Haikukujia imani ukajua kuwa uislamu ndo dini ya haki, dini ya uislam haina kasoro hata moja. Hakika Allah(S.W) hatokubali dini yoyote siku ya kiama ispokua uislam, wangapi walikua wema lakini hawataingia peponi kwasabab ya dini yao, Hakika Allah(S.W) anasamehe makosa yote anoyafanya mwanaadamu kwahiyo mda bado unao wa kutubu. Allah akujaalie moyo safi
Habari za sheikh nyundo kumsema Dr sule wewe zitskusaidia nini?mbona mmekua naushabiki kwenye dini,muogopeni Allah namtakalo liona haliridhishi kwaviongozi wenu wekidini muombeni Dua nasio kutaka kumuhadhiri mana mkamilifu ni Allah.wabilahi taufikh
sheikh nyundo amesha tangulia mbele za haki Allah amlaze pema halafu ata kuhusu suala la Pete sheikh nyundo alili zungumzia kipindi yuko Hai tafuta record za nyuma utaona
Mimi mkristo lakini kama ni mafunzo baba unayo. Napenda sana nasaha zako . Maneno yako ni mapya kila kukicha. Mungu akulaze pema😢
Haikukujia imani ukajua kuwa uislamu ndo dini ya haki, dini ya uislam haina kasoro hata moja.
Hakika Allah(S.W) hatokubali dini yoyote siku ya kiama ispokua uislam, wangapi walikua wema lakini hawataingia peponi kwasabab ya dini yao, Hakika Allah(S.W) anasamehe makosa yote anoyafanya mwanaadamu kwahiyo mda bado unao wa kutubu.
Allah akujaalie moyo safi
Tulikupenda sana lakini Mungu zaidi
ALLAH amuweke Mahali pema peponi
Allah akusamehe ulipokosea na akuweke mahali pema peroni.Amiin
Allah akuhifadhi
Mwenyezi mungu tunakuomba mpokee shekh wetu inshallah
Subhana Allah 😭😭 lnna lillah wainna illaih Rajiun 😭.. mtihan huu kwa kwel..mbwa kufunguwa mskit
Allah mlipe zaidi yamema sheik wetu nyundo
Barakallah
Allah akurehemu
Mungu tuangalie sheikh nyundo nilimpenda sana
Mungu akulinde uliko shee
Allaah humlinde sheeh nyundo uko alipo
Allahuma firlahuu warhmnahu nafsljanaah
Nyundo kashatangulia mbele ya haki miaka 4 km sikosei sasa,
Amerudi kwa Mola wake usiku wa kuamkia tarehe 16 March 2020
Habari za sheikh nyundo kumsema Dr sule wewe zitskusaidia nini?mbona mmekua naushabiki kwenye dini,muogopeni Allah namtakalo liona haliridhishi kwaviongozi wenu wekidini muombeni Dua nasio kutaka kumuhadhiri mana mkamilifu ni Allah.wabilahi taufikh
Tuwekeeni sheikh nyundo asemaje...kuhusu Dr Sule na majini.
sheikh nyundo amesha tangulia mbele za haki Allah amlaze pema halafu ata kuhusu suala la Pete sheikh nyundo alili zungumzia kipindi yuko Hai tafuta record za nyuma utaona
Licha ya kutangulia mbele ya haki toka tarehe 16 Machi 2020 ila yapo mawaidha akiwaonya wavaa mapete ya majini,
😂
Allah akurehemu
Allahumma amiin 🤲 thumma amiin 🤲