EXTENDED HIGHLIGHTS: YANGA 1 - 2 AUGSBURG| BALAA LA BALEKE, MAX NA DUKE ABUYA| WAZUNGU WAMEKUBALI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

ความคิดเห็น • 178

  • @bmwinuka
    @bmwinuka 2 หลายเดือนก่อน +8

    Bonge moja la mpira wa kimataifa.. yanga tupo juu sana 💚💛

  • @BenardNjau-m4c
    @BenardNjau-m4c หลายเดือนก่อน +3

    Yanga noma aisee

  • @YusuphMandale
    @YusuphMandale 2 หลายเดือนก่อน +30

    Najitahd niwe wa Kwanza ila wap nyie wanayanga eeeeeh noma💛💛💛🧡💚💚💚💚🖤🖤💛💛🧡🧡💚💚🖤🖤🖤🖤🖤

    • @AshimuMuhammad
      @AshimuMuhammad 2 หลายเดือนก่อน

      @@YusuphMandale ahahahahhahha

    • @francepaul7711
      @francepaul7711 2 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅

  • @AshimuMuhammad
    @AshimuMuhammad 2 หลายเดือนก่อน +44

    Nipeni like zangu yanga bingwa mapemaaaaaaaaaaaaaa msimu huu 🎉🎉🎉

    • @EvanceKomu
      @EvanceKomu 2 หลายเดือนก่อน +5

      Kwel

    • @JosephMsungu-n4f
      @JosephMsungu-n4f หลายเดือนก่อน

      D za❤Upendo😢😢😂😢 byw😂
      Osur😮😅 yangu 😢 bya the😂 sio
      ​@@EvanceKomu😂 ya r ya 2

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pongezi sana kwa wachezaji.wetu mmepambana vizuri kwa timu kubwa kama hii🎉🎉🎉

  • @SengiSogomba
    @SengiSogomba 2 หลายเดือนก่อน +5

    Asante sanaaa wateja washanisumbua sana studioo

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 2 หลายเดือนก่อน +13

    Nimewahiiii 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻

    • @HassanMshaur
      @HassanMshaur 2 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉

  • @MajaliwaJuma-c5g
    @MajaliwaJuma-c5g 2 หลายเดือนก่อน +30

    Yanga bingwa 2024/25

    • @Samalextz
      @Samalextz 2 หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉🎉

    • @RoseKweka-p6i
      @RoseKweka-p6i 2 หลายเดือนก่อน

      San@@Samalextz

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 2 หลายเดือนก่อน +7

    Yanga oyeeeeeeee raha kama zote.

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 2 หลายเดือนก่อน +4

    Anakuwa na mawenge akifika golini mzize jitahidi uwe.makini jitahidi na kuongea na mwenyezimungu km giza lipo litaondoka In sha Allah nawote wachezaji kunawakati shetani anawa ziba macho mjitahidi huyo shetani awaogope. Nawapenda wote wachezaji wangu 🎉🎉🎉

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu ibaliki Tanzania Mungu wa baliki wachezaji wa yanga amin🎉

  • @khadijakisele6384
    @khadijakisele6384 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daima mbele nyuma mwiko kazi wanayo❤❤❤.

  • @ANIZETHISIJAONA
    @ANIZETHISIJAONA 2 หลายเดือนก่อน +2

    MIMi yanga daima mbere nyumu mwiko

  • @Le_petery
    @Le_petery 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dakika ya 6:08 Mzize kakosa goli la wazi.! Mzize anakazi kubwa sana ya kufanya kuwa mmaliziaji mzuri..

  • @babacaren1801
    @babacaren1801 2 หลายเดือนก่อน

    Zooooooona Daima mbele nyuma mwiko 💪

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 2 หลายเดือนก่อน +4

    Daima mbele nyuma mwiko twawapenda sana wachezaji wetu ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SalumMnape-ve2vs
    @SalumMnape-ve2vs 2 หลายเดือนก่อน +3

    Congratulations guys God bless

  • @johnjames-pw1dp
    @johnjames-pw1dp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wananchiiii hoyeee 👍👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪🏆🏆🏆🏆🏆

  • @LeticiaBraiton
    @LeticiaBraiton 2 หลายเดือนก่อน +1

    pamoja sanaaaaas

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wamejitahidi mno team yangu pendwa 🟢💛💚💛🥎

  • @ChefBob-g1d
    @ChefBob-g1d 2 หลายเดือนก่อน +3

    Balleke 100% Mwananchi

  • @TonitoAbdalabacar
    @TonitoAbdalabacar 2 หลายเดือนก่อน

    Vip Wana yanga

  • @daggerslick
    @daggerslick 2 หลายเดือนก่อน +8

    Yanga bingwa in GSM'S VOICE 😂🔥🔥🔥

    • @Amiri-mg6ey
      @Amiri-mg6ey 2 หลายเดือนก่อน

      Simba wata poteana

  • @LukindoMchome-qv3vo
    @LukindoMchome-qv3vo 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga bingwa

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga hawatishi sana

  • @irenedaniel8702
    @irenedaniel8702 2 หลายเดือนก่อน +1

    Max anajua ❤❤

  • @SillaStephano
    @SillaStephano 2 หลายเดือนก่อน +1

    😮kiukweli Yanga wapo vizur

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga moto sana Makori msirete timu tunawara

  • @patrickPaul-d5p
    @patrickPaul-d5p 2 หลายเดือนก่อน

    nakubali broo

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 2 หลายเดือนก่อน +4

    Spirit Ile ya kipindi Cha pili dakika za mwishoni ndio mnatakiwa muwe nayo tangia mpira unapoanza

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 2 หลายเดือนก่อน +1

      Lazima uwasome wapinzan, unaweza kufa saba

  • @shefujosee617
    @shefujosee617 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana nilikuwa naingoja hii

  • @DanielMollel-mw2eu
    @DanielMollel-mw2eu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awasaidie timu yangu

  • @hassanchiwambo687
    @hassanchiwambo687 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tumeiona timu yetu tabu ipo palepae🎉🎉

  • @sidetheboymakerchief2412
    @sidetheboymakerchief2412 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hatari sana😊😊😅😅😅

  • @husseinathman8038
    @husseinathman8038 2 หลายเดือนก่อน +1

    huyu goalkeeper wa Yanga anahitaji mazoexi ya ziada na mawaidha kiac, yanga tutakuwa juu zaid ya hapa, hussein athman kutoka Nairobi Kenya

    • @AlfredMatemu
      @AlfredMatemu หลายเดือนก่อน

      Mfuatilie tena mechi zake utamjua vizuri

  • @ManenoJuma-xd3ii
    @ManenoJuma-xd3ii 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uko vizry ❤

  • @abushirikhalfan5068
    @abushirikhalfan5068 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hii nzuri😂

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dakika 90 zimekuwa kama dakika 30 " Yanga bingwa a gain "

  • @joshualaizer1707
    @joshualaizer1707 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FrancoTanni
    @FrancoTanni 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @AllyAmanzi-y8i
    @AllyAmanzi-y8i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuliwaonesha nas Tupo

  • @dullamuwise4802
    @dullamuwise4802 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mabingwa wa nchi🇹🇿

  • @AllyChezo
    @AllyChezo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wajerumani ulimi nje,

    • @RamadhanKalolo
      @RamadhanKalolo 2 หลายเดือนก่อน +1

      mbona Umekanyagw👹👹👹👹👹

  • @BenardNjau-m4c
    @BenardNjau-m4c หลายเดือนก่อน +1

    Kama ulaya tu yan

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 2 หลายเดือนก่อน

    Clement Mzize anapaswa kufanya mazoezi mengi ya namna ya kufunga ( kuueleleza Mpira wabuni kwa usahihi) " anapoteza nafasi nyingi ambazo,kama ataongeza umakini na kushuti kwa usahihi,anaweza kuzigeuza hizo nafasi kuwa magoli "

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jumanne baleke

  • @ShijaMasesa-k7p
    @ShijaMasesa-k7p 2 หลายเดือนก่อน

    Vip

  • @MadinaAhmed-u9z
    @MadinaAhmed-u9z 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga mabingwa

  • @analisacecy
    @analisacecy 2 หลายเดือนก่อน +3

    😢Iyo kosa ya mzize nimestuka utasema mpira unachezwa saiv live

    • @Samalextz
      @Samalextz 2 หลายเดือนก่อน

      Mzize kaja kivingine msimu huu

  • @AfrikanKID1606
    @AfrikanKID1606 2 หลายเดือนก่อน +7

    Highlights touches za Max please 🥺

  • @MobFiggaz
    @MobFiggaz 2 หลายเดือนก่อน

    Daima mbele

  • @RajabuBojo-j2l
    @RajabuBojo-j2l 2 หลายเดือนก่อน

    Atar sana

  • @MichaelMahenge-ld7bq
    @MichaelMahenge-ld7bq 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @mashakakassim-q6v
    @mashakakassim-q6v 2 หลายเดือนก่อน +2

    safisanaa

  • @arcamrichard1211
    @arcamrichard1211 2 หลายเดือนก่อน +2

    Max killer sana Ila azz atar kaondoka na Kijiji Cha makumbushao

  • @MERYMOSES-kl7dr
    @MERYMOSES-kl7dr 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona hatumii chama naomba msimtenge chama

  • @zakayomaendeleo
    @zakayomaendeleo 2 หลายเดือนก่อน

    💚💛

  • @RamadhanKalolo
    @RamadhanKalolo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Utopolo oyeeeee🧟🧟🧟🧟🧟🧟

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 หลายเดือนก่อน

    Japo tumefungwa ila mashaallah yanga wamecheza bwana chukuaeni 🎉🎉🎉

    • @MasumbukoMacho
      @MasumbukoMacho 2 หลายเดือนก่อน

      Wamecheza au wamechezewa

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 หลายเดือนก่อน

      @@MasumbukoMacho umechezelewa broo

  • @arcamrichard1211
    @arcamrichard1211 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi Leo Leo naenda kuchukua ticket yang mapema maana siyoo kwa yanga hii

  • @DanielMdachi-u8p
    @DanielMdachi-u8p 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio ability yetu

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naona utopolo kwenye hii video wanakata mashambulizi ya mpinzani😅😅😅😅

  • @JosephMatias-t9m
    @JosephMatias-t9m 2 หลายเดือนก่อน

    Kabisa

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 2 หลายเดือนก่อน +2

    Game nzulii san

  • @CelebrationCorridor-j1d
    @CelebrationCorridor-j1d 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga hii inashika nafasi ya 5 Bundesliga

  • @hashimurashidi6573
    @hashimurashidi6573 2 หลายเดือนก่อน +2

    Azizi andabwile nikiungo washoka.

  • @sevarinijrchitandachitanda138
    @sevarinijrchitandachitanda138 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 2 หลายเดือนก่อน

    💚💛💚💛

  • @leemabibaphotography8053
    @leemabibaphotography8053 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh sikupata nafac ya kutazama hii mechi kumbe yanga ilipiga mpira kama ulaya aiseee 😂😂😂😂 burudaniii

  • @ThuwaibaMkana
    @ThuwaibaMkana 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉 good game

  • @sulevevo
    @sulevevo 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wamepambana atakaeleta maneno sio shabiki mkweli wapewe maua yao au mnasemaje wadau?

    • @lahdadibrahim5006
      @lahdadibrahim5006 2 หลายเดือนก่อน

      Kumalamamaako kuma ww mbwa hao wamefungwa tu ww kwni unasemaji

    • @thadeusmarkiminja2282
      @thadeusmarkiminja2282 2 หลายเดือนก่อน

      @@lahdadibrahim5006 hongera kwa matusi unahitaji medali

  • @Joseph-x7o
    @Joseph-x7o 2 หลายเดือนก่อน

    Timu kubwa inachezaga na timu kubwa

  • @JustusPius-zu2ve
    @JustusPius-zu2ve 2 หลายเดือนก่อน +2

    Azam media wajitathimini na hivyo vifaa vyao vipya havipo katika ubora mzuri

  • @DevidMwaisumo
    @DevidMwaisumo 2 หลายเดือนก่อน

    💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛

  • @godlizenbraison6300
    @godlizenbraison6300 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga itakuwa wamoto tusubirie itakuwa timu hatari sana

  • @charitymkombozi5900
    @charitymkombozi5900 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ndo pre-season sasa siyo wale kina mwafulani mechi wanachezea chumban 😅😅

  • @MANENOHEMEDYTV
    @MANENOHEMEDYTV 2 หลายเดือนก่อน +6

    Yanga hii ni hatari ndugu zangu

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Maria kwa yanga babarao

  • @AbelChisasi
    @AbelChisasi หลายเดือนก่อน

    Yanga Mabingwa

  • @jumalucasmasasila-gd4cv
    @jumalucasmasasila-gd4cv 2 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊wanabahat ata ivo

  • @neemafrancis3968
    @neemafrancis3968 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mzize nani kamloga kwann anakuwaga kipofu kuona lango

    • @MasumbukoMacho
      @MasumbukoMacho 2 หลายเดือนก่อน

      Mzee magoma

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 หลายเดือนก่อน

      Papuchi 2 anamiliki kwa wakati moja,atachoka tu

  • @abdallangaranga
    @abdallangaranga 2 หลายเดือนก่อน

    Ivi Moira wa yanga wa mwaka huu Simba atahuweza kweri

  • @sulehamad8700
    @sulehamad8700 2 หลายเดือนก่อน +2

    nice game

  • @BADAWY575
    @BADAWY575 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ww alwatan hizi high light inatakiwa kipyenga cha mwisho kazi yako ya kwanza unatupia highlight kwenye app yetu paka you tube fasta fasta

  • @mubuyafrancis3979
    @mubuyafrancis3979 2 หลายเดือนก่อน

    Mi Simba ila young na umwaka itakuw Moto kabisa

  • @IbraahMghai
    @IbraahMghai 2 หลายเดือนก่อน

    Team haikabi

  • @Fabianfideltz
    @Fabianfideltz 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉nic

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 หลายเดือนก่อน

    Mzize nguvu nyingi kuliko maarifa.

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 2 หลายเดือนก่อน

    Mzize hebu ukikaa uwe unangalia highlight za mechi za nyuma ukifika kwenye lango uwe unatoa assist usilaximishe kufunga mechi zote ambazo umetoa assist kwenye goli matokeo yametokea tena mazuri rehea mechi ya simba na yanga zile 5

  • @MWALIMUCHAKATV
    @MWALIMUCHAKATV 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani nami nimefika kabisa nipo

  • @monifrank347
    @monifrank347 2 หลายเดือนก่อน

    Mm simba ila kwenye hii highlights mmetisha

  • @mustafaluziga5196
    @mustafaluziga5196 2 หลายเดือนก่อน

    Kichapo kiheshimiwe Ubaya ubwela

  • @salminmalole139
    @salminmalole139 หลายเดือนก่อน +1

    we zombie

  • @RamadhanSaid-j1m
    @RamadhanSaid-j1m 2 หลายเดือนก่อน

    Hizo levo za simba

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf หลายเดือนก่อน

    Wanaorudia hii gem tujuane

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga watu watatoa musimu huu

  • @deonesiamabamba9619
    @deonesiamabamba9619 2 หลายเดือนก่อน

    Ubingwa ni wa Yanga Hilo linajulikana.

  • @nasibumatola3810
    @nasibumatola3810 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🙌