Allah akujaze kheri sheikh wangu. Jamii ya magharibi imefilisika. Wanataka na sisi tufilisike. Kama iblis, hataki kwenda peke yake motoni. Allah atunusuru.
@@maase2023 sidhani kama shekhe/mwalimu wako unaweza mwita mjamaa. Moja ya kazi ya mwalimu ni kukemea maovu anapoyaona. Ndicho alichokifanya sheikh. Sasa, je,? Kakosea wapi?
@@boeihongoa1436 unapokaa kila siku kuongelea ushoga tu basi hapo ndio unaupa umuhimu kwa kila mtu lkn ukiyapuuzia na wala usiyaongelee basi kila mmoja ataachana nayo mambo ya ushoga! Huyu mjamaa wako ndio anayakuza hayo mambo kwa kukaa kila siku kuyaongelea kwa taarifa yako
Jazakallah kheir Allah akujaalie afya na umri wa kuitangaza hii dini ya haki ya Allah amin
Allah akufanyie wepesi uendelee kutuelimisha insha Allah
Allah akujaze kheri sheikh wangu. Jamii ya magharibi imefilisika. Wanataka na sisi tufilisike. Kama iblis, hataki kwenda peke yake motoni. Allah atunusuru.
Allah atunusuru.
Allah awape umri mrefu mashekhe wetu.
Shekh Lusaganya Duaa
Jazaak.llah lkheir
Bola kufa kwa sababu ya Mungu sheikh kwakuwa pepo ni yako
sheikh WETU ALLAH akuongoze
Endelea tuongea ukweli mpaka pale ALLAH atakapokuchukuwa
ALLAH akupe mwisho mwema inshaallah
Alhamdulillah ALLAH AKBAR pm
Mashaallah Allah akuhifdhi shekhe wetu unasema kweli
Allah akufanyie wepesi
Allah akupe maisha marefu
Allah akup umri mrefu sheikh wangu
Allah atakuhifadhi shekh wetu ktk kuelimisha dini yetu ya kiislam
Subbahanall Allah allah atuurumie kwa lehma zake 🙏🙏🙏
Allah atukinge nahayo mabaya ya shisha na ushoga Allahuma Amiiiin
Mungu akulinde na hasadi za wanadanadamu
jazzakaAllah kheir
Sheikh karibu zanzibar
Naam, Sheikh Rusaganya Vijana sasaiv wanazid kupotea
Wambieee na Allah atakulinda na hasadi zao
mwacheni aseme kama hamtak azungumzie hayo mamb bas acheni
Munngu akupe neeema akuzidishiee
JUMA LOKOLE NA NOEL NI MFANO HAI WA MASHOGA SERIKALI NAOMBA MUANZE NA HAO
Thank you Allah
Kwm
Kweli halini mbayamno shekh sikumoja nikiwa masoko kilwa nilishuhudia mama mmoja anasema badunia imeisha kwani haobodaboda hapostandi woteni mashoga mama akaongeza wanawake tunategemea wanaume wtuoe wenzetunao wanaolewa innalillah
Big G tena haramu hio kali sasa duuh
Sikiliza vizuuri
Mmmh hatar
hahahaha Shekhe Hashimu bana kiboko,baba zima linatumia ugoro ahahahahahah
Natamani siku moja niudhurie khutuba ya huyu sheikh.
Kwakweli hali ni mbaya
Huyu mjamaa mtihani sana badala ya kuleta fatwa za maana yy amekalia ushoga na mirungi na bangi basi mtihani tu
Ko iko anachozungumza sio cha maana, shekh rusaganya endelea kuwapa watu waadhi Allah atakulipa,
Alafu umemwita mjamaa dah, itakuw iko anachozungumza kila siku ww kinakuboa, iyo ndo maana yake, yan shekh lusaganya unamwita uyu mjamaa.
@Juma Bhai kumbe ulitaka ninwite nani ? Acha ubwege ww
@@maase2023 sidhani kama shekhe/mwalimu wako unaweza mwita mjamaa.
Moja ya kazi ya mwalimu ni kukemea maovu anapoyaona.
Ndicho alichokifanya sheikh.
Sasa, je,? Kakosea wapi?
@@boeihongoa1436 unapokaa kila siku kuongelea ushoga tu basi hapo ndio unaupa umuhimu kwa kila mtu lkn ukiyapuuzia na wala usiyaongelee basi kila mmoja ataachana nayo mambo ya ushoga! Huyu mjamaa wako ndio anayakuza hayo mambo kwa kukaa kila siku kuyaongelea kwa taarifa yako
th-cam.com/video/FAJunBxUYpY/w-d-xo.html kwanini unaishi duniani
Invalid wanna ilaihi rajiun
Unapoenda kinyume cha sheria binadamu mnadhani mtaachwa hvhv ni laana tupu inayowapata usiku na mchana wakati wanawake wapomlioumbiwa kisheria
Allahu atunusuru na janga ilo subehanallah yarabih astagfirullah
MashaAllah shekhe Allah akupe umri mrefu