ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mungu anawaonesha kuwa hicho mnachofanya siyo sahihi. Badilisha imani yenu nenda kanisani au msikitini kadri mtakavyopokea neno la Mungu wa kweli
muwe waelewa hio ni volcano inataka kulipuka
Serikali ichukuwe hatamu kuelimisha jamii ya massai wasipande tena juu ya mlima kwani huenda siku moja ikalipuka vilcano wakiwa juu na kuleta madhara makubwa nchini