ROHO ZINAZOZUIA ONGEZEKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024
- Ni mapenzi ya Mungu mtu afanikiwe na aongezeke katika kila eneo ila kinachoturudisha nyuma ni hila za shetani. Nguvu za giza hazina shida na hapo ulipo ila tu unapojaribu kuongezeka na kukua ndo vita vinainuka ili tu usifikie ongezeko ambalo Mungu amelikusudia kwenye Maisha yako.
Fuatilia somo hili na masomo mengine upokee baraka.
#sunbellakyando
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our TH-cam: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
Nimebarikiwa sana mutumishi wa Mungu,,be bless ❤❤
Mungu nimwema mtumishi wa Mungu mimi napenda kushuhudia kuhusu somo hili toka mwanzo mpaka mwisho ulivyo anza kuomba nili ona kitu chenye nguvu kikiwa ndani yangu na mikono yangu ili kuwa ina vibration sana napia ulivyo sema tushike kichwa nili cheuwa saana na kupiga kichwa changu kwa nguvu baada ya ulivyo maliza kuomba nili ona mwili mwepesi sana namini Mungu ame nifungua
Kama hayo yametokea kwa kufuatilia Online ni muhimu kufika ibadani physically. Mungu ni mwaminifu na mapenzi yake ni kutufungua...
Utukufu kwa Mungu... Mungu Aliyehai azidishe mafuta yake mabichi kwa Mtumishi wake Mnyenyekevu Pastor Sunbella.
Binafsi simwiti mtu mnyenyekevu bure. This Man of God is really Humble...
@@El9a hivi baada ya dodoma anaelekea wapi
Amen mtumishi waMungu. Naomba sauti kidogo iongezwe naMungu wambinguni aendelee kuwabariki
Aiseeee
Amen Baba.Mungu na azidi kukutumia na kukupaka mafuta mabichi kila siku iitwapo leo.
Mtumishi Nina hitaji kuonana na Wewe ana kwa ana nipo tayari kuja hata huko dar kwani ndani yangu nashuhudiwa kuwa Wewe Mungu atakutumia Wewe kunivusha mahali nilipokwama tangu 2016 nimeomba na kufunga kwa muda mrefu ndipo Mungu akanionesha wakati na mahali maisha yangu yalipo fungwa na kuharibiwa miaka ishirini iliyopita. Naomba kusaidiwa nipo kigoma.
Naomba 😭😭😭😭😭😭😭maombi tafadhali, biashara nafanya, lakini wakati unapo wadia ili nipate faida yangu hapo ndipo shida huniandama, wadeni, stock iliyobakia his shida kuuza!!!!....Leo naomba tafadhali Mtumishi wa Mungu nikumbuke...Niko Kenya, mjini Nairobi
Ubarikiwe mtumishi wamungu somo limeingia
Nabarikiwa kupitia maubili yako
Eee Mungu tusaidia
mtumishi Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri inanibariki sana
Mungu nisaidie
Best Pastor ever. Mungu azidi kukutumia
Sauti ni ndogo
Somo limenigusa, nabarikiwa
Amina, mtumish
Amen 🙏🙏🙏
Kusema kweli mtumishi wa Mungu Niko na roho ya umaskini, naomba uniombee sana
Mungu ametubariki sanaa kwa kupitia wewe Sunbella.
Asante mutumishi Kwa neno zuri
Napenda sana mafundisho yako mtumishi wa Mungu.
Ameeeeeen..
Ubarkiwe sana
AMEN
Nikumbuke Mungu
Kutoka 1:8-12
Amen
Exactly,,,,,,Man of God,,,,,,Be blessed forever dad 🙏🙏🙏
Lini utakuwa Dodoma nije Mtumishi hili somo limenihisu
Amen 🙏
Amina
Kutoka 1:15-16
Amina