Hakika Disability is not inability. Hii yote ni ya kumpatia Mungu utukufu. They are smart, full of wisdom above all wana ujasiri wa Holy Spirit. Nimewapenda sana. Mungu awafikishe mbali sana as you have made up your mind to serve Him 🙏🏽
Mnaoshangaa nywele ndugu zangu hilo lisiwasumbue Mungu aliyewaokoa na kuwajaza Roho Mtakatifu ni MWENYE NGUVU bado yuko kazini na matengenezo ya mwoonekano wa nje yataendelea taratibu taratibu kwani yeye aliyewaita ni mwaminifu atayafanya yote kuwa mapya kwa Utukufu wake
Nampenda yesu ambaye Hana upendeo kama alivyo nichagua Mimi ndivyo ambavyo anawachagua Hawa na kuwaweka ktk shamba lake nimekundua Siri kubwa katka hili Ni wewe kuamua kukubali kuwa tiari mungu atakutumia amua Leo hata wewe mungu atakutumia kwa jina la yesu My God bless you
Unayo akili njema kumwamini Mungu ndio mwazo wa hekima na busara. Mungu akutumiye kuwaleta hawo wote walio wachini sana ili Mungu awa inuwe kiroho na kimwili
Hakika Disability is not inability.
Hii yote ni ya kumpatia Mungu utukufu. They are smart, full of wisdom above all wana ujasiri wa Holy Spirit. Nimewapenda sana. Mungu awafikishe mbali sana as you have made up your mind to serve Him 🙏🏽
Hongereni sana,Six na mke wako Irene Mungu awabariki sana.
Mungu awabariki.
Mungu awatie nguvu, Amen
Mungu awabaliki sana
.MUNGU AWABARIKI SANA
Anakupenda Yesu usiyeshindwa
Mnaoshangaa nywele ndugu zangu hilo lisiwasumbue Mungu aliyewaokoa na kuwajaza Roho Mtakatifu ni MWENYE NGUVU bado yuko kazini na matengenezo ya mwoonekano wa nje yataendelea taratibu taratibu kwani yeye aliyewaita ni mwaminifu atayafanya yote kuwa mapya kwa Utukufu wake
Fact MUNGU anapokuokoa huwa haangalii hali au uweje atakubadilisha ndani kwa ndani
Rahel Munuo AMINA Shujaa,, MUNGU Akubariki Sana
Amen.
Amen
mungu awabariki Sana .
Mungu awalinde siku zote za maisha yenu
Nampenda yesu ambaye Hana upendeo kama alivyo nichagua Mimi ndivyo ambavyo anawachagua Hawa na kuwaweka ktk shamba lake nimekundua Siri kubwa katka hili Ni wewe kuamua kukubali kuwa tiari mungu atakutumia amua Leo hata wewe mungu atakutumia kwa jina la yesu My God bless you
God Bless you all!! God is still living, the same today, tommorro and forever
Amina
Ameen Mungu ni mkuu
Nicely, be blessed in jesus name.
hakika mungu hana upendeleo
Yesu mwema jamani 🥱 Amina Amina Amina Amina Amina Amina mungu yupo mahali apo
Mungu awabariki sana wapendwaaa,
dorothea badili ok
Amen na Amen.
Balikiwa sana huduma hii
amina mungu ni mwema sama
Mungu awabariki saana
Ilipendeza nineema za mungu Asanteni wote
GOD to defend and use them
Mpaka ukamilifu wa dahali atakua nasi AMINA
Atukuzwe Jehovah
Atukuzwe YUSU
Mungu AWABARIKI.
Nicholaus Mwalugi
Hongera sana mmbarikiwe mno
Dahh Aiseee All the Best Brother
God bless you man 🙏😂👫👼
Mungu awabariki sana
Mungu mkubwa sana
Ameen
Injili ya Yesu inapenya kila kona na kuwafikia wengi zaidi Mungu akubariki Askofu Gamanywaa kwa maono haya
mungu aendelee kuwatia nguvu
Kanisa halijafurahi
Amina Jina la Bwana wetu Yesu lipewe sifa
Bwana akuongoze amina
Mung ni mwema
hizo minywele za kaka ndo hatari sana
Unayo akili njema kumwamini Mungu ndio mwazo wa hekima na busara. Mungu akutumiye kuwaleta hawo wote walio wachini sana ili Mungu awa inuwe kiroho na kimwili
Roho mtakatifu anazo karama nyingï
Hana Upendeleo
🤦mywere zinatisha zauyo kaka njomana hawaitike akisema amina 2kanisa halijafurahi from burundi jaman
Anka Hassn nywele sio kitu
@@fransiscamatemu987 kitu nini sasa
@@fransiscamatemu987 alizaliwa nazo ivo ao alitafuta
Sasa hizo nywele, ukisuka nywele maana yake nini
Mbon akisem amen hakun wakuitikia🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤔🤔🤔🤔???
SoUnbelievable StillRespirer ni kwa7bu wana wivu kuona mlemavu kuolewa na uyo jamaa
Spoon
Tito jamaa askofu vipi
Hakika MUNGU yupo anafanya Mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya
Mungu na ahimidiwe daima god makes the way to youfor your project
MUNGU awatunze na kuwalinda
Amn
Mungu yupoo ni mwema kwa wote.
Amen
Amen