Elimu yangu ya Sekondari iliniambia, moja ya faida za mabwawa ya Kuzalisha umeme ni kuzia Mafuriko, naona kwetu kila kitu ni laana. Kuna haja ya kufanya utafiti wa mafunzo wanayopewa Ma injinia wetu.
Dingi we elimu yako ya form four ndio shida. Kutapisha maji yakijaa kwenye bwawa ni la kawaida na maji yatapita kwenye mkondo wake uleule wa zamani.. inshu ya kutoa tahadhari pia haina shida ili watu wasije kushangaa haya maji yanatokea wapi.. pia yanaweza kuongeza kina na yakawa na nguvu zaidi so tahadhari ni kawaida. Wew wa form four ndio umeona ni majanga na laana. Tungewaachia nyie maamuzi ndio nchi ingekuwa gizani kabisa tungekuwa tunatumua sola
Kwani nape alisema huo mradi UTAHARIBU MAZINGIRA NA ALISEMA HUO MRADI UHAHIRISHWE ,,,NA WATU WA MAZINGIRA WALIONYA KWAMBA HAUFAI , SASA NDO HAYO TUNAYAONA. ,,,TATIZO LA TANZANIA NI KUWADHARAU WATAALAMU WAKE,,,ANGALIA MITI ILIYOKATWA NI SAWA UKUBWA WA DAR ES SALAAM YOTE
@@tomjerry1170Sasa mwerevu, Lengo si lilikuwa bwawa lijae ili lizalishe umeme? unapotiririsha maji bila kuzalisha umeme ambao ndi kusudio kuu, kwa kuogopa kufurika kwa bwawa si unaonekana wewe kuwa mjinga ambaye hakupanga mpangokazi unaoendana na malengo?
@@frankngoloka2589Si Unajuwa Kuna watu wanasababu zao kwa hivo huwezi kulazimisha kukubali Serekali ya Rais Samiha Uzuri wake Watakubali kama Walivomkubali Mzee Rukhsaa
Vijiji vipya vya wahamiaji vijengwe na serikali.kwani wananchi wanahama ili kuepuka athari za mradi wa bwawa la mwalim nyerere ambalo ni mradi wa kitaifa.kama walivyo jengewa wafugaji ngorongoro.
Naona dalili ya maji kuisha bwawa la mwalimu nyerere mda sio mrefu yatakwisha ilitakiwa yaingie na kurudi yakienda yameenda sijui ngoja tusubiri hii show
CCM ni balaa tuu, trillioni sita mlizotumia matokea ndio haya mnatuletea mafuriko na kutuharibia mazao na nyumba zetu, please wananchi msiwapigie kura hawa wehu, they must go
Kama hili lilikuwa linajulikana Kwa nini kusingekuwa na utaratibu WA kuwahamisha wananchi wasiishi kwenye maeneo hayo mkawatafutia maeneo salama kabda hizi shida hazijatokea?
Jambo ukiwa hujui uliza. Kilimo wakulima wanafata maji na unyevu wa mto ambapo kwao inakuwa rahisi umwagiliaji. Hivyo kipindi bwawa linajazwa maji kupata kina wananchi waliingia mtoni kulima mbele ya bwawa sababu kina cha maji kilikuwa chini. Hivyo bwawa limejaa kufikia kina wanachotaka kwa uzalishaji hivyo kwa maji yasiyohitajika lazima uyafungulie ku mntain kina chako na pia kulinda uhai wa kuta za bwawa.
Kungekuwa na maono ya kurufisha maji juu kufunga pump za maana ingekuwa bora lakini hayo maono hamnayo hii ni tatizo ktk mitazamo duniani wanafanya hivyo
Mna ruhusu maji badae mtakuja kutwambia bwawa la mwalimu nyerere maji machache kwahyo maji shida kwanini pasingekia na bwawa la kihfadhi hayo maji huwaga hamwishiwi sababu mwisho mmetia watu hasara ya chakua kunini mcnge ngoja watu wafune mazao yao mbele mge yagingulia
Hapa serekali name wakandarasi mmemka kwa nini msinge tengeneza miundombinu kuanza ya muelekeo wa maji kuelekea baharini jee mmeona hasara na uharibufu wa maakaz ya wananchi kule muhoro sasa faida imekua ndogo kuliko hasara nimeona nyumba yabati imefunikwa nyumba ambayo kwa haraka tathmini yake ni million 18 jee mwananchi yule atakua na uwezo wa kupata nyumba nyengine na nadhani haitokua ni moja.
Tunaambiwa tahadhari kabla ya hatari. Je, wananchi walitahadharishwa kabla kuhusu kutofanya shughuli za kiuchumi na makazi katika maeneo ya mkondo wa maji! Haya tayari ni maafa. Kinachofuata ni njaa, vifo vya wanyama na umasikini! Je nani atawafidia hasara kubwa hii?
Serikali hakili zimeganda wanajua kula rushwa tu yaan kwa dunia hii sasa ivi bado hamjui maji mtayapleka wapi au ndio sababu za kerejea tena na biashara zenu za majenereta Pumbavu
Huwa wanatoa tahadhari mapema tuu watu watoke huko mabondeni kwenye mkondo wa mtuu,si unajua binadamu kwa ubishi?Watu huwa wanalima sehemu ya mondo wa mto wakijua maji hayawezu kufika ndio shida.Ukipita kwenda kusini mwa nchi unaweza kuona na kuelewa
Poor planning ..Ingeweza kujengwa bwawa la kuyapokea ,kuyasafisha na kusambaza maji safi ya kunywa ...Ona sasa tunapoteza maji bila sababu...
Hiyo tiar walisha plan mzee serikali ya Magufuli ilikuwa inajua inachofanya ila bado hawajakamilisha huo mpango maana bado mradi haujakamilika 100%
Na hautakamilika mpk sie tuzeeke..😂
Ikikamilika yaan wakifungua yanarudi mto rufiji kuendelea na safari yake
Hiyo kuyatoa ni sahihi ili.mto udisife kule chini.Kikubwa mradi wa kuyachukuwa yawe ya Kunywa DAWASA WAWAHI SASA
@@abdallahkaskas6168😂😂😂
siku si nyingi mtatumbia umeme hamna ttzo maji
Yakiisha tena umeme hakuna Hii nchi 😢😢😢
Mradi wa maji DAWASA UWAHI.Natazama siku za usoni bwawa lisije likazidiwa iwe hatari na hasara.Mungu ainusuru TANZANIA
Ukiishi tanzania kazi sana kwetu mvua shida ukame shida.
Mghz plani ya awali ilikuwa 2015 siyo 400 tunayoambiwa leo.... we are exosted
Elimu yangu ya Sekondari iliniambia, moja ya faida za mabwawa ya Kuzalisha umeme ni kuzia Mafuriko, naona kwetu kila kitu ni laana. Kuna haja ya kufanya utafiti wa mafunzo wanayopewa Ma injinia wetu.
Dingi we elimu yako ya form four ndio shida. Kutapisha maji yakijaa kwenye bwawa ni la kawaida na maji yatapita kwenye mkondo wake uleule wa zamani.. inshu ya kutoa tahadhari pia haina shida ili watu wasije kushangaa haya maji yanatokea wapi.. pia yanaweza kuongeza kina na yakawa na nguvu zaidi so tahadhari ni kawaida. Wew wa form four ndio umeona ni majanga na laana. Tungewaachia nyie maamuzi ndio nchi ingekuwa gizani kabisa tungekuwa tunatumua sola
Kwa kweli ni kichekesho, inakasirisha na kuumiza. Tungepunguza siasa zisizo na tija tungefanikiwa.
Kwani nape alisema huo mradi UTAHARIBU MAZINGIRA NA ALISEMA HUO MRADI UHAHIRISHWE ,,,NA WATU WA MAZINGIRA WALIONYA KWAMBA HAUFAI , SASA NDO HAYO TUNAYAONA. ,,,TATIZO LA TANZANIA NI KUWADHARAU WATAALAMU WAKE,,,ANGALIA MITI ILIYOKATWA NI SAWA UKUBWA WA DAR ES SALAAM YOTE
Subuhana wataalah!!!
Kazi ipo kweli
limejaa kwanza maana mlisema bado au ndio????
Hii imekaaje sasa, umeme unakatika kila siku Dar es salaam, kwa hiyo maji yanafunguliwa bila kuzalisha umeme?😮
Wewe ni mjinga, sasa wasipofungulia maji si bwawa litafurika?
@@tomjerry1170Sasa mwerevu, Lengo si lilikuwa bwawa lijae ili lizalishe umeme? unapotiririsha maji bila kuzalisha umeme ambao ndi kusudio kuu, kwa kuogopa kufurika kwa bwawa si unaonekana wewe kuwa mjinga ambaye hakupanga mpangokazi unaoendana na malengo?
Serikari.hiii.mbovu sana
Ubovu wake nini
🤔
@@frankngoloka2589Si Unajuwa Kuna watu wanasababu zao kwa hivo huwezi kulazimisha kukubali Serekali ya Rais Samiha Uzuri wake Watakubali kama Walivomkubali Mzee Rukhsaa
Acha kutetea ama unakaa tuh mtaani bila kujishughulisha Nini ndo maana hujui mfumo.wa nje sasa hivi ukoje hasa kiuchumi@@frankngoloka2589
Serikali ya awamu hii Tanzania sio mbovu tu ni mbovu kwelikweli 😢😢😢
Walipeni wananchi fidia myatwae hayo maeneo yawe sehemu ya bwawa ni rahisi kulipa fidia ya eneo kuliko kulipa hasara ya kukosa maji kwenye bwawa
Vijiji vipya vya wahamiaji vijengwe na serikali.kwani wananchi wanahama ili kuepuka athari za mradi wa bwawa la mwalim nyerere ambalo ni mradi wa kitaifa.kama walivyo jengewa wafugaji ngorongoro.
Naona dalili ya maji kuisha bwawa la mwalimu nyerere mda sio mrefu yatakwisha ilitakiwa yaingie na kurudi yakienda yameenda sijui ngoja tusubiri hii show
Wewe huna mawazo unaambiwa maji yamejaa bwawani.Kwahiyo ulitaka maji yapite juu ya ukuta!?
@@ibrahimuliela5026 tupo hapa wazalendo kama nnyini ndo tunawapenda
@@ibrahimuliela5026ujaelewa soma alichondika tena
Mtetetzi wa serikali umesimama kidete
Hakuna case study waliyofanya.maji kma hayo Ina maana production wanazima
CCM ni balaa tuu, trillioni sita mlizotumia matokea ndio haya mnatuletea mafuriko na kutuharibia mazao na nyumba zetu, please wananchi msiwapigie kura hawa wehu, they must go
Walahi waaflika mazezeta Leo wanafungulia maji kesho umeme wamgao kisa majihakuna kilaz
Hii ndio Tanzania!
Haya nayo ni magazijuto ( ) / * + - = mbombo ngafu na loli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Washeni mashine zote 9, shusheni bei ya umeme.
Kama hili lilikuwa linajulikana Kwa nini kusingekuwa na utaratibu WA kuwahamisha wananchi wasiishi kwenye maeneo hayo mkawatafutia maeneo salama kabda hizi shida hazijatokea?
Jambo ukiwa hujui uliza. Kilimo wakulima wanafata maji na unyevu wa mto ambapo kwao inakuwa rahisi umwagiliaji. Hivyo kipindi bwawa linajazwa maji kupata kina wananchi waliingia mtoni kulima mbele ya bwawa sababu kina cha maji kilikuwa chini. Hivyo bwawa limejaa kufikia kina wanachotaka kwa uzalishaji hivyo kwa maji yasiyohitajika lazima uyafungulie ku mntain kina chako na pia kulinda uhai wa kuta za bwawa.
Kungekuwa na maono ya kurufisha maji juu kufunga pump za maana ingekuwa bora lakini hayo maono hamnayo hii ni tatizo ktk mitazamo duniani wanafanya hivyo
Hii ndio serikali yetu hamkulijuwa hili mapema au kutafut sababu tuu zakukata umeme hapo badye
Mbona bwawa la mtela umeme unazalishwa na maji hayaachiwi yaondoke yanapita yanarudi bwawani
Walisema mabwawa hayana maji sasa haya mafuriko yatatokea wapi?
nchi yangu wee
Yani visa haviishi kwenye hii nchi
Mna ruhusu maji badae mtakuja kutwambia bwawa la mwalimu nyerere maji machache kwahyo maji shida kwanini pasingekia na bwawa la kihfadhi hayo maji huwaga hamwishiwi sababu mwisho mmetia watu hasara ya chakua kunini mcnge ngoja watu wafune mazao yao mbele mge yagingulia
Duuu ndoo mawazo yak yalipoishia
@@dicsondavid4739 mpuzi ulitaka niwe na mawazo yako
Hapa serekali name wakandarasi mmemka kwa nini msinge tengeneza miundombinu kuanza ya muelekeo wa maji kuelekea baharini jee mmeona hasara na uharibufu wa maakaz ya wananchi kule muhoro sasa faida imekua ndogo kuliko hasara nimeona nyumba yabati imefunikwa nyumba ambayo kwa haraka tathmini yake ni million 18 jee mwananchi yule atakua na uwezo wa kupata nyumba nyengine na nadhani haitokua ni moja.
Tunaambiwa tahadhari kabla ya hatari. Je, wananchi walitahadharishwa kabla kuhusu kutofanya shughuli za kiuchumi na makazi katika maeneo ya mkondo wa maji! Haya tayari ni maafa. Kinachofuata ni njaa, vifo vya wanyama na umasikini! Je nani atawafidia hasara kubwa hii?
Tahadhari wakati tayari maji yameharibu mashamba? Je wataalamu wa serekali hawakuliona hilo mapema ?
Serikali hakili zimeganda wanajua kula rushwa tu yaan kwa dunia hii sasa ivi bado hamjui maji mtayapleka wapi au ndio sababu za kerejea tena na biashara zenu za majenereta Pumbavu
Mipango ya kimaskini haifiki mwisho.
Hata bwawa la nyumba ya MUNGU nalo huwa wanafungulia maji
Sijuwi tunaongozwa na majuha au wasomi huwa najiuliza
Kwahyo nahilo litasababisha kukata umeme?
Hii nchi kilakitu cha ovyo hamna faida ya wasomi nao wamekua zero stupid tz😢bora aje JP mwingine to
Wataalam hayo hawakujuwa? yatakayokitokeza ni AIBU.
NYINYI NI HOVYO SANA. MNAFUNGULIA MAJI MMEATHIRI MAZAO YETU. TUTAFIDIWA VIPI?
HAO WANANCHI WANAKWENDA WAPI????
Labda MAGU afufuke, mengune maigizo tu. Mara hatuna crane tuagize nje, zimekuja ila mageti hayalingani na milango, tunafanta majaribio, mikaraba mipya ya umene mbadala, tupeni musa zaidi, sasa maji yanafurika! Tukamuondoa Kalemani asali ilipokuwa chungu tukakimbia?
Nilichokuelewa kunenge dakika zote saba haujamtaja bi titi
Washaaenda mchomoo amaa ??au ndo bwawaa hadi mashamabani ili umeme usikatike maishaa
Umefanya nicheke wallah 🤣🤣🤣
😂😂😂
Hii taarifa inanipa wasiwasi mkubwa
Yaani baada kufungulia maji kutoka kwenye bwawa ndo mnatoa tahadhari kwa wananchi!!!
JE HAMKULIONA HILI MAPEMA??😮