SAYANSI INALETA DAWA YA KIFO NA MAROBOT WATAKAOTESA WANAADAMU-THE STORY BOOK

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 639

  • @juariaswabrina4549
    @juariaswabrina4549 4 ปีที่แล้ว +7

    Wallahi wanadamu tumrudie mungu hiii ni kufru Jamaa na matatizo yatatuandama coz Kila kukicha twamkasirisha Allah subhanaAllah

  • @ummyhasheem2245
    @ummyhasheem2245 4 ปีที่แล้ว +17

    Napenda kicheko chako 2 amazing 😘😍😍

  • @hassan0256
    @hassan0256 4 ปีที่แล้ว +61

    Jamal Kanyaga twende Mzee Tumechelewa Sana !
    Leta simulizi nyingi zenye Akili kama hizi

  • @NoelyKapuna
    @NoelyKapuna 2 หลายเดือนก่อน +2

    Good explaination bro✍️

  • @salmaabdallah9271
    @salmaabdallah9271 4 ปีที่แล้ว +9

    Mungu anawaangalia tu binadamu wanavyoangaika

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 4 ปีที่แล้ว +7

    Mungu, Isaidie dunia yako

  • @livingstonmanuel1724
    @livingstonmanuel1724 4 ปีที่แล้ว +14

    Thank you so much for sharing this information sir. God bless you and your work too.

  • @onesmojohnny3905
    @onesmojohnny3905 4 ปีที่แล้ว +49

    Jitihada za mwanaadamu hazishindi kudra ya mwenyezi Mungu 🏃🏃🏃

    • @reyuumakmen9073
      @reyuumakmen9073 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu ndio kila kitu hakuna anaeweza kumuingilia mungu

    • @ramazaunga7053
      @ramazaunga7053 4 ปีที่แล้ว

      That's true bro

    • @milkagidion9717
      @milkagidion9717 3 ปีที่แล้ว +1

      Wata shindana lakn hawatashindaa hakuna wa kumfikia Mungu

    • @jumamgemamatogolomatogolo1599
      @jumamgemamatogolomatogolo1599 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni hofu ya kupoteza kazi lakini kuhusu loboti anaweza kufanyiwa kama vile saivi kuna vitu vya kutambua kitu baina ya kitu

  • @jackgees6143
    @jackgees6143 4 ปีที่แล้ว +12

    jamal naomba jifunze kuandika vichwa vizuri katika story sikutegemea kama story hiii itakuw nzuri hiviii big up unaju hadi unakela mzeee

  • @fredyjohnwaifakaratanzania29
    @fredyjohnwaifakaratanzania29 4 ปีที่แล้ว +7

    Kuna muda naitafakali hii Dunia nakosajibu nasema tu Mwenyezi Mungu atusaidie..

  • @sadamuabdul6610
    @sadamuabdul6610 4 ปีที่แล้ว +125

    Anaemkubali Jamal April afanye hiviii 👍

  • @abdulidrisa1048
    @abdulidrisa1048 4 ปีที่แล้ว +27

    Jamar unakitu weye jamaa ndani yako mungu azidi kuongoza vyema inshallah....nazani kunakitu kingine unacho ila kinajionesha taratibu time will tell

    • @nashonpharessnashon1774
      @nashonpharessnashon1774 4 ปีที่แล้ว

      Huo ni utabili wa manabii wa zamani sema watu niwavivu kusoma biblia kitabu cha danieli yote yametabiliwa

    • @alfredjustinian9588
      @alfredjustinian9588 3 ปีที่แล้ว

      Ama kwelii

  • @djnattyrankz
    @djnattyrankz 4 ปีที่แล้ว +8

    so informed.i cant get enough of this good stuff... keep it up

  • @kulthummounir4522
    @kulthummounir4522 4 ปีที่แล้ว +9

    Allah alituumba kisha akatupa ufaham lkn wasomi mnakoelekea innaillah wainnalilah raj'iun

  • @renathamartin6272
    @renathamartin6272 4 ปีที่แล้ว +11

    Jamal is a great researcher

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 4 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubarisana Jamali👍👍🔥🔥

  • @ZumratIsmail
    @ZumratIsmail 11 หลายเดือนก่อน +1

    Una weza kaka 🎉 congratulations 🎉

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 ปีที่แล้ว +2

    9:50 apo ndo naamin kwann like kimondo kinaweza kuja kuzkma dunia iyo 2065mana Mambo haya ya kusema mtu asife sjui nn ikija like jiwe Amna aanebakia na ad Mungu atake na anawza kusema kua ikawa ata kesho doh Mungu atupe mwisho mwema🤦🤲🤲🤲🤲

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 4 ปีที่แล้ว +110

    Nani kaimiss story book na
    Kafurahishwa na simulizi yaleo???😍😍😍💥

  • @MenTPL
    @MenTPL 4 ปีที่แล้ว +10

    Mungu ni mkuu, hata wafanyeje,sayansi haiwezi kushindana na Mungu

    • @oscarsimon3666
      @oscarsimon3666 ปีที่แล้ว

      Wanasayansi hawashindani na Mungu uwezo wote wa kisayansi unatokana kwake Mungu

  • @lugumasimon8679
    @lugumasimon8679 4 ปีที่แล้ว +69

    M like nazionaga kwa wenzangu tu

    • @omaryabdallah9592
      @omaryabdallah9592 4 ปีที่แล้ว +1

      msijidanganye siku ya kiayama hata computer haitafanya kazi

    • @cideboy7836
      @cideboy7836 4 ปีที่แล้ว

      @@omaryabdallah9592 kweli kabisa

    • @nibiziasiya-gh3qd
      @nibiziasiya-gh3qd 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa kila kitu kita simama hakinafanya kazi hadi mimba zitaporomoka kwa khofu ya kiyama

  • @sumathedony8245
    @sumathedony8245 4 ปีที่แล้ว +156

    Toka nizaliwe sijawah kuwa wa kwanza ila leo nimekuwa✔✔

  • @masculinity101
    @masculinity101 4 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo ni kwamba hivi vitu lazima vitokee tu tupende tusipende, kwa hiyo chamsingi haitakiwi mtueleze kama vile mnatutisha, hivyo basi kitu kibwa ni kumuomba mungu atusaidie tuwe na uwezo wa kukabiliana na haya mabadiliko ya sayansi na teknolojia ambayo mengi ni chanya kwa sababu hizi akili zote ni mungu ndiye anaye tujaalia. Asanteni!!

  • @isackphinis5040
    @isackphinis5040 4 ปีที่แล้ว +10

    Mungu sio mwanadamu atawaonesha yeye ndio aliye waumba

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 9 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisaa

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 4 ปีที่แล้ว +6

    Haya Mambo ni kweli kabisa Ila nchi nyingi za Africa hatuna uwezo wa kumiliki hivi v2 kwaiyo ni matumani yangu tutadumu tu.

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 4 ปีที่แล้ว +9

    yaaah uko vzr sana mm ni mtu wa mungu lakini hiii umejua kuipatia sanaaaaa.

  • @kiddaboytz7010
    @kiddaboytz7010 4 ปีที่แล้ว +64

    Naombeni like JAMANI🙏

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 4 ปีที่แล้ว +39

    Ya Allah tunaitaji msada wako

  • @emanuelrichard3902
    @emanuelrichard3902 4 ปีที่แล้ว +1

    Naikubali sana the story book.Jamal piga kazi unajua sn

  • @ibrahimalex5162
    @ibrahimalex5162 4 ปีที่แล้ว +5

    Shukran xan brother 🙏🙏🙏🙏

  • @jumamhando1774
    @jumamhando1774 4 ปีที่แล้ว +9

    Daaaaaaah what a story!! Dunia inaenda kasi sana aisee

  • @abduljuma2428
    @abduljuma2428 4 ปีที่แล้ว +8

    mhhh jamari we noma sana aya mambo sijui unayapata vp🙌🙌🙌

  • @resgoldphilays1800
    @resgoldphilays1800 4 ปีที่แล้ว +23

    Biblia inasema kuwa "wakati wa mwisho maharifa yataongezeka"

  • @Vanisikaka
    @Vanisikaka 4 ปีที่แล้ว +21

    Netflix kuna Series inaitwa BETTER THAN US imemaliza kila kitu unachoadisia👍👍

    • @abassking8296
      @abassking8296 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwani Kuna kitu kipya duniani vitu vinafikirika mpk 2100 wafanye nn km watafika vile kila mtu afanye anavyojisikia ww umetizama movie wengine hatujaitizama na wengine vijijini sidhani km movies km hizo wanaweza kupotexa muda kutizama

    • @henrymkay3169
      @henrymkay3169 4 ปีที่แล้ว

      Hataree

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka 4 ปีที่แล้ว +3

      @@abassking8296 Acha kubwatuka ndugu...nimechangia kwa kusema Pia kuna movie imeongelea kama yeye alivyongea...so tatizo lipo wapi .....soma kitu ulewe fala wewe.....

    • @swalehbakari2667
      @swalehbakari2667 4 ปีที่แล้ว

      Van isikaka nitaitafuta

    • @alvinsafi2733
      @alvinsafi2733 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Vanisikaka Tatizo si yeye ni akili yake ya uvivu kufikiria. . Netflix kuna movie kama hizo nyingi tu...kama huko mbali basi hapa TH-cam kuna hio movie aangalie. .ajifunze na ajue anaishi ktk dunia gani....U bongo
      Ulioganda hauwezi kuchambua na kudadisi mambo...😉😉

  • @gracedismas1108
    @gracedismas1108 4 ปีที่แล้ว +17

    Nzuri sana ila naombeni jamni msichelewe kutuletea story mpya

  • @neziaosena6381
    @neziaosena6381 3 ปีที่แล้ว +2

    Hekima ya mwanadamu kwa Mungu ni upumbavu,

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 ปีที่แล้ว +105

    Wangapi Tunafarijika na kupata Elimu Kwa Kusikiliza The Story book kupitia Wasafi...
    Bora nipoteze mb zangu kusikiliza the Story book... Nigain something...

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu ni wa juu zaidi

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 9 หลายเดือนก่อน

      Hawa firimasoni Mungu ata wakomesha wotee

  • @anibal_boo
    @anibal_boo 4 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri 💪💪💪💪🌍

  • @melkizedeckkiputa165
    @melkizedeckkiputa165 4 ปีที่แล้ว +7

    Unajua sana mwanangu keep it up

  • @peterchars842
    @peterchars842 4 ปีที่แล้ว +5

    Am really love wasafi tv

  • @glorymaagi7204
    @glorymaagi7204 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kaka endelea kutupa mambo

  • @wambuakyalo3945
    @wambuakyalo3945 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ambariki kazi yako

  • @jimmymasai8701
    @jimmymasai8701 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabisha sana hili manake Mungu Ni Mungu Tu hata aje nani

  • @MdEmon-yn4cw
    @MdEmon-yn4cw 4 ปีที่แล้ว +86

    hii duniani ina mmiliki wake Allah yeye ndio mwendeshaji wa kila kitu corona tu ime washinda mje weza endesha duniaa

    • @mahsneermohammed2107
      @mahsneermohammed2107 4 ปีที่แล้ว +1

      Wamepotea mpaka ukweli hawajui wafuasi wa shetani

    • @MdEmon-yn4cw
      @MdEmon-yn4cw 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mahsneermohammed2107 wapambane na adhabu ndogo ya corona na ya akheraa ya wangoja

    • @Majambo_Duniani_Tv
      @Majambo_Duniani_Tv 4 ปีที่แล้ว +6

      @@MdEmon-yn4cw usimlaumu mtu kisa ana akili. Kuwa na akili sio dhambi, amini kwamba kuna watu wana akili ndefu, akili ndefu sana, na watu hao wameumbwa na Mungu huyo huyo unaemwamini, usihukumu, ye akifa kwa corona we ukafa kwa malaria wote mmekufa tu. USIHUKUMU

    • @MdEmon-yn4cw
      @MdEmon-yn4cw 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Majambo_Duniani_Tv kwa akili zao waweza endesha hii dunia pasina kumuhitajia aliye iumba ?????

    • @allyalbaruany7520
      @allyalbaruany7520 4 ปีที่แล้ว +2

      Wallah hiiii ni point nzur na ndo maana corona inawaadhibu wanamkufuru mungu

  • @Seulvrai
    @Seulvrai 8 หลายเดือนก่อน

    I admire your work, you're a great man!!!

  • @kalistomkorongwe5148
    @kalistomkorongwe5148 4 ปีที่แล้ว +8

    Big up professor jamal

  • @jumannemc.8409
    @jumannemc.8409 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii story book ni vision kabisa on how humanity will try to fight against technology on the coming years

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 4 ปีที่แล้ว +6

    Binadamu ni zaidi ya hayo yoote,so bado yataharibika tutakuja kuyatengeneza Tu,mungu ndio kinara wa yoote

  • @hbrtv3345
    @hbrtv3345 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusaidie

  • @manyamamlaji4713
    @manyamamlaji4713 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni sawa kabisa lakini hakuna machine inayofanya kazi asilimia 💯

    • @danielkaizer7296
      @danielkaizer7296 2 ปีที่แล้ว

      Kwn wew unaweza fny kazi asilimia💯

  • @mbwigandati6198
    @mbwigandati6198 4 ปีที่แล้ว +2

    Nime kuelewa sana kaka naomba tuletee stor kama hiyo yakisayas nazikubaligi sana hongera

  • @hamzamohamedKeslivol
    @hamzamohamedKeslivol 4 ปีที่แล้ว +1

    Waandishi wa habari kuweni na maadili katika kutoa story zenu ....

  • @josephpaschalymanyassa
    @josephpaschalymanyassa ปีที่แล้ว +1

    mungu yupo

  • @haikajohn7580
    @haikajohn7580 3 ปีที่แล้ว +3

    Baaasi!!! Ndivyo mwanadamu anavyojiangamiza mwenyewe! Maandiko yalisema tangu mwanzo ubarikiwe jamali endelea kutupa ufunuo

  • @mandela5ramadhani35
    @mandela5ramadhani35 3 ปีที่แล้ว +1

    Good job hakika unatufumbua machoo

  • @allykazembe3601
    @allykazembe3601 4 ปีที่แล้ว +4

    Jamal April unique story teller

  • @abdoulkarimmabulu1416
    @abdoulkarimmabulu1416 2 ปีที่แล้ว +3

    Keep up good work Jamal

  • @danielmlaponi9235
    @danielmlaponi9235 4 ปีที่แล้ว +5

    Bro congrats kupata izi detail zote co kaz ya kitoto keep making wonders

  • @joashlusije6550
    @joashlusije6550 2 ปีที่แล้ว +1

    Bro ni Joash form Kenya napenda sana the story book juu maneno makuu

  • @husnaringia1693
    @husnaringia1693 4 ปีที่แล้ว +4

    Dunia ipo Kasi Sanaa😍

  • @lifeboymaladear2397
    @lifeboymaladear2397 4 ปีที่แล้ว +2

    Technology is very imporntant to us and its disadvantages ni nyingi bila maelezo

  • @herikaniugu
    @herikaniugu 4 ปีที่แล้ว +8

    Katika Story Book zote, sasa ivi ndo unaanza kuja na story nzuri. Science ndio kila kitu. Do more about Digital Immortality, Mind Transfer, Technological Singurality, Nanobots, Bioprinting, and other related stuffs

    • @ajuliekay
      @ajuliekay 2 ปีที่แล้ว

      Point of correction, science iko bado kutunukiwa sifa kwamba ndio kila kitu. Think about it b4 you say so.

    • @herikaniugu
      @herikaniugu 2 ปีที่แล้ว

      @@ajuliekay mambo ya Mungu inabaki kuwa theory tu. Mungu angekuwepo watu wasingeumwa, kuteseka na kufa. Otherwise kama yupo basi God anakuwa ni useless. Cuz tunajiongoza wenyewe, na science ndio inatusaidia hadi now apa tunachat, tukiumwa tunatibiwa. Mungu angekuwepo kusingekuwa na mahospital, hakuna aliyewah vunjika mguu akasal ukajiunga

  • @baterams1828
    @baterams1828 4 ปีที่แล้ว +2

    unachosem Nikweli bro siku izo robot zitaanza kuwa nawivu Binadamu wote tutaona bala! Ila naamini Mungu yupo!

  • @farhiyasultan5915
    @farhiyasultan5915 4 ปีที่แล้ว +1

    mungu atawatosha

  • @victoroginozachary4394
    @victoroginozachary4394 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for informing us

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda hiyo smart first leteni tu mapema kwa sisi wenye kuwazia maisha magumu tusife haraka

  • @OliverShaka-pl9hh
    @OliverShaka-pl9hh 9 หลายเดือนก่อน

    God will never go off our side tulikotoka ṉḏiko kubaya

  • @startimesmussa4490
    @startimesmussa4490 4 ปีที่แล้ว +1

    Du Mungu atusaidie jamani dunia itakuwa ya maroboti

  • @orght1058
    @orght1058 4 ปีที่แล้ว +2

    I now but the fly taxi or whatever you called, it will be making a lot of noise even you won't able to sleep pretty. I'm not sure about that but unfortunately, I've seen one. So crazy!😁😁

  • @MuniraHamis-f4t
    @MuniraHamis-f4t ปีที่แล้ว +1

    Umeomba like sana ,achaa nikupe

  • @ameirameir4930
    @ameirameir4930 4 ปีที่แล้ว +3

    tukumbuke kamwe Allah hawez kushindwa na binaadam sofia ni zao la binaadamu lakini binaadam ni zao la Mungu mwenyewe haitaingia akilini kamwe uumbaji wa hyo mnaemuita mwanasayansi awe bora kupitia sofia wakat yeye mwenyewe ameumbwa na Allah....haiwezekani na wala haitakua

  • @shamsaharuna4078
    @shamsaharuna4078 4 ปีที่แล้ว

    Bro upo vizur sana unajua kutafiti na unasauti nzuri na nakukubali sana na usikate tamaa si unajua wachawi wengi na wanafki kama wote basi achana nao hao wanafki tu mbwa wao ingeza juhud broo upo vzr san

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 4 ปีที่แล้ว

    Watu wanahangaika sana, watafanikiwa, lkn kaa ukijua yakwamba Bwana Mungu wa wote wenye mwili, Yesu Kristo anawaangalia tu!

  • @amaddee520
    @amaddee520 4 ปีที่แล้ว +2

    Wazuie na vifo,wakiweza nawapa mguu wangu 1

  • @boschpraise5594
    @boschpraise5594 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwanzia 10:08 hadi 11:00.
    Kuna movie kwa Jina la Bloodshoot.
    Yani uko exactly jama alivyosema.

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 4 ปีที่แล้ว +2

    Werevu wetu binadamu utatumaliza aki, what a story thanks guys

  • @stevedaudi7643
    @stevedaudi7643 4 ปีที่แล้ว +4

    Nakubaliii mzee wanguuu

  • @theuriwamuigai4287
    @theuriwamuigai4287 2 ปีที่แล้ว

    Watching from new city nakuru kenya

  • @dickieboy7907
    @dickieboy7907 4 ปีที่แล้ว +83

    NATAMANI NIISIKIE STORY YA JELA YA GWANTANAMO BROTHER 😂😂😂

  • @MutikiAlex
    @MutikiAlex ปีที่แล้ว

    Génial 🎉🎉🎉

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 4 ปีที่แล้ว +5

    Kila mtu ashikile kili alicho nacho imani yako itakuponya mwanadam atajiangamiza mwenywe kwa kukisa mahalifa

  • @jaymandy1914
    @jaymandy1914 3 ปีที่แล้ว +1

    Shetani kishaiteka hii Dunia period!

  • @laafifismail7018
    @laafifismail7018 3 ปีที่แล้ว +1

    Gud story book

  • @BOSSTv95
    @BOSSTv95 4 ปีที่แล้ว +3

    Uko vizuri sana bro

  • @danielkalinga4032
    @danielkalinga4032 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamal the professor big up

  • @missenna_tz
    @missenna_tz 4 ปีที่แล้ว +8

    Nili miss Sana story book

    • @andersonmbiaji4238
      @andersonmbiaji4238 4 ปีที่แล้ว

      Jamaaa unajua kinoma nakwelewa sana jamali ila hii story yako angesoma MTIGA ABDARAH ingekua tamu zaidi dah! Mrudishen wasafi huyo jamaa

  • @EzekiaSanga-d7o
    @EzekiaSanga-d7o 4 หลายเดือนก่อน

    They have to know that our GOD is bigger than what they think..

  • @azariamwansile6825
    @azariamwansile6825 4 ปีที่แล้ว +4

    your dairly imroving broo see u at the top

  • @yvonneamekakaombeniwimbomu8312
    @yvonneamekakaombeniwimbomu8312 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu hawezi itika lazima aingiriye kati .

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 4 ปีที่แล้ว +2

    Iko siku mwanadamu atajuta kuzaliwa hapa duniani!!

  • @ameirameir4930
    @ameirameir4930 4 ปีที่แล้ว

    Allah anasema na kujinasibu ''kwa hakika tumemuumba mwanadam ktk umbo lililobora zaidi....

  • @fadhilamathias9748
    @fadhilamathias9748 4 ปีที่แล้ว +8

    Plan zote hzo lkn wameshndwa kuzuia corona isiuwe watu! Ndo wajue kuwa kunaMungu naatabaki kuwa Mungu hawawezi kushndana naye

    • @NancyMwaibula7634
      @NancyMwaibula7634 4 ปีที่แล้ว

      Na wanajifananisha na Mungu kutengeneza miroboti yao hiyo wanajifanya Mungu

  • @barakahmichael5879
    @barakahmichael5879 4 ปีที่แล้ว

    Nice napenda kazi yako

  • @simonpadon6458
    @simonpadon6458 4 ปีที่แล้ว +19

    Heee! Hayo marol yasije bongo maana watu watagongwa had

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 3 ปีที่แล้ว

    "(Mwenyezi Mungu) Amemuumba mtu kwa tone la manii.Tahamaki amekua mshindani (mgomvi) dhahiri." Quran 16:4
    Mwanadamu kapindukia mipaka ya kiburi,sasa anapimana ubavu na Muumbaji wake.
    "Hakika mtu huwa jeuri.Akiona mambo yake kayaweza (katajirika)." Quran 96:6-7.
    Huyo ndio mwanadamu.Katokana na maji dhalili ( manii) tu,sasa anafanya fujo za hatari za kumkufuru Muumbaji wake.

  • @barakamohammed8628
    @barakamohammed8628 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki

  • @mrishomasenga7118
    @mrishomasenga7118 4 ปีที่แล้ว

    Tubuludiketu kwa stoli nzuri nasauti yenyekuvutia lakini mambohayo hayata wezekana

  • @apolinaryalfred9577
    @apolinaryalfred9577 4 ปีที่แล้ว +9

    Ulicherewa sana brother tume isubil sana

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Kwake brother jamal