstruction
      @MasharikiConstruction 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umenichesha sana

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unahara wewe 😂😂😂

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@abuubaya7614 Una maana Lissu ndiye Kiongozi Bora kuliko wote Tanzania? Au uwezo wa Mdahalo sio ubora wa Kiongozi?

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Dr Tundulisu unanikosha sana una uwezo mkubwa sana wa kudadavua vitu kichwa chako kimesheheni utajiri mkubwa sana wewe ni hazina ya Taifa, sina uwezo wakukulinda mimi kwakua sina vifaru wala vifaa yakiulinzi bali nitakulinda kwa maombi,
    Mungu wambinguni ukupe furaha na utajiri wa neno la Mungu katika maisha yako usitawi sana

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Swala la mdahalo bora mbowe aingie mitini kwakua ataumbuka 😂

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Pamoja sana Kamanda Lisu tupo nyuma yako

  • @Evanceluhakana
    @Evanceluhakana 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Kichwa chalisu hakuna wakulingana nacho

  • @MsafiriFeruze
    @MsafiriFeruze 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    Kwa ninavyojua mm nchi hii hakuna mwenye akili ya kujenga hoja kama lissu kama unamjua mtaje

    • @peterilimwa5754
      @peterilimwa5754 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Polepole anaweza

    • @bonnymakuke3153
      @bonnymakuke3153 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pole pole uyu au!!! Mzee magu2 alimkimbia ije polepole hii sasa zarau

    • @jamaliddiin9357
      @jamaliddiin9357 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mchengerwa na Nape

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Makonda hahahha

  • @LupakisyoKandonga
    @LupakisyoKandonga 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Mbowe usije ukawa kama lipumba kiache chama kikiwa imara lissu oyoooo✌️

  • @adamhashayro3133
    @adamhashayro3133 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Kila nabii na Zama zake.Mbowe ampishe lisu

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Kuanzia leo nawaombeni watanzania Mh Tundulisu tumwite Dr Tundulisu pls

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Mmi naomba Mbowe aaibike tuu ma maana inaonekana hajielewi, Lisu tunakuomba Dumisha vita acha inyeshe tuone panapo vuja.

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Hapo kwenye Mdahalo Mbowe atakimbia

  • @shabanimirambo4652
    @shabanimirambo4652 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mbowe amuwez lissu hata kidogo tena asije kujidanganya afanye na lissu Mdahalo ataaibika

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana

  • @fabiantemu785
    @fabiantemu785 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Ndiyo kwa Lissu

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mbowe hawezi kutokea kwenye mdahalo hana uwezo wa kupambana na Lissu in reality 😂😂

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Hakuna aja ya kuwatuambia muna imani na nani? Hapa mwambieni aje kwenye mdahalo tu

  • @ShabaniMustafa-n8h
    @ShabaniMustafa-n8h 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kuiuwa chadema ni rahisi Sana . Lakini kuuwa upinzani Hilo Jambo ni gumu mno.

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mbowe ataingia mitini😂😂😂

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hakuna wa kukimbia mbowe ana Amani utulivu ameielewa nchi hii Bali mjomba na wale wa mihemko mnadhani kutuongoza Sisi Jambo rahisi Sana duuuh mtaona wakati umekaribia

    • @nditiPeter
      @nditiPeter 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Tudulisu ndo anapaswa kuongoza nchi Hana uchu wa madaraka ndomana anasema akiingi kutakuwa naukomo wa uongozi miaka kumi ukimaliza hakuna kugombea tena

  • @deogratiasmanyanda-qr2oc
    @deogratiasmanyanda-qr2oc 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    chadema tunataka kichwa hiki lisu oyeeee!

  • @bravebrain642
    @bravebrain642 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Lisu anaongea facts pia Mbowe ni kiongozi mzuri. Kiongozi anahitaji support ya wananchi... 8:58

  • @ivanrobert3071
    @ivanrobert3071 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Hapo mbowe lazima akimbie huu mdahalo hakuna mwanasiasa wa kubattle na lissu hata kwa dawa aiseee!!

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Dr Tundu Antipas Mugwayi Lisu katika ubora wake

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Very true LISU

  • @conasmalale1073
    @conasmalale1073 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mbowe anaweza kujenga hoja kuzidi ata Tundu lissu Sema Lissu ana Mikwala Mingi sana

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tundulisu mwana siasa
    Mbowe mfanyabiashala
    Huo mdahalo hatali sana kwa mbowe atazalilika sana ushauli wangu mbowe akatae mdahalo

  • @basheer4278
    @basheer4278 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mbowe must go

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Upo sawa lissu kila enjoy mwamba lissu

  • @cyprianoyier2267
    @cyprianoyier2267 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ni vema wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA wawe na MDAHALO ili sote tuwapime kwa yule anayetosha kwenye nafasi hiyo.

  • @VeroJulius-s4y
    @VeroJulius-s4y 54 นาทีที่ผ่านมา +1

    Mimi kula yangu ni kwalisu

  • @godfreymeagisa1871
    @godfreymeagisa1871 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kama mawazo ya wana Chadema Ina maana Chama ni Cha Mbowe mbona mna akili ndogo hivyo,mnataka Chadema ifanywe kama ilivyo fanywa Cuf acheni ujinga,waingie kwenye mdahalo na wanachama au wajumbe waamue Nani anafaa katika nafasi hiyo ya juu ya chama,WASIRA MBOYE HOYEEE,HUYU KIONGOZI WETU HAJUI KUSTAAFU MPAKA AJE ATEMBELEE MKONGOJO NDIYO ATAACHIA MADARAKA.

  • @masumbukobasu176
    @masumbukobasu176 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Lissu oyee

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Chief Odemba unasubiri nini kuandaa mdahalo wa wagombea wa Chadema kwa nafasi ya uenyekiti?

  • @andrewlkashusha135
    @andrewlkashusha135 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Siku Mbowe anatoka gerezani alitokea ikulu !!

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nikimsikiliza huyu jamaaa alaf nikiskiliza upande w pili naona kua huyu yko huru na muazi kuongea upande w pili unajizonga sana sasa sijui ttzo nini.. 😊

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mbowe hamuwezi Tundulisu kwenye mdalo Tundulisu ni mwamba

  • @jonakajigili6991
    @jonakajigili6991 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbowe akifanya mdahalo nalipia madeni ya Taifa.😊

  • @KenedySeraphine
    @KenedySeraphine 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Tunakwama wapi Watanzania kwa kichwa kama hiki Mungu anatushangaa

    • @herybertsabai6503
      @herybertsabai6503 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unaweza kua mwanasiasa mzuri lakini unaweza usiwe mtendaji mzuri pia

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Apewe nafasi ndo tujue n mwanasiasa mzuri au n mtendaji mbaya

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@herybertsabai6503mama ni mtendaji mzuri?

  • @godfreymeagisa1871
    @godfreymeagisa1871 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nyerere alikubali tuwe na vyama vingi japo ni wachache lakini alitumia mamlaka na uwenyekiti wa Ccm kuruhusu vyama vingi viwepo,lakini Mwenyekiti Mbowe,anaona watu wanasema apumzike yeye anasema bado Mimi ni kijana jamani Mbowe na zito Kabwe Nani ni kijana zaidi?Mbowe Mwenyekiti wetu mzuri Pumzika ukiwa bado unapendwa kuliko kuaibishwa mzee wangu

    • @TzkwanzaKilimanjaro
      @TzkwanzaKilimanjaro 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nani wanasema apumzike,si washabiki wa mpinzani wake,je washabiki wake wanasemaje? Wapiga Kura wanasemaje?

  • @DanielMomba-m6j
    @DanielMomba-m6j 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lisu watanzania tunachokupenda unasema kwel mbowe Hana chakutuambia Wana cdm kaingizwa mkenge na Samia

  • @MiriamKhalid-z6o
    @MiriamKhalid-z6o 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbowe jiuzulu my brother

  • @davidpallangyo114
    @davidpallangyo114 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mdahalo ufanyika kati ya wagombea wawili wa URAIS WANAO TOKA VYAMA VIWILI AU ZAIDI TOFAUTI VYA SIASA.
    KAMWE HAKUNA MDAHALO UNAOFANYIKA KATI YA WAGOMBEA WAWILI KATIKA NGAZI YA KITAIFA WA CHAMA HICHO HICHO.
    MKIFANYA HIVYO MTATENGENEZA MPASUKO MKUBWA KATIKA CHAMA NA KUVURUGA UMOJA WA WANACHAMA.

    • @TzkwanzaKilimanjaro
      @TzkwanzaKilimanjaro 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Una akili sana

    • @NiazonBukoke
      @NiazonBukoke ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We ni mpumbavu sana, hiyo tu kugombea ni mdahalo tosha kwan kila mmoja anataka aonekane ni bora kwa hoja. Na debate pia inahusu hoja

  • @pontianjohnkahwa
    @pontianjohnkahwa 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nafikiri mheshimiwa Lissu rebuilding process don't being done by only chairman, you the one to be asked why your not participating to rebuilding the party by then and now as a higher party leader.

  • @FredyMwashifungwe
    @FredyMwashifungwe 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Esawa ndo demokurasia

  • @maulidnkumilwa5171
    @maulidnkumilwa5171 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe hawezi kukaa mdahalo na Lisu

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hata mimi napenda ufanyike mdahalo kati ya Lissu na Mbowe.
    Lakini ukweli ni kwamba, Mbowe atagalagazwa kwa kiwango ambacho haijapatapo kutokea katika Historia ya Nchi hii.
    Nijuavyo mimi, Mbowe ataingia mitini. Hatataka kufanya mdahalo kwani anajua kwamba kufanya hivyo ni sawa kabisa na kujichimbia Kaburi la kisiasa.

  • @lonelysanga9328
    @lonelysanga9328 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe muhimu angepumzika kwa heshima ya chama na hakuna sababu za msingi za Mheshimiwa Mbowe kung'ang'ania kubaki katika hicho kiti,Mbowe ulipotufikisha hapa inatosha maana nijuacho umetuangusha sana kwenye maridhiano,Mbowe kwa sasa hautufai kabisa ungekaa pembeni kwanza hiki chama sio mali yako japo unadai ulipewa na mkwe wako,hatuwezi kufika kwa mfumo huo

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mbowe umeua chama kwa kweli, hata CCM wanakucheka, umeuza chama kwa CCM.

  • @MedardMushobozi
    @MedardMushobozi 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa club house wanampeleka kwenye Kona,ni hatareee sana

  • @MadieMtimbuka
    @MadieMtimbuka 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe umejipanga na mdahalo, vlvl hutakiwi kuomba ww, inatakiwa mdahalo uandaliwe na taasisi tofauti na hiyo (chadema)

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tulia mzeee kikubwa mdahalo upigwe basi hizo taasisi unazozungumzia wewe haziwezi kuwaacha waandishi wa habar wa kuuliza maswali Koo Wala usiogope.

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lisu tunamuhitaji chadema lakini sio uenyekiti mana anamiemko sana

  • @isayaanthon7063
    @isayaanthon7063 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimekupinga muda mrefu hasa pale ulipombagaza FAM lakini kwa mazungumzo haya rasmi nakuunga mkono.

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tena msibali kufanya mdaaro na Lisu,,,Yaani atawamaliza...Ukitaka kumuweza Kisu unamgunga mdomo... Bila hivo kwalisu hamtoboi..

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Correct Lissu!

  • @GasparKyambala
    @GasparKyambala 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwamba so rahisi kukutana katika mdahalo

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mm lissu nakupenda Sana sana ila heshima ya mbowe Iko pale pale miaka 20 ya mbowe angekuwa na tamaa ya pesa angeshanunuliwa au kuuza Chama kwahiyo fanya kampeni za kistatabu mbowe ni binadamu siyo malaika kila mtu anampungufu yake

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lissu ni mashine

  • @ignasmahundi4734
    @ignasmahundi4734 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana lisu nakuaminia najua mbowe atakimbia

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MH. FREEMAN MBOWE HANA UWEZO WA KUPAMBANA NA MH. LISSU, KWA HOJA, KUAMINIKA NA UHODARI WA SIASA

  • @TzkwanzaKilimanjaro
    @TzkwanzaKilimanjaro 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni utaahira kuhitaji mdahalo wa wagombea ndani ya chama chenye sera na itikadi iliyoainishwa,,,mnadahalia nini zaidi ya kutuhumiana kuzushiana kashfa na kugawa wanachama,
    Mtu anayeunga mdahalo wa wanachama kimoja katika ngazi ya taifa hajatafakari matokeo hasi ya kugawa wanachama,,
    Viongozi wa chama wasiruhusu hoja hii, haina afya ya chama bali kukiandalia chama madhara makubwa baada ya uchaguzi,
    Wahusika ni wanachama wa chama kimoja chenye sera walizotengeneza na kuchaguliwa na wanachama kuzisimamia,
    Secretariet ya chama isikubali mtego huu, unalenga kukipasua chama,mpasuko huo kuna kuunganisha na uchaguzi umekaribia ni ndoto,,,
    Atangazaye mirimo si mwana wa liwali,
    Acheni sanduku la kura liamue tuione mirimo itawezaje maana mwana wa liwali yupo,,,,,,
    Tutafalari

  • @StevenNyanguye
    @StevenNyanguye 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lisu mwamba ww unastahili kupewa chama,mwenye akili anakuelewa vizur

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baada ya maridhiano,,,utekaji umeongezeka.. Heri kusingekuoko waridhiano,,,watu wajitenge na siasa ili wastekwe..

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HAKUNA WA KURINGANISHA NA WEWE MH. LISSU, HAPO KIONGOZI MACHACHALI NA HODARI NI MH. LISSU PEKEEE

  • @lucasndombele6033
    @lucasndombele6033 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siyo Lissu anaongea haya maneno

  • @MginaFiloteus
    @MginaFiloteus 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MIMI NIONAVYO MH: MBOWE PISHA HILI MIAKA 20 INATOSHA UWE KAMA NYERERE SIO MPAKA MUNGU AKING'ATUE KAMA CHAMA TUNAHESHIMU UONGOZI WAKO JIFUNZE KWA AKINA MTEI NA BOB MAKAN

  • @barakachitalilo5625
    @barakachitalilo5625 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaan kama hakuna mwenyekiti tusitengemee mpya chini ya chadema

  • @teresiagama3578
    @teresiagama3578 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ss mdahalo wanini mpo chama kimoja!!! Mbona wengine hawafanyi hivuo???

    • @masijamajogoro7231
      @masijamajogoro7231 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeanza kujinyea, shauri mbowe atoroke mdahalo. Kazi ya mdahalo ni kushindanisha mawazo ili kuona bora ni lipi lipite

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kasema kiswahili fasaha Niko tayari ri ri ri ri sio niko tayali tayali sio kiswahili ni kiibrania

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa jinsi mlivyoanika dagaa juani sijui kama kuna haja tayari dagaa wameshakauka. Huo upya utakuwaje ndani ya miezi 9 kufikia mbio za mlango mkuu? Anueni tu dagaa mlioanika.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chadema inasumbuliwa na machawa ndio mbowe sasa

  • @NungulaRais
    @NungulaRais 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyoo

  • @shabanimirambo4652
    @shabanimirambo4652 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe unaesema anaropoka nenda kafanye nae mdahalo kama hujinyeey

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    TAYARI au TAYALI?

  • @TzkwanzaKilimanjaro
    @TzkwanzaKilimanjaro 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Itamsaidia nini

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ama mtakuja mpokee shusha tanga pandisha tanga kama RIP Loasa?

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umeshaua chama mbuzi wee

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wenyee ajiliii zamakalio kama ww una elewa ivyoo ila mwenye ajiliii timamu anajua kumtaja mlalushaa kuimalisha chama lushwa Ina uwa achama kama ccm ime kufaa kwaajilii ya lushwaa Sasa jitambue kubwa jinga ww

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu atawaachia CHADEMA akimbie Ubelijiji maana hapo keshawaambia itachukua muda wa kukijenga chama pesa atapata wapi.alafu ana kisasi na visas yaani mtakuja kujutia kama watu wa LIBYA ,waliambiwa hakuliona wakawa wabishi.

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fikra mgando hizo kaka, au wewe mzeee umezeeka mnataka mfe mtuachie nchi yetu mahala pabaya.

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata ww hawezi kuleta maajabu yoyote ni njaa Tu inayokusumbua mbaya zaidi unaonesha umekamia Sana kuwa kiongozi wa chama wengine tunakuona hutoshi zaidi tutashuhudia mahakamani kuwe sebuleni kwako Sisi tupo kwenye uchumi siyo ubabaishaji unaonesha ww unadhani kila unachosema uko sahihi basi Bana tutaona

    • @masijamajogoro7231
      @masijamajogoro7231 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pole. Kanye ulale

    • @NiazonBukoke
      @NiazonBukoke ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pumbavu zako

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi nyie viongozi wa chadema mna matatizo gani kila siku ni kukaa mnapingana kwanini kwani usipokua kiongozi unapungukiwa nini? Tulikua tunawaamini sana sasa kwa hayo mnayokaa mnabishania kisa kugobea uenyekiti tunaanza kuwadharau na kuwaona ni wa hovyo kabisa

  • @ashbilan13
    @ashbilan13 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe huna hisani Mbowe alikumbiza mpaka Nairobi kukuokoa ameomba miaka mitano si umwachie kumbuka wema na mchango wa Mbowe na hasa alivyokupigania huoni alivyowafikisha mimi sio chadema nakushauri tuu

    • @masijamajogoro7231
      @masijamajogoro7231 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Weeeeeeeee, koma apoapo.

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwanza lisu anaadabu Moja matata licha ya vileanaongea hajamtusi mbowe Wala mtu yeyote kwene chama.

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata Katibu mkuu atamtoa ataweka wajinga wenzake mtateseka sana.

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu umeua chama umewapaka màvi wenzako kwa uzushi wako mwingi nadr slaa na msigwa wako na nimejiridhisha wewe huna uçhungu na chama hicho sikuamini tena hata iweje najisikia uchungu wewe umekaa upande wa shetani hongreni sana laana ya kuiua chadema itakufuata popote

    • @masijamajogoro7231
      @masijamajogoro7231 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      IQ yako ni kama iko below average. Ngojea mijadala size yako, utakuja uchangie.

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe j Huna hoja

  • @alphaexaud5279
    @alphaexaud5279 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu ataongoza Chama gani mtu ana bwabwaja kila day, ujuaji mwingi haya unayotaleta tarajia kushindwa uenyekiti na cdm haitokaa iitoe Ccm madarakani. Huyu haweze ongoza mtu

    • @masijamajogoro7231
      @masijamajogoro7231 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hii game kubwa, nenda kecheze daraja size yako bro.

    • @DavidBisse
      @DavidBisse 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa akili yako ya chooni ndiyo unajua hawezi kuongoza

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Shida wewe ndo hujui au hatakama unajua basi ni chuki binafsi

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu anakipaji cha kuongea,,mbowe anakipaji cha kutenda,,kwaio ukiwapa mdahalo unakuwa unamuonea mbowe,,kuongea lissu nikipaji,,we mwache huyu nabii

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ojomba we pumba lisu ana oja mbowe ana ojaa kujua kuongea kwani Kuna bubu au we vip wee

    • @Peterchipemba
      @Peterchipemba 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @RomanMwinyi oya tunaongelea vipawa vya mtu,,lissu kwa kuongea we mwenyewe hutoboi,,

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @Peterchipemba kama auna oja utoboi kama oja unavyoo una toboa

    • @Peterchipemba
      @Peterchipemba 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @RomanMwinyi nakuludisha darasani kidogo,,(oja). na (hoja) ipi ni sahihi,,yajue hayo maneno ndio tuendlee,,

    • @masijamajogoro7231
      @masijamajogoro7231 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyu mbowe mnatulazimishia? Tunasema miaka 20 toshaaa. Apishe wengine, kibaya apo ni kipi ama nyie ndo wenye familia changa

  • @georgelazaro3940
    @georgelazaro3940 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe unaongea sana kiongozi lazima ukubali kusikiliza

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa una ojaa usikilizwe nn sasa

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani unahisi hajaskia Nini hapo na hajajibu Nini hapo na amemkatiza nani kwene maongezi,acha ushamba

  • @omarkidohole-nq5mk
    @omarkidohole-nq5mk 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    lisu bado kiuwongozi!

    • @ErickyKatunzi
      @ErickyKatunzi 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pole,ndugu yangu wewe umezoea kuishi kwenye uswahili wa hizi nchi za viongozi wanafiki,jaribu kwenda Morroco,South Africa,na nchi za uraya uone watu walivyostaalabika na wasiokubali kupelekwa pelekwa.

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bado upokwenu unalelewa wewe koo huwezi jua kitu

  • @moddysunshine6618
    @moddysunshine6618 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maneno mengine anaongea utafikiri ndio kwanza anajiunga na Chadema leo kama vile hakuwepo kabisa ktk uongozi unaomalizia muda wake sasa.

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa maneno ayoo Yana ubaya gani au ww ulitaka ongelee nn maviweewe

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nchi yoyote duniani huwa na Siri zake lakini mjomba anaonesha akiwa kiongozi wa juu nchi itakuwa uchi looo akupe naniiii

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Siri ipi wewe wazungumzia,ikiwa ni Siri ya ubaya hata PDD alificha lakini ikajulikana,wema hujitenga na ubaya kaka

  • @florianmodest6215
    @florianmodest6215 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huna issue kajenge chama chako wewe sio!..

    • @DavidBisse
      @DavidBisse 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha na lissu

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huna lolote zaidi ya kubwabwaja tu, na hutakiua chadema hilo ndo ubaki nalo kichwani na rohoni mwako.

    • @abuubaya7614
      @abuubaya7614 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Cdm ishakufa tangu 2015

    • @fabiantemu785
      @fabiantemu785 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hujielew ww

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweliii machiziii wengii co ww akilii Yako ya matakoni inakuambia kusema mtu kula lushwa ana alibu chama kweliii we mweuu una taka wazidi kupewa luswaa

    • @DavidBisse
      @DavidBisse 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha ufara lissu hakuna wakumuondoa chadema

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunaimani na Mbowe

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HAKUNA KIONGOZI BORA KAMA MBOWE

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tusubiri Mdahalo. Mbowe atakuwa na hoja nzito na zinazokubalika na wengi zaidi na atashinda.

    • @amoursalum8266
      @amoursalum8266 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂ukikua utaweza kutanua upeo wa kufikiri.kwa sasa baki na akili ya utotoni

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bado tunakuhitaji Mbowee

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sisi Chadema tutamchagua Mbowee tu.

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MBOWE OYEEEE

    • @MmohamediSaidi
      @MmohamediSaidi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yahani wewe haujimbui maana unacomenti peke yako kwa mbowe lisu tuko wengi haturudii kucomenti kama wewe mgane

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe kajitoleya kwa hali na mali

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pamoja sana Kamanda Lisu tupo nyuma yako