DUA YA MANJI | Ally Mayay akumbuka makubwa aliyofanya Manji enzi akiwa Yanga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • DUA YA MANJI: “Alihusika kupandisha thamani ya wachezaji” maneno ya Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Tanzania, Ally Mayay akikumbuka mchango wa aliyekuwa Mfadhili na Mwenyekiti wa Yanga SC, Yusuf Manji aliyefariki Juni 30 ,2024.
    Mayay amekumbuka namna Manji alivyoruhusu mashabiki wa timu hiyo waingie bure kwenye mechi dhidi ya TP Mazembe.
    Mayay asimulia siku ya mwisho kukutana na Manji kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns.
    Imefanyika dua ya kumuombea Yusuf Manji katika ukumbe wa Karimjee
    #Dua #MaishaYaManji #YusufManji
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 1

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 15 วันที่ผ่านมา

    Bajeti ndogo kaongezeni mniletee