Nimemsikiliza huyu Sana hakuna anachohubili anachofanya NI kuwadanganya watu Kwa kivuli cha injili tena kuna majilani zangu wawili walienda huko wachoambiwa kumwona watoe elfu 20 walitoa na hawakuluhusiwa kumwona mpaka wanaondoka na hiyo pesa hawakuludishiwa nawaomba wa tz kuweni makini na watapeli wa injili jifunzeni kusoma bibilia na kuomba wenyewe mathayo 7:7. Mungu anawaalika watu wote waombe mungu hamilikiwi na MTU manabii wa Leo hutumia ujinga wa watu kutojua maandiko kuwadanganya na kuwaibia amkeni swala la kuomba NI la kila MTU alieamini na kutubu dhambi mungu Hana upendeleo
Hivi sisi waumini wa kila madhehebu yote hamjasoma biblia agano la kuwa kutatokea Manabii wa uongo magonjwa yasiyotibika kama ukimwi corona kansa ebola nk wengi wao wanashiriki hasa nguvu za kishirikina za chuma ulete na wajinga ndiyo waliwao hasa sisi wanawake
Muuni tu uyo na hizi ndio siku za mwisho wanakuja manabii wa uwongo watanzania jiangalieni.sana na watu kama.hawa mtafuteni mungu kw bidii na kulijua neno na mungu bibria
Mimi Namshukuru mungu kwa matendo makuu anayoyatenda ndani ya madhabahu ya Mungu wa nabii kiboko WA wachawi ninafuatilia masomo yake ninajifunza mengi Mungu akubariki sana Nabii
Nabii endelea baba wewe ni mteule wa mungu.hayo maneno ya binadamu yasikuvunje nguvu, hata Yesu alidhihakiwa na kutukanwa lakini hakuacha kundoo wapotee bila mchungaji. Sisi tunaohudhuria kwenye ibada zako ndio tunaoujua ukweli wa mambo sio kwa kuhadithiwa bali kwa kushuhudia kwa macho yetu mawili mungu akulinde baba.
Sawa kabisa. Chapa Injili mtumishi wa Mungu. Watu na wakristo 😂wanaomjua Mungu kwa kutumia Biblia, hawezi kumtukana mchungaji mwenzao yeyote yule kihivyo. Aibu kubwa Lazima awe na woga. Yesu aliwaambia wanafunzi wake, hao wanaomhubiri Yesu wako pamoja na sie. Falme iliyogawanyika haiwezi kusimama. Huwezi mnyanyua Yesu huku unatumikia shetani na bado ukasimama. AIBU KUBWA SANA KUONA SIE WAUMINI TUNAONA WACHUNGAJI WETU, WANAODAI WAMJUA YESU, HATA HILO AGIZO RAHISI HIVYO LA MUNGU WANASHINDWA KULIHESHIMU😢 . KAWADANGANYENI BASI WATU NA NYIE MUONE MOTO NA MASHIMO ya Mungu yakiwameza wazima wazima.
Bwana YESU apewe sifa, naomba maombi Yako, Nina sumbuliwa na Sukari,macho kutoona vizuri,miguu kuwa na vidonda na kikohozi kisichopona HIVYO naomba maombi Yako sana naitwa Maina
Hivi hao matomaso hawaoni ambulance za serikali zinavyoleta wagonjwa madhabauni na mipira ya gas na wanainuka? Hebu fika ujionee na huyo aliekwambia anetoa 20 na hajamuona yy alikuja kupatamuujiza tuu. Lakini imani hakuwa nayo. Maana watu wanakanyaga tu kwenye ardhi ya kanisa na anapona.
Wewe ni tapeli kunajirani yangu aliambiwa atoe laki moja kukuona baada ya hapo akanza kutolewa maneno machafu na pesa mumechukuwa na kumwabia uliitwa ata ukishitaki mungu awezi kuwabariki kwa utaperi
Hakuna mtu aliekuwa mbishi kuamini kama mimi 😮lakini miujiza niliyotendewa na madhabahu ya kiboko siwezi sahau maishani mwangu na si mimi hata niliowapeleka nao wanamshangao so mimi sijali watu wanasema nini ninachoshukuru ni kuwa mungu wa Dominic ametenda.
Kwel unaomba lakin sasa pesa unaitisha kubwa sana jamani laki 5 maombi ya mmoja mmoja kama huna laki 2unusu hapo nmetoka mkoan sijala sijalal huruma hakunaa kabsaa leo nmeondok nmeskitika kukalia kit wa laki 3 🥱🥱sisi wa elfu 10 tununue utumbo tule tukalale
Domi baba yangu usiwasikilize watu fanya ulicho jaariwa na mungu nakuamini aslimia mia na ukuisomatu ujumbe huu nami nitapona kwa imani ubarikiwe niombee naitwa esta andrea
Nashukulu.sana kwa unabii yako vile naona kwako nimetamani miaka mingi tafathali baba na kuheshimu na ninaamini ukitamka neno kwangu unabii wangu utapata nguvu na nifanikiwe mimi niko kenya peter
Sharoom naitwa zuhura naomba umsaidie mama yng anaitaji kuuza nyumba yake hapo Kwa azizi ally mana tumepiga sana simu Yako aipokelewi mana mama yng anasikiliza sana kuhusu miujiza yako
Jamani hichi kizazi Cha nne ktk huduma.kizazi Cha kwanza Cha Dr.Moses kolola na Emmanuel Lazaro kizazi Cha pili Cha akina Mwingira ,kakobe na Lusekelo Mzee wa upako,na dastan maboya.hichi kizazi Cha tatu na Cha nne wakina mwamposa,kuhani mussa n.k huna haja ya kuhukumu acha wafanyekazi ya Mungu.Mungu ndie anaehukumu .
huyu mtu aliniambia mwaka jana kabla mwaka aujaisha nitatolewa kafara na ndugu zangu ,lkn mpaka saiv nadunda 😂😂😂uyu mwongo ,mwenye masikio na asikie 😢😢
Hatuko hapa kuhukumu watumishi wa Mungu kwasababu sisi sio tuliowapa mafuta wala sio tuliowaita.lakini hapa mhh changa la macho jina La Yesu linatumika vibaya na kusababisha mwili wa Kristo kutukanwa...vile vimawe anavyotoa watu kwa kigezo cha kupiga hela noooooooooo kwa kweli Mungu uturehemu
KWA HIYO UMEAMUWA KUSAIDIA SERIKALI KUJENGA BARABARA ILI WASIKUCHUKULIE HATUWA😂😂😂😂 DINI UMEIGEUZA BIASHARA UNAJIITA KIBOKO WA WACHAWI ACHA TUKUZOOM NYUMA YA PAZIA....
Mtumishi wamungu hutasikia akisema vibaya Kwa watumishi wengine hongera mtumishi
😂
Punguza mihemuko
Nimemsikiliza huyu Sana hakuna anachohubili anachofanya NI kuwadanganya watu Kwa kivuli cha injili tena kuna majilani zangu wawili walienda huko wachoambiwa kumwona watoe elfu 20 walitoa na hawakuluhusiwa kumwona mpaka wanaondoka na hiyo pesa hawakuludishiwa nawaomba wa tz kuweni makini na watapeli wa injili jifunzeni kusoma bibilia na kuomba wenyewe mathayo 7:7. Mungu anawaalika watu wote waombe mungu hamilikiwi na MTU manabii wa Leo hutumia ujinga wa watu kutojua maandiko kuwadanganya na kuwaibia amkeni swala la kuomba NI la kila MTU alieamini na kutubu dhambi mungu Hana upendeleo
Hivi sisi waumini wa kila madhehebu yote hamjasoma biblia agano la kuwa kutatokea Manabii wa uongo magonjwa yasiyotibika kama ukimwi corona kansa ebola nk wengi wao wanashiriki hasa nguvu za kishirikina za chuma ulete na wajinga ndiyo waliwao hasa sisi wanawake
Asante kwa ushauri. Mimi huwa ninapenda mtu anayesema kweli
Mwizi tu
Mimi nilienda nikatoa 80k na sikuonana nae ,nilipewa mungine kabisaaa akunitabiria chochote
Kuna dini kuna waganga wa kienyeji sasa hivi Manabii wengi wako kama Wanageria wanskomba sadaka za wajinga nfiyo waliwao
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Mungu alisaidie kanisa la Leo liwe na macho ya ROHONI
Mtumishi kiboko ya wachawi hongera Sana kwa kazi unayoifanya ya kuwasaidia watu
Muuni tu uyo na hizi ndio siku za mwisho wanakuja manabii wa uwongo watanzania jiangalieni.sana na watu kama.hawa mtafuteni mungu kw bidii na kulijua neno na mungu bibria
Mimi Namshukuru mungu kwa matendo makuu anayoyatenda ndani ya madhabahu ya Mungu wa nabii kiboko WA wachawi ninafuatilia masomo yake ninajifunza mengi Mungu akubariki sana Nabii
Roho ya upotofu inakunyemelea mwombe mungu akuokoe na hiyo kuamini manabii wa uongo
Asante kwa kutufuatilia @mzalendomediatz
Hamna kitu hapo Mwenyezi Mungu awasaidie sana
Gloire gloire gloire gloire à l'éternel lui-même vraiment
Amina baba naomba uniombee nipate kazi pia baba angu nae apone mguu
Mm Mkonga selemani naomb msaanda wa biashar yangu na kunisaindia kuusu mambo yangu ya kuenda ulaya tatu naomb Moto nipo Malawi lilongwe
Amina baba mtumishi please naomba uniombee nateseka sana baba
Mungu akubariki nabii watu wengi wanapona kabisa
Mtumishi wa mungu endelea kuifanya kazi ya mungu kwa moyo mungu azidi kukutia nguvu ,na mungu azidi kutufungua kupitia wewe
❤ good
Amina niombee namim nateseka
Mungu anatutizama kwa jicho la tofauti na la kibinadam soo acheni kuhukumu...
Nabii endelea baba wewe ni mteule wa mungu.hayo maneno ya binadamu yasikuvunje nguvu, hata Yesu alidhihakiwa na kutukanwa lakini hakuacha kundoo wapotee bila mchungaji. Sisi tunaohudhuria kwenye ibada zako ndio tunaoujua ukweli wa mambo sio kwa kuhadithiwa bali kwa kushuhudia kwa macho yetu mawili mungu akulinde baba.
Mtumishi apige kazi, Mungu ndie aliemuita, hao wanapinga waendelee TU, Si tunasonga mbele hatuyumbishwi
Sawa kabisa. Chapa Injili mtumishi wa Mungu. Watu na wakristo 😂wanaomjua Mungu kwa kutumia Biblia, hawezi kumtukana mchungaji mwenzao yeyote yule kihivyo. Aibu kubwa Lazima awe na woga. Yesu aliwaambia wanafunzi wake, hao wanaomhubiri Yesu wako pamoja na sie.
Falme iliyogawanyika haiwezi kusimama. Huwezi mnyanyua Yesu huku unatumikia shetani na bado ukasimama.
AIBU KUBWA SANA KUONA SIE WAUMINI TUNAONA WACHUNGAJI WETU, WANAODAI WAMJUA YESU, HATA HILO AGIZO RAHISI HIVYO LA MUNGU WANASHINDWA KULIHESHIMU😢 .
KAWADANGANYENI BASI WATU NA NYIE MUONE MOTO NA MASHIMO ya Mungu yakiwameza wazima wazima.
namshukuru mungu kwa wema anaonitendea kila siku
Amina baba tusaidie
Amina Baba zidi kubarikiwa 🙏🙏
Bwana Yesu akulinde Mtumishi
safi.sana
Baba nakupenda sana nisaidie mume wangu anaumwa sana pressure na figo
Yan tz tumepatkana jmn mmh ,mungu kama aishivyo ipo sku
Naomba uniombee baba nipate kazi ya kudumu
Mungu anakuona
Amina baba naomba uniombee
Hongera. Sana baba
hongera sana
Kumbe kuwa na kanisa ni kupata hamasa ktk makanisa mengine sikujua ila Mungu tunasihi huruma zako na rehema zako ndani ya Kanisa na Taifa letu Amen...
Bwana YESU apewe sifa, naomba maombi Yako, Nina sumbuliwa na Sukari,macho kutoona vizuri,miguu kuwa na vidonda na kikohozi kisichopona HIVYO naomba maombi Yako sana naitwa Maina
Kajiombee,hili ni tapeli
hongela sana baba mchungaji
safi
Hivi hao matomaso hawaoni ambulance za serikali zinavyoleta wagonjwa madhabauni na mipira ya gas na wanainuka? Hebu fika ujionee na huyo aliekwambia anetoa 20 na hajamuona yy alikuja kupatamuujiza tuu. Lakini imani hakuwa nayo. Maana watu wanakanyaga tu kwenye ardhi ya kanisa na anapona.
Acheni ushamba
Polen sana
Wenye matatizo ya akili mpo wengi, we taaahira kweli ambulance ipeleke mtu kansan
TUNAOSOMA HUKU TUMEWEKA POZI ILI MB ZISIENDE TUJUANE.
Mungu akubariki baba Dominic nabii kiboko ya wachawi unaweza baba na utaweza zaidi ya hapo long life father ❤
Bwana Yesu asifiwe sir
Mashaka ni pale mtumishi wa mungu anapoleta bili kwa ajili ya maombi ndipo inakuwa biashara,
Naomba ndoa yangu ipone in Jesus name amen
IyO ishapga mweleka
Mtumishi mbona ameweka nywele kisholobalo
Anaemsema Nabii Inawezekana ni Upande wapili kwahiyo ,binadamu tusiogope Mungu nimwema Sana,Hata YESU aliitwa mchawi
mimi naomba kupona mkono na mguu mungu akutie nguvu
Naomba niombee nateseka na magonjwa namtoto wangu Toka azaliwe Hana ufahamu mzuri kifafa v
Amina
Mimi ombi langu baba niweze kushinda kesi mahakamani naomba maombi yako baba 🙏🙏🙏🙏
Muombe mungu wako ww
Naomba niombee uchumi watoto na furaha yangu
Baba tuko pamoja naomba niombee uchumi wangu hauko sawa mimi na mume wang.yunis pallangyo
Naomba mungu anipe kazi,mume sahihi na amponye Mama yangu
Wewe ni tapeli kunajirani yangu aliambiwa atoe laki moja kukuona baada ya hapo akanza kutolewa maneno machafu na pesa mumechukuwa na kumwabia uliitwa ata ukishitaki mungu awezi kuwabariki kwa utaperi
Kumbe Ndio Wewe Mchungaji Maana dah Sipatagi Usingizi bila kusikiliza kipindi Chako 🙏🙏Hila Siwezi Mukumu Mtu kwa Muonekano
Iman haba
Nabii nakubali wewe naomba uniombee Sana by josephu arusha
Huyu Hapana Mungu anisamehe.Kwanza kujichubua ni kosa kubwa sana.Kweli watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa imani
Ni mkongo kwaiyo iyo ni kawaida acha kujaji
Amen Baba
Huyu kijana ni tapeli hamjui Mungu yeye ni mpinga Kristo
Amina baba natamani uniombee
😂😂😂
Mungu akupe ushindi roho wamungu akufunike akusimamishiye bendela yawushindi 🥰💯🙏🙏🙏
Kazi unaiweza, hongera sana
Kiboko ya wachawi ubarikiwe😅😅
Bwana yes asifiwe mtumish nahitaji nipate kazi ,nyumba .gari nakufunguliwa kiuchumi
Tz kwishaaaa
Amina baba
Nakurespect baba
Amina baba uniombee ninashida baba ninamaisha magumu sana Kila ninachokifanya hakifanikiwi
Pole, nakusihi endelea kutufuatilia Mzalendo Tv
Ubariwe
👏👏
Hakuna mtu aliekuwa mbishi kuamini kama mimi 😮lakini miujiza niliyotendewa na madhabahu ya kiboko siwezi sahau maishani mwangu na si mimi hata niliowapeleka nao wanamshangao so mimi sijali watu wanasema nini ninachoshukuru ni kuwa mungu wa Dominic ametenda.
Yani napenda sana mm bando langu lote ni Kwa kiboko ya wachawi napenda sana mahubiri yake na Hana kinyongo na mtu
Someni biblia achen uvivu
Kweli Mungu wa Dominic amefanya 😂😂😂😂
😂😢😅
Hakuna mtumishi humu huyu mpiga lamri mmoja anaesema hahubiri watu waende mbinguni hata chambe ya kimungu hana
Umeniona jamani Baba na hiyo roho ya chuma ulete nisaidie nakata roho ya chuma ulete
Yesu wangu huyu nilimsikiliza redioni tu kumbe ndo yupo hivi😂😂😂
Kwel unaomba lakin sasa pesa unaitisha kubwa sana jamani laki 5 maombi ya mmoja mmoja kama huna laki 2unusu hapo nmetoka mkoan sijala sijalal huruma hakunaa kabsaa leo nmeondok nmeskitika kukalia kit wa laki 3 🥱🥱sisi wa elfu 10 tununue utumbo tule tukalale
Nimekukubali
Huyu ni kiboko ya MKOROGO 😂😂😂 sugu kibao mkononi hakuna mtumish wa Mungu anafeki Hadi rangi ya mwili wake
Mi kwenye kutoa pesa tena unaagizwa nyingine kama lk 2 tena toa 2hivohivo kiwango hicho ni kawaida Lkn hapana hapo uwe bilionea
Jmn had ukutane na huyo unatoa hela mnapitishwa kil kigenge wa shemas utowe maokoto yaan mtu asiejuw cuba ataon nadangany aisee eeh😢
Domi baba yangu usiwasikilize watu fanya ulicho jaariwa na mungu nakuamini aslimia mia na ukuisomatu ujumbe huu nami nitapona kwa imani ubarikiwe niombee naitwa esta andrea
Asante kwa kutufuatilia @mzalendomediatz
Mungu akubariki postor
Mungu azidi kukutumia Kwa viwango vya juu endelea kufungua na kusaidia watu wenye matatizo mungu azidi kukubariki mtumishi Nina Imani na weww
Pia BIASHARA baba zimekuwa ngumu sana baba
Amen
Nabii naomba tusaidie tumezulumiwa Mali zetu Na hakuna amani naomba msaada.
Bwanayesu asifiwe mtumishi Mimi naitwa Aisha nipo dodoma kibaigwa naomba msaada wamaombi ninamtoto wangu anaitwa hadija anasumbuliwa na ugonjwa wa kifafa nimwaka watatu naomba maada
Nataka kujua kuusu dada yangu grace
Safi sana yesu awabaliki sanaaaaaa munatuokowa 🙏
Mchungaji ana chubua sura🎉🎉🎉🎉
usiangalie sura angalia moyo
Naomba nitabilie Alphonce sotery sosela
amee
🙏🙏
Asante kwa kufuatilia @mzalendomediatz
Nashukulu.sana kwa unabii yako vile naona kwako nimetamani miaka mingi tafathali baba na kuheshimu na ninaamini ukitamka neno kwangu unabii wangu utapata nguvu na nifanikiwe mimi niko kenya peter
naomba kkutolewa kwenye nguvu zagiza na laana nibarikiwe kwenye uchimi
Kwakweli mm simfahamu ila nimeongea point sana saana
Mwamposa yup huyo aliyemaliza watu moshi mageneza 25 mashujaa baada ya kda akapanda cheo mungu atawahukumu sana nyie chezen na mungu
Sharoom naitwa zuhura naomba umsaidie mama yng anaitaji kuuza nyumba yake hapo Kwa azizi ally mana tumepiga sana simu Yako aipokelewi mana mama yng anasikiliza sana kuhusu miujiza yako
Jamani hichi kizazi Cha nne ktk huduma.kizazi Cha kwanza Cha Dr.Moses kolola na Emmanuel Lazaro kizazi Cha pili Cha akina Mwingira ,kakobe na Lusekelo Mzee wa upako,na dastan maboya.hichi kizazi Cha tatu na Cha nne wakina mwamposa,kuhani mussa n.k huna haja ya kuhukumu acha wafanyekazi ya Mungu.Mungu ndie anaehukumu .
huyu mtu aliniambia mwaka jana kabla mwaka aujaisha nitatolewa kafara na ndugu zangu ,lkn mpaka saiv nadunda 😂😂😂uyu mwongo ,mwenye masikio na asikie 😢😢
Asante kwa kutufuatilia @mzalendomediatz
Mimi aliniambia sifiki tarehe 27 Desemba mpaka leo nipo
Nisaidie nabii
Ameeni
Msanii huyoo anapanga watu
NAITWA MMASSY BABA NAOMBA UANGALIE FAMILIA YANGU MAISHA AYAELEWEKI
Hatuko hapa kuhukumu watumishi wa Mungu kwasababu sisi sio tuliowapa mafuta wala sio tuliowaita.lakini hapa mhh changa la macho jina La Yesu linatumika vibaya na kusababisha mwili wa Kristo kutukanwa...vile vimawe anavyotoa watu kwa kigezo cha kupiga hela noooooooooo kwa kweli Mungu uturehemu
Asante kwa kutufuatilia @mzalendomediatz
Nabii komboa familia yangu
Baba mungu akubarik naakusimamie uendelee kuwa ponya watu asnte Mimi niMefunguliwa kwenye mambo mengi sanà
KWA HIYO UMEAMUWA KUSAIDIA SERIKALI KUJENGA BARABARA ILI WASIKUCHUKULIE HATUWA😂😂😂😂 DINI UMEIGEUZA BIASHARA UNAJIITA KIBOKO WA WACHAWI ACHA TUKUZOOM NYUMA YA PAZIA....
Claudio OSKA KATUCHA nina changamoto ya kufungwa kiuchumi naomba niombee
Huyu mwizi tapeli alaf anajichubua hakuna mtumish wa Mungu wa hivi ANAOMBA laki Tano ndio umuone wakati Yesu mwenyewe watu walimuona bure