SAKATA LA DK SULE NA SHEIKH MWAIPOPO SASA MAHAKAMANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 523

  • @AliAli-zc7xj
    @AliAli-zc7xj 3 ปีที่แล้ว +24

    Sheikh Mwaipopo tuko pamoja na Allah (s.w) atakufanyia wepesi Amiin

  • @sihainshoka8602
    @sihainshoka8602 3 ปีที่แล้ว +25

    Kwa uwezo wake Allah (S.W) haki itasimama tu wala usiwe na shaka yeyote.

  • @abdulhamidjabu6530
    @abdulhamidjabu6530 3 ปีที่แล้ว +19

    Allah atakusimamiya sheikh mwaipopo

  • @SophiaShabani-xx3xe
    @SophiaShabani-xx3xe ปีที่แล้ว

    Pole sana shekh mungu atakusimamia kwa baraka za mwezi mtukufu wa dhulihija

  • @AminaAbdullah-ws3wy
    @AminaAbdullah-ws3wy ปีที่แล้ว

    Sheikh Mwaipopo unasema kweli . Insha Allah, Allah atakufanyia wepes,, Unafanya kazi nzuri sana,, Ondoa shaka utapita tuko na wewe

  • @saidlucas1216
    @saidlucas1216 3 ปีที่แล้ว +13

    Allah Akbar ??mwenyezi mungu atujaalie mwisho mwema 🤲🤲 jamani😢 hii dunia sio chochote masheikh tuwe makini mimi nawapenda sana kwaajili ya Allah kwann nyinyi msipendane 😢😢😢

    • @asswiddiqwatamaaman979
      @asswiddiqwatamaaman979 3 ปีที่แล้ว

      Kitu kimoja ni sahihi kabisa sawa sawa,lakini pamoja na kusimama ktk khaki,ebu fikria ingelikuwa ni wewe ulioganyiwa dhulma ungelijiskia vipi lakini usingegombania khaki yako nakutaka msaada?

    • @حمدحمودالعامري
      @حمدحمودالعامري 3 ปีที่แล้ว +1

      😄Hatupendani kwasababu adam alikula tunda la peponi Allah akatuahidi hivyo

    • @festokiraryo.6107
      @festokiraryo.6107 3 ปีที่แล้ว

      We humjui huyu ninazo clips zake za matusi nipe namba za whasap nikurushie akimtukan sule matusi ya nguoni

  • @omarratibu9709
    @omarratibu9709 3 ปีที่แล้ว +19

    Bi Ithni Allah utashinda kesi in sha Allah

  • @nijimbereasia6381
    @nijimbereasia6381 3 ปีที่แล้ว +4

    Hasbunallah waniimalwakil sheikh mwayipopo usiwenahofu Allah ndie atakusemea cocote utatakusema inshaa Allah

  • @abuumrisho204
    @abuumrisho204 3 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh Mwaipopo tupo pamoja ndugu yetu, tunakupenda sana, wewe ni ndugu yetu. Allah atasimamia haki, usiogope kitu na usiogope maneno ya watu, ata dunia nzima ikikutenga Allah akiwa na ww anakutosha kwa kila kitu. Allah Karim atakusimamia ndugu yetu. We love you for the sake of Allah

  • @kudrawanguvu5923
    @kudrawanguvu5923 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah Subhana Wataalla atajalia kher nyingi utawashinda matapeli ambao wanaotumia aya za Allah Subhana Wataalla kujinufaisha wanashindwa kufanya kazi ya Allah wamekuwa waganga maneno mengi mara dua za kiasi cha pesa mara mnofu dawa na mengineo mengi ya kitapeli

  • @yasseralamry778
    @yasseralamry778 3 ปีที่แล้ว +8

    Ndugu yangu, endelea vivyo hivyo, uko kwenye haki, mitihani utayapata kama walivyo wapata watu wema. Na biidhnillah utafaulu hapa na kesho akhera.

  • @hamisikibula9694
    @hamisikibula9694 3 ปีที่แล้ว +10

    Allah atakusimamia insha'Allah 🙏🏿

  • @hawasalumu1374
    @hawasalumu1374 3 ปีที่แล้ว +2

    Asalamualaykum ndugu waislamu tuchangieni shekhe wetu

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 3 ปีที่แล้ว +4

    Huwezi kumuamini mwenyezi mungu bila kupata mitihani, Allah yupo na wewe inshallah atakuwezesha

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 3 ปีที่แล้ว

    Allah akufanyie wepes sheik mwaipopo. Na utashinda bi udhin llah

  • @twahilinjenge6727
    @twahilinjenge6727 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana baba mungu yupo pamoja nawe na wote

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 3 ปีที่แล้ว +8

    May Allah be with you inshaallah sheikh mwaipopo

  • @saidswalehe2907
    @saidswalehe2907 3 ปีที่แล้ว

    Mwaipopo kumbuka wanafki hata enzi za Mtume saw walikuwepo baadh ya masheikh wa nchi hii ni wanafki sana innaa lilaahi wainna ilayhi raajiuun waliotetea uovu wote ni wanafki na Allah atawalipa kwa unafki wao Sheikh Mwaipopo Allah akulinde na uwe huru Aaamiin

  • @ramadhanimsukuma8438
    @ramadhanimsukuma8438 3 ปีที่แล้ว

    Subehanallahu,aisee siye wasemaji sana kwa mawaidha makali kali,kwa mfano dr sule aliwahi kusema watu wamekufa kwa ajil ya dini wewe hata kiwembe haujawahi kuchanjwa kwa ajil ya dini halafu unataka uingie pepon, kwa maneno haya yaonyesha wazi subra hana kabisaaa!! Anajua mtume alitukanwa kwa ajil ya dini,alipigwa mawe kwa ajili ya dini, lakin alivumilia yote hayo hakuangalia cheo chake,hakuangalia heshima yake, allah asema hivi katk suratu swaff
    ياأيهالذين آمنوا لم تقولون مالا تفعلون كبرا مقتا عند الله
    Enyi mlio amin Kwann mnapenda kusema mambo ambayo msiyo yatenda wenyewe,nimachukizo sana mbele ya ka mwenyezimungu kuyasema mambo msiyo yatekeleza,))
    Dr sule nina mnaswihi sana huko anapoelekea hapa husiani na Allah kabisaa na asitafute kutetea heshima yake,cheo chake kwa watu msikilize mtume anasema hivi ((من تواضع رفع
    Mwenye kujishusha Allah ata mpandisha na mwenye kutaka kujipandisha Allah atamdhalilisha
    Dr sule ulipaswa uyaache tu iwe ni kweli au si kweli na huo ndo uchamungu, sheikh mwaipopo ni muislaam na wewe ni muislaam,wewe ni muhadhiri twende kwenye muongozo wetu unasemaje kama kuna jambo la utata kama hili ?twende kwenye sheria si ya dini au katk sheria ya dini ituongoze? Hpo tu mie nimemaliza

  • @jamuhuraly1238
    @jamuhuraly1238 3 ปีที่แล้ว

    Isha Alha wafanhie weepesi mgogoro wao uweze kwisha,kwa amani na salama, amin amin amin

  • @rukiabura8381
    @rukiabura8381 3 ปีที่แล้ว

    Usikhofu shekhe dua tutakuombea allah atajaalia ukweli utabaki kuwa ukweli na batil itabaki kuwa batil na kukuchangia tutakuchangia allah atakujaalia wepesi katika mitihqni hii mitume yetu imepitia mitihani kuliko hii na hawajakata tamaa bado allah yu pqmojq na wewe. Amin

  • @hamisimapoch884
    @hamisimapoch884 3 ปีที่แล้ว +1

    In shaa Allah, Allah akujaalie ushinde kesi kwa nguvu zake Allah

  • @rajabdihomber6146
    @rajabdihomber6146 3 ปีที่แล้ว +9

    in sha Allah .Allah atakujalia

    • @bakaliabdallah9011
      @bakaliabdallah9011 3 ปีที่แล้ว

      Wewe mwaipopo umeyataka mwenyewe sule Hana makosa hata Kama kutudhulum katudhilum sisi wewe yanakuhusu Nini?

  • @mufid707
    @mufid707 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mwaipopo plz na kuomba kakangu shika msimamo wako usifunguwe mjadalo huu kwa Midiya. Nami nakuombeya Allah atakunusuru na Janga hili Ameen.

  • @bongorashidy5930
    @bongorashidy5930 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe mwaipopo ninamuomba Allah akufanyie wepesi ktk huo mtihani inshaalla tuko pamoja shekhe wangu nakupenda Kwa ajiri ya allah

  • @ismisalih1490
    @ismisalih1490 3 ปีที่แล้ว

    Assalaamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh u. Sheikh Mwaipopo usikhofu Allah atakusimamia . Wenye ushahidi wa kutosha wazidi kuulete

  • @zubedatatu7852
    @zubedatatu7852 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar..... Allah Akutangulie Kwa yote Ayo Amiiin Yarabby Amiin

  • @Ahmed-pr9qy
    @Ahmed-pr9qy 3 ปีที่แล้ว +17

    kama umefany hivo ilikuondoa uchafu kwa mdomo wako bc Allah yupamoja nawe

  • @Binfuad
    @Binfuad 3 ปีที่แล้ว +7

    usiwe na khofu shekhe ikiwa alllah kakupangia upate mtihani bas anakupia imani tu kuwa na subra utawashinda hao wanafiq

  • @asumanisaidi7793
    @asumanisaidi7793 3 ปีที่แล้ว +13

    Uko sahihi,Allah atakuwekeya wepesi

    • @fatimakhamis2948
      @fatimakhamis2948 3 ปีที่แล้ว

      Pole kaka ishaallah wakikushinda duniani utwashinda akhera bega kwa bega sema na lengine utakalo ona muogope Allah2

  • @hamisimaliseri8872
    @hamisimaliseri8872 3 ปีที่แล้ว

    Inshallah m/mungu akujalie utashinda tupo nyuma yako tutakusaidia inshallah

  • @HassanNtunda
    @HassanNtunda ปีที่แล้ว

    Allah akuongoze shekhe wangu. Kwa uwezo wake Allah utashinda. Ila Mashekhe mmeshindwa kurejea katika Quran na Sunna mnakwenda kwenye mahakama za kikafiri. Shekhe ulipambana na makafiri wakakutia misukomisuko Leo hii waislamu ndy wameanza kukutia katika misukosuko.? Allah atakuonesha njia insha Allah

  • @wanyooshetv9987
    @wanyooshetv9987 3 ปีที่แล้ว +7

    ALLAAH SUBHANNA WATA'ALA NDIYE MKUU WA MAHAKIMU NDIYE ATAKEYEKUWAKILISHA NI M'BORA WA MAWAKILI BIIDHINILLAAH USIOGOPE WANAFKI SHEIKH MWAIPOPO

  • @shabanimbenu2163
    @shabanimbenu2163 3 ปีที่แล้ว +8

    Kwa uwezo wa ALLAH utashinda kesi Sheikh Mwaipopo.

    • @festokiraryo.6107
      @festokiraryo.6107 3 ปีที่แล้ว

      We humjui huyu hebu nipe namba zako nikupe clips za matusi

  • @happynesskimt6249
    @happynesskimt6249 3 ปีที่แล้ว

    Mungu yu pamoja nawe, we ukiona baadhi ya viongozi wakubwa wamanyamaza nanakwamba wanaunga mkono utapeli au ndio kusema Wa naendelea kujadiliana😥, mwenyezi mungu akushindie shekhe Mwaipopo. Inshaallah

  • @omarisaria3168
    @omarisaria3168 3 ปีที่แล้ว

    Subuhanaallah,sheikh sule nibure kabisaa kumbe awaogopa watu sio mungu kuomba msamaha kwa waislamu hataki eti akimbilia kortini!inshaallah mungu atakusimamia amiin.

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante tuko pamoja shekhe, mungu atakusaidia

  • @zuragswaleh6732
    @zuragswaleh6732 3 ปีที่แล้ว +3

    Inasikitisha Sana wallah muislam anampeleka muislam mahakamani inshlAllah Mwaipopo indapo umezunvumza ya ukweli basi Allah atakunusuru kama alivyowanusuru waislamu siku ya vita vya uhud

    • @alikutenga3303
      @alikutenga3303 3 ปีที่แล้ว

      Halaf mtu mwenyewe anajiita shekhe kisa kaambiwa ukweli Sasa yy alitaka watu wakae kimyaaa kumbe mpuuzi sanna Yule Sule!! Kaulizwa huo udokta kasomea wp mpk Leo Hana jibu.

    • @mirajishabani7565
      @mirajishabani7565 3 ปีที่แล้ว

      Ya rabbi mnusuru huyu mja wako aliyenyoosha kidole chake kunusuru waja wako wanyonge. Aamiin

    • @sawdaasawdaa7903
      @sawdaasawdaa7903 3 ปีที่แล้ว

      Waisilam izi zote dalili za kiyama waisilam niwenye kuhurumiyana wawo kwa wawo ila wanao mushitaki suler wakuje nawawo alafu mbona hata muganga wakizungu anatibu kwavipengele vingi namutu haponi kama ametumiw pesa akatunza mutu hakupona ao kama kasema uongo mbona anaye shitaka hasemi angaliyeni vuzuri wasiwakulanishe mukatengana kwa maana watu nao shida kidogo

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 3 ปีที่แล้ว

      @@sawdaasawdaa7903 Tatizo letu waislam tumekalia dini ya kukariri hv inakujaje mtu unakaa kumsikiliza shekhe hata muqaddima hajui kuusoma ?? Hv inakuaje mtu unakaa kumsikiliza shekhe hata manhaji yake haijui ?? Hv inakuaje mtu unakaa kumsikiliza shekhe amekhalifu mwenendo wa mtume kwenye mavaz yake hadi muonekano wake wote ni wakiyahudi. Unakosaje kutapeliwa mtu hata mashekhe wa kuwasikiliza hawajui ?? Mashekhe wa maana unawakimbia huwapendi kwavile wanasema maulid khitma ni bidaa unawataka wale oya oya unatapeliwa unalia lia hv shekhe yuko mbali kabisaa na sifa za wema walotangulia shekhe hana hat kitu kimoja cha kujifananisha japo hata na swahaba mmoja bali yeye yupo kama myahud ndevu kanyoa kavaa tai kachomekea eti shekhe uyo unakuuzia dawa wewe umerogwa tena hata akili moja huna eti anakuambia ushekhe sio kanzu bana .

  • @mohamedihassani8616
    @mohamedihassani8616 3 ปีที่แล้ว

    Inshaallah sheikh Allah yupo pamoja na wew...hiyo mbona sio kesi kwake utashinda tu....

  • @adamhashayro3133
    @adamhashayro3133 3 ปีที่แล้ว

    Inallah wainallilah rwajiun mungu atakusaidia utashinda

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 3 ปีที่แล้ว

    Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh. Allahu Akbar,🙄Mahakamani???kka Allah namuomba atangulie mbele ya hiyo kesi na akupe ushindi in shaa Allah

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 ปีที่แล้ว

    Mungu atakusamamia inshaa allah watu wanaficha UOVU kutetea tabia mbaya ya Dr sule mungu yupo pamoja nawe utashinda kesi shekhe mwaipopo aaminy

  • @hussnasaad7503
    @hussnasaad7503 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi wewe na family yako
    Ulifanya kwa ajili ya Allah na weww Allah hatokutupa.

  • @fatmazena8886
    @fatmazena8886 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunamuomba ALLAH akusimamie shekh wetu

  • @khadeejahrashid3177
    @khadeejahrashid3177 3 ปีที่แล้ว +5

    Alaysa LLahu biahkamil hakimeen, soma Alam Tara, hutodhulumiwa tutasimama na wewe na kwa kumuomba Allah, hakk itasimama

  • @saidakomawwusiejitambua2968
    @saidakomawwusiejitambua2968 3 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah kwa uwezo wa allah mwaipopo utashinda km allah amethibitisha ktk kuraan kusema kweli wala usiwe na hofu utashinda tu kwa nguvu za mungu

  • @faridahassan-xw3kq
    @faridahassan-xw3kq 9 หลายเดือนก่อน

    ASO MTU ANA MUNGU INSHAALLAH ALLA ATAKUSIMAMIA UTASHINDA ENDELEA KUIPAMBANIA HAKI MALIPO YAKO KESHO KWA ALLA

  • @mwasemarashid8419
    @mwasemarashid8419 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh mwaipopo allah atakusaidia kwa uwezo wake kila baya walilo kupangia mungu atalipitisha kushoto biidhini laahi..

  • @jamilaalfarsi7712
    @jamilaalfarsi7712 3 ปีที่แล้ว +2

    Inshaallah kwauwezo wa allah utashinda nawao watazidi kufedheka

  • @khuzeimaabdul4275
    @khuzeimaabdul4275 3 ปีที่แล้ว +2

    Dua zetu zipo pamoja na ww mwaipopo na ALLAH atakulinda nasikitika kusema haki imekuwa makosa kwako.imani imepotea

  • @bothasenior5515
    @bothasenior5515 3 ปีที่แล้ว +3

    Masheikh siku hizi no maslahi insha Allah mungu atamfedhehesha mwenye uwongo aibu aibu

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 3 ปีที่แล้ว

    Waalaykum salam mwenyenzi mungu atakuhifadhi simamia haki tu tuko pamoja

  • @mishiathmani6055
    @mishiathmani6055 3 ปีที่แล้ว +1

    InshaAllah Allah yupamoja nawe na utashinda InshaAllah

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atakusimamia sheikh mwaipopo IshaaAllah

    • @maliziamkuruto897
      @maliziamkuruto897 3 ปีที่แล้ว

      Wao ndio watashindwa ksababu hawataki suluhu ya kidini,ally you pamoja nawe ishaallah

  • @tatuomary6745
    @tatuomary6745 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole shekhi ALLLAH atakusimamia ameen utashinda hii kes

  • @latifahamisi7553
    @latifahamisi7553 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna Mkamilifu ila aliyetuumba tu ndiye aliyekamilika Kwa kila kitu, Hakuna ibada mzito na ngumu kama subra na kusamehe, Kuna swahaba kabashiriwa pepo Kwa kuwasamehe waliyomkosea, Allah anasamehe dhambi zote na za yeyote anaehitaji kusamehewa, Je Mimi na wewe hatutaki kusamehe, tumejiamini tunakitugani Cha ziada?

  • @ahmadyzubery9126
    @ahmadyzubery9126 3 ปีที่แล้ว

    Allah atasaidia inshallah

  • @muhsenali123
    @muhsenali123 3 ปีที่แล้ว

    Shekh allah akube baraka nakheri inshallah tunakuombea Allah inshallah utashinda

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว

    Allah akulinde Mwaipopo.tunacho kitaka ni hakitu utapeli uangamizwe.waislam hatuko ivyo

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 3 ปีที่แล้ว

      Kama unataka haqi ebu achana na uzushi kwenye dini. Achana na maulid ni uzushi tu sio ibada aloifundisha mtume achana na khitma si katika mafundisho ya mtume acha kuburuza suruali au kanzu acha kunyoa ndevu acha maandamano si katika sunnah ukitaka haqi usizarau sunna fuata Sunnah zote insha Allah mola atakuongoza kwenye haqi .

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 ปีที่แล้ว

    Allhaa akufanyie wepes

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 3 ปีที่แล้ว +1

    Huwenda kama ni kweli amedhulum mtu kumtangaza ni kosa kisheria. Ingefaa sana ungemwita na kumkanya au kumwita kwa kiongozi yoyote wa dini. Shida ni moja tu unaomtangaza mtu kwamba mwizi na tapeli hata kama ushahidi unao ni kosa hata kidini mwite mwambie na Allah atakusimimia ktk haki. Huwenda kuna mambo mmekosea wenyewe ktk shughuli zenu leo mnatangaziana huo ni msiba innah lillah wainah ilaih rajiun. Ifike wakati mnakaa na kuzungumza pamoja sio vizuri hata kidogo kumsema mtu ktk media. Allah awape masikilizano na kesi ife kwa haraka . Nakuomba dr sule futa kesi najuwa wasoma comment yangu. Msamehe na yeye akusamehe

  • @abdullahleith2659
    @abdullahleith2659 3 ปีที่แล้ว +3

    Wallahi mwaipopo ondoa hofu, ukipata wakili usipate wakili ondoa hofu, wala usiwe na hofu kukaa korokoroni, kwani ni mitume mingapi imewekwa korokoroni! Hiyo ni dalili nzuri tu, ondoa hofu wakili wako na shahidi wako anatosha kua Allah. Wallahi kama nini mimi nisingehitaji wakili yoyote zaidi ya Allah, ningepanda kizimbani na nikasema wakili wangu ni Allah na Shahidi yangu ni Allah kwa yale ambayo nimesema. Sheh Said Mwaipopo wewe Allah anatosha kua wakili wako na Shahidi yako. La takhafu walaa tahzanu Allah awe pamoja nawe.

    • @salmadakizenga1765
      @salmadakizenga1765 2 ปีที่แล้ว

      Hii nchi haindeshwi kwa dini wewe sio bakwata nenda kajibu mahakamani umemkashifu usiombe msaada achana namambo ya watu

  • @masala8099
    @masala8099 3 ปีที่แล้ว +4

    waislam wenzangu niwatoe hofu kabisa mm nimeongea na mashekhe wakaribu na sule wamesema kweli katapeli wallah Allah shahid

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 3 ปีที่แล้ว

      Ukisikia mtu katapeliwa na shekhe uyo ni mtu wa bidaa na hayo ni makumbusho akome kuwasogelea mahzbi hawana maana kwenye dini yao ukumbusho unakuja kwa njia tofaut tofaut vp hata muhuni mnamwita shekhe kisa anausemea uislam mkiambiwa anakosea sana mnakasirika ngojeni muibiwe nadhani Allah anahekma yake sasa .

  • @faridhassan6834
    @faridhassan6834 3 ปีที่แล้ว

    Pesa ni asbabu tu ila dua ndio ngao ya muumini yeyote,Allah kwa herufi moja akisema iwe inakua usijali inshhaala

  • @aliujendo
    @aliujendo 3 ปีที่แล้ว +1

    Usipate taabu na hilo ndo mwisho wa sulle mwenye ezmungu ana mkhitimisha uwongo hauwezi uka simama na ukweli Allah akupe ujasiri na akutaguliye in sha Allah

  • @كريملو
    @كريملو 3 ปีที่แล้ว +1

    Nliongea na alietapelewa marekan na akasema kwel Dr sule kantali na SMS pia za chart mwanzo mpk mwsho nnazo apa so shkh nenda ucjal in shaa allah
    Allah yu nawe yeye anataka kutumia jina na ksha sabab nyingne kaanza kuingia mjin kabla yako so aliemleta mjin ni allah na atakae mshusha ni allah pia ucjl tuko pamoja sana

    • @wachinendachionlinetv4338
      @wachinendachionlinetv4338 3 ปีที่แล้ว

      Good

    • @farajichipote2437
      @farajichipote2437 3 ปีที่แล้ว

      Mwenzenu nimeota ndoto kabla ya tukio hili tuko msikitini tunaswali mmoja wetu aliopo safu ya mbele akatapika sasa tukavunja swala ikatoka rai chukueni maji tuflashi kwa kumwagia bahati mbaya nikateleza na kudondokea ktk matapishi haraka baba kajitokeza anisaidie nikamwanbia subiri simama hapohapo usije ukateleza na wewe basi maji yakamwagwa na mimi nimelala palepale sasa ikawa matapishi yanapelekwa na maji na mimi nakua msafi nikaamka kutoka usingizini

  • @abuuashyam8417
    @abuuashyam8417 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH ATAKUSIMAMIA KAKA WAKAT UPO KWENYE HAKI
    WALA USIHOFU MAANA UKO ULIKOPELEKWA WALA HAKUNA HAKI
    NA NIUDHAIFU WA IMAN KESI ZA KIISLAM KUZIPELEKA SERIKALINI WAKAT HAKUNA DINI

  • @hufeyswajaffar7363
    @hufeyswajaffar7363 3 ปีที่แล้ว +2

    In sha allh twakuombea ushindi kwa allah

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 ปีที่แล้ว +7

    Shekh usijali hao matapeli Kwa jina la M,MUNGU 40 YAO ISHA FIKA

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu yupo pamoja na wewe

  • @riadhashaban1185
    @riadhashaban1185 3 ปีที่แล้ว

    Inshaallah Alla atakuhifazi nandio mtetezi pekee inshaallah

  • @alikutenga3303
    @alikutenga3303 3 ปีที่แล้ว +6

    Kweli anafanya watu wakose Imani..

  • @abdallahmatongo8089
    @abdallahmatongo8089 3 ปีที่แล้ว

    Allah atakusaidia sheikh wangu😥😥😥

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 ปีที่แล้ว

    Allah atakupa ushindi inshaallah kheri

  • @hamisimapoch884
    @hamisimapoch884 3 ปีที่แล้ว +6

    Umeniliza shekh Allah akuongozee

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 3 ปีที่แล้ว

      Kakuliza na nini ebu fuateni Sunnah achaneni na wazushi mkiambiwa tokeni uko waacheni hao hamtaki kisa wanatetea mabidaa yenu ya maulid na makhitima yenu. Hv inakuaje mtu unakaa kumsikiliza shekhe amekhalifu mwenendo wa mtume kwenye dini hata mashekhe hamuwajui nyie ?? Ngoja mutapeliwe sana Allah anakuadhibuni kwa kukhalifu sunnah lazima muibiwe hadi mjanjaruke sio leo.

  • @lambiihamisi978
    @lambiihamisi978 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh mwaipopo uko sahihi sana ALLAH atakulinda na maovu

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 3 ปีที่แล้ว

    Allah Subhanahu Wataala
    Akusimamie kwa haki

  • @mohammedkombo3727
    @mohammedkombo3727 3 ปีที่แล้ว +1

    Wallah Sheikh sisi wengine hatuna uwezo wakukusaidia ila dua zetu kwa Allah ndio zitakazo kukusaidia kwa Allah

  • @nyangevigody8849
    @nyangevigody8849 3 ปีที่แล้ว

    Allah atakufanyia wepesi ameeen

  • @abdulmagido5444
    @abdulmagido5444 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mwaipopo tutazidi kukuombea In Sha Allah utashinda kwa uwezo wa Allah, sisi Waafrika hii ndio moja ya alama ya kwanini tunakuwa watu duni atupendi kuwambiwa ukweli kwenye ukweli ni lazima ujifunze na kila penye mafunzo pana faida and we don't like challenge all this made us dormant on thinking and few who try to accept challenges in positive ways they always public enemy number one especially we Tanzanian wasikutishe na makundi yao ya kitapeli

  • @zakiarashed144
    @zakiarashed144 3 ปีที่แล้ว

    Allah akusimamie sheikh wetu😭😭😭

  • @omansohar2245
    @omansohar2245 3 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja japo tupo mbali dua iatakufika allah akusimamie na watokee wengine kma uyu mungu akuachi abadan nakupenda kwa ajir ya allah

    • @mikidadiyahaya2342
      @mikidadiyahaya2342 3 ปีที่แล้ว

      Allah ndo mjuzi sule muogope mungu kwa vitimbi vyako.

  • @abisairobert5098
    @abisairobert5098 3 ปีที่แล้ว

    Yesu asifiwe sana

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 ปีที่แล้ว +9

    Waisilam wakweli wanahurumiyana wawo kwa wawo

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 3 ปีที่แล้ว

    Watanzania mnaleta usanii wa kiki hadi kwenye dini....Astaghfirullah! Astaghfirullah! Astaghfirullah! Yaani mashekh wa Tanzania mmeshindwa kutatua ili swala hadi mnaliachia makafiri wasojua dini wala Mtume!mnatufail sana hii ni aibu tena aibu kwa waislam wote.

  • @gololatynikolay298
    @gololatynikolay298 3 ปีที่แล้ว +5

    Sheikhs mwaipopo usiache kusema unwell Kwan ajili ya mungu

  • @halima2549
    @halima2549 3 ปีที่แล้ว

    Subhaanallah.. Yani badala ya mtu kukubali makosa yake na kusuluhisha na waislam wenzako.. Inamaan huo ni udhaifu wa Iman.. Yani kumwomba Allah msamaha na kurekebisha c bora bali kushitakia serikali.. Au kwa sababu uliskia mwaipopo aogopa serikali.. Kaa ukijua wakuogopwa ni mungu pekee hata serikali haina nguvu kushinda za Allah.. Sheikh sule me nampenda sna wallah ila mbna msiongee na sheikh mwenzio mkayamaliza haya. Duh😭

    • @saadajuma1099
      @saadajuma1099 3 ปีที่แล้ว +1

      Huo ni mitihani kwako unatakiwa ufaulu allah yupo pamoja na ww inshaallha

  • @mmlove9127
    @mmlove9127 3 ปีที่แล้ว +2

    SibhannAllah masheikh wetu tunawapenda lkn tunawaomba kesi hizi na mitafaruk hii isuluhishwe na cc wenyewe kwenye jumuiya zetu za kiislam...

  • @newchanel6154
    @newchanel6154 3 ปีที่แล้ว

    Allah akufanyie wepesi

  • @adellsefu2485
    @adellsefu2485 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah sheikh mwaipopo Allah atakutetaya viongozi wadini wanaka kuaongoza

  • @allychindema8875
    @allychindema8875 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nakuombea kwa Allah ukulinde kwa hili na ulichofanya ni sawa hii no mlango Wa kutahadharisha na hii mwenendo Wa mtume kutahadhatisha waovu Allah akulinde.

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder 3 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh Upo sahihi Madamu wapigania kuondoa Dhulma Na Allah yupo pamoja nawe,Wala usibabishwe na kitu chochote.Hakki itabaki kuwa hakki.

  • @bakariabdallah2579
    @bakariabdallah2579 3 ปีที่แล้ว

    Asalam alaikum nambuoba alla akufanyie weps ushind kes

  • @babauna3458
    @babauna3458 3 ปีที่แล้ว

    * Qur'an suratul Yunus 44.
    Hakika Mwenyezi Mungu Subhanahu atawalipa watu kwa vitendo vyao kwa uadilifu na haki, wala hatamdhulumu hata mmoja wapo kwa kitu chochote. Lakini watu wanajidhulumu nafsi zao kwa kukhiari kwao ukafiri kuliko Imani. Lazma mahaka iwe ni ya KADHI isiwe mahakama ya SERIKALI , watakapo kukupeleka mahakama ya serikali kushtakiwa basi tutajua Dr sule si muislamu kabisa bro, manake haifai waislamu kuhukumu nje ya Qur'an muislamu , mswalie mtume sanaa na litakase jina Allah asubuhi na jjoni mwaipopo ndugu yet hata usijali , Mwenyezi Mungu SUBHANALLAH WATTA ALLAH haongozi watu madhalim. ALLAH ATKUNUSURU NA JANGA HILI .

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakweri Bola umesema wengi tunawazalau waubili tunajua mataperi Allah atakusimamia dokta sule anajulikana mjanja mjanja tu yule maneno mengi adisi zake eti uwexi kwenda peponi kwa kuswari

  • @athumanbakari3598
    @athumanbakari3598 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakushauri shekh wangu muache aende mahakamani ilo ndio thibitisho kua hana dini ndio akakimbilia mahakamani

  • @happysalim4120
    @happysalim4120 3 ปีที่แล้ว +5

    Kutokusoma elimu ya dini pamoja na dunia kuna angamiza sana waislamu.

    • @bakiriyusuph2329
      @bakiriyusuph2329 3 ปีที่แล้ว

      Elim yadunia niipi ,ambayo haipatikani kwenye dini(uislam),!

    • @happysalim4120
      @happysalim4120 3 ปีที่แล้ว

      @@bakiriyusuph2329 Shida ni kwamba wenzetu wanatuzid kwa kusoma Dunia lakin sisi kitabu chetu tumekitupa na na chenyewe kikatutupa , lakini pia ata Elimu dunia pia tumeitupa nayo ikatutupa vilevile . Nukuu kutoka kwa shekh mmoja anasema waislam wa leo hawapo duniani wala akhera ndo tunafikwa na madhira kama hayo kuamiani watu badala kufuata quran pamoja na sunnah.

  • @my-vb2to
    @my-vb2to 3 ปีที่แล้ว

    Ishaallah Allah takulinda kwakuwa unasema ukweli

  • @alsaarh239
    @alsaarh239 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah atakutangulia inshallah usiwe na hofu

  • @mohammadalfani5243
    @mohammadalfani5243 3 ปีที่แล้ว +2

    Insha Allah mungu yuko nasi