Wallah sheikh Ahmad Hashim Rusaganya nakupenda sana kwaajili ya Allah yani Allah shuhuda wanafsi yangu mana unavotuchana napenda sana unasema kweli kabisa sheikh Allah atusameh waja wake Allahumma Amiin
Bila shak sheikh unachokiongea kipo sahih maan asilimia kubwa ya waislam tumejisahau tunaendekez dunia cha msingi turudi kw Allah,,,Ahsant san sheikh wetu Allah akupe umri mrefu wenye hatima njem kwa sote kwa jumla ameen
Hapo kwenye vigoma shekh Umenena yaani utakuta gari imepakiza kina mama ndani lkini makalio yanatolewa madirshani kwa lengo LA kutingisha ili walio nje wayaone Subhanallah ni mbalaa kubwa wallahi
Sheikh umeongea mengi Allah akuongeze wewe pamoja na mimi, na atukutanishe pamoja peponi Aamiyn, ukweli umenifurahisha sana hapo kwenye nzi kutokutua kwenye mwili wa rasullullah Allah الله اكبر kweli mtume huyu ama kweli ana darja kubwa sana.
Huu Sarah Allah Amusameh kwa kutaka kuidhalilisha dini ya Allah na akizidisha porojo zake Allah Amudhalilishe na Amuaibishe hapa duniani na kesho akhela,
Tuwaombeeni sana mana kipindi chahija ndio kipindi chamavuno nashetani watapupa mamilioni yapesa kwaajili yakulipwa pepo kwaajili yakulipwa uchafu she he pitia maandiko mungu wenu ana pepo mtachomwa pamoja namungu wenu
Swadakta maneno matam sana hakuna mfano wadini ya hakki Kama uislam niraha sana Masha Allah sisi wanawake tumezidi lana ndio Mana Allah anatuhukumu hapa hapa duniani kwa maasi yetu
Mimi mawaomba mashehe ikiwa hawaijui kweli mungu awajuze lakini wakiwa wanaijuwa kweli lakini hawataki kusema mungu wakweli alie juu huinuwa amtakae nakuinen kweli namimi nawambia.mashehe msiendelee kuwazuia watu nanjia yakweli yamungu alie juu mungu mnae muabudu waisilamu alie mshushia Muhammad kuruani nikafiri namakaz yake hayap juu mbinguni yapo hapa dunian Muhammad sio nabii wakweli kutoka kwamungu alie juu nakuruani sio kitabu wala maneno yamungu msidanganyike namaovu yaliokatwaza ndani yakuruani kuna makubwa yalio jifisha nyuma yapazia maana yakafiri nimpingaji nakuruani niyenye kupingana nasheria zakweli zamungu alie juu kuruani nidajali Muhammad aliawambia itafika wakat misikiti yenu ndio makabur yenu kabla msikiti haujawa kabur kwako toka uitafute kweli kweli itakuweka huru kuruani haihubiri injili yakweli napenda pia niwambie yesu sio is a alietwaja kwenye kuruani kuruani hata siku moja haitolitaja jina layesu mana kuruani haimkubali yesu yesu kwakiarabu yasua nawala sio is a kuruani imekop visa nasiku zote ukikop kitu hutakipata uhalisia wake nawala ibrahim wakweli kuruani sio baba waimani mashehe acheni kuendelea kupotosha umaa namaka sio mji mtukufu wamungu msipoteze hela zenu bur mnamuabudu shetani
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh nivipi ntaweza kupata number ya sheh Rusaganya? Ambay anajuw anisaidiy ainiandikiy hap kweny comment itakuw bora na Allaah atamlip
Maana yaneno dini ninjia haiwezekani kuwe nanjia mbili njia yakweli nimoja tu yakumfuata yesu alie mbinguni njia yamuhammad haikupelek mbingon inakusogez kwenye moto Muhammad mwenyewe anawambia mumswalie maana yakumswalia nikumuombea ukisoma kuruani yeye kasamehewa madhambi yote sasa aombee nini nyinyi atawaombea nani tokeni usingizini mupitie maandiko Muhammad ninabii wauwongo alie simamisha dini kwaupanga
Huna akili wewe na wakristo woote motoni ndomaana mnaabufu MTU aliezaliwa yesu mtoto wa maryam . Mara miungu wenu ni nafsi tatu . nafsi baba mwana na roho mtakatifu . ibadani mwenu mnaruka kama disco mnvaa nguo za mipasuo . yaani kifupi hakuna watu mataila kama nyinyi.
Nataka niwafunuw macho waisilamu mana yapepo niuchafu nawao ibada zao zote wanalipwa pepo inamana wanalipwa uchafu nakila alipwae uchafu nimfuwas washetani nakila kilicho kichafu mwisho huchomwa wao wanaabudu kwaajili yapepo ndio mana waisilamu hawamkubali yesu mana wao wachafu yesu utakatifu mungu wao nipepo naamini wakiyatafakar hay maneno kutaabika kwao kote mwisho wanalipwa pepo nasote tunajuwa shetani ndie pepo yey ndie mchafu amken wapwenda safina yambinguni niukovu nafas mnayo bado hao maulamaa bad wanaipigia kampeni pepo hao wam ufalme washetan
Hiyo ni njia moja ya maamrisho ya uislam basi ikiwa wewe ujui na hivyo ndivyo Allah anatuambia,hau wewe unafagilia unacho kitaka wewe? Hapo alipo panatosha na nimahali sahihi kwake

We we nikiongozi wadini kweli mw/mungu akulipe
Allah akuhifadhi na Kila Baya na Macho ya Mahasidi Usiku na Mchans Alhabiyb Sheikh Ahmad Rusaganya Na atupe Istiqaamah ktik Dini
Allha akuhifadhi shekhe
Jazaka allah khayraa shekh Ruzaganya Allah akujaalie afya na umri mrefu
i realize it is kinda off topic but do anyone know a good place to watch new series online ?
Mashaallah maneno ya shekhe ni yakweli kabisa allah atuongeze katika njia ya kheir
Bila shak sheikh unachokiongea kipo sahih maan asilimia kubwa ya waislam tumejisahau tunaendekez dunia cha msingi turudi kw Allah,,,Ahsant san sheikh wetu Allah akupe umri mrefu wenye hatima njem kwa sote kwa jumla ameen
th-cam.com/video/c6HQTYbP_8o/w-d-xo.html&feature=share
امين للهم امين Shukran sheikh wetu kwa kutuwaidhia Allah akujalie umri wenye afya njema
🤔Ndoa za MB kwajina lingine doa ya bando
Amiin Allahumma Amiin
@@hildababyabdullah5627 Allahumma amin
Hapo kwenye vigoma shekh Umenena yaani utakuta gari imepakiza kina mama ndani lkini makalio yanatolewa madirshani kwa lengo LA kutingisha ili walio nje wayaone Subhanallah ni mbalaa kubwa wallahi
Allah akutangulie katika kuteleza kama alivyoamrisha Allah subukhana huwa taalaa
Inshaallah mwenyezi Mungu akutangulie
Sheikh umeongea mengi Allah akuongeze wewe pamoja na mimi, na atukutanishe pamoja peponi Aamiyn, ukweli umenifurahisha sana hapo kwenye nzi kutokutua kwenye mwili wa rasullullah Allah الله اكبر kweli mtume huyu ama kweli ana darja kubwa sana.
ALLAH akufanyie wepesi katika kulingania dini inshallah
Shukrani sana Sheikh
Shukran shiekhe kwaujumbe
Allah akulinde shekh wetu❤
wallah sheikh wangu namintakuwa shahidi na unawambia kilasiku allah akupe kila rakhreili sheikh wetu
MashaAllah jazakAllah kheri sheikh
allah akupe umli wenye afya akulipe pepo
Kweli jamani hata mimi hizo ngoma sizipendi
Km mm nazichukia sana ngoma
Subhanallah ya Allah tujuulishe waja wakoo tunapoteaa
Allah atuhidi atuongoe atuongoze ktk njia ya uongofu
Huu Sarah Allah Amusameh kwa kutaka kuidhalilisha dini ya Allah na akizidisha porojo zake Allah Amudhalilishe na Amuaibishe hapa duniani na kesho akhela,
Allah akupe afya njema na umri wa baraka Sheikh Hashim Rusanganya ili tuendelee kuapata faa'ida In Shaa Allah
Jazakah Allah sheikh wetu
SUBHANA ALLAH. JAZAKALLAH KHAYRA.
th-cam.com/video/c6HQTYbP_8o/w-d-xo.html&feature=share
Jazakallah kheiri
Manshaallah Mwenyezi Mungu akuweke shekhe unaongea ukweli kabsa 🤲
Mungu akulipe
Lakini Tanzania mmezidi,yani hao wenye vigodoro vyao charazeni viboko nadhani watakoma
Ma shaa Allah
Tawheed safi sana Sheriff....
Amina wa badilike sasa
Tuwaombeeni sana mana kipindi chahija ndio kipindi chamavuno nashetani watapupa mamilioni yapesa kwaajili yakulipwa pepo kwaajili yakulipwa uchafu she he pitia maandiko mungu wenu ana pepo mtachomwa pamoja namungu wenu
asante shehe kwa mawaidha
It's true that in our sharia we don't have vunja junguu
Muslims we should preserve our holy Ramadan
Shekh amesema ukwel hapo
Mashaallah
Huu ni msiba. Allah akulipe sheikh kwakutukumbusha
shekh shukrani Allah akulipe pepo
Shekhe Allah akulipe maneno mazuri sn
manshaallah
Ameen
Seikh tunakuombea kilma cha Laailaha IIallah
mzee wakuchana n.a. kuku Bali piga jiweguzani a takae sema yalaaa limempata
Swadakta maneno matam sana hakuna mfano wadini ya hakki Kama uislam niraha sana Masha Allah sisi wanawake tumezidi lana ndio Mana Allah anatuhukumu hapa hapa duniani kwa maasi yetu
shukran
mashallah shekhe
Salma Chege ,
Hawa ndio viongozi wa dini tunaowataka wanajua kukeme ana kukaripia kwa lengo la kuturudisha ktk njia ilionyoka
MUNGU AKUHIFADH NA AKUPE MWISHO MWEMA
Allahu akbaru
Kweli nimtihani
Assallam Allekum shehe ungelifuga ndevu ungelipeza zaid zaid kiiman
Huyo ndo wale wasiokuwaga na ndevu Yani zunatokeza kwa uchache
Hana ndevu by nature siwez kumlaumu
Mtihani jamani yani huu mitihani hasa
Mimi mawaomba mashehe ikiwa hawaijui kweli mungu awajuze lakini wakiwa wanaijuwa kweli lakini hawataki kusema mungu wakweli alie juu huinuwa amtakae nakuinen kweli namimi nawambia.mashehe msiendelee kuwazuia watu nanjia yakweli yamungu alie juu mungu mnae muabudu waisilamu alie mshushia Muhammad kuruani nikafiri namakaz yake hayap juu mbinguni yapo hapa dunian Muhammad sio nabii wakweli kutoka kwamungu alie juu nakuruani sio kitabu wala maneno yamungu msidanganyike namaovu yaliokatwaza ndani yakuruani kuna makubwa yalio jifisha nyuma yapazia maana yakafiri nimpingaji nakuruani niyenye kupingana nasheria zakweli zamungu alie juu kuruani nidajali Muhammad aliawambia itafika wakat misikiti yenu ndio makabur yenu kabla msikiti haujawa kabur kwako toka uitafute kweli kweli itakuweka huru kuruani haihubiri injili yakweli napenda pia niwambie yesu sio is a alietwaja kwenye kuruani kuruani hata siku moja haitolitaja jina layesu mana kuruani haimkubali yesu yesu kwakiarabu yasua nawala sio is a kuruani imekop visa nasiku zote ukikop kitu hutakipata uhalisia wake nawala ibrahim wakweli kuruani sio baba waimani mashehe acheni kuendelea kupotosha umaa namaka sio mji mtukufu wamungu msipoteze hela zenu bur mnamuabudu shetani
Sarah Abdulatif b
Wewe una matatizo na usipo ziduka subiri ufe. Utayakubali maneno ya shekh.
Ww kafir hujui unacho kitete wala hujui unachosema niambie yesu alikuwa dini gan
Unajina zuri ila nimshenzi mkubwa subiri siku yakutoka roho yako ndio utajua
Huyu nae katokea wap haya maneno yenu ya kwenye vitabu vinavyofanyiwa marekebisho na watu tunayajua na pia tunayasoma.
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh nivipi ntaweza kupata number ya sheh Rusaganya? Ambay anajuw anisaidiy ainiandikiy hap kweny comment itakuw bora na Allaah atamlip
Mvua zanzibar
Khamis Seif h
Subhanallah
nyundo wa Bongo
Maana yaneno dini ninjia haiwezekani kuwe nanjia mbili njia yakweli nimoja tu yakumfuata yesu alie mbinguni njia yamuhammad haikupelek mbingon inakusogez kwenye moto Muhammad mwenyewe anawambia mumswalie maana yakumswalia nikumuombea ukisoma kuruani yeye kasamehewa madhambi yote sasa aombee nini nyinyi atawaombea nani tokeni usingizini mupitie maandiko Muhammad ninabii wauwongo alie simamisha dini kwaupanga
Na nyinyi mnaosema yesu ni mungu ni kigezo gani ulitumia au ulisoma sehem gani
Ww unaongea usiyoyajua na uliza swali kwan yesu alikuwa dini gan
Mh uujielewi wewe
Huna akili wewe na wakristo woote motoni ndomaana mnaabufu MTU aliezaliwa yesu mtoto wa maryam . Mara miungu wenu ni nafsi tatu . nafsi baba mwana na roho mtakatifu . ibadani mwenu mnaruka kama disco mnvaa nguo za mipasuo . yaani kifupi hakuna watu mataila kama nyinyi.
Nataka niwafunuw macho waisilamu mana yapepo niuchafu nawao ibada zao zote wanalipwa pepo inamana wanalipwa uchafu nakila alipwae uchafu nimfuwas washetani nakila kilicho kichafu mwisho huchomwa wao wanaabudu kwaajili yapepo ndio mana waisilamu hawamkubali yesu mana wao wachafu yesu utakatifu mungu wao nipepo naamini wakiyatafakar hay maneno kutaabika kwao kote mwisho wanalipwa pepo nasote tunajuwa shetani ndie pepo yey ndie mchafu amken wapwenda safina yambinguni niukovu nafas mnayo bado hao maulamaa bad wanaipigia kampeni pepo hao wam ufalme washetan
Ahaha Sarah uliama dini nini naona umepegawa poole
Maskini Sarah mwenyezi mungu akuongoze,
..ulipaswa kuwa Mkristo!..karpia,kemea ili watu waogope!safi sana!
Hiyo ni njia moja ya maamrisho ya uislam basi ikiwa wewe ujui na hivyo ndivyo Allah anatuambia,hau wewe unafagilia unacho kitaka wewe? Hapo alipo panatosha na nimahali sahihi kwake
Kwel kabsa ungekuw mkristo
@@festosamweli1845,haita wai tokea hilo sahau,apo alipo ndipo mahali sahihi na yuafanya alioamrishwa na Allah
@@festosamweli1845 alikua huko lakn baada ya kusoma akagundua kwamba uislam ndio njia sahihi kwakwe.
Aache uislam afate dini iliyoanzishwa nawapagani subhana llah.bakia wewe panakufaa.
Shekhe Allah akulipe maneno mazuri sn
Mashaallah