CHECHE ZA ABUYA BAADA YA KUKIWASHA | KOCHA AUGSBURG APIGIA SALUTE YANGA | GAMONDI APIGILIA MSUMARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi #Augsbueg #PreSeason #SouthAfrica

ความคิดเห็น • 438

  • @RodgersMutuku-bi6lw
    @RodgersMutuku-bi6lw 2 หลายเดือนก่อน +86

    Huyu abuya aliifuga Everton in kenya against kariobangi sharks ❤we do love yanga in 🇰🇪 wapi likes za yanga

  • @John-sz9je
    @John-sz9je 2 หลายเดือนก่อน +238

    Mambo ya injiniaa mme yaonaaaaaaaaa hebu kama unaikubali timu yetu gonga like hapaaaa. Yangaaaaaaa rahaaaaa

    • @selemapingon9286
      @selemapingon9286 2 หลายเดือนก่อน +1

      Halafu eti mzee Magoma anaitaka timu

  • @TwahaAliMtumbi
    @TwahaAliMtumbi 2 หลายเดือนก่อน +77

    Nzengeli na Abuya walikuwa watu kweli hawana baya. Bless kwao

    • @RamseykingGenius
      @RamseykingGenius 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂🤩✊🏿✊🏿👉🏿💪🏿💪🏿

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 2 หลายเดือนก่อน +37

    Hongereni nyote wachezaji kocha na uongozi mmetuburudisha sana MUNGU awe nanyi na mzidi kufanikiwa katka kila hatu🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤

  • @OmarySalimu-rj2yr
    @OmarySalimu-rj2yr 2 หลายเดือนก่อน +290

    Viva Yanga like za Max Nzengeli zije nyingi😂😂

    • @wanahawaShaban
      @wanahawaShaban 2 หลายเดือนก่อน +6

      Huyu mwamba Leo kanifurahisha sanaaaa🎉🎉🎉🎉🎉

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 2 หลายเดือนก่อน +4

      Mwamba kwelikweli 🎉🎉🎉

    • @OmarySalimu-rj2yr
      @OmarySalimu-rj2yr 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@amaniomar1755 respect Max✊

  • @deusdeditkullwah5586
    @deusdeditkullwah5586 2 หลายเดือนก่อน +31

    Sina ninachowsdai yanga wamecheza mpira tuliouhitaji Hongera timu hongera uongozi hongera kocha

  • @bakarimohammed9851
    @bakarimohammed9851 2 หลายเดือนก่อน +51

    Tunawapongeza sana sana team mzima mechi ya kwanza kucheza na team kubwa, is not easy guys 💐💐💪💪💪

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 2 หลายเดือนก่อน +69

    Duke abuya na Aziz andambwile wakijenga chemistry yao itakuwa pacha Moja hatar sana

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 หลายเดือนก่อน +2

      Waongeze ubora na umakini ... Maana pacha ya Dr na muda boy ni superb .... Ila abuya na andambwile ni watu Sana

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw 2 หลายเดือนก่อน +66

    tumeridhika na kiwango cha Yanga yetu mwalimu atafanya malekebisho atakapoona alekebishe lakni hongera🎉🎉🎉

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 2 หลายเดือนก่อน +38

    MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @careemdulla1629
    @careemdulla1629 2 หลายเดือนก่อน +61

    Hongera sana Yanga Africa mmepiga Soka bora sana

  • @saumbakar7643
    @saumbakar7643 2 หลายเดือนก่อน +26

    Timu yangu inaubora hatari mnooo💚💚💛💛 mungu azidi kuwatia nguvu furahaa iendelee msimu ujao kwanzia tarehe 8 roho zikawa hai🙏🙏🙏💚💛💚🤲🤲🤲🤲

  • @MajutoIbrahim
    @MajutoIbrahim 2 หลายเดือนก่อน +49

    Leo nimeelewa kwann yanga Africa hakika tumewakirsha vzur Africa💚💚💚💚💚💚

  • @simonprosperity9573
    @simonprosperity9573 2 หลายเดือนก่อน +11

    Binafsi sina cha kuwadai my best team Yanga Africans u played well ❤

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 2 หลายเดือนก่อน +18

    Endeleeni kupambana wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi Daima mbele nyuma mwiko. Msiinamishe vichwa mumepambana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ElizabethMwaisunga
    @ElizabethMwaisunga 2 หลายเดือนก่อน +16

    Mungu uwalinde wachezaji wetu wawe salama tuzidi kufanya vzr👏👏👏🤲🤲

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu ni mwema na matokeo haya ni upendo wake kwetu. Tunamshkuru saana. Amina.

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +19

    Hongera abuya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Masengo-su3mf
    @Masengo-su3mf 2 หลายเดือนก่อน +16

    Japo kuwa Ila wanahume mmekipiga mungu azibariki kazi zenu daima mbele nyuma mwiko

  • @misambo7539
    @misambo7539 2 หลายเดือนก่อน +125

    Wakuu kiukweli kabisa kutoka moyoni tuna timu nzuri sana Hivi mmemuona Dube? Hivi mmemuona Baleke? Mmemuona Nzengeli nyie nyie. Gongeni like kuwapa support wachezaji wetu.

    • @gabapentin8070
      @gabapentin8070 2 หลายเดือนก่อน

      Sijamueka pakome wala aucho😂😂 sa itakuaje !?

    • @misambo7539
      @misambo7539 2 หลายเดือนก่อน

      @@gabapentin8070 ni balaa tupu blaza

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +17

    Hongera dicson jobe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @erastokitime8835
    @erastokitime8835 2 หลายเดือนก่อน +15

    Job anajua sana kuongea na midia 👍👍👍👍

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mashaallah Alhamndulilah kwakiwango Kizuri kwenye Timu yetu namuomba M/Mungu atuzidishie zaidi Inshaallah

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 2 หลายเดือนก่อน +16

    Duuh allah atujalie uzima mashabiki na wachezaji wetu walai tumefungwa ila nimefurahi kinoma get well soon boka unakitu msimu huu tutafurahi sana

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 2 หลายเดือนก่อน +8

    YANGA OYEEEEEEEE RAHA KAMA ZOTE.KIKUBWA DUA TU. TUMEINJOY. FROM💯💯💯🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲 OMAN. DUA KWA WACHEZAJI WETU NA VIONGOZI KWA UJUMLA👏👏👏👏👏

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 2 หลายเดือนก่อน +21

    Pila Gamondi linaendelea vizuri 💚💛

  • @kiondosaimon6149
    @kiondosaimon6149 2 หลายเดือนก่อน +28

    Huyooo Abuyaa ukimuangaliaa kwa mbalii kama Maino hv wa England. Safii sanaaa timu boraaa Yanga 💯💯

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +20

    Daima mbele nyuma mwiko is 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 2 หลายเดือนก่อน +33

    Thus my best team, i love you yanga, umwaaaaaaa

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 2 หลายเดือนก่อน +28

    "young Africans played well in the second HALF they could equalize(Yanga walicheza vizuri ktk kipindi cha pili wangeweza kusawazisha),, maneno ya KOCHA wa timu ya ligi kuu UJERUMANI

  • @mselawataifa
    @mselawataifa 2 หลายเดือนก่อน +10

    Azizi andambwile the game changer duke abuya,max, baleke, dube, kocha anakazi.

  • @akaniwa04tv35
    @akaniwa04tv35 2 หลายเดือนก่อน +27

    Yanga Mungu awainue mko vizri Sana

  • @deniswilliam4486
    @deniswilliam4486 2 หลายเดือนก่อน +36

    Tuna team wananchi

  • @SamirAmandus
    @SamirAmandus 2 หลายเดือนก่อน +101

    Team tunayo na tunatamba nayo asiee

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 2 หลายเดือนก่อน +5

      EWAAAAAAA💛💚💛💚🙌🙌

    • @saumbakar7643
      @saumbakar7643 2 หลายเดือนก่อน +4

      Umeonaeee💚💚💛💛

  • @eduardogodian6861
    @eduardogodian6861 2 หลายเดือนก่อน +11

    Great Performance on Game 1 of Pre season,, Bright future ahead

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +13

    Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @neemaadam9256
    @neemaadam9256 2 หลายเดือนก่อน +7

    Sii haba, something is better than none, YANGA Hoyeeeee 👏🏽💛💚💛💚

  • @DjFae.b255
    @DjFae.b255 2 หลายเดือนก่อน +63

    Gonga like za habuya hapa🙌💚💛💛🇿🇦🇹🇿

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 2 หลายเดือนก่อน +19

    daima mbele nyuma mwiko 🔥🔥

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +13

    Hongera dicson jobe

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 2 หลายเดือนก่อน +14

    ❤❤❤❤yanga hii jaman tutafika mbali sana inshallah

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 2 หลายเดือนก่อน +2

    💛💛💛💛💚💚💚💚🙏🙏🙏.......Hatunaga baya,......tunafurahi saaaana.......Mungu atatusimamia.

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 2 หลายเดือนก่อน +46

    Great job, mjeremani kaomba mpira uishe tu maana pumzi ya moto iliwashukia

    • @radhiamussa1629
      @radhiamussa1629 2 หลายเดือนก่อน +6

      Dk za mwisho ndio ilikuwa hatari ndio wangeanza hivyo hingekuwa hatari zaidi

    • @augustinomkongwa5444
      @augustinomkongwa5444 2 หลายเดือนก่อน

      @radhiamussa1629 yes lkn kimbinu hapo Gamond Kuna code kazificha tarehe 8 siyo mbali😀😀😀😀😀yeye anasema I told my team to enjoy football ndo maana wala hakuonekana kuelekeza chochote

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna mchezaji wao wajerumani alikwenda kumwuliza mbona muda hauishi, akamwonyeshea stop ⏱

  • @AlmachNestory
    @AlmachNestory 2 หลายเดือนก่อน +36

    Tuna timu nzuri, kesho yetu wana familia wa Yanga Sc ni bora zaidi kuliko leo, Yanga Sc chini ya master Gamondi iko mikono salama kabisa, kwa kila hatua Mungu awe pamoja na timu yetu.

    • @SarhaSaid
      @SarhaSaid 2 หลายเดือนก่อน +2

      Amin 🤲💚💛💛💚

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 2 หลายเดือนก่อน

      Ameen 🎉🎉🎉

    • @kanyeshahigirimana5686
      @kanyeshahigirimana5686 2 หลายเดือนก่อน

      Inshaallah Amin 🤲

  • @ShiitaMisambo
    @ShiitaMisambo 2 หลายเดือนก่อน +257

    Wananchi asiwadanganye mtu hii Yanga inabeba kila kitu msimu ujao kwenye NBC na Africa lazima tucheze fainali au nusu fainali. Gonga like kama unakubali.

    • @akimAkimuWA-m3t
      @akimAkimuWA-m3t 2 หลายเดือนก่อน +5

      Wazungu hamuwawez

    • @akimAkimuWA-m3t
      @akimAkimuWA-m3t 2 หลายเดือนก่อน +2

      Simba ndiohuainawaweza wazungu siosisi yanga

    • @akimAkimuWA-m3t
      @akimAkimuWA-m3t 2 หลายเดือนก่อน +2

      Simba ndiohuainawaweza wazungu siosisi yanga

    • @FIDELISMfugale
      @FIDELISMfugale 2 หลายเดือนก่อน +1

      INAbeba MPAKA mimbaa

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@akimAkimuWA-m3tUbuntu kajifunze kusoma

  • @gracemusa31
    @gracemusa31 2 หลายเดือนก่อน +34

    Hii ndio yanga timu ya wananchi💚💚💛💛

  • @hashimurashidi6573
    @hashimurashidi6573 2 หลายเดือนก่อน +3

    Asante yanga asante wachezaji kwakujituma kiukweli mmeonyesha kitu ASANTE VIONGOZIWETU KWKUIFANYA YANGA IWEKUBWA AFRICA.

  • @alenichungu2666
    @alenichungu2666 2 หลายเดือนก่อน +25

    Team tunayo

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 หลายเดือนก่อน +16

    Kazi Iendelee akhui mazoezi mazuri tunawaombea kila la kheri wananchi

  • @fatumamlula4484
    @fatumamlula4484 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika vijana wameonyesha kiwango kizuri mungu ibariki yanga ❤❤

  • @MijikendaArts
    @MijikendaArts 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duke pambana mwanakwetu team 🇰🇪🇰🇪tuko pamoja na wewe.....all the best brother.....like zenu tunaotoka Kenya

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana wachezaji wetu u really did the best 🎉🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera diara 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EvaristMsita
    @EvaristMsita 2 หลายเดือนก่อน +37

    Job,,,,,kidogo tu wamuuuwe sio kwa moto ule 😂😂😂but hongera My TeAm

    • @emmanuelodiembo
      @emmanuelodiembo 2 หลายเดือนก่อน +6

      Dah kumbe tuliiona weng but alikipiga nying kipind cha pili😂😂

    • @radhiamussa1629
      @radhiamussa1629 2 หลายเดือนก่อน +5

      Inawezekana kutotulia na pressure alikuwa nayo kipindi Cha kwanza

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 2 หลายเดือนก่อน +3

      Exactly kipindi cha pili alitulia akaubonda mwingi

    • @osmundmtavangu
      @osmundmtavangu 2 หลายเดือนก่อน +3

      Alitembelea tumbo chezea mijerumani ww😂😂😂😂😂 Yote kwa yote hongera timu yangu.

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 2 หลายเดือนก่อน +19

    Daa Raha sana

  • @TwahaAliMtumbi
    @TwahaAliMtumbi 2 หลายเดือนก่อน +16

    Young mmenifurahisha mno. Abuya Nzengeli hamna. Baya.. Mtumbi kutoka Berlin Ujerumani

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duke abuyu na max mpia nzengeli Hawa ni watu wa kazi mafundi kweli kweli 🎉🎉🎉

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 2 หลายเดือนก่อน +9

    😢😢😢Kocha Gamondi anambinu nzuri na pia inaonyesha kaumia aseeh hasa nafasi ya dube aliyo kosa aseeh mana amesema ingekuwa sale endapo Dube angefunga lakini yote sawa

  • @charlesmwaipasi2884
    @charlesmwaipasi2884 2 หลายเดือนก่อน +19

    Yanga tupo moto sana

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 2 หลายเดือนก่อน +9

    Wanainchiiiiiii,Team la Eng,,,achana na mganga magoma ,,,,mpiga lamli

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 2 หลายเดือนก่อน +7

    Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @a-lex..
    @a-lex.. 2 หลายเดือนก่อน +15

    Alwatan 🔥🔥🔥

  • @athmanhassan
    @athmanhassan 2 หลายเดือนก่อน +1

    mimi kipa wetu ananifurahisha hongera sana tim yetu pmj naviongozi kwa ujumla

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 2 หลายเดือนก่อน +13

    Great team nice performance

  • @MawazoWilliam-g9l
    @MawazoWilliam-g9l 2 หลายเดือนก่อน +17

    Natokea mkoa wa songwe nimeburudika sana niliimis sana timu yangu nimefurahi.

  • @lamama.
    @lamama. 2 หลายเดือนก่อน

    sema Job ni wise sanaa kama huwa unamuelewa jiunge nami hapa

  • @cynthiapwani1383
    @cynthiapwani1383 2 หลายเดือนก่อน

    Kikweli Mungu atutunzie nyie akazidi kuwaunganisha muwe na combination nzuri nzuri zaidi yani na boka akapone haraka kwa uweza wake Muumba asikae sana in Jesus name🙏yanga yetu tunajivunia hakika 💪💛💚💛💚🙌🥂👌🔥🔥🥰

  • @perpetuanashon1677
    @perpetuanashon1677 2 หลายเดือนก่อน +1

    Endeleeni kupamba mungu awatangulie katika michezo ijayo ya mashindano mbalimbali 🙏🙏💛💚💪💪🔥🔥

  • @JohnMahenge-u3o
    @JohnMahenge-u3o 2 หลายเดือนก่อน +3

    Naipenda yanga yangu

  • @sospeterkashusha7031
    @sospeterkashusha7031 2 หลายเดือนก่อน +31

    Weka like nyingi kwa max maxzingeli

  • @goodluckabdul7316
    @goodluckabdul7316 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hongera sana

  • @HalimaIssa-pu4yt
    @HalimaIssa-pu4yt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aiseeeh kama una wivu jinyonge Yanga Bingwa

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga jamani hadi raha ❤

  • @SadikiSalumu
    @SadikiSalumu 2 หลายเดือนก่อน +11

    Wa kwanza naombeni like zangu😂😂😂

  • @ModekaiBetina
    @ModekaiBetina 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Abdulaziz, unamiminika na yeyote tu.

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino 2 หลายเดือนก่อน +11

    Maxi ajengewe sanamu kabisa

  • @JamesSambaLengedi
    @JamesSambaLengedi 2 หลายเดือนก่อน

    Wananchiiii 👍👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪🏆🏆🏆🏆🏆

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nahoza kagaragizwa kwa ajili yetu big up

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidi kuwabariki yanga

  • @rajabumshangama10
    @rajabumshangama10 2 หลายเดือนก่อน +81

    Gonga like kama umepata burdani

  • @chemstry409
    @chemstry409 2 หลายเดือนก่อน

    Abdullaziz hongera sana kaka.....

  • @evaristgaspa6074
    @evaristgaspa6074 2 หลายเดือนก่อน +10

    Ninawasiwasi namadu duka yarehe 8 je wareta timu &&___yanga noma

  • @RubenIbrahim-st6dh
    @RubenIbrahim-st6dh 2 หลายเดือนก่อน +292

    Kama umemkubali abuya like zitiririke apa🎉🎉🎉 utulivu mkubwa

    • @yahyanganisyo2150
      @yahyanganisyo2150 2 หลายเดือนก่อน +5

      🎉🎉❤❤😂😂❤❤❤😊😊

    • @akimAkimuWA-m3t
      @akimAkimuWA-m3t 2 หลายเดือนก่อน

      Mbonamnafungwafungwa? Inamaana waliwaalika iliwawafunge

    • @IsakwisaSophen
      @IsakwisaSophen 2 หลายเดือนก่อน +1

      Uyu n fundi mzee

    • @BushiriAlly-d7f
      @BushiriAlly-d7f 2 หลายเดือนก่อน +2

      Abuya n wa nchi gani mazeee

    • @majidabdul-wg8ww
      @majidabdul-wg8ww 2 หลายเดือนก่อน

      @@BushiriAlly-d7f kijana wetu huyo kutokea Kenya...starboy

  • @AsifuSule
    @AsifuSule 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hiii mechi nimeipenda kwa kweli nimelizka na kiwango cha Yangaa najua kitazidisha juhud mara dufu

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 2 หลายเดือนก่อน +20

    Timu Bora kuwahi kutokea Tanzania 🇹🇿🇹🇿

  • @musasaguti4760
    @musasaguti4760 2 หลายเดือนก่อน

    Honger6 sn Wananchi🎉🎉🎉

  • @MohdSaid-ff8lx
    @MohdSaid-ff8lx 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kwa jiran na nbc mwaka huu kazi ipo

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga raha sana tuna jivunia san timu yetu ya uyu mwaka inshallah tuta fika mbali msimu huu

  • @EsterNestory-u2s
    @EsterNestory-u2s 2 หลายเดือนก่อน +2

    He is dangerous man the future of midfield of dar young Africans,,,, congrats man good answers great maturity

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga ni 🔥 🔥 🎉🎉❤❤❤

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 2 หลายเดือนก่อน

    Daima mbele nyuma mwiko Asante mungu

  • @neemamtenga2687
    @neemamtenga2687 2 หลายเดือนก่อน

    Great work team yetu. MUNGU awatunze❤

  • @zawadichoma7515
    @zawadichoma7515 2 หลายเดือนก่อน +18

    Huyu abuya ni hatari

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 2 หลายเดือนก่อน +11

    Wanainchi tuna timu wapinzani wajipange💛💚💛💚💛💚💛

  • @SaidatySalehe
    @SaidatySalehe 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mechi nzur sana

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ongera alwatan

  • @drom_inthehouz
    @drom_inthehouz 2 หลายเดือนก่อน +12

    Augsburg wanabahati Pacome hakuwepo, angewavuruga madefenders

  • @haifamiraji6483
    @haifamiraji6483 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani mmecheza vizuri sana wenye visokoro kwinyo watakufa siku c zao yanga bingwa daima.

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 2 หลายเดือนก่อน

    Wananchiiiii let's Gooooo Pamoja 💥🔥💯💫💚💛🌟

  • @TomasJohn-v7e
    @TomasJohn-v7e 2 หลายเดือนก่อน

    nashukur sana kwausanjl huu watateseka sana