NGUVU YA ROHO MTAKATIFU KATIKA MAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @peninnerbeda885
    @peninnerbeda885 2 หลายเดือนก่อน

    Amen huyo baba ni mtumishi wa kweli kabisa...mimi naangalia video zake almost everyday but I receive my healing while I'm home.
    What a wonderful God we have.
    Asante mtumish.❤

  • @jumaomutimba7494
    @jumaomutimba7494 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. Nimejifunza na kubarikiwa na hilo funzo. Amen. From Kenya.

  • @mberiajohn8181
    @mberiajohn8181 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi wa Mungu Leo nimepata ufunuo mpya kuhusu Roho mtakatifu was Mungu

  • @mligostephen3278
    @mligostephen3278 ปีที่แล้ว

    Asante nami napokea uponyaji dhidi ya nguvu za adui. Amen

  • @nelsonemmanuel2588
    @nelsonemmanuel2588 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana nasomo zuri mungu wa major one andelee kukutumia kuponyonya watu wake

  • @innocentnsengimana1600
    @innocentnsengimana1600 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Mtumishi nimeelewa somo hili kabisa.

  • @ShukuruMakwaruzo
    @ShukuruMakwaruzo 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarik mtumish

  • @marykageha4305
    @marykageha4305 ปีที่แล้ว

    Amen na connect from Lebanon . This morning I receive my deliverance ,calling FINANCIAL break through .my children I call the blood of Jesus to change my situation

  • @vmahenge8
    @vmahenge8 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sanaaaa na YESU akuzidishie miaka 100 ya kuishi

  • @elizabethmwambai480
    @elizabethmwambai480 ปีที่แล้ว

    Amina mimi nimepona kwa Imani niko Turkey mkenya

  • @alicekalemela7435
    @alicekalemela7435 ปีที่แล้ว

    Shalom apostle, naomba nishuhudie kuhusu " jinsi ya kutumia damu ya Yesu." Kwanza namshukuru Mungu sana kwa ajili yako. Asante Sana kwa ajili ya mafunuo mengi Sana unayotufundisha na Sana hili la damu ya Yesu. Baada ya kusikiliza Hilo somo nilienda kulifanyia kazi. Mkono wangu wa kulia ulikuwa unaniuma Sana ..nikawa siwezi kubeba kitu au kuinua ,ulikuwa unakufa ganzi. Nikachua damu ya Yesu, na mwili wake nikashiriki meza ya Bwana . Nikatamka , damu ya Yesu ukanene uponyaji juu na ndani ya mwili wangu... Weeee it was an instant miracle...nilipomaliza tu kushiriki... nilikuwa nimepona. Pili Kuna muhindi Fulani tunaomba naye kwenye maombi Fulani ..akanishirikisha kuwa anaenda kufanyiwa upasuaji wa moyo Kuna anatatizo la moyo akaniomba nimuombee. nikamnyunyizia damu ya Yesu kwenye moyo rohoni...maana Yeye Yuko India...nikafuta ripoti ya daktari nikaandika ripoti mpya ya uponyaji wake..nikaomba naye online kumaliza maombi alikuwa amepona...daktari kwenda kumfanyia ukaguzi ,hakuona tatazo. Asante apostle...sio wengi wanaoweza kujitolea na kushare mafunuo waliyonayo. Nimefungulia punda...

  • @shimoranyamusagori7356
    @shimoranyamusagori7356 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana, kupitia nguvu Roho Mtakatifu , MUNGU akuzidishe zaidi ili uendelee kuwa msaada kwa vipofu!

  • @hollinessmwawughanga5769
    @hollinessmwawughanga5769 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa Mimi Ni kama mti WA mwerezi wow that's great message 🙏🙏🙏

  • @dottomkuchu5890
    @dottomkuchu5890 ปีที่แล้ว

    Amen baba nimepona

  • @nancyndunga5307
    @nancyndunga5307 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana mtumishi am connected with you nikiwa Kenya lkn naomba tafadhali mnielekeze njia ya kutuma sadaka ya huduma juu kupitia maji na Roho Nina Amani.barikiwa Sana mtumishi

  • @alifanihatbuhatibu6737
    @alifanihatbuhatibu6737 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishii

  • @edwinonsombi
    @edwinonsombi ปีที่แล้ว +1

    Nimeona mkono,wa Mungu baba mali hapa,Huizi milele apostle wetu.

    • @emmanuelshukuran2543
      @emmanuelshukuran2543 ปีที่แล้ว

      Shalom shalom mtumishi ubalikiwe na bwana wa majeshi🙏🙏🙏 na kulinde daima 🙏🙏🙏

  • @robinermsigalla9341
    @robinermsigalla9341 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah, somo ni zuri saàna; naendelea kujifunza Kila iitwapo Leo. Ubarikiwe sana mtumishi.

    • @msangodiesel3132
      @msangodiesel3132 ปีที่แล้ว

      Maji ni dawa kwa somo hili naenda kuyatenda na kuyatumia dawa mapooza yaenda kufa

  • @severinamsuya5963
    @severinamsuya5963 ปีที่แล้ว +1

    May God Bless you Apostle🙏nabarikiwa sana na mafundisho yako🙏

  • @kenonpeter3692
    @kenonpeter3692 ปีที่แล้ว

    Amen Papaa

  • @elizabethmwambai480
    @elizabethmwambai480 ปีที่แล้ว

    Ameen ubarikiwe pastor Qatar France Kenya

  • @fidemary8386
    @fidemary8386 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri mtumishi wa Mungu.tunakuitaji wana mwanza.

  • @leatimoth3611
    @leatimoth3611 ปีที่แล้ว

    Amen like from Lebanon 🇱🇧 daddy

  • @elizabethkristine6651
    @elizabethkristine6651 ปีที่แล้ว +1

    Nime barikiwa sana kwa neno ili mubarikiwe nanyi wote ❤❤❤mtumishi Mungu azidi kuku tia mzima wa afya pia na nguvu mana kupitia ww ma elfu wana funguliw 🥰🙏🙏

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 ปีที่แล้ว

    Amen Apostle ubarkiwe Sana unatufundisha vizuri

  • @janettheis3749
    @janettheis3749 ปีที่แล้ว

    Napokea mjiza kwako baba🙌🏿

  • @elishaakongwa6790
    @elishaakongwa6790 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sanaa Apost nashukuru Mungu azidishe upako maraeflu maana wewe nimusaada ya watu wengi duniani

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe baba, Mungu akutunze kwaajiri yangu🤚

  • @catherinekatoto8278
    @catherinekatoto8278 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sanaa hili somo siku ya leo. Nimejifunza kitu kikubwa katka maisha yangu nimeshindwa kula chakula hiki pekee yangu imebidi ni-share marafiki zangu. Mtumishi wewe umetumwa kwetu kwa majira na wakati huu. Na uzidi kubarikiwa Apostle.

  • @edwinonsombi
    @edwinonsombi ปีที่แล้ว +2

    Amen na asente kwa neno.

  • @neemagodard5838
    @neemagodard5838 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe unabii wenye heri kama sasa uendelee hv coz mimi umenifanya niwe mtu mwingine kabisa hadi sasa umekuwa mtumishi uliyefanya maisha yangu yawe ya baraka kila siku mungu akubaliki sana 🙏

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 ปีที่แล้ว

    Amina ubarikiwe apostle kwakweli tunahitaji kufundishwa na kujifunza.🙏

  • @scovianaiga1218
    @scovianaiga1218 ปีที่แล้ว

    Amen.

  • @pastorerastuskenya4774
    @pastorerastuskenya4774 ปีที่แล้ว +1

    Wooow glory to God. from Kenya. this is a big grace teaching nimebarikiwa sana

  • @Pashonews
    @Pashonews ปีที่แล้ว

    Nimepokea uponyaji kwa jina la yesu

  • @franciscambatha4314
    @franciscambatha4314 ปีที่แล้ว

    I get you well

  • @ruthwagwene4550
    @ruthwagwene4550 ปีที่แล้ว

    God bless you sir!

  • @londatz5407
    @londatz5407 ปีที่แล้ว

    apo nimeelewa kitu cha muhim sana maana imenisaidia kujua mambo ambayo nilikua sijui asante sana pia ubalikiwe mtumishi

  • @carolynebitama3865
    @carolynebitama3865 ปีที่แล้ว

    Napokea uponyaji kwa jina la yesu

  • @faustinriziki6787
    @faustinriziki6787 ปีที่แล้ว

    AMINA AMINA AMINA

  • @nabiiedwardfireonetv8873
    @nabiiedwardfireonetv8873 ปีที่แล้ว

    SoMo zuri kwa wakati muafaka

  • @pquimdebecare962
    @pquimdebecare962 ปีที่แล้ว

    Ee MUNGU nisaidie kuwa ROHONI kwa Jina la YESU

  • @amedeusmmanga8043
    @amedeusmmanga8043 ปีที่แล้ว

    Napataje flash za mahubiri haya na zaidi ya hayaaa

    • @samwelntevi9620
      @samwelntevi9620 ปีที่แล้ว

      Karibu kanisani Mtumishi uje tu na flash yako tutakuweka Masomo unayoyaitaji ukifika muulizie Director Sam Karibu Sanaa Mtumishi

  • @pascalrichard9108
    @pascalrichard9108 ปีที่แล้ว

    Majibu yangu nimeyapata kabsa kabsa

  • @Pashonews
    @Pashonews ปีที่แล้ว

    Mapepo na majini yanao sumbua mimi usiku yapigwe radi