TUNDU LISSU AGUSIA KILICHOWATOKEA ZITTO NA KITILA MKUMBO/MIMI HAWATONISHUGHULIKIA/AJITENGA NAO...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 92

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 17 วันที่ผ่านมา +3

    Tupo pamoja! Mr lissu uwe mwenyekiti,,au laa,,

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 16 วันที่ผ่านมา +1

      Keeli kabisa yukonaye ....ila bado tunamsoma kuhusu hao marafiki zake wa nje (mabeberu) wana mpango gani na sisi. Tunajua.wanataka rasilimali zetu tu. Lazima tuwe makini sana

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 17 วันที่ผ่านมา +3

    lisu mimi nakuombea tu kwa Mungu Mungu akulinde uweze kulivusha Taifa

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 16 วันที่ผ่านมา

      Kuvusha taifa kwenda wapi?
      Kujitegenea kiuchumi au? Mabeveru wake atawapaleka wapi? Wanasubiri kuja kuvamia na kugawana rasilimali zetu huko nje. Hilo hatutakubali tena. Apate mahusiano nao ili tumwamini kuwa anatutetea sisi na siyo wao.

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 18 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂 I am no going anywhere. Lisu ni noma sana huyu ndio tunamuhitaji kwa siasa za sasa

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 18 วันที่ผ่านมา +7

    Songa mbele mkuu usisikilize waduwanzi 😊😊

  • @Kiyama-g8f
    @Kiyama-g8f 18 วันที่ผ่านมา +7

    Lissu unaharibu sana,punguza uanaharakati fanya siasa za kistarabu,angalia lugha yako kama kiongozi,usiwe unajiongelea tu,tunza kifua,hiyo tabia itakuangusha kwenye uchaguzi.

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 17 วันที่ผ่านมา

      Hakuna kama mh Lisu nchi hii asiyempenda mh Lisu ni mwizi wa kura na majizi ya pesa za umma

    • @SulePonda
      @SulePonda 16 วันที่ผ่านมา

      Chawa wa mbowe tulia

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 14 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni chizi

  • @IdrisaSadik
    @IdrisaSadik 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nakukubar comred mzalendo

  • @YonnahKokan
    @YonnahKokan 18 วันที่ผ่านมา +7

    Tunaomba mdahalo kati ya mbowe na lissu mana huo utakuwa mdahalo mtamu haujapata kutokea!!!! Odemba uko wapi?

    • @shafee9128
      @shafee9128 18 วันที่ผ่านมา +1

      Hii imekaa vizuri nakuunga mkono

    • @SulePonda
      @SulePonda 16 วันที่ผ่านมา

      Mbowe aezi kubali

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 13 วันที่ผ่านมา

      Nkurunzinza hawezi kukubali

  • @Hkilave
    @Hkilave 18 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mtu kachanganyik8wa

  • @StellaCharles-zk4kb
    @StellaCharles-zk4kb 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmh untamshinda mbowe kweli

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 18 วันที่ผ่านมา +4

    MIMI BADO NASIMAMA YA KUWA LISSU HAFAI KUWA KIONGOZI WA TAASISI YA CHADEMA HSTA KIDOGO

    • @WilbertMalula-vv7ml
      @WilbertMalula-vv7ml 16 วันที่ผ่านมา

      TOA SABABU LA SIVYO TUBAKI NA CCM MILELE NA SISI TUWE MACHAWA

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 14 วันที่ผ่านมา

      Kiboko yenu huyu

  • @ImaculathaMasuka
    @ImaculathaMasuka 18 วันที่ผ่านมา +10

    Tatizo la Lisu malalamiko. Yani kila kitu anaongea tu.hisia anafanya kitu halisi Kaz mnayo wana chadema.!!!!

    • @NtuliSuzan
      @NtuliSuzan 18 วันที่ผ่านมา +1

      Mpaka anatia kinyaa

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 18 วันที่ผ่านมา

      Lisu ana point sana waandishi ndio wanamtafuta na wanapouliza anajibu bila kupepesa macho

    • @jumannemsengi2195
      @jumannemsengi2195 18 วันที่ผ่านมา

      Kama unaona kinyaaaa ni ww mwenye darasa mojo​@@NtuliSuzan

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ww jamaa hivi uliwahi kupata shida ya Akili 😂😂😂😂 maana hujui kabisa siasa unamwaga vitu vya Siri hazarani unalalamika mnooo kila kiongozi kwako ni mkosaji hivi zinakutisha akili ww?

  • @maligiretongora3333
    @maligiretongora3333 18 วันที่ผ่านมา +3

    Keiferuzi ww usijilinganishe kabisa na Tundu. Wewe bweka ccm ikupe mapesa ukalale.

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 17 วันที่ผ่านมา +2

    Tundu Lisu kwa sasa afukuzwe tu,akaungane na Slaa,maria,msigwa n.k.,waunde chama chao,hana tofauti na vovid 19😂😂

    • @SulePonda
      @SulePonda 16 วันที่ผ่านมา

      Bakini na chama chenu ya udalali

    • @kinkybanjukome217
      @kinkybanjukome217 15 วันที่ผ่านมา

      Mfukuzeni Leo lakini walio.wengi wanamfahamu na chadema itakufa kwenye mikono ya mbowe very disappointed

    • @rasnchimbi
      @rasnchimbi 15 วันที่ผ่านมา

      @kinkybanjukome217 lisu ataingiza mapandikizi kwenye chama,akina slaa,maria,msigwa n.k..

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 18 วันที่ผ่านมา +14

    Hv mtu mwenye akili timamu anaweza kumpigia kura huyu jamaa maana huyu ni mtalamu wa kukariri na kulalama sana lkn uwezo wake kuongoza tasisi ni mdogo sana

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 18 วันที่ผ่านมา +1

      Ni wakati wa kampen kaka

    • @Mrsalt-z9m
      @Mrsalt-z9m 18 วันที่ผ่านมา +1

      Ndio anaweza

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 18 วันที่ผ่านมา

      Yawezekana kabisa.
      Pengine hana skills za kungoza lakini anaweza kujifunza na atashrikiana na wengone. Kikubwa kusikiliza wengine na siyo yeye peke yake

    • @ZechuChuma
      @ZechuChuma 18 วันที่ผ่านมา

      KAKOJOWE UKALALE

    • @kaguripenina63
      @kaguripenina63 18 วันที่ผ่านมา +1

      Usipo mpa kura huyu ,utampa nan kwa tz hii .

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe si ulisema Mlimfukuza Zito kwa sababu alitaka kupindua viongozi wa chadema.mbona unakuwa kigeugeu.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 18 วันที่ผ่านมา +1

    Waadishi wa habari wanamfuata lisu kwa mahojiano unataka awakatalie ili asiwe na maneno mengi

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 18 วันที่ผ่านมา

    Mimi binafsi nakukubali

  • @amirimsuya9531
    @amirimsuya9531 18 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu hafai hata kidogo

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 18 วันที่ผ่านมา

      Unafaa wewe tukuchangie?, form bado zipo ndugu.

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 17 วันที่ผ่านมา

      Kwako ndo hai si mmezoea kuongozwa na majizi

    • @SulePonda
      @SulePonda 16 วันที่ผ่านมา

      Dalali wa ccm utakua ww

  • @ElinaMbura-h7w
    @ElinaMbura-h7w 18 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu ni mpango wa mungu,huyu ndo Joshua wetu ni mtu mwazi hana konakona nyingi Mungu akupe maisha marefu zaidi Mwny Kiti wetu maana tunakuhitaji sana Mhe Lissu Love you my President of the republic of Tanzania /2025/2030

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 3 วันที่ผ่านมา

    Mara useme Mbowe ndio kamfukuza Lisu. Kigeugeu wewe

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 18 วันที่ผ่านมา +5

    Umasrufu ukizidi kinachofuatia ni anguko,punguza wingi wa maneno usubiri maamuzi ya wapiga kura.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 18 วันที่ผ่านมา +2

      Hao wapiga kura nao pia wanasililiza ili wafanye maamuzi sahihi.

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 18 วันที่ผ่านมา

      Lisu ataaribiwa na wapambe wake wanaotoa matusi mitandaoni, wawe wapole wasubiri wapiga kura hapo ndipo mbivu na mbichi zitajulikana.

  • @yassinkanal
    @yassinkanal 18 วันที่ผ่านมา

    Dunia ina watu wenye vipaji n akili w 3 tu lissu, ronaldo na mess😂

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mpumbavu tasilimu... hapo JPM anaiingiaje???

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 14 วันที่ผ่านมา

      Kwani aujasikia kamfanyia mabaya kibao

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 18 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu jamaa ana spirit ya Martin Luther King.

    • @CelinTonny
      @CelinTonny 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂🤡🤡

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 18 วันที่ผ่านมา +3

      Mhm jamani mtaaribu sasa chumvi nyingi

    • @drimaz2692
      @drimaz2692 14 วันที่ผ่านมา

      usifananishe upuuz na mambo ya msingi tuachen kufananisha vitu ambavyo havifanan Lisu ni mwanasias mzur lakin si kumfananisha na KING

  • @AbdulSaid-b2p
    @AbdulSaid-b2p 17 วันที่ผ่านมา

    Mazali vingozi wote wa juu hawakubaliani na ww utapangiwa tu magogo hauna jinsi lisu cha msingi nikujipanga wapi utaenda na sisi tukufuate

  • @belinabaya6977
    @belinabaya6977 18 วันที่ผ่านมา

    Big up tutetee tusio na sauti

  • @StellaCharles-zk4kb
    @StellaCharles-zk4kb 18 วันที่ผ่านมา +5

    We hauna uwezo wakuongoza chadema lamda chadema inampango wa kufa

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 18 วันที่ผ่านมา

      Mbowe ni chaguo lenu CCM

    • @SulePonda
      @SulePonda 16 วันที่ผ่านมา

      Chadema ni sacco sio chama

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 18 วันที่ผ่านมา

    Lissu yuko sahihi

  • @SulePonda
    @SulePonda 16 วันที่ผ่านมา +1

    Tundu Lissu angetengeneza chama chake tu cos chadema ni dalali wa ccm

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 17 วันที่ผ่านมา

    HUYU LISU NAFASI YAKE NZURI NI KUWA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA MAANA C MUOGA KTK KUIONGOZA SHERIA,

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 17 วันที่ผ่านมา

      Awe afisa muhamasishaji

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 18 วันที่ผ่านมา +3

    Lakini zile m5 za wana ccm mbona walikuuliza ukazikubalii?
    Uliulizwa kwa njia ya simu kama sikosei.
    Halikuwa jambo baya lakini

  • @nassibdoma5408
    @nassibdoma5408 18 วันที่ผ่านมา +1

    Tupo nyuma yako

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 18 วันที่ผ่านมา +1

    Je Tundu Lissu ukifukuzwa uwanachama utakubali ao utang'ang'ania kuwa mwana chadema?

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 18 วันที่ผ่านมา

      Msajili wa vyama vya siasa yupo na analipwa mishahara.

    • @daudimaembe3360
      @daudimaembe3360 13 วันที่ผ่านมา

      Afukuzwe kwa issue gani

  • @dominickmganga-z5v
    @dominickmganga-z5v 18 วันที่ผ่านมา

    siri ya mchezo naijua mimi tu nahakuna mwingine

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 18 วันที่ผ่านมา

    Huyu anauwezo mkubwa ambaye hana uwezo ni baba yako we lifisiemu

  • @ce-08
    @ce-08 17 วันที่ผ่านมา

    NI KHERI UNGEWEKA PICHA TU KULIKO KUAMBATANISHA VIDEO NA SAUT ALAFU VINAPISHANA

  • @AbdulSaid-b2p
    @AbdulSaid-b2p 17 วันที่ผ่านมา

    Utafukuzwa tu ww

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna mzalendo hapo, huyu ni shoga kutoka Ubeligiji 😂

    • @Mrsalt-z9m
      @Mrsalt-z9m 18 วันที่ผ่านมา

      Pumbavu wew lisu king

    • @toney..
      @toney.. 18 วันที่ผ่านมา

      Baba ako mbna alikutwaga na mke wa mzee M akaliwaga kiboga au unadhan hatujui baba ako aliliwaga mzigo

    • @annakapolondo7771
      @annakapolondo7771 18 วันที่ผ่านมา

      @@toney..hahahahahahhaa

  • @MahyoroKalokola
    @MahyoroKalokola 18 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu nakubaliana na wewe katika mambo mengi lakini suala la Zitto Kabwe unalipotosha. Zitto alikuwa anajiandaa kugombea dhidi ya Mbowe kwenye uchaguzi uliokuwa unafuatia. Kampeni za uchaguzi ni kama biashara. Kabla ya kugombea ni lazima utengeneze mpango wako wa kampeni. Na Zitto na Kitilla walitengeneza andiko linaloitwa "Mkakati wa Ushindi" ambao lilielezea mikakati yao ya kampeni na jinsi watakavyoshinda uchaguzi, ikiwa ni pamoja na kulinganisha sifa na mapungufu ya mpinzania wa Zitto na yeye. Na hiyo ni kawaida sana kwa kila mgombea na najua hata wewe utakuwa na mpango huo ndiyo maana unaweza kuelezea mapungufu ya Mbowe na kupeleka ujumbe wako kwa wapiga kura kirahisi. Sasa kwamba huo mpango mkakati ilikuwa ni mipango ya kile mara nyingi unachoita mapinduzi ni kitu cha ajabu sana kusema. Maana chama hakina dola. Unafanyaje mapinduzi kwenye chama? Wewe na Slaa na wengine mliwakosea sana Zitto na Kitilla. Siyo vibaya mkikiri makosa yenu maana mnayopinga leo wenzenu waliyaona zamani. Hata hivyo kila la heri kwenye kampeni zako. Maana ukilinganishwa na mshindani wako Mowe wewe kwa sasa ni bora zaidi katika kuipeleka Chadema mbele.

    • @theodoripetro
      @theodoripetro 18 วันที่ผ่านมา

      Hongera sana kwa maelezo mazuri

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 18 วันที่ผ่านมา

      Umesema vizuri. Lakini umepotea mahali. Kina Zitto walipanga mipango na kutengeneza andiko kabla hawaja andika barua kwa Katibu Mkuu kutia nia, na kujaza form. Wangefanya hayo kwanza, kisha ndio wakaja na mkakati wao wa kampeni, wangekua salama. Kwa kufanya kampeni chini chini wakati hawajatia nia wala kuandika barua rasmi kwa Katibu Mkuu, walifanya makosa. Lissu Sasa hivi anaongea baada ya kumalizia hatua hizo mbili, hadharani.

    • @JimokuMhela
      @JimokuMhela 16 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli, ulichomwambia Lissu ni sahihi. Wao walikuwa beneti na Mbowe sana na walikuwa viongozi wakubwa, wakamchukia Zitto. Lakn hata hvyo Zitto alijipaka matope mwenyewe baada ya kuwa karibu sana na Kikwete, na akapewa vyeo Fulani hv vya madini, na akawa na ukaribu sana Wana CCM kuliko Chadema. Lissu hajafanya madhaifu hayo, ndio nafuu yake.