Baba Nakupenda sana kutoka Kenya niko Dubai na mimi hushikiri ibada zako youtube na hubarikiwa na kufunguliwa sana. Mungu akuzidishe kwa ajili ya ufalme wake
Wachungaji wa uongo ni ngumu sana kumtukuza Yesu kwa style hii nayoiona.... Watu wanaomsemaga Gwajima kwamba naye muhuni tu nawashangaa sana,,, labda elimu yangu ndogo lakini mtumishi akiwa anamtukuza Yesu vya kutosha huwa naona ana vitu kutoka kwa BABA MUNGU WETU.... YESU APEWE SIFA MILELE YOTE
Nami napokea macho saba rooho saba za mungu katika jina yesu amen
Napokea roho Saba ...macho Saba...moto Saba kwa jina la yesu
Baba Nakupenda sana kutoka Kenya niko Dubai na mimi hushikiri ibada zako youtube na hubarikiwa na kufunguliwa sana. Mungu akuzidishe kwa ajili ya ufalme wake
Hallelujah hii naichukua ningali kijana baba nikawe jitu
Napokea macho ya Mungu kwa damu ya Yesu Kristo Halellujah Ameeeen asante Baba Barikiwa Sana na Mungu wa Majeshi Shalom.
AMINA AMINA NAJEGWA SANA NA MAFUNDISHO YAKO BARIKIWA KWA VIWANGO VINGINE.
Naitaji macho Saba ya mungu
Macho saba za Mungu ziwe ndani yangu
Napokea Roho saba za Mungu kwa jina la Yesu
Macho saba ya Mungu naiachiaa ndani yangu kwa Jina ya Yesu Kristo Ameeen asante Baba
Ameen baba
Wachungaji wa uongo ni ngumu sana kumtukuza Yesu kwa style hii nayoiona.... Watu wanaomsemaga Gwajima kwamba naye muhuni tu nawashangaa sana,,, labda elimu yangu ndogo lakini mtumishi akiwa anamtukuza Yesu vya kutosha huwa naona ana vitu kutoka kwa BABA MUNGU WETU....
YESU APEWE SIFA MILELE YOTE
Ameen
Amina sana
Amen
👏👏👏👏👏👏👏
Amen Amen Baba.
It is 1 Corinthians 2:9 not 12:9; thank you.
Lakini Mungu ametufunulia sisi kupitia roho yake
Macho Saba ya MUNGU. 🙏🙏
Amen amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Roho yangu ni mimi
Hallelujah amen
Ameni
Amen 🙏
Emen emen
Amen Amen Amen nimepokea baba ubarikiwe
Kweli baba
Amen